Тёмный
No video :(

DUA KUBWA YA KUONDOA MATATIZO BI IDHNI LLAHI 

Mponda Media
Подписаться 15 тыс.
Просмотров 492 тыс.
50% 1

hii ni dua ya majina 99 ya allah baada ya kusikiliza dua hii ndugu yangu omba unachotaka kwa sharti kiwe cha kheri

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 871   
@HalimaismailySaid
@HalimaismailySaid 3 месяца назад
Hakika hii dua ni dua mjarad sana Allah atukubalie na atufungulie na kutuongoza kwa kile tunachokikusudia nilienda nikatia udhu nikanuia nikasikiliz zaid ya mara 7 wallah majb niliyapata siku hiyo hiyo mpk nililia kwa furah
@ZawadyKilume
@ZawadyKilume 3 месяца назад
Allah Ww Ni Mwingi Wa Rehema Naomba Unisamehe Makosa yng Mola Wng Usinifichie nuru Ya Uso Wako Allah Najua Mm ni Mkosaji Mbele zako Nisamehe Mola Wng Ww Ndo Mwingi Wa Huruma Allah Nihurumie Mja Wako Niokoe Ktk Mitihani Hii ninayopitia Allah Wng Niponye Maradhi Ya Ganzii Ktk Mwili Wng Nipone Kbs Nijaze Imani Juu yako Allah Wng Mm Ni Mkosaji mbele Zako niponye Kupitia Dua Hii niponye Kwa Dua iliyomponya Ayubu Allah Nifanye Vile Ikupendezavyo Ww Mungu Wng Allah Nisaidie mja Wako
@zeynabawadh2185
@zeynabawadh2185 Месяц назад
Ya rabby tuponye na utusamehe kwa kupitia duwa hii na utukunjulie riski zetu amina ya rabby😊
@asnatabdallah
@asnatabdallah Месяц назад
Ya Allah nakuomba unisamehe makosa yangu ninayo yajua na nisio yajua nakuomba unipe afya njema na mwisho mwema 🤲
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 Месяц назад
Aamin
@habibabarker1644
@habibabarker1644 9 месяцев назад
Ya Allah Ya Allah naomba unisamehe ninayoyajua na nisoyoyajua makosa yangu niondolee maradhi nijalie uhai mrefu afya amani nikuabudu nipe rizki ya halali na mwisho mwema
@MtumwaHamza
@MtumwaHamza 2 месяца назад
Amin ewe mwenyezimungu niondolee chuki,husda, choyo, hasada, shari na mambo mengine yote mabaya
@tatumbaraka2658
@tatumbaraka2658 9 месяцев назад
Nataman niandike mengi kuhus hii Dua😭 nilipitia matatizo nimeisikiliz San hii Dua bi idhin llah naamin imeniondoshea matatizo yang alhamdulillah😭🤲 allahu akbar 😭
@gloriaeliys7589
@gloriaeliys7589 8 месяцев назад
Hapan iyo dua itakua n insababu t ila Allaah ndio alio kuondoshea .
@tatumbaraka2658
@tatumbaraka2658 6 месяцев назад
@@gloriaeliys7589 Kwa kwel ni Allah🤲
@HalimaismailySaid
@HalimaismailySaid 3 месяца назад
Kwa kweli hii dua imedanya mambo yangu mengi. Yakafunguka sana
@FIRDAUSAWADH
@FIRDAUSAWADH 3 месяца назад
Allahu Akbarr
@ummuasmahan5193
@ummuasmahan5193 3 месяца назад
Allah nifungue kutokana na madeni, nifungue milango yangu ya rzk, nikifungua nipate pesa za kulipa madeni na kurudi Hali yangu ya kawaida😭🤲
@Atb300
@Atb300 Год назад
Amin Yarab Al-Amin niondolee na mitiani husda na kila lilokua Baya mbele yngu nifungulie rizki ndogo ndogo na kubwa kwani wewe ndo kimbilio lngu Hakuna wa kuabudiwa zaid yko yaah Allah🙏❤️
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 Год назад
Allahumma Aamin
@juweiriyaomar6128
@juweiriyaomar6128 Год назад
Amin ya Rabbal aalamin
@firstlady9848
@firstlady9848 Год назад
Ameen 🤲
@deborakasambula7431
@deborakasambula7431 Год назад
Amiiin
@umsaidhamed2710
@umsaidhamed2710 Год назад
So we ⁹sssssssssssssß 9th ⁸sssssßsßsssssß to see
@user-wt5di4hl2o
@user-wt5di4hl2o 10 месяцев назад
Amiin 🙏🏼🙏🏼🙏🏼ewe mwenyezimungu naomba unifunglie mwanganz katik maisha yangu Unifungulie rizk zngu kila zito allah unifamyie wpesi kila ninapoingia nuru inimwilik unajalie mwisho mwem 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼😭😭😭
@NaimaKaka-yo4hb
@NaimaKaka-yo4hb 5 месяцев назад
Amin
@SaumuAli-pk8xp
@SaumuAli-pk8xp Месяц назад
Amiin
@user-on7cq7cz5t
@user-on7cq7cz5t 10 месяцев назад
Aamiiin🤲🤲🤲🤲yaarabilialamina mwenyezimungu niondolee matatizo yangu ya ALLAH we ndio mtoaji ya rabb takabali dua🤲🤲🤲
@khadijaZuberi-wo4eg
@khadijaZuberi-wo4eg Год назад
Amiina yaarab nisamehe makosa yangu pia naomba unipe mwisho mwema na naomba nifanye yale yenye kukupendeza, niepushe na maasi ya dunia niwe mja mwema, naomba uniepushe na watu wabaya na wale wasopenda kuona mafanikio yangu wasiwe na nafasi kwangu, nakuomba ya Allah niondoshe na nuksi, mikosi, mapepo, na maradhi sababishi yasinikute, nifungue kila nilipogungwa kwa nguvu za giza, mfanyie wepesi bosi wangu asahau yote yalotokea anirudishe kazini kwa nguvu zako Allah. Naiombea familia yangu, wadogo zangu na wazazi wangu waepushwe na kila Shari na kila baya lisiwakute kila atuombeae ubaya kwetu ugeuke na kuwa uzuri, ❤️🙏
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 Год назад
😭😭😭🤲
@zozosabra2176
@zozosabra2176 11 месяцев назад
mwenyezi mungu nakuomba uniepushe na mitihani mm na familia yangu niongezee watoto wangu na uniepushe na maradhi makubwa na madogo nakuomba ewe mwenyezi mungu nifungulie milango ya ridhiki mm na kizazi changu . na uwasamehe wazazi wangu makosa ya kaburi Amina
@nooralhadidi6420
@nooralhadidi6420 5 месяцев назад
[​@@zozosabra2176
@user-dc1zn9ry5s
@user-dc1zn9ry5s 5 месяцев назад
Mungu atufungulie riziki za halal yarabi atupe wepesi wake
@user-dc1zn9ry5s
@user-dc1zn9ry5s 5 месяцев назад
Yarabi ndoa iwe ya kheri kwangu
@ZainabuMsangi-gx1fe
@ZainabuMsangi-gx1fe 3 месяца назад
Yalaah naomba ninapoisikiliza dua hii uniepushe na maradhi pia unijaalie mwisho mwema na uyape nuru maisha yangu na familia yangu...inshaalah utukubalie dua zenu
@alphoncymatara5108
@alphoncymatara5108 8 месяцев назад
Ya Allah nakuomba uwapunguzie adhabu ya kaburi wazazi wote wawili , ya Allah nakugemea kwa kila Jambo liwe kubwa liwe dogo ya Allah ukanifanyie wepesi na kuniondolea mabalaa na chuki juu ya kazi yangu na familia yangu Amin🤲🏽😔
@alphoncymatara5108
@alphoncymatara5108 6 месяцев назад
@SaumuAli-pk8xp
@SaumuAli-pk8xp Месяц назад
Amiin
@ms_teeonly
@ms_teeonly 19 дней назад
Ee Mwenyezi Mungu nifungulie milango ya neema , nibariki katika jina lako kila ninaloliomba liweze kutimia 🤲🏽 Amin
@jamilakimaro9993
@jamilakimaro9993 3 месяца назад
Yaarab nakuomba kupitia dua hii unisamehe makosa yangu yote imma kwa kukusudia au kwa kutokukusudia naomba utuepushie maradhi naomba uwape tahfif marehemu wetu waliotutanguli na uzidi kunipa wepesi ktk kufanya ibada zako yaarab. Aaamin
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 3 месяца назад
Aaamin
@mwajey
@mwajey 14 дней назад
Eheee yarabi naomba unisamehee mazambi yangu na uwasamehee wazazi wangu na unifunguliye ridhiki na unijaaliye watoto wema na uniondoshee maradhwi yatokanayo na husda na majini piya mola wang🤲🤲🤲
@user-dh7zv8ke8o
@user-dh7zv8ke8o 10 месяцев назад
Ya Allah unifanyie wepes kwenye mamb yangu na ridhik yang uniepushie na mabaraa,vijicho,husna,uchawi na mashetwani maisha yangu yanakutegemea ww Allah 😢😢Amin 🙏
@nasrashaibu158
@nasrashaibu158 11 месяцев назад
Yarab nisamee makosa yangu na unisamee zambizang unipe riziki zangu zaharari kizazichang kiwe miongoni yawaja wema ishaarr❤
@nurdinomary4432
@nurdinomary4432 9 месяцев назад
Amini yarab Al Amin niondolee maradh husda za waja uwape afya njema family yangu watoto wangu wazazi wangu yarab nifungulie nakuongezea rizk nifanyie wepes Kaz yangu yarab Kika nifanyalo liwe jepesi Amin Amin
@princehakim4436
@princehakim4436 6 дней назад
Ee mwenyezi mungu unisamehe makosa yang niangazie Nuru yako ktk njia zangu,niongoze nifunge kufuani maneno yako na yaniongoze muda wote wa heli hapa duniani eee mola wa mlezi nakushujidia ww tu amin
@ShaniRadjab
@ShaniRadjab 2 месяца назад
Ya Allah nipokeleye swalha dhangu n'a dua zangu ya Allah unisamehe dhambi dhangu unijalie mwisho mwema Ya Allah uniweke katika kundi ambalo litakalo ingia katika jannatu fidrau yaAllah warehemu wazazi wangu😢uwasamehe dhambi Zao kupitia dua hiyo ya Allah utunusuri Sisi viumbe vyako dhahifu ya Allah🙏🙏
@user-ng4ko6pz9s
@user-ng4ko6pz9s 9 месяцев назад
Amin yarab nisameh makosa yangu Na uniondoshe matatizo YA nyumba yangu
@elizabethgitau-xl3mx
@elizabethgitau-xl3mx 3 месяца назад
Naomba YaAllah aniepushe na haya machungu nimepitia sana mangumu
@MariamuOmary-m5p
@MariamuOmary-m5p 2 месяца назад
Amin 🤲
@zairinaabbas6059
@zairinaabbas6059 28 дней назад
Inshallah Aamina Yaraby utupe mwisho mwema Kwa sote
@AishaChoholo
@AishaChoholo 3 месяца назад
Ya Allah niondelee kila kikwaz katk maisha ya kwa yanay nizunguk nijifungue salam na nipone ninavy umwa ni na furaha ya mume wang na anioe kwanzia sasa afungue moyo wake kwang ata iweje ya Allah
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 Год назад
Eee Mola wangu naomba ninapocniliza Dua hii maradhi yamgongo yanayonisumbua nipone kwa rehma zako,Mwanangu masikio yake umfanyie wepesi ya Allah apate kusikia Amiin
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Год назад
Hta mm mgongo vle pia kunyonyesha allah atupe afya njema inshaallah
@SubiraMussa-ik2mh
@SubiraMussa-ik2mh Год назад
Ya rabi nakuomba niondoshee kila lililofungwa unifungulie
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Год назад
@@SubiraMussa-ik2mh allahumma amiin.
@FashionHekima-wq9fl
@FashionHekima-wq9fl 2 месяца назад
Yarabi niondoshee matizokatika maishayangu nafamiliya yangu na uondoshee husdakatika utaftaji warzki yarabi nakuomba kwani wewetu ndie mjuzi wakilajambo Amen
@MwanaMone
@MwanaMone 2 месяца назад
Ya allah naomba unisamee mabaya yangu yote na uniondole matatizo nlio nayo.unilinde na hasad za waja ya rabina halameen🙏🙏
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 2 месяца назад
Aamina yaa rabbi kwa sote Aamin
@user-fd1vw9fc9r
@user-fd1vw9fc9r 9 месяцев назад
Ya Allah unifanyie wepesi katika mambo yangu, unikinge Na hasad, husda Na wabaya wote walonizunguka pamoja Na familiar yangu amiin
@JasminKibula
@JasminKibula Месяц назад
Ya Allah naomba unisamehe makosa yangu yale niliyo yafanya kwa kuelewa na kwa nisiyo yaelewa Allaha naomb unipe mwisho mwema Ya Allah
@iradukundamimi4212
@iradukundamimi4212 Месяц назад
Yarabi niondoleye matatizokatika maisha mwangu yarabi napia mengi muno unipe moyo yasubra
@user-sn7ex7qr8z
@user-sn7ex7qr8z Месяц назад
Amin yarabi
@user-qr6wq9kk6c
@user-qr6wq9kk6c Месяц назад
Ya Allah nakuomba uniondolee matatizo yanngu unifungulie baraka zangu inshaallah😢😢😢😢😢😢😢
@Joharibakari-cv3oq
@Joharibakari-cv3oq 5 месяцев назад
Ya -Allah Kila zitoo Naomba liwe jepesiii ya Allah Nipe umri mrefu mimi pamoja familia yangu naomba umuondolee mitihan H kila zito kwake liwe jepesi akika Allah wew ndio tumaini letu la mwishoo🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-gs8bg5ph8z
@user-gs8bg5ph8z 9 месяцев назад
Ya Allah niondolee matatizo yangu yote yalioko mbele yangu nayaliyoko nyuma yanga na unifungulie milango ya rizk za halal kwa wepesi ya Allah
@SofiaMwakipiti
@SofiaMwakipiti Месяц назад
Ewe mwenyezi mungu unajua udhaifu wangu naomba uniongeze nipe furaha na amani mtu ulie mtuma kwangu naomba tu anisaidie
@FauziahNambaka-bn2ln
@FauziahNambaka-bn2ln 2 месяца назад
Mwenyezi mungu anitakabalie dua zangu,swala zangu,funga zangu na anisamehe madhambi zangu zote na waislamu wote duniani
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 2 месяца назад
Aamin
@user-su6vt8ev8d
@user-su6vt8ev8d 4 месяца назад
Ya Allah tujaalie kheri za Dunia na kesho Akhera .
@hanifaahmad5018
@hanifaahmad5018 5 месяцев назад
Ameena yarabi niondeleeee hasada na husda na matatizo yaliombele yangu ninayoyajua na sisiyojua tupe iman ya kukuabudu ww na kuyafata mamrisho yako uwarehemu wote walotangulia mbele ya hakiiiii ameena ya rabbi
@NayBakari
@NayBakari 2 месяца назад
Yarab nifungulie ‘ nifungue funguko vyote vilivyokuwepo ,mwilini Kwangu viwe vya binadamu au majini au wachawi Naomba Allha nifungulie ridhiki yangu nipe umri mlefu na mama angu,muondolee,malazi na umpe umri mlefu inshallah. 👏👏👏
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 2 месяца назад
Aamin
@ManirakizaSada
@ManirakizaSada Месяц назад
Amiin ya Raabii kupitiya iyi Dhua nakuwomba unisameh mazhambi yangu ya Allah na unikubaliy Dua yangu
@mishysaidy9802
@mishysaidy9802 2 месяца назад
Yarabih naomba uniongoze katika njia iliyo nyooka naomba uwape afya njema watoto wangu uwape ufahamu Mungu wangu wewe ndie kila kitu binadamu si chochote mbele yako nakuomba Mungu wangu huyu binti yangu apate usingizi mzuri na kama kuna mtu ana7babisha vimludie mwenyewe 😢😢🙏🏼🙏🏼🙏🙏 Amina🙏
@saadahassan1437
@saadahassan1437 5 месяцев назад
Yarabi naomba niondolee mitihani kazini na unifanye nidumu kazini naomba unioe ridhki ya halal na yenye kheri naomba umpe pepo ya firdaus baba angu alotangulia mbele za khaki na umat MUHAMMAD s.w.s
@MayasaOmar
@MayasaOmar 5 месяцев назад
Ya allah nakuomba uniondoshe husda chuki fitna za waja unifungulie milango y riski unifungulie mlango wangu wa ndoa inshallaah uniondoshe maradhi mabaya ynayotawala mwili nnayoyajua n ni siyoo yajua inshallaah ni ww t tunaekuomba n kukutegemea n kuitaji msaada kwako allahumma amina
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 3 месяца назад
Aamina 😂
@FashionHekima-wq9fl
@FashionHekima-wq9fl 2 месяца назад
Nikihitajiduaa nakupataje shekhewangu
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 2 месяца назад
@@FashionHekima-wq9fl nipigie kwa 0652286323
@FaidhaNyahale
@FaidhaNyahale Месяц назад
Amina eeeh mwenyenz mungu ninaomba uniondolee haya matatizo niliyokua nayo kwenye familia yangu napitia mitahan mingi nashindwa niitatuaje mungu pekee unaweza kunisaidia
@AlphonceMichael-qy6jf
@AlphonceMichael-qy6jf Месяц назад
Amin
@manenosakulo7076
@manenosakulo7076 Год назад
We mwenyezi mungu niondolee matatizo,chuki, husda kazini kwangu nyumbani kwangu yarabi niongezee kipato Cha kheri na Halal niwe huru,kwenye biashara zangu nifanikiwe,unijalie mwisho mwema,nitafutie sehemu nzuri ya biashara,niachane nayo mambo yenye kukuuzi, Nina pikpik nauza bc niuze kwa faida na kazini kwangu niwe na Nuru, kauli na niwe na nyota kwa Kila ninachokifanya
@Lulu-wt9dd
@Lulu-wt9dd 3 месяца назад
Ya Allah naomba nitoe malaz niepushe na mabalaa ya kidunia nijaalie lizki nawombea wazazi wangu uwa jaalie her na lizki uwatoe malazi yalabi wajaalie watoto wangu tabia njema na wenye Imani amina 🤲🤲
@user-qc8pu2kz2l
@user-qc8pu2kz2l Год назад
😮eemungu wangu usie shindwa na jambo lolote naomba mungu wangu uniodoleshe maradhi katoka mwili wangu nipate mumeo mwenye hekima napia wape wazazi wangu mwisho mwema amin
@ChineduIdedia
@ChineduIdedia 4 месяца назад
Mimi nipo
@rehemamisele-jt1xj
@rehemamisele-jt1xj 9 месяцев назад
Ya Allah naomba uniepushe na kila lililo baya mjn uchw husd za watu mahsd ulinde familia yng uzd kutup uzma na pumz kila kukicha
@christinejohn7294
@christinejohn7294 4 месяца назад
Ya Allah nisamehe makosa yangu ninayoyajua na nisioyajua. Nifungue mimi na uzao wa tumbo langu. Kutokana na vifungo vyote vya hasad, vya majini, vya laana za ukoo na iwapo kuna sihri pia utufungue yarabbi
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 4 месяца назад
Aamina yaa rabbi
@tatusaidy9661
@tatusaidy9661 3 месяца назад
Ya ALLAH wewe ndie mtoaji wa yote basi nakuomba ya rabby niponye katika kila matatizo ninayo ya pitia nipe nuru ndan ya paji langu lauso naniokoe katika kila zito ninalo pitia mimi pamoja na familya yangu ya rabby😭😭
@fatumakyengya45
@fatumakyengya45 2 месяца назад
YA Allah Nijalie Yaliyo Mema Na Uniepushe Na Mitihan ,,,Unijalie Afya Njema Na Umri Mrefu ,,,Unijalie Watoto Walio Wema Na Uwajalie Wazazi Wangu Afya Njema ,,Aman Katika Nyoyo Zayo Amiiin
@user-kc9pg1sf5p
@user-kc9pg1sf5p 13 часов назад
Ya ALLAH nakuomba nakuomba mtoto wangu tumboni akae sawa asilale mlalo
@zainabuhassan6603
@zainabuhassan6603 4 месяца назад
Ameeeen. Eeeh M/Mungu niondolee matatizo kkt familia nijalie hekma ktk moyo wng uwalinde watoto dhid ya husda na maradhi. Unifanyie wepc ktk biashara yangu nipate rizk ya halali. Waajalie wazazi wng Afya njema.
@fadhirajuma1240
@fadhirajuma1240 Год назад
Eeeee Mwenyezi Mungu nifanyie wepesi niweze jifungua salama inshahalah🙏🙏
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 Год назад
🙏🏽
@ZainaMkamba
@ZainaMkamba Месяц назад
Allah kupitia Dua hii imponye mwanangu sielewi kinacho muuma Kila kitu nimepima ila hakuna ugonjwa ila tumbo linajaa na kutapika nakuharisha
@MariaGoreth-es9ii
@MariaGoreth-es9ii 2 месяца назад
Ee mungu nilinde uniepeshe Na maovu unikinge mm nagamilia yangu jutukinge na madui unipatie ridhiki Amin unitimizie ndot zang kupitia Dua hii Amin
@user-fd7wj6wd1f
@user-fd7wj6wd1f 5 месяцев назад
Yaa allaah nakuomba kupitia dua hii unisamehe dhambi zangu unifungulie milango ya rizki hakika wewe ndo muweza wa kila jambo allha mimi nikiumbe chako mnyonge kwako yaa allaah yaa allaah naomba msaada wako ee mwenyeezi mungu nisaidie
@ackimkawoza-tw1fq
@ackimkawoza-tw1fq Год назад
Yarab niondolee maradhi nilionayo ya Allah wewe ndio unaejua hitaji la moyo wangu ninakuomba mja wako nifanyie wepesi na uwape rehma wazazi wangu na tunaomba utupe mwisho mwema ya Karim amiiini
@saidatniyonkuru9910
@saidatniyonkuru9910 8 месяцев назад
😢
@saidatniyonkuru9910
@saidatniyonkuru9910 8 месяцев назад
Ameen 😢😢
@rehemasalim6923
@rehemasalim6923 3 месяца назад
Yaalah niwekee mama angu aje kuwaona watoto wngu inshallah 🙏🙏🙏ameen🤝
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 3 месяца назад
Aamin
@SaumuAli-pk8xp
@SaumuAli-pk8xp Месяц назад
Amiin
@aishaothman1235
@aishaothman1235 2 месяца назад
Ya allah nakuomba unisafisha niwe safi kwa kila mja niwe mwenyekupendwa n kila mtu nifungulie milango ya rizk niweze kuisaidia familia yangu naomba nipate na kazi ninayoiitaji Amin Inshaalah
@bintifikirini-wy3kc
@bintifikirini-wy3kc Год назад
Eeeh mola wangu naomba unifungulie mwangaza katika maisha yangu, uniepushe na kila shari lolote baya lisinifikie unifungulie kizazi changu, ee mola wangu naomba ulinde familia yangu popote pale uwaepushe na kila shari eeeh mola wangu, amiin ya rabby.
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 Год назад
Aamin
@mudybashiry1751
@mudybashiry1751 8 месяцев назад
Naomba riziki ya mali zangu familia yanu
@HappyHassan-z2k
@HappyHassan-z2k 29 дней назад
Nakuomba mungu unijalie mafanikiwo kwakila jambo mungu wangu
@alphoncymatara5108
@alphoncymatara5108 8 месяцев назад
Amiin Yarab al-amin nakuomba rehema zako na afya na kutimiza malengo yangu Yarab al-amin,hekima juu yako Allah pia nakuomba utulivu juu ya familia na Maisha yangu kwa ujumla.
@FatumaMwaliko
@FatumaMwaliko 2 месяца назад
Amina mungu anifanyie wepesi katika kazi zangu inshallah
@ambelekhan6548
@ambelekhan6548 5 месяцев назад
Ya ALLAH niongoze yaliyo mema 🤲Nipe mwisho mwema nope rizki🤲 ya halali nakuomba mola wangu pekeyangu siwezi 😭🤲 Nakuomba Mola wangu niongoze nipe rizki niondolee hofu niondolee maradhi mimi na watoto wangu Ya ALLAH ya ALLAH nakuomba🤲🤲
@user-zx4ze5yw8s
@user-zx4ze5yw8s 10 месяцев назад
Yarabi nijalie lakheri unijalie ndoa uniepushe nazinaa Amiina Amiina 🤲🤲
@rosewangui8316
@rosewangui8316 2 месяца назад
Ya Allah unayajua vyema matatizo yangu nikumbuke nibarike nisamehee dhambi zangu ....Muepushe mpenzi wangu Na adhabu kubwa ya kaburi🤲📿
@ommykiss97
@ommykiss97 4 месяца назад
Kuanzia leo kupitia dua hii ewe molla wangu naomba ikawe ndo mwisho wa mitihan yangu yoote yalabby nijaalie yote ya liomema na uniepushe na yote yaliomabaya kuanzia leo mpaka siku naingia kaburini iwe hivyo pia kwa wazazi wangu na mke wangu na wanangu mpe kivuli na pepo baba yangu hatibu ally msamehe makosa yake yallabby😢 nifungulie rizki na ziwe zenyekudumu Allahumma aamiin
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 4 месяца назад
😭😭😭 Allahu mma Aamin
@ummuasmahan5193
@ummuasmahan5193 3 месяца назад
Aamiin
@SaumuAli-pk8xp
@SaumuAli-pk8xp Месяц назад
Amiin
@ommykiss97
@ommykiss97 Месяц назад
@@mpondamedia2416 🙏🙏🙏
@ommykiss97
@ommykiss97 Месяц назад
@@ummuasmahan5193 🙏🙏
@user-qv4oz2sq4f
@user-qv4oz2sq4f 2 месяца назад
Yarabi naomba uniondoshee matatizo na huu wakat mgumu nnaopitia atakukataliwa na kukosakazi Amiin 🤲🙏
@MarlenRaimundo
@MarlenRaimundo 14 дней назад
Ya Allah ya Allah naomba unisamehe makosa yangu na unipe muongozo mzur katika Iman nikuabudu mola wangu niwe na mwisho mwema Allah Akbar 🙏😭😭
@nuruddin5074
@nuruddin5074 Год назад
NA UMSAMEHE MZAZI WANGU MAKOSA YAKE NA UMJAALIE KATIKA WAJA WA PEPON INSHALLAH NA MAMA YANGU UMJAALIE MWISHO MWEMA NA KIZAZI CHANGU KIWE NI CHENYE HOFU YA ALLAH NA FAMIRIAY YANGU NA UWASAMEHE MALEHEMU WOTE UWAJAALIE KATIKA WAJA WEMA UWAEPUSHE NA ADHABU YA MOTO NA ADHABU YA KABR
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 Год назад
Allahumma Aamin
@Coco-nu4of
@Coco-nu4of 5 месяцев назад
Amin yaa rabbi 😭😭😭😭👏
@habibaamiri9786
@habibaamiri9786 Год назад
Amiin yaarab ewe mola wangu nijaalie kila lenye kheri na Mimi niepushie kila lenye mitihani na Mimi nifungulie riziki zahalali kila kilicho fungwa kifungulie mollah wangu niondoshee kila penye ugumu kiwe kimefungwa namajini au wachawi Allah wewe ndio kinga yangu yaaraby takabar dua
@user-wo5nx9mq6b
@user-wo5nx9mq6b 8 месяцев назад
Emola wangu niondole mitihan yenye inanikabili pamoja na maradhi nilyo nayo wewe ndie tengemeo letu sinamwengine wa kumtengemea isipokua wewe Mola 🤲🤲
@zubedamohamedi753
@zubedamohamedi753 Год назад
Yaa Allah niondoshee mitihan, chuki, majini, husda na unipe mwisho mwema Yarabb. Unipe moyo wa uvumilivu na moyo ya kushukuru
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 Год назад
Allahumma Aamin
@simonkatunzi1776
@simonkatunzi1776 2 месяца назад
Ewe mwenyenzi mungu niondole dhiki na fungulie riziki Mimi na watoto zangu niondole maradhi magumu
@mahmoudhassanali6448
@mahmoudhassanali6448 Год назад
Rabana atena fidunya hassana wafil akherate hassana wakina adhabanar
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 Год назад
Allahumma Aamin
@MeddyKerenge
@MeddyKerenge 5 дней назад
Eeeh Mungu Naomba uniepushe na matatizo pamoja na maradhi kwangu na familia yangu Amin🤲🙏
@gracekalama6935
@gracekalama6935 Год назад
Amiin thumma Amiin yarabbi ninusuru na husda za waja nipe riziq za halal kila nifanyalo liwe la kheir🤲🤲
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 Год назад
Aamina yaa Allah
@shanymgunda7502
@shanymgunda7502 Год назад
Yarab naomba unisimamie katika kila kitu changu naomba unisimamie katika kazi zangu.naomba unilinde na maradhi mm pamoja na kizazi changu pamoja na ndugu zangu naomba unisimamie kizazi changu katika masoma na umuondolee maradhi yote alionayo yanayoonekana na yasiyoonekana na utulinde na mabaya ya dunia
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Год назад
Allahumma amiin
@habibaramadhani-xv2ed
@habibaramadhani-xv2ed 9 месяцев назад
Alhamndulillah ALHAMNDULILLAH Shukrani Kwa Duaa.
@MwajumaSalim-vj5os
@MwajumaSalim-vj5os 3 месяца назад
Mwenyezi mungu niondolee mitihani unifungulie rizk
@subiraasadi6536
@subiraasadi6536 4 месяца назад
Yaa Allah niondolee maradh ninayoyajua nanisiyoyajua wakinge wanangu na familiar yangu nakila mabalaa nahusda na Mambo yote mabaya
@aminachilindima-cr6fv
@aminachilindima-cr6fv Год назад
Yarabbi nakuomba nijarie upendo ndani ya familia yangu ,nijarie ridhiki na mjalie mwanangu apate ridhiki kwenye maangaiko yake wajalie mama na Baba yangu afya njema ,yarabbi ww ndo unajua mapito yangu amiin
@rukiamohammad9773
@rukiamohammad9773 3 месяца назад
Amiin thumma Amiin Yaarab tuondoshee matatizo utufanyie wepesi hapa duniani na kesho Akhera . Amiin
@HassanVicent
@HassanVicent Месяц назад
Aamii mwenyezi mungu naombasa unibaliki kupitia hii dua
@halimamuddy9607
@halimamuddy9607 Год назад
Amiini 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
@luuramadhan2771
@luuramadhan2771 17 дней назад
Ya Allah nisamehe makosa yangu na wazazi wangu utujaalie mwisho mwema nipe amani ya moyo niondoshe matatizo yote katika maisha yangu unijaalie upendo na huruma uniepushe na choyo
@shakirajuma-ro9fh
@shakirajuma-ro9fh Год назад
Yarabiy nakuomba unifanyie wepesi Kwa kila ninalo pitia yarabiy 🤲 nakuomba uwasamehe wazazi wangu zambi zao yarabiy 🤲 nakuomba unifanyie wepesi kwakila jambo 🙏 Amiin 🤲🙏
@suleimanmusa2343
@suleimanmusa2343 3 дня назад
Ya Allah naomba uniepushe ba husda hasad kijicho chuki za waja uniraisishie mambo yangu yote uniepushe visirani chuki hofu kwe myewe moyo wangu unifungulie mambo yawe ya heri inshaAllah ,uniepushe na fitina kazini ,chuki ,visirani bi idhin
@jasminmsafiri3053
@jasminmsafiri3053 Год назад
Amin yarab niondoshee maradh Katika mwili na niepushe husda za waja na unifungulie milango y liziki yarab
@user-ob2hk3jx7i
@user-ob2hk3jx7i 4 месяца назад
Ya Allah naomba shifaa.nagonjwa sana ya Rabbi🤲kishwa kinaniuma na ninasikia kizunguzungu Kila siku.nakuomba ya Rabiii🤲
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 3 месяца назад
Aamina yaa rabbi 😭😭
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 11 месяцев назад
❤❤❤❤❤Masha'Allah Alhamdulillah Rabbil aalamin allahumma amiin ya Rabbi amiin
@user-vj6ne9sk2j
@user-vj6ne9sk2j 10 месяцев назад
amina ewmola wang niondoshe namitihani yakiduniya na aherra uwape wanang ufaham mzur uwajalie wafaulu mitihan yao nasis wengne utupe ustahamilvu nawabaya wasituone utupe kz yarabb zenye her nass nautupe husni lhatima njema
@mwamvuaathumani4182
@mwamvuaathumani4182 Год назад
Ya Allah taqabari Duaa ya Rabi nipe subira Kwa kila jambo mola wangu nipe kizazi chema nifanye niwe mwenye kusimamisha swala mie na kizazi changu nipe Mme Bora na mwenye hofu juu yako ya Allah😢😢 niepushie maradhi husda na kila baya litakalo nijia ya ALLAH😢😢🤲
@solaboss1795
@solaboss1795 Год назад
Amiiin ya rabbal Allamiin Naomba kupitia Dua hii Allah Aniweke wepeesi kweny safari yangu Itimie kwa uwezo wake
@user-iq5dc3bj3w
@user-iq5dc3bj3w 4 месяца назад
Ya Allahi niondeshee mitihani na unipe Kila hitaji la moyo wangu, niondeshee maradhi na unipe furaha kwenye maisha yangu
@ruqayaissa990
@ruqayaissa990 3 месяца назад
Amiin amiin amiin 🙏 nakuomba unipe afya njema nitimize ndoto zangu niondolee na huzuni😥
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty Год назад
Mwenyezi MUNGU Naomba uniondoshee mauchawi majini walionitumia 😢
@nurulujuo
@nurulujuo 17 дней назад
Ya Allah nakuomba uniponye magonjwa yanayo nisumbua kwa mda mrefu miguu na mgongo pia unifungulie kila nitakapokua nimefungwa na utufungulie milango ya ridhiki mie na mme wamgu utuepushe na watu wabaya, wachawi na majini inshaallah
Далее
MAAJABU YA DUA KUBWA YA BISMI LLAHI / Imamu Mponda
15:52
DUA KUBWA YA KUANGAMIZA UADUI / Imamu Mponda
12:37
Просмотров 41 тыс.
HII NDIYO DUA YA KUONDOSHA MARADHI YOTE SUGU MWILINI
14:36