Тёмный

Dr. Chris Mauki: Dalili 4 kwamba anakuchezea tu 

Chris Mauki
Подписаться 309 тыс.
Просмотров 181 тыс.
50% 1

Unaweza kujikuta upo kwenye mahusiano au uchumba ukijua kabisa kwamba mna kwenda kuoana kumbe mwenzako wala hana hilo wazo. Hapo ni kwamba unapoteza muda wako. Je unajuaje sasa kwamba anakupotezea tu muda? Hili hapa somo jipya. Fuatilia.#DrChrisMauki#Dalili#Anakuchezea

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 343   
@IrenJackson
@IrenJackson 9 месяцев назад
Da me mpak nimechukia mahusian kabs asante doctor mauki
@TabiaNchimbi
@TabiaNchimbi 7 месяцев назад
Asante sana Dr walah yule mbwa nilimbebea had mimba haraf sijui ndug at mmoj zaid ya marafiki kila siku mar hili mar lile mwanaume muongo yule mungu ampe maish maref malipo dunian 😢😢😢
@anthoniaanthony4573
@anthoniaanthony4573 Месяц назад
😢😢😢😢, pole my dear
@MireilleNDAYISHIMIYE-f1k
@MireilleNDAYISHIMIYE-f1k 15 дней назад
Asante sana kwa ushauri wako
@mwinyiyussuph2173
@mwinyiyussuph2173 2 года назад
Asante doctar yamegusa wengi hayo
@Bushuramohamed-ru2nw
@Bushuramohamed-ru2nw 3 месяца назад
Mungu akubariki kwa somo zuri
@magrethlameck4272
@magrethlameck4272 2 года назад
Asante Dr umekuwa msaada kwangu nafatilia Sana mafundisho na hakika yananijenga
@zainabmohamed2216
@zainabmohamed2216 Год назад
Hamna dalili hata Moja kwangu Asante mungu🙏🙏
@bintsuleman915
@bintsuleman915 Год назад
Asante mwalimu nimejitoa mm tayari
@RoseKifaru
@RoseKifaru 13 дней назад
Uko sahihi kabisa dr
@agneswhelo9474
@agneswhelo9474 Месяц назад
Asante kwa somo japo wangu hakuna hata moja kwa hayo
@thereziamasalu369
@thereziamasalu369 Год назад
Asante sana kaka Chris mauki umenisaidia pakubwa Kuna mtu amenichezea for a long time daaaah🥲
@cookingideastrizah7638n
@cookingideastrizah7638n 2 года назад
Asante sana kwa Somo la Leo hii mambo nimeyaona kwa wanaume wenye nmekuwa nao katika mahusiano
@yohanakiyumbi4795
@yohanakiyumbi4795 2 года назад
Daah Pole sn Teresia...ila Muombe Mwenyezi Mungu sn ipo Siku utampata Mwanaume wa kweli 🙏🙏🙏🙏🙏
@TinaModest-hh2pf
@TinaModest-hh2pf Год назад
Nimepata somo shukran sana doctor...may God bless you
@winfridamwigilwa2107
@winfridamwigilwa2107 2 года назад
Aisee hii channel ni zaidi ya pure gold. Aksante Dr.
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 года назад
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@najmahamiri6889
@najmahamiri6889 2 года назад
@@ChrisMauki1 hv nimm t sinaga baht nawe hupokeag cm yngu
@janenkhwazi2457
@janenkhwazi2457 2 года назад
Naomba mungu yasiwakute yaliyo nikuta ....Dr Chris Mauki amesema yaukweli kabisa
@ruzukumwamgumu1189
@ruzukumwamgumu1189 2 года назад
Ni ukweli mtupu
@linahgladys4113
@linahgladys4113 2 года назад
Asante umenifungua macho God bless you
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 года назад
Maashallah Asante Sana yani ni ukwerimtupu
@fatumanassir3085
@fatumanassir3085 2 года назад
Asante sana Kwa somo lako.limeni funza kitu
@carolinecharles7872
@carolinecharles7872 2 года назад
Asante sana Dr Chris Kwa somo nzuri hilo ni kweli wanaume wengi wako na hizo tabia
@glodynkondo9800
@glodynkondo9800 2 года назад
lakini mimi sina ile tabiya
@veroslaa1041
@veroslaa1041 2 года назад
Asante sana
@shadiaissa7631
@shadiaissa7631 2 года назад
Asante dk nashukul kwa somo zur uwa napenda kufatilia vipindi vako mungu akubarik👏
@zaitunfaizalawadh2787
@zaitunfaizalawadh2787 2 года назад
Asante sana kwa masomo yako nashkuru kwa msada wa kuimarisha mahusiano yangu ya mapenzi, mungu akubariki sana
@rachnaofficial.9771
@rachnaofficial.9771 2 года назад
Ahsante sana dct
@eunicenyevu8020
@eunicenyevu8020 2 года назад
Thanks for motivation Dr.chris
@daizyjepkirui5400
@daizyjepkirui5400 2 года назад
Very true I was in such but walked away without him knowing till now
@charityblarney8719
@charityblarney8719 2 года назад
Very sorry
@humairajoys2326
@humairajoys2326 Год назад
À santé sanaaa kwa kutufunguwa machooo ubarikiwe sanaa
@JacklineBrown-fz5fk
@JacklineBrown-fz5fk 6 месяцев назад
Asantee kwakweli
@kuruthumually3786
@kuruthumually3786 Год назад
Thanks alots my dear
@ZainabuSaid-v1h
@ZainabuSaid-v1h 9 месяцев назад
Asante sana
@cathyhans2689
@cathyhans2689 2 года назад
Ahsante sana Dr chriss may God bless you sikuwa aware na hii kitu
@tausshasani2064
@tausshasani2064 2 года назад
Umeongea ukweli mtupu asante kwa somo
@ummysaid2670
@ummysaid2670 2 года назад
Asante sana nmekua aware sasa
@rosenadaniel3214
@rosenadaniel3214 11 месяцев назад
Thanks chris
@rithamizambwa9806
@rithamizambwa9806 2 года назад
Wale ambao watu wetu wana dalili zote nne hizo naomba tujuane, tukutane tulieeeeeee halafu tuanze upya
@jescakonyanza2726
@jescakonyanza2726 2 года назад
😭😭
@ratifahamadi3299
@ratifahamadi3299 Год назад
😂🤣🤣🤣🤣
@nuruazizi9983
@nuruazizi9983 Год назад
Nimecheka sn
@msellah1717
@msellah1717 Год назад
😂😂😂
@flotheamassawe6489
@flotheamassawe6489 Год назад
😃😃😃😃ulie tenaaa😃😃
@JenipherOsodo
@JenipherOsodo Год назад
Ubarikiwe sanaa doctor,,,, Somo zurii sana
@elizabethlupenza945
@elizabethlupenza945 Год назад
Asante Nmejifunza 🙏
@mwendelwaaline1444
@mwendelwaaline1444 2 года назад
Asante sana Dr Chris, que Dieu vous bénisse. Napenda sana mashauri yako
@Surhero-x1r
@Surhero-x1r 8 месяцев назад
Barikiwa sana woii
@getrudambare3675
@getrudambare3675 9 месяцев назад
Asante docter
@queenhassanngwilizi
@queenhassanngwilizi 3 месяца назад
Asante kaka
@katushabedotto2883
@katushabedotto2883 2 года назад
Asante Sana broo mahana nikama yamenikuta hayo yotee🙏🙏
@fatinasudi3806
@fatinasudi3806 2 года назад
Asante sana kwa elim Dr., Nmejifunza 👏
@witnesfelix6417
@witnesfelix6417 2 года назад
Kwel kabisa nlkua katika mahusiano ya hv lakn nashukur mungu nliepukananayo
@RachealAndy1
@RachealAndy1 9 месяцев назад
Nashida sana nakupataje
@lilianamukoya7156
@lilianamukoya7156 Год назад
Thank you so much
@valivv120
@valivv120 2 года назад
Asante sana Kwa Somo hili, na ni ukweli kabisa.
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 года назад
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@fatumamaseka7159
@fatumamaseka7159 2 года назад
Asante sana baba kwa mafunzo yako
@catherinenasambu5366
@catherinenasambu5366 2 года назад
Thxz alot for great advice ....boss
@JescerProsper-hg1bf
@JescerProsper-hg1bf Год назад
Daaah iki kitu Ni kweli et 😭 ahsantee sana
@JescerProsper-hg1bf
@JescerProsper-hg1bf Год назад
Nampenda mpenz wangu bure Yan🥰
@doreenlyimo4142
@doreenlyimo4142 2 года назад
Asante Dr somo zuri
@marykaingu4888
@marykaingu4888 2 года назад
Thanks alot ..may God bless you
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 года назад
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@afyayabinadamunaneolife2162
@afyayabinadamunaneolife2162 2 года назад
Naipataje hii clip mtumushi na dokta jamani uko very perfect
@bernadethayohana7972
@bernadethayohana7972 2 года назад
Asante kwa somo zuri
@esthermunywoki3334
@esthermunywoki3334 2 года назад
nice one doctor be blessed
@maryah4601
@maryah4601 4 месяца назад
Shukurn
@evelynemanumbu3327
@evelynemanumbu3327 10 месяцев назад
Mmmmm Asante
@fortunatajacob8584
@fortunatajacob8584 Год назад
😂😂😂Hatari sana hichi kitu. Kwa moyo wangu uwasiagi naondoka kimya kimya nampa kisogo mapema vile sipendi ujinga kwenye sekta hiyo.
@happynescostat7420
@happynescostat7420 2 года назад
Aah Asante kweli umetufungua macho,
@OmanOman-ik9sp
@OmanOman-ik9sp 2 года назад
😂😂😂😂 Dr. Bwana Eti Kaa tayari kuchezewa Asante sana Dr. somo zuri wenye masikio wasikie
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 года назад
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@aishauaikanne4081
@aishauaikanne4081 2 года назад
Asante sana kaka Chris
@rutaaomukuba7950
@rutaaomukuba7950 2 года назад
Asante Kwa funzo Hilo wanaume wengi wako na tabia hiyo Tena Dana.
@devothangovano9729
@devothangovano9729 Год назад
Inauma sana
@ayshaaisha7630
@ayshaaisha7630 2 года назад
Dah allah akubariki brother
@GreciousYemomu-ps5mp
@GreciousYemomu-ps5mp 6 месяцев назад
Thanks🙏🙏
@mariumpeter6147
@mariumpeter6147 2 года назад
1:Hapendi watu wajue kuhusu mahusiano yenu( ANAKUCHEZEA) 2:Mnakutana nje ya maeneo yenu ya makazi(ANAKUCHEZEA) 3: Anakuwa karibu nawe kwa ajili ya sex(ANAKUCHEZEA) 4: Ngumu kuwafahamu ndugu zake( ANAKUCHEZEA) Wachezewaji na Wachezaji HAMJAMBO?
@ruzukumwamgumu1189
@ruzukumwamgumu1189 2 года назад
Hatujambo
@jumakazumba6662
@jumakazumba6662 2 года назад
Shost inshu ya kujua ndugu ilishanfanya nkampoteza mtu niliyekuwa nampenda,yan kama mnapendana nyie ndugu wakujue kwenye vkao.
@mwanaidimtali8563
@mwanaidimtali8563 2 года назад
Tunaumwa
@rogerskeago2055
@rogerskeago2055 2 года назад
That's true... Dr
@amidazubeda1320
@amidazubeda1320 2 года назад
Sio kwamba ananichezea tunachezeana tu.
@babykihongole1987
@babykihongole1987 2 года назад
Asant sanaa
@ayshaaisha7630
@ayshaaisha7630 2 года назад
Shukrani brother
@rahelirobert1222
@rahelirobert1222 2 года назад
Dr Mim mbona alinifanyia vyote hivyo lakin bado akachange had sasa nimemblock kila sehem nin shida sikumkosea ni alichange tuu hapokei cm ,hajibu msg na ni distance relation Ila kabadilika nilichofany baada ya kumuomba Sana asiwe bado akawa vile kiukwel niliumia Sana nikaamua nifanye maamuz magumu mnooo had leo nipo kimyaaa
@ElishaPreygody
@ElishaPreygody 4 месяца назад
Unachokiongea ni kweli Teacher
@monicamagesa8571
@monicamagesa8571 2 года назад
Ukweli kabisaa, asante sanaa kwa somo
@inviolatevedasto4230
@inviolatevedasto4230 2 года назад
Jaman ni kweli kabisaa, kama ulikuwepo, somo zuri
@jadajada3702
@jadajada3702 2 года назад
Asante kwa somo
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 года назад
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@jadajada3702
@jadajada3702 2 года назад
Ni kwel Dr
@husnatmsangeni739
@husnatmsangeni739 2 года назад
Limenigusa sana somo hili
@raidalmazrui8283
@raidalmazrui8283 2 года назад
Pole.... ndio maisha I hope umejifunza.
@sharonjanery983
@sharonjanery983 Год назад
Asante...mm nilichezewa miaka nne nikaachwa
@Surhero-x1r
@Surhero-x1r 8 месяцев назад
Pole
@Chinekegirl
@Chinekegirl 7 месяцев назад
Duuh😢 Ni kweri kabixa
@berthamathew4301
@berthamathew4301 2 года назад
Asante Sana Dr kwa elimu hii mi nilishakutana nae mtu wa aina hii Ila nilimove mahusiano haraka sana baada ya hapo nilikuja kujua mengi zaidi ya niliyokuwa najuwa🤣🤣ashukuriwe Mungu kwa kuninasua na mtego huu
@ChrisMauki1
@ChrisMauki1 2 года назад
• Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks
@martha7941
@martha7941 Год назад
Umegonga ndipo l had one bt nilimgundua mapema sana nikamove on
@SultanAli-u6i
@SultanAli-u6i 7 месяцев назад
Eee mungu 😢😢ningejua haya mimi jmn ningekuwa mbali doctor
@Francsimba64
@Francsimba64 2 года назад
Shukran
@immaculatemushi6681
@immaculatemushi6681 2 года назад
Asante baba angu
@aminafrancis2507
@aminafrancis2507 2 года назад
asante Kaka Chris
@glodynkondo9800
@glodynkondo9800 2 года назад
Asante sana lakini mimi nakupenda muke wangu sana niko uruhu kufanya kila kitu wandugu wote wamejuwa
@drvidah7030
@drvidah7030 2 года назад
Nilikua kwenye mahusiano ya hivi..but nashukuru Mungu....niliweza kujiondoa
@Surhero-x1r
@Surhero-x1r 8 месяцев назад
Mmmhh😅
@رحيمةهاري
@رحيمةهاري 2 года назад
Kabisaaaa hongera sana kwa somolako hii nikwel kabsa bt mungu anawaona tube hakunajambo lisomwisho
@ashnaom2270
@ashnaom2270 5 дней назад
Duh hiyo ya kumisiwa kwenye kutumika kwel ila awa wanaume siku watafanya niwekwe mbele yagazet
@monicambutu7900
@monicambutu7900 2 года назад
Daah Mungu atusamehe
@razatrazat6833
@razatrazat6833 2 года назад
Ni kweli walla shukran
@berthaclement8905
@berthaclement8905 Год назад
Somo zurii
@syliviamgeta8131
@syliviamgeta8131 2 года назад
Mmmh 😲 ukweli huu thanks doctor
@Blandinauser-xx9fs1wq8p
@Blandinauser-xx9fs1wq8p 4 месяца назад
Daaaaah kwer kabsa
@momjaelyn5419
@momjaelyn5419 Год назад
Ni kweli
@estherstella5942
@estherstella5942 2 года назад
😭😭😭kweli nashukuru sana kwamashauri haa 🙏🏽🙏🏽
@shamsamrabu1438
@shamsamrabu1438 2 года назад
This is what am battling with nilipenda pasipo pendwa
@tawalazephuline4950
@tawalazephuline4950 2 года назад
Hii kali aisee
@marthamsoma2664
@marthamsoma2664 2 года назад
Bora uwakumbushe dr ilo ni janga la kitaifa
@HalilaMasudi
@HalilaMasudi 22 дня назад
Duh nimekwama kweli zote dalili zake
@musabahegwa_official3381
@musabahegwa_official3381 8 месяцев назад
Nilikuwa mmojawapo
@FurahaAugustin
@FurahaAugustin 4 дня назад
Yes
@magrethisack2594
@magrethisack2594 2 года назад
Daaaa, inauma kwa kweli
@estamathew5167
@estamathew5167 2 года назад
Inauma sana yaan😪😪
@nego2738
@nego2738 2 года назад
Doctor your The Man
@bossladygracembirize9644
@bossladygracembirize9644 2 года назад
Good
@sharomdaady1593
@sharomdaady1593 Год назад
Hii imetouch wengi
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 года назад
Dah hatari sana
@IradukundaWaida
@IradukundaWaida Год назад
Asant na nalia na naumia yani unasem ukwel❤
@Surhero-x1r
@Surhero-x1r 8 месяцев назад
Pole pole woii
@muvilove263
@muvilove263 2 года назад
Vipi ikitokea kwamba japokuwa mnapendana wazazi hawapendi kuskia kwamba wew uko na mwanao lakini msichana yeye anakupenda!na anapenda kwanza mapenzi yenu yafichike alafu ikifika siku yenu kujitayalisha kwenye mambo tofauti myaweke wazi!
Далее
Dr. Chris Mauki: Dalili 3 kwamba anakufaa kwa ndoa
6:31
WHICH SODA CAN FLY THE HIGHEST?
00:48
Просмотров 5 млн
Dr. Chris Mauki: Siri Za Wapenzi Wanao Dumu Pamoja
8:32
Chris Mauki: Kwa dalili hizi hafai kuwa mume
7:15
Просмотров 73 тыс.
VIASHIRIA 10 VYA MWANAUME MUOAJI - MIN.SUNBELLA KYANDO
24:53
Dr. Chris Mauki: Sababu 5 kwanini mnagombana hovyo
11:45
Chris Mauki: Dalili 5 ameshakutoa moyoni mwake
6:27
Просмотров 176 тыс.