Pole sana kwa shujaa Dragila na Mungu asifiwe kwa kufunguiliwa kwake. Tunamtakia amani na maisha marefu katika kazi na mipango yake. Asante sana kwa kutetea udongo wetu na nchi yetu ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (RDC - DRC). Pasteur Pierre Mas1
Pole sana shujaa wetu! Kweli nimeamini kauli ya wabembe isemayo" MSOSHI TALEKYAKA NYAMA YA HITO LEMO" ! Naomba uwaurumie maana walikusema tofauti na ulivyo! Mungu na mababu wetu watuhumiwa!
ishi sana shujaa wetu mimi niko usa ila iyo moja imenigusa sana akika mungu wa baba zetu akulinde na akupe nguvu ya kushimama katika kweli juu ya inchi yetu na pia uwasamehe wabembe wote walio kukejeli na kukuongelea vibaya.
Vraiment au problème de Fuliru et ba babembe il a bien répondu voilà voyant un vrai patriote soldat bien formé, il est de CNPCC pole kutoka kwa pasteur Francis from canada Mungu akulinde Dragila atutakuachilia na Mimi Francis natoa pole kwa Dragila Epembwe y’a Babembe.
Mweshimiwa Dragila uko na Mungu na uko Mwanaume, Na tunakuomba sisi wa Bèmbe wenye tuko Inchi ya Inchi tunakuomba uwahurumie kabisa Ndugu yetu na Pole saana Wetu M'mulu Dragila Epembwe 'ya Babembe !!
Sisi wabembe hatukosi Mwami na Mwami hakuwaki anafaniwa uchaguzi. Tatizo kubwa kwetu ni Akakya. Mkusanye Wami WOTE na muwauliziye Mwami wenu anakuaka Nani. Wasipo mjua WOTE hawafai na si Wami ni makapita. Tatizo lenu hamujuwi Historia. Tuko taifa kubwa Sana tena Sana. Taifa Pekee ambalo linaahadi na Mungu.
Journaliste jitahidi kuuliza maswali muhimu. Ulipaswa kuuliza zaidi kuhusu namna alivyotoka , kwa nini alifungwa miaka sita? Ni kosa gani katika hizo kosa zilionekana ni kweli na zipi zilifutwa na kwanini?na wale wajeshi wengine wako wapi? Wanafanya nini?Pia yeye dragira Ana mpango gani wa baadae? Ataenda tena porini. Hayo maswali ya bwami ni muhimu Ila sio lazima sana. Mawasiliano Yake na Yakutumba yakoje? Unaacha bya muhimu unauliza bya bwami na maswali legelege
Kwa sasa Bitakwira yeye ndo anaonekana ndo hana akili,hana uwezo waku tukana mbembe hana akini,kwasasa anatembelea ndjia ya watoto wa kibembe,ana jiita mzalendo hivi yeye Bitakwira