Тёмный

DRONE: VIVUKO VIPYA VYA AZAM VINAVYOKIMBIA KWA KASI KIGAMBONI, VINABEBA ABIRIA 250 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 71   
@veronicabwamukuru1265
@veronicabwamukuru1265 2 года назад
Yaani hii nchi ya ajabu Sana😂😂😂 mradi ukiongozwa na serikali unakua na hasara ila mashirika binafsi yanaweza kwa ufanisi mkubwa, swali hao wafanyakazi wa sekta binafsi wanatoka wapi na WA serikali wanatoka wapi? Ama kweli tutampa Mungu kazi kubwa Sana siku ya mwisho, tuombe rehema yake tu
@kingyeskingyes2263
@kingyeskingyes2263 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-jIKtN6WUSe8.html go
@kingyeskingyes2263
@kingyeskingyes2263 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-jIKtN6WUSe8.html go
@froma3732
@froma3732 2 года назад
Sababu wizi
@arhan1580
@arhan1580 2 года назад
wafanyakazi ndo wale wale, tofauti ni nani anasimamia, sekta binafsi inatunza na kuboresha vitu vyake, serikali inatunza na kuboresha siasa na uongo uongo
@juliussilvestar8988
@juliussilvestar8988 2 года назад
Al ran bora sekta binafsi pia wa isaidie serekali.Nchi nyingi sekta binafsi imekuwa fast.Ni rahisi pia ku manage sekta binafsi yupo katika ushindani sanaaa.Kuwa na best things.
@hassanajiruu5128
@hassanajiruu5128 2 года назад
MashaAllah nlicho kuja kugundua hapa Africa mashariki mwanachi yoyote ule amkapo hasubui hadi jioni lazima hatatumia biidha ya Azam hiwe yoyote while Pongezi Azam
@mcback4384
@mcback4384 2 года назад
Sio kweli mimi binafsi sijawahi kutumia bidhaa ya azam na nimeishi mikoa mingi Tanzania
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 2 года назад
Apo Panaitaji Jicho Lenye DALUBINI kali Kuona Kilichojificha Japo Mbere Yuko Mkombozi Mungu Amemuandaa Kwa Watanzania Tuko Kwenye Mbio Za Vijiti
@ngamanyajoshua839
@ngamanyajoshua839 2 года назад
Nyie TEMESA,Hayo mapantoni mbaki mayo wenyewe..mtuachie sisi na Azam
@kelvinmasika
@kelvinmasika 2 года назад
50,000 per trip, ikifanya trip tatu kwa saa 150,000, ikiwa active masaa 12 trips 36 ni 1.8 milion.. Bado kuna faida ingawa ndogo sidhani kama inatosheleza ila kikubwa ni upungufu wa adha kubwa wananchi wanayopitia na hopefully serikali inatoa subsidies kwa Azam.
@rasnchimbi
@rasnchimbi 2 года назад
Safi sana wachangamshwe hao,walikuwa wanaleta jam
@charlesmugisha6529
@charlesmugisha6529 2 года назад
Mama samia na ww apo weka jeuri ya daraja Kama JPM alivyokuwa akifanya na ujiwekee heshima.
@jambo3751
@jambo3751 2 года назад
Mombasa Kenya wamejenga daraja kwa ajili ya kuvukia watu tu... Lakini magari ndio yanapakiwa kwenye PANTONI ( Kivuko). Na hilo daraja ikipita meli linakunjwa baada ya kupita linakunjuliwa. Daraja limejengwa na kampuni ya kitaliano.
@twalibubiza8161
@twalibubiza8161 2 года назад
Kwaiyo maoni y'ako ni yap kwa tz
@ignasmalema8354
@ignasmalema8354 2 года назад
Uzeni tu nchi kwa mafisadi ,ndio mlilo kusudia kumtoa marehem ,rip jpm
@mtatatv1414
@mtatatv1414 2 года назад
Acha kufukilia Kwa kutumia matako nchi ujengwa na matajili tambua ilo apo saizi utaona uduma bora maana apo ni shilika LA MTU binafsi serikal uduma zao uwa ni goigoi
@aminaally3116
@aminaally3116 2 года назад
Kwa iyo bakhresa in fisadi acha chuki izo
@ivanakingazi59
@ivanakingazi59 2 года назад
Akili yako inakutosha mwenyewe...muda ni maendeleo
@husnamaulidi5345
@husnamaulidi5345 2 года назад
Hvi ni vitu vya kawaida kwa nchi zilizoendelea xhida yko ujawahi kutoka nje ya tz
@kupelakupelaa2580
@kupelakupelaa2580 2 года назад
private sector zinakubalika duniani kaka kuingia ubia na serikali kukuza uchumi wa nchi,kingine tembea uone duniani,hata NCHI ZILIZOENDELEA YANAFANYIKA HAYA WENYE PESA KUINGIA KWENYE BIASHARA NA NCHI
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 2 года назад
Imeisha hyoooo
@christiannyamamba9089
@christiannyamamba9089 2 года назад
Azam hua yupo serious sana kwenye buashara zake mpeni hilo jambo uone kama kuna ujinga ujinga utatokea
@aloycesteven5998
@aloycesteven5998 2 года назад
Hayo makubwa yabebe magari sasa tumechoshwa na kubanwa na magari kwenye kivuko
@leecode6135
@leecode6135 2 года назад
Hapo ni daraja tu shughuli kwishne hkuna táxi wa bajaji
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 года назад
Daraja harafu meli zinazoenda bandarin zitapita wp?
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 года назад
Serikali wanatakiwa wakusanye tu kodi na ushuru biashara waachiwe wananch
@misschagga8042
@misschagga8042 2 года назад
Hicho cha zamani kivushe magari tuu kipite upande wake hapo kitoke kabisa vibaki hivyo vipya.
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 2 года назад
Kazi nzuri
@kingyeskingyes2263
@kingyeskingyes2263 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-jIKtN6WUSe8.html hi
@kivemaleonard2757
@kivemaleonard2757 2 года назад
ko vivuko vya magufuli tulivyoambiwa bila 200 tuogelee havina kazi,mmempa mtu apige hela.
@bilalirashid2432
@bilalirashid2432 Год назад
Mm sipandi😅
@karimjuma4019
@karimjuma4019 2 года назад
Mpenda media
@isackchalamila9160
@isackchalamila9160 2 года назад
ivi jamani serikar hamuwez kuleta vivuko vya kisasa mbona mnatutia aibu kodi tunatoa mtaelimika lini campuni binafsi zinawazidi ubunifu maana yake nini
@shaurimtanda8285
@shaurimtanda8285 2 года назад
Maendeleo hayana chama
@musason1680
@musason1680 2 года назад
Hivi vivuki vya serikali vinakufanje ghalfa vyote
@sosthenesmaemba
@sosthenesmaemba 2 года назад
Dil
@himidijenga535
@himidijenga535 2 года назад
Andika vizuri aisee
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 2 года назад
Ninawasiwasi naupigaji hapo mladi wawakubwa huwo kila mwaka changamoto ya kivuko
@stn4873
@stn4873 2 года назад
Kwahyo comment yangu mmefuta?
@alfaki255
@alfaki255 2 года назад
maendeleo ni maendeleo haijalishi ni makubwa au madogo kiasigani
@adamkilimba7073
@adamkilimba7073 2 года назад
Kupunguza gharama za uendeshaji wangeanza kutumia gesi asilia .ingesaidia sana
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 2 года назад
Bakhresa oyeee serikali makolo
@mosesarbogast3097
@mosesarbogast3097 2 года назад
Selikali ni wananchi,acha wananchi tena wazawa wapewe fursa wawekeze selikali isimamie maslai ya wananchi.muda mali iyo midude ya temesa utasema mikonokono ,inajivutaaa muda mali ,yan ikiwezeka balesa alete bot iwe dakika moja chap,we unaetaka selekali inunue ,subiri mumeo au mkeo au babaako au shemeji yako awe raisi umshauli muongeze mikonokono tucheleweshane michongo town.
@kingyeskingyes2263
@kingyeskingyes2263 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-jIKtN6WUSe8.html hi
@karimmkejina980
@karimmkejina980 2 года назад
Duh mikonokono tena
@emmanuelchiza7733
@emmanuelchiza7733 2 года назад
Mikonokono tena🤣🤣🤣🤣🤣
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 года назад
Hivi kwanini hapo hapajengwi daraja?
@jacksonamos2008
@jacksonamos2008 2 года назад
Unataka watu wafe njaaa
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 года назад
Gari zinavushwaje sasa, naona vidogo
@mirajaliy3334
@mirajaliy3334 2 года назад
arafu kinatokea kimtu kinamshindanisha bakhresa na mo
@cricwambali1352
@cricwambali1352 2 года назад
Selikali haiwez kushindwa kununua vivuko kama hivyo msitufanye watanzania wajinga dhama zimebadrka
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 года назад
Vipi shirika la simu (TTCL) lingebaki peke yake likitoa huduma, kusengekuwa na Tigo, Airtel, Vodacom, Zantel wala Halotel, hali ingekuwaje?! ndugu tunapotoa comment lazima tuwe tunatumia akili.
@kamanda007
@kamanda007 2 года назад
Acha ujinga, tunataka usafiri mzuri na haijalishi nani anafanya serikali au binafsi wote sawa, serikali imeshindwa wakae pembeni, na wewe kapande cha serikali bado kipo tuachie cha Azam mbwa wewe
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 2 года назад
Hivi pia serikali inashindwa kulima miwa hekta elfu kumi tu mpaka magufuli akampa baharesa?
@karyori69
@karyori69 2 года назад
"Seataxi" na si "seatexi"
@kingyeskingyes2263
@kingyeskingyes2263 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-jIKtN6WUSe8.html BLK
@vibetz9991
@vibetz9991 2 года назад
Hiyo drone nayo si iwe inabeba watu
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 2 года назад
Kwasasa hatuna Rais mwenye maono kawekeza kwenye kusifiwa tuu serikali wao nikula mshahara tuuu
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 2 года назад
Aliekuwa hataki kusifiwa ni na hata huyu alietangulia pia alikuwa anataka kusifiwa. Acha hizo wewe.
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 2 года назад
Hivi JPM alikua na maono gani alipompa baharesa hekta elfu kumi bure sawa na ekari elfu 25000 kulima miwa?
Далее
I Built 100 Wells In Africa
10:30
Просмотров 206 млн
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Просмотров 1,6 млн
КОТЯТА НАУЧИЛИСЬ ГОВОРИТЬ#cat
00:13
How to win a argument
9:28
Просмотров 584 тыс.
Upepo wakwamisha kivuko cha MV Magogoni baharini
2:18
Просмотров 4,9 тыс.
Train Vs Giant Pit
10:36
Просмотров 231 млн