Тёмный

Duh! Kweli wanyakyusa wanajaliana! Mbarikiwa kumpa pole Matha wakati ni juzi tu kilitifuka!!! 

Kikosi kazi cha injili🎖
Подписаться 84 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 127   
@jacksoncharles5411
@jacksoncharles5411 День назад
Hapa kuna mambo mawili tofauti.1.Imani ya Matha Mwaipaja kwamba,"lolote baya likikupata,nyamanza,mwachie Mungu na usilalamike kwa namna yoyote,acha Mungu akupiganie mwenyewe".2.Imani ya mch.Mbarikiwa Mwakipesile ni kwamba,"lolote baya likikupata,usikae kimya,lalamika tena hadharani(paza sauti),waambie wabaya mabaya yao,wazuri na mazuri yao, mwambie pia MUNGU ili aingilie kati juu taabu zako".NB:Nilicho kibaini kati ya watu wawili wa ni kwamba,Mch.Mbarikiwa Mwakipesile anaiishi imani yake(anaishi kulingana na NENO,but Matha Mwaipaja anachokiongea ni tofauti na anachokiishi,yaani anachokiongea ni tofauti na anachokiishi.Mungu wa mch.Mbarikiwa Mwakipesile si mungu wa baali,ni Mungu wa kweli, Ameen ❤❤❤❤❤
@wokovummilla5034
@wokovummilla5034 День назад
Naunga mkono ubarikiwe
@jacksoncharles5411
@jacksoncharles5411 10 часов назад
@@wokovummilla5034 Ameen ♥️♥️♥️♥️♥️
@pumarice2710
@pumarice2710 День назад
Barikiwa mtumish tuishi katika Sheria ya Mungu.
@isaacsanga9707
@isaacsanga9707 День назад
Ahsante pastor naamini mara hii wengi zaidi wamekuelewa sana kwa maana kuna watu huokolewa kwa upanga!! 🤣🤣🤣
@marcelinenakafu7039
@marcelinenakafu7039 День назад
nakuelewa mungu hakubariki. mtumishi
@caljersilverhabor464
@caljersilverhabor464 День назад
Hizi maelezo anayotoa Mbarikiwa ni rahisi sana kuelewa ila ni mtiani mgumu sana kwa walokole wa siku hizi kuelewa. Wataishia tu kutusi ila maelezo yenyewe ni waziwazi kabisa. Ndiyo mana mara ntyingi naskiliza tu na wala sisomi comments za watu huenda nikakutane na tusi ya kynichafua roho. Ubarrikiwe sana mchungaji
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 День назад
Sasa mbona huyu dada mwisho anasema yesu awabariki kwani anaebariki ni yesu au anaebariki ni mungu???
@caljersilverhabor464
@caljersilverhabor464 День назад
@@zaidiissa3714 Endelea kuuliza wengine utapata jibu pengine. Kwangu mimi niko kujifunza.
@Mamas-06k
@Mamas-06k День назад
Pastor mwakipesile angekuja mwalimu wangu wa darasani, ningeiyacha shule yaani na mapema tu, ata singe Toka na school bag,...ningetoka tu hivo kaa baenda msalani na ndio hivo, maana kumuelewa ngumu sana, ila yupo sahii,be blessed man of God of another chance
@lechoaidan8416
@lechoaidan8416 18 часов назад
Hata wewe unavita kali mbona kila siku unafuatilia ya wengine? Kuna wakati ulipitia vitabu alimbana msaada kwa watu watusaidie tujifunze kuwaombea wenzetu sio kuwaanika mtandaoni Amina
@HellenLemilya
@HellenLemilya День назад
Kama ninyi mtaenda mbinguni nyinyi waimbaji maarufu wa kike basi Mungu alitupa kuishi na kusubiri kwenda mbinguni hata kwa vyovyote atakavyo na sisi wengi tutakuwa hatujaelewa neno la Mungu vizuri,may be usinzi ,mauwaji ,wizi ,na mengine sio kosa ,wanawake maarufu hawaishi nafasi zao kwenye ndoa kama vitabu takatifu zinavyosema ,naunga mkono hoja wazo la Mbarikiwa ya kuwa wanawake wanalewa sanaaaa wakipata umaarufu ,kilevi kikubwa cha wanawake ni umaarufu Mungu saidia maana umaarufu tunataka kwa ajili ya utafutaji na sio kwa ajili ya uvunjivu wa ndoa
@AnaniaKyando
@AnaniaKyando День назад
Baba tusamehe bule tulikuhukumu na leo yameturudia sisi wenyewe
@Cosmassilwamba
@Cosmassilwamba День назад
Nikweli
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 День назад
😂😂😂MWE MBARIKIWA TUSAMEHE hatukukuelewa mwanzoni lakini leo UMEONGEA KWA UFAFANUZI ULIO WAZI KABISAAA.(Mbinguni ni kwenye akili/ufahamu wa juu saana wa kufikili na kuamuwa mambo asivyoweza kutazamia mtu
@VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH
Jamani asilalamike mwee anyamaze!! Na asipigane mwenyewe amwachie mungu ampiganie.
@Cosmassilwamba
@Cosmassilwamba День назад
😂😂😂
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 День назад
😂😂😂 la MBARIKIWA ametutowa tongotongo SAAANAAA tena kwenye meeengiii😂😂😂 VIVA MBARIKIWA
@espeditofataki4914
@espeditofataki4914 День назад
Kwa kweli hata sisi wengine kuna haja ya kupambana kupaza sauti kwa nguvu zote iwe ulieleweka au hukueleweka kikubwa ni kupaza Sauti tu.
@jacksoncharles5411
@jacksoncharles5411 9 часов назад
@@espeditofataki4914 Ameen ♥️♥️♥️♥️♥️
@foibennjeje7730
@foibennjeje7730 День назад
Asante kwa kutumia nafasi yako vizuri
@joshuangonya-jt5dj
@joshuangonya-jt5dj День назад
Aisee! Mzee una akili sana.
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 День назад
Harafu huyu dada hajielewi mwisho anasema yesu awabariki kwani anaebariki ni mungu au yesu???
@IsakaHosea-g9g
@IsakaHosea-g9g День назад
Ni Mungu tu nasi kwa ufaham wake.
@BenedictSanga-g4b
@BenedictSanga-g4b День назад
Pole matha mwaipaja mungu akupiganie hakika mungu hajawahi shindwa
@EmanuelOdhiambo-rr2yv
@EmanuelOdhiambo-rr2yv День назад
"RUDI KWA MUMEO NA UWACHE UDANGAJI.SIKUIZI MNAACHA WAUME ZENU MNAANZA KUJIFANYA MNAIMBA GOSPEL MUSIC.KAMA HUPIGANI MWENYEWE,MUOMBEANE MSAMAA NA MUMEO UWACHE UDANGAJI.MNAJIFUNIKA KWENYE NYIMBO ZA GOSPEL MKIFANYA UDANGAJI.ROSE MUHANDO,BAHATI BUKUKU, CHRISTIAN SHUSHO,NA WENGINE NATAKA MFAHAM KUWA HAMKUJIZAA WENYEWE,MLIZALIWA NA BABA NA MAMA.SIKUIZI ATA HIZO NYIMBO ZENU HATUNA HAJA NAZO KWASABABU NYIE SIO MFANO BORA KWA JAMII.JUZI MKE WA EPHRAIM BRIGHTON MWANSASU KAUWAWA NA MKEWE ILI ABAKI NA KANISA NA AFANYE UDANGAJI UNAONA....???...!!!!....TUMIA AKILI.WACHA KUTUPIGIA KELELE WEWE MARTHA,RUDI KWA MUMEO NDIO HESHIMA IFUATE.
@angeliquemwamini4791
@angeliquemwamini4791 День назад
Mm tu nashangaa nikiona walivyo anza na walivyo kwa Sasa aise naona shetani uwa anatutega pale tunapo fanyikiwa. Wakumbuke hawa waimbaji Mungu ili asijekuangamia!!!
@wokovummilla5034
@wokovummilla5034 День назад
Yaani baba umeongea kweli kwa unyenyekevu mkubwa sana, hasa huuuu ndio upendo wa kweli ambao Kristo alitaka tuoneane huruma na kupendana sisi kwa sisi, tukumkumbushane wajibu wetu tutende yaliyo wajibu wetu
@JaneChissawilo-dr7nn
@JaneChissawilo-dr7nn День назад
Ila ,.......we we kuna shida. Naomba umuache Martha kabisa mtumishi!
@molexevelist813
@molexevelist813 13 часов назад
Mmmh MUNGU yupi anaemtaja ,unapo mkimbilia MUNGU hakkisha upo ktk mstari wake mithali 7:2,jitu lina makucha mqrefu, kuvaa vimini,kuvaa suruali na urembo kama wakimataifa nabado aliacha ndoa unazan anaishije kma sio uzinzi tuu afu ukaisi umetoboa tulia yamuingie shetan anakutaka sasa vzr ukaunganenae 😢 💌👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋👋
@bitricepadros5787
@bitricepadros5787 22 часа назад
Mm wote wawili nmewaelewa Martha anajarbu kutujulsha kinachoendelea kwene kazi yake Baba mchungaji unatukumbusha....
@JeanBaraka-pu5xo
@JeanBaraka-pu5xo День назад
martha alishaka today kwamusingi mimi nyimbo zake mwanzoni alikuwa nabari sana ila hapa hanibari tena kabisa
@jukaelyelisha6311
@jukaelyelisha6311 День назад
Umh ila kiukweli wahubiri wa sasahivi kiukweli wameshidwa kuhubiri neno badala yake wamebaki kukosoa watu Martha ni mwanadam kama walivyo wanadam wengine kwahyo kuna mda anachoka kuvumilia ni lazima azungumze na hapa hajasema kwa ubaya wala hajalalamika ni amesema huyo anayefanya hivi aache maana pengine huenda anamhurumia akiomba MUNGU akampiga vibaya yule mtu tuache siasa Bwana watumishi wengi wamebaki kulalamikia watumishi wenzenu na pia ukitaka kumsaidia mtu usije mtandaoni huu sio upendo ni kumzalilisha mtumishi mwenzio Neno linasema mrudishane na kuonyana kwa upendo
@Yoram_Changala
@Yoram_Changala 14 часов назад
Vitu msivyo vijua ni bora muwe mnanyamaza tu, kwahiyo huko kuhubiri ni kutaja kuku.? Au kusema makosa ya watu.? Ezekieli_3:17-21
@jukaelyelisha6311
@jukaelyelisha6311 10 часов назад
@@Yoram_Changala sio vitu usivyojua ni kwamba uliwahi ona Yesu anasema mtu aliyekosea vitu vingine tuwe na sitaha
@Yoram_Changala
@Yoram_Changala 9 часов назад
@@jukaelyelisha6311 We kwako mtu ni yupi kwani mafarisayo hawakuwa watu.? Ambao Yesu aliwaita wana wa majoka Mathayo_23:33
@GODGIVENFOREVER
@GODGIVENFOREVER 23 часа назад
Kuomba na kumshukuru MUNGU eti kakusaidia kupata gari ambalo limetengenezwa na mchina / mtu yeyote ambaye huenda hamwabudu hata huyo MUNGU ni upumbavu sana,ni kumfanya mtengeneza gari ni mkuu kuliko MUNGU ,asante mchungaji Kwa kufunuliwa.
@HellenLemilya
@HellenLemilya День назад
Una Yesu kweli na hayo makucha?Nina wasiwasi hunishawishi na nafikiri hata wengi huwashawishi,na siku nimekuona unaimba singeli kwa kiboko ya wachawi nilipata wasiwas na nafikiri hata wengi walipata wasiwasi,na mm toka nisikieje kuwa umeachana na mume wako na ww ni muhubiri wa neno la Mungu niliacha na kukosa hamu ya kusikiliza nyimbo zako na hata wengi waliacha kusikiliza
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 День назад
Kwanza mwisho anasema yesu awabariki kwani anaebariki ni mungu? Au yesu???
@BeatriceSoka-c7c
@BeatriceSoka-c7c День назад
Kama huelewi wewe acha coz HUTAELEWA​@@zaidiissa3714
@SoosanOman
@SoosanOman День назад
Ww mbon umekazania sana Hilo neno ​@@zaidiissa3714
@leahnjinge7136
@leahnjinge7136 День назад
​@@zaidiissa3714wewe mwenyewe hata shule hujaenda,kuna tofaut kat ya Mungu na Mungu ,yesu na Yesu,Rudi shule ulikimbia umande
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 День назад
Aisee Yesu atusaidie
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 День назад
Mi sio fans wa Martha,Mungu ananiona Ht nybo zake nazifaham kwa kuzusikia zinapigwa kwenye basi, daladala, event Etc
@petromagobonza4025
@petromagobonza4025 День назад
True
@IsakaHosea-g9g
@IsakaHosea-g9g День назад
Ufaham kama huu hakika ni Mungu pekeee kuuweka kwa huyu pastor.
@HellenLemilya
@HellenLemilya День назад
Enewe pole kwa account ako iliohakiwa na Mungu akusaidie niliongea sio kwamba mm nipo sawa hapana,ila kipindi fulani ulikuwa ni wa kunitia moyo na kunishawishi na kutegemea mema na ukweli wa neno la Mungu kupitia kwako , mwishoni niliishia kusikia na kuona vituko kwako ,kwa nafasi ako nategemea kuongonzwa through God truth of his words
@IsakaHosea-g9g
@IsakaHosea-g9g День назад
Nilikuwa na mungu wawazungu ila kwa kupitia huyu mch nimekuja kuelewa kumbe Mungu ni wanamna hii.
@zawadimwaibako4065
@zawadimwaibako4065 День назад
MARTHA MWAIPAJA NYAMAZA USIPIGANE MWENYEWE, MWACHIE MUNGU APIGANE, KWA NINI UNALALAMIKA MITANDAONI KWA SISI WA MWILINI? WEWE NI WA ROHONI, PIGA VITA VYA ROHONI😅😂😅
@gloryunyamikumbi
@gloryunyamikumbi 13 часов назад
Mimi ni umbwa,na hawa ni watu wenye miluzi mingi inanichanganya, Mungu nisaidie hekima juu haya,
@ngwilaemmanuel
@ngwilaemmanuel 17 часов назад
Good my pastor😂
@alexmichael5850
@alexmichael5850 День назад
Mtumishi mwambie hizo kucha za nini nampenda sana sana ila mwambie kucha utoe hizo tafafhali.
@wokovummilla5034
@wokovummilla5034 День назад
Umelielewa fundisho? Amuambie nani nawe upo kwa kazi gani? Haya ndiyo tunayokatakiwa tupaze sauti tukiona kasolo mahali fulani kwakusudi la kujenga ufalme wa Mungu duniani
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 День назад
Mwili huu tulio pesa shida sana na mwonea huruma sana huyu dada
@code.africa
@code.africa День назад
Mwenye no ya Martha mwaipaja anisaidie please ili tuweze kumsaidia kutoa msaada. Tunapenda sana nyimbo zake!
@ZablonMalikaSaya
@ZablonMalikaSaya День назад
Tishio la huyu Martha Mwaipaja ni Mch Tochi ya Mlinzi, Tochi ya Mlinzi alipost video zake 3, Nondo za Hatari, Martha kashindwa kuhimili japo hazina matusi hata kidogo, Zote kaomba ziondolewe RU-vid😊
@ZablonMalikaSaya
@ZablonMalikaSaya День назад
Yule jamaa anabonda hawa wahuni vibaya sana. RU-vid wameziondoa Sababu zilikuwa za Uchiuchi
@Leoni-m3u
@Leoni-m3u День назад
Tochi ya Mlinzi Hoja zake huwezi kupangua, yule jamaa anajua bana! Alafu hana matusi Wala nn, ila Fasiri ya Neno limekaa pale
@Mery-f5p8c
@Mery-f5p8c День назад
Hutaona Martha Mwaipaja akipambana kushusha hii video. Ila kwa Tochi ya mlinzi alikuwa halali😂
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 День назад
Eeh mi Niko wapi mbona sielewi Nn kinaendelea,msaada?
@ZablonMalikaSaya
@ZablonMalikaSaya День назад
@@christinewomanoffaith5479 Mch wa Channel ya "Tochi ya Mlinzi" alishusha Nondo za Kufungua uchafu wa Martha Mwaipaja uvaaji wa Kimalaya anavyovaa Kwa kusingizia kwamba Yupo Gym. ila Tochi ya Mlinzi Kamulika kamuumbua kusudio lake Kwa namna ambayo hakutarajia. Sasa Martha kachukia kamshatki YuTube sababu anajua Wazungu ndio Mavazi Yao hayo Kwa hiyo wangemtetea tu. Kwahiyo YuTube wakaondoa hizo video.
@BeatriceSoka-c7c
@BeatriceSoka-c7c День назад
Dah Mungu tusàidie
@IsraelUrasa
@IsraelUrasa День назад
Hajitetei anaelimisha wanao familia uduma yeke mchungaji ndonimemwelewa hivyo sijui wengine
@VIJANANAMABINTITATIZONINIBERTH
Na kwenye crip hiyo anasema anaecheza na acount yake atapambana nae mpaka kushinda duu!! Kunyamaza na kumwachia Mungu apambane kumemshinda.
@Oissoemit-u7s
@Oissoemit-u7s День назад
Pole Sana Martha,usijali Mwachie Mungu tu atafanya.
@desirengenerwasobanuka9015
@desirengenerwasobanuka9015 День назад
Mwalimu fundisha hao watoto hawasikii. Mbona analalamika Sasa , Si anyamanze ?
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn День назад
Nyakati zote ni zakuwa vitani Tu.
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn День назад
Nyakati zote ni vitani tu, maana ibilisi hanaga mapumziko hata mara moja. Na wala hajawahi kwenda mapunziko hata siku moja. Maana yeye anakuacha kwa mda tu na tena anakurejea upya kwa njia tofauti na ya mwanzo au ileile au tofauti kwa Mazingira.
@lechoaidan8416
@lechoaidan8416 18 часов назад
Na wewe kuna nyimbo unatunga huwa hazina maana ukumbukage mwakipesile
@Ntemiupdates-h9b
@Ntemiupdates-h9b День назад
YAANI UNAWEZA KUFANYA KITU AU KUIMBA NYIMBO HATAHUFIKIRI HUKO MBELE ITAKUWAJE,WE UNACHOTAKA NI WAKUONE UMEIMBA KUMBE MBELE UMEJIJENGEA NGOME AU MTEGO UTAKAOKUNASA MWENYEWE, USIPOKUWA UPANDE WA HAKI JUWA UTAKUWA UPANDE WA KUPINGA MEMA YA MTU KWA KUJUWA AU KUTOKUJUWA, PIA UNAWEZA KUIFUNDISHA JAMII UPUMBAVU KABISA KWASABABU YA NYIMBO ZISIZOKUWA NA FUNDISHO LA KUTENDA VIZURI
@barakabusima
@barakabusima День назад
Unajuwa shida ni kwamba ninyi waimba kwaya wengi wenu mnaburudisha tuu watu unawezaje kuimba kama malaika halafu unakata kiuno kama shetani ...sasa hayo makucha ya nini
@angeliquemwamini4791
@angeliquemwamini4791 День назад
Hawa wanashezea pote pote na imekuwaje anjipigania????😂
@onlyyoujesus8232
@onlyyoujesus8232 День назад
Kunyamaza kimya wakati unateseka nao mtihani
@FredymaswiMwita-oj6gv
@FredymaswiMwita-oj6gv День назад
pole mdada
@mwasoprince3459
@mwasoprince3459 21 час назад
Nawewe mbarikiwa mbona ulimlilalamikia yule kijana
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile 21 час назад
Kwangu hiyo ni kawaida ila ninyi wa kiroho cha wazungu mnasema ni kupigana katika mwili
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 13 часов назад
😭😭😭😭 masikini kwann humwelewi Mungu na watu wake???!!!
@barakamwamtenga2448
@barakamwamtenga2448 День назад
Mchungaji nimependa sana hekima yako
@juliusmwanduka
@juliusmwanduka День назад
Martha hajasema atapigana tafadhali, amesema aombewe so Bado amesimamamia nyimbo zake, kunyamaza inamaanisha hata ukihisi kiu husiombe maji? inamaanisha ukipigwa husilie?she is right, MUNGU utumia watu.
@wokovummilla5034
@wokovummilla5034 День назад
Kwanini asinyamaze kimya, asuburi roho ampiganie? Maana ameisha vunja miiko yake kawaambia wanadamu shida yake, #nifundishe #kunyamaza #nisije #nikakukosea Mungu, maana yake jambo lolote baya litakalofanywa na mtu au akafanyiwa yeye ametufundisha tuzibe kinywa Mungu ndiye atatupigania, kiumbe anayeitwa mwanadamu ni hatari sana kinyonga akasome
@PeterMahona-zd3oz
@PeterMahona-zd3oz 13 часов назад
When you have problem you should keep your mouth without telling anyperson mmh you can die with stress
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 День назад
Sasa nynyi wakristo mnasema yesu awabariki kwani anaebariki mungu au yesu???kwani nyinyi mamuomba au kumuabudu mungu au mnamuabudu yesu???
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile День назад
Wewe nawe kenge tu na hiki kikoment chako ambacho umekirudiarudia kila mahali. Yaani hata hujui Yesu ndiye Mungu mwenyewe? Yohana 1:1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
@Ntemiupdates-h9b
@Ntemiupdates-h9b День назад
@zaidiissa nenda uwanja wa matahira wenzio tiktok wanaojifunza kutumia mtandao, usiingilie kitu ambacho huna uelewa nacho
@deomark4967
@deomark4967 День назад
Kwa nilivo elewa matha anajaribu kuwa juzi wale wanao fatilia huduma yake wasishangae kuona yupo kmyaa hii nikwasababu account yake imepata SHIDA kwo wavumilie mda si mrefu mambo yatakuwa sawa
@Mery-f5p8c
@Mery-f5p8c День назад
Kwako hatafuta hizi video, japo anayo Copyright. Tochi ya Mlinzi ndo havumiliki 😂
@Mapitoyazamani-y7n
@Mapitoyazamani-y7n День назад
Ama kweli mbio za sakafuni huishia ukingoni.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 День назад
😂
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw День назад
Mijambazi ipo kibao wanadukua views ili waibe lazima uende police kutoa taarifa watashikwa tu
@deborahkihangaofficial1135
@deborahkihangaofficial1135 День назад
ANAVUNA ANACHO PANDA
@BarakaPeter-r4x
@BarakaPeter-r4x День назад
Apandacho mtu ndicho hataka hovuna matha huyo ni kahaba pia ni mwimba taarabu sio gospel sshv alikuwa na kiburi mwenyez mungu amekishusha tena ashindwe na alegee huyo masonic member
@DeodatusPhabian
@DeodatusPhabian День назад
Tunapofanya maombi Kwa mudomo, yanaenda kufanya kazi ktk ulimwengu wa roho usio onekana, unaposema tunajipigania tusingekua na sababu ya kuomba. Ukweli unabaki palepale Yesu anatupigania.
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile День назад
Tunafanya maombi ili tupate nguvu na akili za kufanya. Asilimia 99.99999 ya mambo hutegemea wanadamu tufanye wenyewe au tuulize kwa mwanadamu aliyeweza SIO TUMUOMBE MUNGU AFANYE KATIKA UTAHIRA AMBAO WAZUNGU WALIKUAMBIA KUWA NDIO ULIMWENGU WA ROHO. Ayubu 8:8-9 8 Basi, uwaulize, tafadhali, vizazi vya zamani, Ujitie kuyaangalia yale baba zao waliyoyatafuta; 9 (Kwani sisi tu wa jana tu, wala hatujui neno, Kwa kuwa siku zetu duniani ni kivuli tu;)
@geraldleger5793
@geraldleger5793 День назад
Hiyo mwizi akikipora pesa unatakiwa kuomba Mungu co ?
@jacksoncharles5411
@jacksoncharles5411 9 часов назад
@@geraldleger5793 kwa mujibu wa imani ya Martha Mwaipaja,ukiibiwa au ukikabiliwa na baya lolote,wewe nyamanza,usilalamike,mwachie Mungu akupiganie mwenyewe.Je,wewe unasemaje juu ya hilo?
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 День назад
Usihofu Dada huyo mwenye anafwatiliya RU-vid yako .anajiona Mjaja alakini ipo siku yake ataibuka mbele ya Dunia Nzima
@desirengenerwasobanuka9015
@desirengenerwasobanuka9015 День назад
Alikuwa hajakutwa na kubwa
@kamikazineema1957
@kamikazineema1957 День назад
Atoe tarifa Kwa you to be watamsaidia
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 День назад
Martha Mwaipaja alitaka kuifunga account ya Kikosi kazi cha injili na sasa analalamika baada ya kuona na yeye anakabiliwa KUMBE UKITENDA MEMA NI KWAAJILI YAKO MWENYEWE NA UKITENDA MABAYA NI KWAAJILI YAKO MWENYEWE!!!!
@rabiamenshoo1988
@rabiamenshoo1988 День назад
Martha hana uwezo wa kufunga account ya mtu yeyote labda yake mwenyewe.Acha kupotosha pengine una/mna bifu naye
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 День назад
@@rabiamenshoo1988 Kama hana uwezo huo mbona analalamika kuwa wanamfanyia hivyo hivyo kwenye account yake?
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 День назад
Harafu huyu dada hajielewi mwisho anasema yesu awabariki kwani anaebariki ni yesu au mungu??
@MankaTansaniya
@MankaTansaniya День назад
​@@zaidiissa3714Kwani vipi? mbona umekazania sana..yeye ndio anajua anabariki au habariki
@Ntemiupdates-h9b
@Ntemiupdates-h9b День назад
@@rabiamenshoo1988 huelewi hata unadandia kwa juu ungeuliza ujuwe alitaka kuifunga kupitia njia gani au kwa nani,ACHA AKINYWEE
@AbduSumwa
@AbduSumwa День назад
Acha ujinga wewe, huyo anaomba maombi, ila we unataka views. Mpotoshaji mkubwa wewe, etyii unajiita mchungaji. We ni mchungaji wa mshahara.
@elrachum3866
@elrachum3866 День назад
NI WAZI WAIMBAJI WANAIMBAJI WANAIMBA NA KTOA NYIMBO SIkwaaajili Kristo Bali ni KWAAJILI ya UMAARUFU WAO WENYEWE.. Ukitafuta Yesu atukuzwe wewe VIEWERS wa nini? …
@RehemaMtono
@RehemaMtono День назад
Namtaka yule martha wa mwanzoni sio huyu wasasa tochi ya mlinzi umwemwambie afute video zako kwann wewe dada umepotea kabisaa sijui nani amekudanganya sikuhizi unaweka mikucha na kuvaa vimini MUNGU ndo kakwambia uwe hivyo? Wewe dada haaa
@wanejohnmsukwa6590
@wanejohnmsukwa6590 День назад
Kwa anadiko hili Muhubiri 3:7,wote mpo sahihi.Mbarikiwa upo sahaihi na Matha yupo sahihi Kwasababu kila jambo na wakati wake kunawakati wa kunyamaza na wakati wa kuongea Muhubiri 3:7 Wakati wa kurarua, na wakati wa kushona; Wakati wa kunyamaza, na wakati wa kunena; .Hivyo hapo ni kufundishana tu kwa upendo na hekima yote.Niwazi wakati wako wa kuongea Matha alikuwa anapita kwenye wakati wa kunyamaza.Na sasa Matha ameshapita wakati wa kunyamaza ameingia wakati wa kuongea anaongea. sasa.Na hii yote ni kwa sababu tunatofautiana viwanago vya imani na mapito.Hivyo muache tu Matha azungumze sasa ni wakati wake umemfikia.
@Mbarikiwa_Mwakipesile
@Mbarikiwa_Mwakipesile День назад
Utafika sana wakati wa kulia, kunena na kulalamika hata kwa ninyi ambao mko katika wakati mdhanio ni wa kunyamaza. Ndipo utakuja kujua ni kwa nini haukulia pamoja na waliolia.
@sifawayesu7079
@sifawayesu7079 День назад
Kwa hiyo upi wakati wa kuongea na upi wakati wa kunyamaza??? Na wewe una uhakika kama kweli wakati wako wa kukomenti umefika? Au ulitakiwa usubilie wakati huo ufike?
@ugalidona-cs2yn
@ugalidona-cs2yn День назад
Ndugu yako akilia na kulalamika. LIA NAE NA LALAMIKA NAE, PAMOJA.
@jacksoncharles5411
@jacksoncharles5411 День назад
Mungu wa Mch.Mbarikiwa Mwakipesile,ndiye MUNGU wa kweli(muumba mbingu, nchi na vyote vilivyo na visivyo hai),jina lake lihimidiwe Ameen❤❤❤❤❤
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 День назад
​@@Mbarikiwa_Mwakipesileharafu huyu dada hajielewi mwisho anasema yesu awabariki kwani anaebariki ni mungu au yesu?????????!!!
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we День назад
Hapa kakosea wap
@Ntemiupdates-h9b
@Ntemiupdates-h9b День назад
sikiliza klipu yote, uje ukoment
@MaikoRashku
@MaikoRashku День назад
Wewe ni mjinga, mwakipesile acha ujinga
Далее
진 (Jin) 'I'll Be There' Official MV
03:15
Просмотров 8 млн
На самом деле, все не просто 😂
00:45
VITUKO VYA KWENYE DALADALA (EP1)
11:33
Просмотров 185 тыс.
SHEIKH KISHKI AVURUGWA NA MASHARIF FEKI
29:55
Просмотров 12 тыс.
진 (Jin) 'I'll Be There' Official MV
03:15
Просмотров 8 млн