Тёмный

Dr. Chris Mauki: Yafahamu haya kabla haujaomba msamaha 

Chris Mauki
Подписаться 307 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Kuomba au kuombwa msamaha imekuwa changamoto kwenye mahusiano ya wengi, je unajua ipo sababu? Kuna vitu usipofahamu vizuri msamaha unao uomba au unao utoa unakosa mashiko. Nifuatilie kwenye somo hili jipya #DrChrisMauki #DrChrisMauki #Kuomba #Msamaha

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@evalinfabian4931
@evalinfabian4931 Год назад
kuna wengine tunaomba msamaha lakini bado kila mwaka unakumbushiwa yaliyopita sjui kweli kuna ndoa ya kudumu au penzi ndo lishaisha
@ZamZam-mk4xu
@ZamZam-mk4xu 2 года назад
Docta mie nimemuomba msamaha kwa mwepenzi wangu ndani ya masaa 6 nalia na kumuomba msamaha na amekataa je nifanyaje
@mackilinapatrick4717
@mackilinapatrick4717 2 года назад
We ni mwenzangu namm ata sielew chakufanya na nampenda san
@reginaogiro4845
@reginaogiro4845 2 года назад
Masaa 6 unachoka mie naomba Msamaha miez 2 sàsa😭 ila naomba kwake na namuomba Mungu ampe roho ya kusamehe
@dorakitsaomasha7294
@dorakitsaomasha7294 Год назад
Ww kama mm ukijaribu kusema hili anasema hilo ata sielewi aki nanimemupenda ile mbaya
@Annastazia-b3h
@Annastazia-b3h 2 месяца назад
Mimi nipo kwenye mahusiano lkn boy friendi wangu ansema sina vigezo naomba msaada wako maana tunaendana sana naomba ushauri
@bellandelema8820
@bellandelema8820 2 года назад
Asante,nimefanya hili nimeona jambo la ajabu kwenye maisha yangu BWANA amenifanyia nani ushuhuda kabisa ubarikiwe sana Mtumishi
@magrethvictor3471
@magrethvictor3471 2 года назад
Unambembeleza wapi anatatumia kumuomba msamaha kama ndio fimbo ya kunichapia kutumia kosa langu nijisikie vibaya navyowaambia nimebembeleza mpka basi
@scholarmassawe6380
@scholarmassawe6380 Год назад
Naomba namba kaka
@MarryAlexa-t4i
@MarryAlexa-t4i 11 месяцев назад
Dokta Chris mimi nina matatiz na mume wangu nimekuwa mtu wakumkosea kila imefika stedi kaniambia amenichoka nahanitaki tena na ukija kuangaria mimi bad nampend kikubwa zaid natak kuowa mwezi huu nisaidie nifanye nini iri niweze kusamehewa na mume wangu
@gladysmwita1254
@gladysmwita1254 2 года назад
Vp yule anaomb msamah lkn haishi kurejea ttzo hilohilo ???!!!
@magrethvictor3471
@magrethvictor3471 2 года назад
Jamani je vipi mwanaume unaweza muomba msamaha akawa anashindwa kukusamehe
@edwinaabuta7823
@edwinaabuta7823 Год назад
U have very good content Dr.Chris.Very educative
@neemashirima6121
@neemashirima6121 2 года назад
Asante
@gracemwaluseke7740
@gracemwaluseke7740 2 года назад
Docta mtu unamuomba msamaha lkn haelew kabisa
@dennisgeorge9362
@dennisgeorge9362 Год назад
Naomba namba Yako mkuu 🙏 unamasomo mazuli
@chrispinjohn144
@chrispinjohn144 2 года назад
. Safi
@mwamvuamussa-pd4su
@mwamvuamussa-pd4su Год назад
😑
@chrispinjohn144
@chrispinjohn144 2 года назад
. Safi
Далее
When Goalkeepers Get Bored 🤯 #3
00:27
Просмотров 1,5 млн
Лучше одной, чем с такими
00:54
Просмотров 758 тыс.
Dr. Chris Mauki: Sababu 5 kwanini mnagombana hovyo
11:45