Wengi wetu tunapata shida sana tunapo jikuta tunapitia nyakati ngumu za mapito. Sio wote tuna tabia za ustahimilivu badala yake wengi wetu tuna tabia za kuhatarisha ustahimilivu wetu. Somo hili jipya lita kukwamua hapo.#DrChrisMauki#Kustahimili#Mapito
16 сен 2024