Nawashukuru Ndugu zangu kwa upendo mnao nionyesha nashukuru kwa support yenu kuja kwa wingi kusuport kazi yangu in 2 days 20k views sio mchezo kwa msanii mdogo kama mimi nawashukuru sana na nipo kwa ajaili yenu tuzidi kusonga mbele pamoja🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Kaka nyimbo yako inahimiza sana huwa naisikiliza kila asubuhi,sikujua ina video.Naamini naweza na Mungu yupo nina sababu ya kuishi.Good art from Kenya 🎆🎆🎆🎆🎆🎆
Walai this guy will go far akipata support poa kama ile ya susu akapewa na Joho,ingekua uyu mwamba sai tungemskia mbali sana kwanza apate collabo mbili pale WCB alafu apush mziki vizuri walai tuko na bonge la star apa
Brother you are one of the biggest artist mwenye nakuota kila wakati Mungu akulinde brother na ongeza bidii kwa hichi unacho kiamini inshallah kesho tutakuwa wote kule majuu🎶🎤🔥🇰🇪❤️🙏
My brother do say wewe ni masnii mdg You're a superstar 📌Am your fun since you became a celebrity 🔥🔥🔥I am datota all the way from Kenya 🇰🇪I a prove it on behalf of Kenyan's 💯💯💯
I told you and still will my bloody it's actually the time where the entire world gonna bow down and recognize this unique talent and vocal......⭐⭐⭐⭐🎯 It's a green light signal my G......Afu nini wambie yajayo yanafurahisha 💯💯💯
The art and expression in this video is on another level..the piece is so motivating. May God grant all of us peace of mind while we are in different seasons of life.