DW Kiswahili Habari za Ulimwengu| Oktoba 18, 2024 | Mchana | Swahili Habari leo | Ripoti na Uchambuzi | Taarifa ya Habari | Matangazo ya DW. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari
Jeshi la Israel kwa Sasa msihangaike na IRAN Wala Taifa lolote. Muendelee kuwapiga GAZA na LEBANON. hao wengine Ni wababaishaji tu lengo mushindwe vita. Hao waache mtadili nao ikimalizika GAZA na LEBANON.
Mbona taarifa za upande mmoja tuu za izrael kuhusu netanyau anasemaje kuhusu kichapo nyumbani kwake amekufa au japokuwa amtangazi, mnawaogopa hao mashoga mtafungiwa nini
Netanyahu yupo salama salmini na tuliripoti kuhusu shambulizi la Hezbollah dhidi ya nyumba yake na pia alijitokeza na kusema wakala wa Iran (Hezbollah) alitaka kumuu na kuahidi kulipiza kisasi. Hatutangazi habari za upande mmoja kamwe.