Watu tunamuomba Mungu sana,ila tunafeli kwa kukosa mambo mawili ktk nyoyo zetu: YAQQIINI NA TAWAKKULI. Mungu akitujaalia tukawa nayo mambo haya,hakika tutakuwa watu miongoni mwa watu. Tumuombe ALLAAH aturuzuku mambo hayo na ziada👏 Inshaa ALLAAH. Aamiin.
Mm nilifanya shekhe uliposema ktk Crip yako iliyopita wallahi vileulivyotoa matokeo yake basi yalinitokea nivile vile Allah akujaze majazo mema inshallah.
Subhanallah, Allah akujaalie wewe na familia yako furaha ,elimu na Fahamu na mwisho mwema. Sheikh naphtali kujua mambo ya kheri mengi kwa kuangalia mawaidha yako. Jazakallah
Alhamdhulillah sheikh, adhkar ii nmajarabu, nilikua cna cha kukila Ramadhan ii, lkn nikafanya adhkar ii ,bc katokea mtu ananambia nikule kwake Ramadhan yte , asante sheikh, nmepanda daraja la imanikwa hili
Mashaallah, tunafuatilia sana vipindi vyako, wewe ni zaidi ya mwalimu maana huachi kitu katika kuelekea kwa utaratibu ambao mwanafunzi anaelewa moja kwa moja na kukosa maswali. Jaazakallah
Ushauri wangu shekhe andaa kitabu cha dua adhkar utakuwa umesaidia wa kiislam Na bei yake iwe tsh. 20,000 utakuwa umefanya kwa ajili ya uma wa kiislam.
Ushasema kweli ,wengine kukukosoa wenziwao Na hawawafati kuwaelezea makosa Yao ,Bali wao nikusambaza Tu makosa Ooo Sheikh Fulani,Sasa mtu atajirekebisha vipi kama umeenza kumfedhehesha
Ma Sha Allah shekh Othman Allah akujaze Leo mpaka kesho kiayama tunafaidika wengine tuna mithihanii na atujui tutaitatua vip wallah jazzah Yako Iko kwa Allah🤲🤲🤲
Laila aila anta subhanaka huwa inanivusha kwenye uzazi fasta sana ndio uradi wangu nikienda kujifungua..Asante sana Sheikh kwa ukumbusho na msisitizo sitaiacha .
Aslm alkm ya-ustathi Allah akuzidishie umri mrefu wenye mafanikio ishaallah. Uzidi kutuelimisha na kutuongo njia iliyo nyoka. Mungu akuepushe na shari za Dunia ❤❤amin 🙏 😊 .
Mashallah Mashallah..Sheikh Othman Humkuti kubishana na Ma sheikh. Bali mpole mtaratibu kwenye Da3wah Zake, na Zaidi anamsifu Allah na Mtume Wake, kutubidiisha kufanya adhkar na kumswalia mtume.. na namna ya kuwa na maisha mazuri.. kuswali Usiku tahajjud. Mashallah.. nimeona maajabu makubwa kwa kumfwatilia.. naendelea kujifunza na kujikumbusha kwa kuskiliza mawaidha yake.
Shekh othmn mungu akuhifadhi pamojanasisi nataka nitumie hii adhkar inakitu kinanitatiza Sana nasinafuraha lkn mungu anijaalie nitumie hii adhkar naiman kitakaa swa