Тёмный

DUDU BAYA AMJIBU CHID BENZ: KANIKOSEA ADABU/ WASAFI WANANIBEBA?/ AKIENDELEA KABURI LINAMHUSU 

Dizzim Online
Подписаться 766 тыс.
Просмотров 383 тыс.
50% 1

Baada ya #Chidbenz kufunguka mengi kuhusu #Dudubaya Dizzimonline ambayo imeweka kambi Iringa kwenye #WasafiFestival imempata Dudu baya na amefunguka haya.
Shot and Edited by Akili Saleh
Story and Titled by Dan Paul

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 417   
@abbasmsisi1339
@abbasmsisi1339 5 лет назад
Wa Kwanza kuangalia hii interview naomba likes nyingi kutoka kwenu.
@kisye
@kisye 5 лет назад
mtangazaji anapepe ...
@latiphamalley3779
@latiphamalley3779 5 лет назад
good
@dakxirdakxir5897
@dakxirdakxir5897 5 лет назад
Huyu Dada mtangazaji kaonekana kabisa kakitamani kifua cha dudubay
@sillosanka8933
@sillosanka8933 5 лет назад
🤣🤣
@ebbyramadhani
@ebbyramadhani 5 лет назад
Nimeiona hiyo
@edgardavis9668
@edgardavis9668 5 лет назад
Hahahaha,,, nlidhan nmeona peke yng axee
@jamillahahmed169
@jamillahahmed169 5 лет назад
Hapo umenena bro
@ceomeja670
@ceomeja670 5 лет назад
Ridhiwan Mussa 🤣🤣🤣🤣🤣
@mariabahati1264
@mariabahati1264 5 лет назад
Dudu Baya ni mtu Muhimu kwenye hii Bongo flavored and the thing he doesnt like ni watu Ukimkosea adabu tu utakula mkongoto saana....I love him and he is a very fun man pia yataka mutuel ewe...he is very good parson.
@abdalahkimela4339
@abdalahkimela4339 5 лет назад
Konki Konki Konki master oil chafu ukiichafua itakuchafua big up dudu baya
@susanlazaro7492
@susanlazaro7492 5 лет назад
Kama unahisi kwenye kopo la Pepsi kuna Konyagi gonga like hapa 😂 😂 😂 😂
@TOLLBOSS
@TOLLBOSS 5 лет назад
Sauti yake kama ananyongwa
@InnohubGroup
@InnohubGroup 5 лет назад
Sauti iko konki kichizi
@TOLLBOSS
@TOLLBOSS 5 лет назад
@@InnohubGroup jamaa awe body guard sio muimbaji sauti hamna
@InnohubGroup
@InnohubGroup 5 лет назад
JAYSTAR VAZION Hivi mnaielewa maana ya konki? Neno linatokana na concentrated ufupi Inatamkwa conk.. Kwa kiswahili ni kukolea. Sauti ya mchizi iko konki...cjui mmenielewa? Na ili kurudisha concentration chini you have to dilute. Sasa ili awe anaimba vizuri, lazima dilute sauti
@TOLLBOSS
@TOLLBOSS 5 лет назад
@@InnohubGroup yani ku dilute anahitaji lita bilioni
@nancymrs359
@nancymrs359 5 лет назад
*Hatariiii*
@majaaliwasalum9462
@majaaliwasalum9462 5 лет назад
Nimependa hii dudu baya
@nuhumohamedi6112
@nuhumohamedi6112 5 лет назад
dudu baya nimekukubali wee mkali broo.
@hassanmakacha3942
@hassanmakacha3942 5 лет назад
Konk x3 master msameh chidbenz kwan kaingia kwenye ma dawa ya kule vya ni mtihan mkubwa we pjga kaz nakupenda sanA sema mtangazaj a nakupenda
@timothmkude3029
@timothmkude3029 5 лет назад
Nakupenda dudu baya
@shymedybrown1055
@shymedybrown1055 5 лет назад
Huyu dada anapenda sana kushika shika watu akiwahojiiii
@aishakichunachamjikasoro9411
@aishakichunachamjikasoro9411 5 лет назад
Dud baya mziki achanana nao ushakutupa mkono hata voice inakusuta waaachie wadogo zako wew bak n skendo zako
@hajiramadhan7006
@hajiramadhan7006 5 лет назад
konk unajielewa sana mzee baba hongera we waache wakalie majungu tu watatolewa marinda
@rutakihama7599
@rutakihama7599 5 лет назад
Safi sana konki konki konki master big up sana bro nakuelewa sana aaa
@wizzydegea4196
@wizzydegea4196 5 лет назад
Mzinguaji 2 uyo
@kelvinmhina1685
@kelvinmhina1685 5 лет назад
1. Huyu mtangazaji kashindwa kabisa kujizuia, ile ku-peti kifua cha mshkaji sijaelewa. 2. 'Interview' ilivyoanza tu nilijua swali la mapenzi litaibuka, na kweli likaibuka na likakamata mahojiano, asanteni sana 'ma-presenter' wetu wa Kibongo, hamjawahi kutuangusha ktk hilo kwa kweli!
@chikidahboy9969
@chikidahboy9969 5 лет назад
Mimi pia msani niko dubai na nili Acha madawa ya kulevya na na fanya mziki na pesa yangu wacha kusema mambo ya chidi benz mziki wa chidi ana ongeya busara kuliko wewe una rusha moto sasa angelia na mimi nita kurushia moto
@racheldauson9471
@racheldauson9471 5 лет назад
Rusha baba
@uwesusaid9764
@uwesusaid9764 5 лет назад
Dudu umeongea Vizur Sana
@abdulrahmanmussa4479
@abdulrahmanmussa4479 5 лет назад
Konki nondo imekubali safi sana
@sefagomez6883
@sefagomez6883 5 лет назад
Kwanza saut yenyewe ishakauka kabra yasho je ukiima utaimba nn kwenye shw kama unamkubal chid gonga like twenze2
@josephinemakungu8447
@josephinemakungu8447 5 лет назад
apo kweli lazima mtu ujitume kama wcb
@IshiKistaa
@IshiKistaa 5 лет назад
TEMBELEA UKURASA WETU KUFAHAMU NYOTA YAKO ru-vid.com/show-UCxBrgr6eSdKzbt1PUSZ9dWQvideos?view_as=subscriber
@hamzamoshi8275
@hamzamoshi8275 5 лет назад
Duu baya yuko vizuri sana kwenye kujibu maswali kweli ww mkongwe kwenye gemu big up bro mzee wa konk konk konk master
@msafirisalum8436
@msafirisalum8436 5 лет назад
Konki we noma mzee baba nakubali sana
@subirajohn728
@subirajohn728 5 лет назад
Konk konk konk master kubali sana
@bombom5596
@bombom5596 5 лет назад
dada hiko kifua kimekukosea nin jamani
@elmeleckmoshi4384
@elmeleckmoshi4384 5 лет назад
hahahahahahahahaha.......0:50, 1:38,3:19
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 лет назад
Hahaha!!!!
@plannazteknix
@plannazteknix 5 лет назад
Dada kapagawa nacho haachi kukishika shika🤣..malupulupu ya interview
@omaryabdillah8770
@omaryabdillah8770 5 лет назад
🔥🔥🔥
@msaniientertainment885
@msaniientertainment885 5 лет назад
Anazingua jmni
@BedroomTvKe
@BedroomTvKe 5 лет назад
sema dudu naona sauti imeharibika aisee
@rahimyusuph9568
@rahimyusuph9568 5 лет назад
Dudu baya uyo dada kakupenda sana maana sio kwakugusa six pati ivyo dah!.. We dada vunja ukimya Konk konk kong
@ceomeja670
@ceomeja670 5 лет назад
Like kubwa kwa Dudu baya please 👇
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 5 лет назад
DUDU BAYA KONK KONK KONK
@Mohaa4309
@Mohaa4309 5 лет назад
True
@firdausabdullah6315
@firdausabdullah6315 5 лет назад
Ma sha allah nilidhani atamtaja kimavi
@irenemumbiofficial2282
@irenemumbiofficial2282 5 лет назад
Tuna wafuata sisi na hatulipwi dudu baya chapeni kazi
@africanreal8782
@africanreal8782 5 лет назад
uyo dem anapenda kifua
@titusofficiall2926
@titusofficiall2926 5 лет назад
Good
@kabangaonline4523
@kabangaonline4523 5 лет назад
Mtangazaji huna stala na ingekua kamera haimuliki ungemvua ata shati oil chafu ili umshike vzr kifua,wanangu wote wenye six packs mikono 🙌🙌🙌🙌🙌 kama yote demu kaelewa
@tendatanzania9483
@tendatanzania9483 5 лет назад
Konki konki konki master
@selemanimkonga8150
@selemanimkonga8150 5 лет назад
😂 😂 😂 😂 point bro Chid benz hasaidiki anatafuta huruma tu
@youngkillermsodoki7664
@youngkillermsodoki7664 5 лет назад
*Dudu bayA hatari sanA Yuko vizuli*
@mohammadomaryshembilu797
@mohammadomaryshembilu797 5 лет назад
Young killer Msodoki 😂😂
@williamkivulenge3081
@williamkivulenge3081 5 лет назад
Konki konki konki master, respect sana
@willymtanzania6872
@willymtanzania6872 5 лет назад
nakuelew dudu
@sebastianmigodela3029
@sebastianmigodela3029 5 лет назад
Mseng2 uyoooo
@freedomwirelesssolutions1388
@freedomwirelesssolutions1388 5 лет назад
konki,konki,konki mastaa!
@hakeembandiahakeembandia1959
@hakeembandiahakeembandia1959 5 лет назад
Duduuuuuuu !
@BedroomTvKe
@BedroomTvKe 5 лет назад
Safi sana dudu baya
@lenjeevara3407
@lenjeevara3407 5 лет назад
Pwaaaaaaaaaaa
@ipyanahezron5697
@ipyanahezron5697 5 лет назад
Ana sauti ya kiinjilist
@athumanibethod3386
@athumanibethod3386 5 лет назад
yani mnaoshabikia makerere sio mashabiki mnashabikia kuponda ponda watu ameanza kuponda kitambo kila kiki inabuma kawaponda kina sister fei aijait kabahatisha konk imemtoa ila akipiga makerere take yote ata kwa pwent yakuongea amfikii chid Benz kimaarifa uwezo chid yuko juuuu
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 5 лет назад
Kazi imeanza sasa
@johngweba3621
@johngweba3621 5 лет назад
Safi
@agnesysamson8160
@agnesysamson8160 5 лет назад
Mbn unamshika kifua dada, umekipendaaaa
@constantinemanyanda6667
@constantinemanyanda6667 5 лет назад
Jamaa hua ana maneno konki
@rajabuhamisi6489
@rajabuhamisi6489 5 лет назад
kuwa na busara na maneno yako huwezi jua LA kesho.
@shadaphnalinga9991
@shadaphnalinga9991 5 лет назад
sawa tu chid kapagawa
@iddykambi4334
@iddykambi4334 5 лет назад
Rajabu Hamisi sasa madawa unamteteaje mtu acha aambiwe ukweli aridhi yetu kubwa tunachimba tunazika tuu
@wizzydegea4196
@wizzydegea4196 5 лет назад
Uyo dudu bay a anazingua tyu
@peterkitura5946
@peterkitura5946 5 лет назад
IPO siku mdada atakunya jinsi mnavyo tamka hilo jina
@silvanussteven813
@silvanussteven813 5 лет назад
Peter Richard hahahahahahaaaaaaa atafanyaje
@muyaf2051
@muyaf2051 5 лет назад
Peter Richard hahahahahaaahaa
@peterkitura5946
@peterkitura5946 5 лет назад
@@silvanussteven813 si akitamka konk jinsi anavyo jilazimisha one day mavi yatashuka
@silvanussteven813
@silvanussteven813 5 лет назад
Peter Richard hahahaaaa daaah hatareeee
@scolasticachapuga8745
@scolasticachapuga8745 5 лет назад
Peter kt umeona enh
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 лет назад
*Konk konk konk Master* Ushauri mzuri kwa *ChidBenz* umejibu kistaa, ila konk konk konk Master wewe mbaya sana 😂😂😂😂😂 nakukubali pamoja na ubabe wako.
@leoniabeda2711
@leoniabeda2711 5 лет назад
Kama umemuona huyu mtangazaji anavopakarika gonga like twende sawa😂😂
@thomasmwambe4372
@thomasmwambe4372 4 года назад
Konyagi oyee
@ashraphothman1227
@ashraphothman1227 5 лет назад
Amemsahau monalisa
@upendorobert7298
@upendorobert7298 5 лет назад
umenena konk konk konk. madawa hayajawahi kumuacha mtu salama
@justinpeter453
@justinpeter453 5 лет назад
Dada anasema konk konk konk
@buchumiefremu5830
@buchumiefremu5830 5 лет назад
Hi
@kagoggoalfred2730
@kagoggoalfred2730 5 лет назад
chidi needs to accept his weakness and work upon it.madawa ya kulevya no hatari kwa afya tumepoteza vipaji vingi sana inabidi chidi abadilike he still gat talent.
@jumambarale699
@jumambarale699 5 лет назад
The dudududdudududu
@johnmilan7108
@johnmilan7108 5 лет назад
We fala ,,humuwezi chid,, chid anajua kuchana
@michaelpaschal2145
@michaelpaschal2145 5 лет назад
kwel konki master
@yusuphkaoneka2706
@yusuphkaoneka2706 5 лет назад
Dudu baya we fara to
@kenzokimambi7922
@kenzokimambi7922 5 лет назад
ha ha ha ha na kweli chid n taira anaongea mno ana wivu wa kizaman anafosi vtu wcb walimchukua akakimbia,wenzake kupewa shavu roho inamuuma uo n ukosefu wa tunu ya taifa(marinda)fanya kazi chid cku izi ata sisi mashabiki tumebadrika pumbafu, konki konki konki masta
@gabrielngugi5129
@gabrielngugi5129 5 лет назад
Naomba huyu dada pia aje anifanyie interview
@ommyniza7744
@ommyniza7744 5 лет назад
Watanzania nkianza kupendana nyinyi kwa wenyewe mtasonga mbali sana hila kwa mambo kama haya ya kila siku bure mtaishia kusifu wengine
@nyotamy3678
@nyotamy3678 5 лет назад
Fact
@extramen5534
@extramen5534 5 лет назад
Ah sister wee
@kyambarungwe4453
@kyambarungwe4453 5 лет назад
konki konki master
@jamilahussein5918
@jamilahussein5918 5 лет назад
Kiki hizi zitatuua 1 💪
@racheldauson9471
@racheldauson9471 5 лет назад
Ila dudu handsome
@boyhendoo8325
@boyhendoo8325 5 лет назад
Hili jitu zima lakn halijitambui
@gitu4me
@gitu4me 5 лет назад
Hahaha konki konki konki Master
@makungwadominico3374
@makungwadominico3374 5 лет назад
et tahilaaaaa
@oumaishababy9576
@oumaishababy9576 5 лет назад
Sauti mbaya
@chanocame2979
@chanocame2979 5 лет назад
Napenda sana kicheko chako dudu kkkkkk
@yasirdahasra3186
@yasirdahasra3186 5 лет назад
poa ila umeniboa hapo pa Langa na ngwea sio vizur bhana eti wamekufa na madawa hata iwe kweli let's respect those who passed yet
@chingychingy2066
@chingychingy2066 5 лет назад
dudubaya unawapa sana promo pepsi
@belitadaudi9687
@belitadaudi9687 5 лет назад
Hahaha 🤣🤣🤣Konk Konk Konk master...I love you bro
@mussamsella8560
@mussamsella8560 5 лет назад
Unategemea kick halafu unajiita msanii mkubwa ...unachekesha!!! Hivi unadhani huyo anaekuchukua kwenye show leo nae angetegemea kick si angeshapotea !!??? Jitambue....jitume lkn sio kutegemea kick tena kick za kizembe hizo Konki imekurudisha kwenye game ...ukajaaliwa na tour kabisa means umeingiza hela na kizuri zaidi unaezunguka nae anamiliki media tunategemea utoe hit song nyingine kabla upepo haujapoa (hiyo supu ya utumbo Lazima uinywe ikiwa bado ya moto) sasa lala usingizi uone utakavoaachwa Huyo Dogo hafugi mbwa asiewinda ujue....sasa kesho akikupiga chini kwenye tour zake usianze kulialia
@tatuomar4164
@tatuomar4164 5 лет назад
hiyo sauti ya konki noma san
@abdulrahmanabubakar1631
@abdulrahmanabubakar1631 5 лет назад
Achana na benzino kabisa...mzee baba yeye na madawa yake..bado utasubr sana kwake....tuna enjoy sana tu tukisikiliza hard vocal za King Kong chuma...huna ngoma hata moja ya maana ambayo unaweza kuipiga pande za uswahilin watu tukachizika...zurura tu na wasaf upate pesa za kulewea..
@happyngayega4873
@happyngayega4873 5 лет назад
Chidi Benz akuongea mabaya juu yk .. Na kingine dudu. chid anajua mziki ×3 yk.
@godfreyathumani9912
@godfreyathumani9912 5 лет назад
Interview nzimaaa uyo Dada anacheza na kifua cha konk tu
@kassimhashi4092
@kassimhashi4092 5 лет назад
Mbebwa na watoto.
@magrethmanintveld2486
@magrethmanintveld2486 5 лет назад
Kifua kizuri konki mmh
@Alpha-Tv09
@Alpha-Tv09 5 лет назад
Aisee nimekaa na nakuwaza nimegundua kuwa.... Kwa hali ya maisha ya sasa, hakuna mtu anahitaji kusikiliza mziki wa "kikugu" ukizingatia maisha yenyewe ni magumu. Angalia hata wale wasani wanajiita "weusi" saivi wanaimba mziki soft na wanapeta. So, ugumu wa maisha unatosha, mziki waimbe tu mlaini ili kupotezea mawazo.
@mpendaedward9578
@mpendaedward9578 5 лет назад
huyu mtangazaji napenda aje kufanya interview na mimi maana anapenda kushika kifua sanaaaaaaaa au kamaindi kifua cha konk konk konk master
@harunimfaume6280
@harunimfaume6280 5 лет назад
yan kweli kabisa kuna baazi ya vitu hua watanzania baazi hatujitambui watu wanapotea na madawa utakuta mtu anatumiaaa
@tzmny4909
@tzmny4909 5 лет назад
ukimwangalia nakumsikiliza dudu baya unajua2nimshamba kwelkweli
@nzogelamussa1714
@nzogelamussa1714 5 лет назад
kweli kula bule rahaa shavu limekuja kuja
@athumanibethod3386
@athumanibethod3386 5 лет назад
msenge wwe umuwez chid atakuuwa kama unamkubar chid Benz gonga like APA
@upendorobert7298
@upendorobert7298 5 лет назад
Athumani Bethod mla madawa ya kulevya, huwa najeuri gani ww crezy. yyaweze kana ww ndo unamuuzia chid unaona biashara yako unaenda kuharibika, chidi kasha kwisha habari yake
@mudyjef2225
@mudyjef2225 5 лет назад
Yani kuna wetu wengine munapendaga kupinga kwaiyo kitu hata kama ni chakweli ebu Fanya mpango umtafute Chid alafu ndo uanze kumtukana konk Mimi ni shabiki mkubwa sanaa Wa Chid ila kwa ili Niko pamoja na bwana konk
@msumenojustine6767
@msumenojustine6767 5 лет назад
Huna akili wewe
@waishkassim6384
@waishkassim6384 5 лет назад
KONK KONK KONK MASTER
@yassserseleman1490
@yassserseleman1490 5 лет назад
Athumani Bethod dudu baya ungetaka kwenda na wakati ungejifufua mwenyewe ulipofia kimziki ila kwakua mondi ndio kakupa ulaji kwa sasa mwache chid akusimange maana yalishakufika mwisho
@hadijashabanhadijashaban6371
@hadijashabanhadijashaban6371 5 лет назад
Bila dudu baya instagram mbaya
@rajabubojoduuushdaa7321
@rajabubojoduuushdaa7321 5 лет назад
jamaa chiz huyoo
@amigotvog8583
@amigotvog8583 5 лет назад
Dufu baya akakae om kuimba hawez kiki tuu
@firdausabdullah6315
@firdausabdullah6315 5 лет назад
Konki konki konki master umekweli
@nalingacomedian3251
@nalingacomedian3251 5 лет назад
hakuna nyagi kweli kwenye hio kopo la Pepsi wadau 😯😯😯😯😯😯😯
@lyelamwandu8793
@lyelamwandu8793 5 лет назад
dudududu
@francismillinga4591
@francismillinga4591 5 лет назад
Busara F Kabisa huyu jamaa
Далее
CHID BENZ DUDUBAYA ALIKOJOLEA GARI LA FIESTA
14:55
Просмотров 230 тыс.
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
DUDU BAYA AMJIBU HARMORAPA/ UTANIONYESHA HUYO MWANAUME
4:16