MIMI PIA NIMEJIFUNZA HADI KUSAVE KUPITIA YEYE...NILIKUWA NATUMIA PESA ,ULE MSEMO WAKE WA KUTOKUWA NA PESA UTAJIONA NI AIBU NA UNAKUWA UNA AMANI,ULINIUMIZA,SASA MIEZI MIWILI NAWEZA FANYA SAVING KUBWA SANA
Naomba unishauli me ni mfanyakaz selikali natamn kufanya biashar lakn sijui nifanye biashara gan moyo wangu umejaa hofu mno yaan daaah naomba ushari na mimi nipate kuendelea kiuchumi
Success begins with you Inawezekana akakushauri lakini kama hujaamuua ndugu yangu itakuwa ngumu kucope Kumbuka hata video ambayo aliwahi kupost Mr Joel kwamba "if you decide about your future no one will care about you" Samahani lakini kwa kudakia swali!!!
Sawa kaka joelnanauka na habari ya mlima alivo rudi mala ya pili akashinda nani umemtaja inanigusa sana maludio kuisoma asante kwakunikumbusha hii habari 💎
Mm ni kijana mdogo sana nipo diploma nilikuwa naomba utusaidie njia nzur ya sisi kusoma tukiwa chuoni kwa sababu watu wengi wana hangaika na hilo ili wote tuweze kufika mbali kama ww naamini hili litasaidia watu wengi
Asante sana Joel I m going to be a winer to my life aijalishi nimefanya makubwa mangapi na wangapi wametumia uwezo wangu nguvu zangu, ila sasa kupitia wewe umefanya moyo wangu kuwa imala zaid Ishi maisha meng mwalimu
Kwa kweli papa ubarikiw sana, Uko mtu Uko nazidi kunifadha kujielewa nakuwaka mtu mwenye hasira katika maisha yangu ila kupitia shauri zako ziko nanifadha kushimama tena✊
Asante sana Kwa SoMo zuri, hapa umeniongelea mm kabisa nashukuru Mungu nilijitenga kabisa nikabadirisha na namba wengine nikapiga block Ili nianze upya, na kiukweli sijutii