Тёмный
No video :(

Rapcha ft Vanillah - 40 Missed Calls (Official Music Video) 

Rapcha
Подписаться 199 тыс.
Просмотров 777 тыс.
50% 1

STREAM/DOWNLOAD TTTV2: linktr.ee/rapcha
LYRICS
Someone is playing with me
kuna mtu ananichezea
Someone is playing with me
Nashuka kiuchumi ndoa yangu inachafuka
Kuna mchezo unaendelea they are playing with me
Muda mchache kwenye ndoa maumivu yamenizidia
Huu ni mwezi wa tano unaingia
Nkitazama muda ni Saa sita usiku,
baada ya kumtafuta sana
huyu mwenzangu ndo nyumbani anaingia
Niambie umetoka wapi Salma
Hii kesi isidingo si tumetoka kuisolve jana
Isingefika 40 missed calls ka ulikua kwa mama
Nakuambiaga huniheshimu Salma unanidharau sana
story zako mjini naambiwa
Hamna kitu kinaniuma kama habari kwamba mi namegewa
Unanipandisha hasira
navokuambia ukweli afu unanijibu kwa kufoka
kama unaonewa Hebu Leta simu yako, fungua!!!
Salma usinipandishie, icho kiburi chako ntakupasua
Naichukua nianze kuipekua akaja kuikwapua
Akili ikaflip, gun nkanyanyua
Salma Kanijia juu, Nimechoka maisha ya kubaniwa
Bora tu tuachane umezidi kunitishia
Story za malaya wako nikikuambia unajifanya mkali
Kama we kidume fyatua..
Gun shots!!
[Chorus: Vanilla]
Nilikupenda mpaka kufuru
nikawa nawaza jidhuru
ukiwa mbali
Tena nikakupa uhuru
na ukashindwa shukuru
ikawa ndo dosari
Ukaenda ku date na wale
Mi wakuwa nasota we ule
Na mie kukuacha siwezi
Ni bora dunia tuiache aah
[Verse 2: Rapcha]
Fahamu zinarudi akili imeduaa
Salma anateseka chini baada ya risasi nne kumvaa
Hofu kubwa inaniingia nikiangalia
Damu yake inavyonililia chini inatapakaa
Ndo Idea ya kukamatwa ikanijia
Nikajua haitopita muda mapolisi watanitimbia
Ila nguvu zote zishaniishia
Nikiumia kuona safari yetu ya mapenzi ilipokwamia
Dhambi inaanza kunitafuna
Natamani nirudishe muda nyuma niongee na Salma
Najiona mnafki kwa kumwaga damu
kwa makosa ambayo moyoni najua kuwa na mimi nafanya
Itanitesa maisha yangu yote hii memory
Ego zetu zimefanya tumeharibu destiny
Vita na Insecurities hakukuwa na honesty
Na loyalty marafiki wakatunyima privacy
litimie agano
Nahisi Mungu ametuchagua mi na wewe tuwe mfano
Salma, hukustahili hii adhabu ninakiri
Naomba kabla haujafika mbali nisubiri
Gun shot!!
[Vanilla]
Roho yangu inauma
Kosa lako kuzichezea hisia zangu Inamaana hukuona
Nilivyopambana kuziheshimu hisia zako? Aaah
[Chorus]
Nilikupenda mpaka kufuru
nikawa nawaza jidhuru
ukiwa mbali
Tena nikakupa uhuru
na ukashindwa shukuru
ikawa ndo dosari
Ukaenda ku date na wale
Mi wakuwa nasota we ule
Na mie kukuacha siwezi
Ni bora dunia tuiache aah
Audio produced by: / papa_tz
Mixing and Mastering by: / yogobeats
Join Our Family:
/ rapcha_tz
/ rapcha_tz
/ rapcha_tz
#rapcha #vanillah #40missedcalls

Опубликовано:

 

21 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2,5 тыс.   
@user-cj5lo6pw2r
@user-cj5lo6pw2r 8 месяцев назад
Kuna mda nshawahi kusema kwamba rapcha ni kijana ambaye hatumii nguvu nyingi kwenye kazi lakini akifanya anafanya kweli📌📌❤️Kama unaniunga mkono please twende pamoja
@farajaishebabi8089
@farajaishebabi8089 8 месяцев назад
Naunga mikono sio mikono mmoja..Rapcha ni fire
@goodluckmolleltennis5980
@goodluckmolleltennis5980 8 месяцев назад
Ni rapcha kaka not lapcha..and your right, anajua sana
@jonster7973
@jonster7973 8 месяцев назад
Lapcha😂😂
@saidmadimba6098
@saidmadimba6098 8 месяцев назад
Is true
@DanielChaula
@DanielChaula 8 месяцев назад
King 👑👑👑👑👑 rapcha 😅😅🎉🎉❤❤❤
@hellensizya7706
@hellensizya7706 8 месяцев назад
Wanawake tunazidi midomo sana, mwanaume unaona umemchoka bora uondoke , mwanaume kaumbwa kumiliki lazima ukiwa nae ujimilikishe shuka chini jinyenyekeze onyesha una adabu mbona maisha yataenda vizur, tujifunze kuheshim wanaume zetu maana tumeumbwa tutawaliwe sio tujitawale iko iyo maandiko yanasema.. sad ending though too bada jmn tusifikie uku. Rapcha Master j zaylisaa big up🙏
@vinchystyles1675
@vinchystyles1675 8 месяцев назад
Real talk!
@claudebitangalo4459
@claudebitangalo4459 8 месяцев назад
Thanks mamy, nyumba nyingi Zina vujika kwa hilo, yes Kuna wengine wavulana Wana kuwa too much, but mkee ana takiwa kutizama njisi yaku endelesha Familia
@bandolatztrump2470
@bandolatztrump2470 7 месяцев назад
Ahsante
@JohFabbo-wo6iv
@JohFabbo-wo6iv 13 дней назад
kabisa ccta love you coz unajielewa sure
@mashairiyamachinga2379
@mashairiyamachinga2379 8 месяцев назад
Hii ni historia ya Saidi .... kule Mwanza kama unakubaliana na mimi gonga like
@aggreysallah6905
@aggreysallah6905 8 месяцев назад
"Najiona mnafki Kwa kumwaga Damu Kwa makosa ambayo moyoni najua na Mimi nafanya" 😢 ..... Hongera sna #Rapcha nyimbo nzuri sanaa
@saxprince10
@saxprince10 8 месяцев назад
TRUE STORY in MWANZA axeeeeee!!!!! Unajuaa kutupa Storey ❤
@josephatjordan2150
@josephatjordan2150 8 месяцев назад
Once again...!!I ll never force my children to follow the same artist I like.The will have the total freedom to choose between following RAPCHA or leaving in my house..PURE TALENT EVER SEEN
@africanmuzik4587
@africanmuzik4587 8 месяцев назад
😂😂
@marafikistation
@marafikistation 8 месяцев назад
VANILLA AMELIPWA NGAPI JAMANI SIO KWA KOLASI KALI HIIIIII🔥🔥🔥🔥
@Rukwembe7712
@Rukwembe7712 5 месяцев назад
Nitahakikisha 40 missed calls inafikisha views milion
@norbertdamas9638
@norbertdamas9638 8 месяцев назад
Mater J's Acting is going to cost peoples' jobs🔥
@lvanyDaniel_pw7kk
@lvanyDaniel_pw7kk 8 месяцев назад
Ambao tume rudia zaidi ya mala 3 huu wimbo naomba tujuane....🙏
@agustangweta5908
@agustangweta5908 8 месяцев назад
😂
@dynachriss5126
@dynachriss5126 5 месяцев назад
Hii song story inafanania na lile tukio la maharusi mwanza mume alomuua mkewe kwa risasi na yeye akaenda kujipiga risasi ziwani📌
@255Digitalizeit
@255Digitalizeit 8 месяцев назад
Video imefufua wimbo masterjay Ametendea haki uhusika majonzi yanarudi juu ya tukio la mwanza haya hebu namimi nipeni like sijui hata zinakazi gani ila LIKES TU
@Ellyne001
@Ellyne001 8 месяцев назад
😂😂😂 ila likee
@c.e.omasasi5131
@c.e.omasasi5131 8 месяцев назад
Hii story kama.yule tajiri wa mwanza aliye Muua mkewe akaenda ziwa Victoria rockbizmack kisha na yeye akajifyatua ebhana mumetisha aise
@EdisonCavanny
@EdisonCavanny 8 месяцев назад
Kwani nikichelewa ndo sipati like kabisa😂😂
@MWALIMU21
@MWALIMU21 8 месяцев назад
Sema ukiachana na miatari. Embu mchek masta j alivovaa uhusika. Oya wee masta igweeee🔥🔥🔥
@ChamaziMusic
@ChamaziMusic 8 месяцев назад
hii imafanan na ile stori ya mwanza . fulle respect from Chamazi,Dar es salaam🇹🇿🇹🇿🇹🇿🎉🎉
@silaayo7153
@silaayo7153 8 месяцев назад
Kweli
@abdulshaq-qx8wz
@abdulshaq-qx8wz 8 месяцев назад
ndio
@petrolambe
@petrolambe 8 месяцев назад
Master J kumbe ni mtu loyal tu
@mrwhite24lyrics32
@mrwhite24lyrics32 8 месяцев назад
isipo ingia top five ya trending siingii RU-vid mwaka huu mpaka uishe
@amanrashid7061
@amanrashid7061 8 месяцев назад
Jaman wanawake ambao mpo kwenye ndoa na pia katika mahusiano ya kimapenz ya kawaida kama unajua upo na kijana au mwanaume ambaye unamwona yup seriously na wewe na anakupenda sana kupita kiasi jitahid usichezee hisia zake kama ukiona humpendi bora umwambie mapema kuliko kuendelea kumfanyia vituko maana watu hao Huwa na hasira sana wanapochezewa hisia zao 😢😢😢
@salomejames9639
@salomejames9639 7 месяцев назад
Tunaoangalia Mara kwa Mara ihi video gonga likes hapa❤❤
@oscartwinzi2705
@oscartwinzi2705 8 месяцев назад
Naomba like ZA vannila kutoka king's music aap
@foodmark482
@foodmark482 8 месяцев назад
Kisa cha said wa Mwanza hichi
@user-lz7xm8mc6w
@user-lz7xm8mc6w 8 месяцев назад
Vanillah umeua mzee colas Kali san
@JosephDeoo-by7pe
@JosephDeoo-by7pe 8 месяцев назад
SIO KAWAIDA YANGU KUKOMENT KWENYE RU-vid LAKIN NAOMBA NISEME KUNA NYAZIFA ZA SANAA WAMEPEWA WATU AMBAOO HAWANA UTASHI. MASTER J NA MAJANI NYIE NI ZAID YA BARAZA LA SANAA. RESPECT LEGEND🎉
@Ellyne001
@Ellyne001 8 месяцев назад
Uwakikaa kiogozii
@user-vu2bl9su5f
@user-vu2bl9su5f 8 месяцев назад
kam mnakumbuka jisa kilichotokea mwanza cha mchimba madin na mkewe basi master kapita mulemule
@user-yp6fw5vy7z
@user-yp6fw5vy7z 8 месяцев назад
Basi bana nimekaa mahali karibu na barabaran nachek hii video 😅😅nimefika kwenye hicho kipande master j anataka kujilipua then kuna scania ikapita hapa barabarani tairi ikapasuka nimeshtuka kinoma 😅😅😅true story mazee 😅😅😅😅😅
@scorasticaclement6308
@scorasticaclement6308 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@kalziidazamba2862
@kalziidazamba2862 7 месяцев назад
Ngoma hii inaendana na kile kisa ambacho kilitokea kule mwanza 2022👍👍👍
@hair_by_dayanna
@hair_by_dayanna 8 месяцев назад
Hv master j ashajigundua ana kipaj cha kuigiza au bado
@simonjuma2912
@simonjuma2912 8 месяцев назад
Hii ngoma acha tuipe mauwa yake ........walio angalia zaid ya mara mbili kwa ajil ya mashar matam pita hapa na like tuende sawa
@geraldgogadi7054
@geraldgogadi7054 8 месяцев назад
10x a Day and still watching
@listangalala9892
@listangalala9892 8 месяцев назад
Nimelal naiplay tu
@johnnyoni6947
@johnnyoni6947 8 месяцев назад
Master Jay (Joachim Kimario) ameua sana kwenye acting. I never thought he could be this best in acting. He needs a role in our movie industry
@josephkwai1819
@josephkwai1819 6 месяцев назад
Master J. Ametisha saana... Darasa kubwa sana wimbo huu na video yake
@DicksonBindeba-l5j
@DicksonBindeba-l5j 4 дня назад
Unajua famly
@CatherineKabelege-te3yo
@CatherineKabelege-te3yo 8 месяцев назад
Master ni noma anajua kuigiza mno ila sema iki kisa kinafanana na cha mwanza
@edwinfelix6298
@edwinfelix6298 7 месяцев назад
Hii ni historia ya kweli ilitokea Buswelu Mwanza, baada ya jamaa kumshut wife nayeye alienda kujipiga risasi ZIWA VICTORIA.
@JuliusTushabe
@JuliusTushabe 3 месяца назад
Wangapi wanaisikiliza Tena hii Ngoma, 10 may 2024
@vostin3537
@vostin3537 8 месяцев назад
Feels like a tribute to the deaths of those beloved souls from Mwanza last year😢Swalha/Said
@emmanuelpastory9928
@emmanuelpastory9928 8 месяцев назад
Exactly kuna namna idea imetokea kwao
@bettykessy3728
@bettykessy3728 8 месяцев назад
Sure
@agnessnkandi5229
@agnessnkandi5229 8 месяцев назад
Dah! Vanilla ni nyoko🔥🔥🔥🔥
@MuttaRweyemamu-ni6iz
@MuttaRweyemamu-ni6iz 7 месяцев назад
Nimetafuta makosa kwenye hii ngoma naona umekuw mtihan mgumu....iko sawa kila kitu
@user-pc9ki3os8e
@user-pc9ki3os8e 7 месяцев назад
Yan naskliza zaidi ya Mara 10
@a-zproduction8143
@a-zproduction8143 8 месяцев назад
Master umetisha una bonge la talent
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 8 месяцев назад
Hii story ni ya yule tajiri wa samaki wa Mwanza aliyemuua mkewe kisha nae akaenda kujiua ziwa victoria🎉
@zanurashabani2230
@zanurashabani2230 8 месяцев назад
😂😂😂😂
@SabrinaSuleiman-ck8kl
@SabrinaSuleiman-ck8kl 8 месяцев назад
Sahiii kabisa
@jacquelinethadey1805
@jacquelinethadey1805 8 месяцев назад
Hakika
@hafidhali5331
@hafidhali5331 Месяц назад
Ni story ya kweli.?
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 Месяц назад
@@hafidhali5331 Ni story ya kweli kabisa ilitokeaga Mwanza
@ahmedysaidy9874
@ahmedysaidy9874 8 месяцев назад
Based on true story tukio lilotokea mwanza.
@mercysadock7575
@mercysadock7575 8 месяцев назад
ni ile stori ya mwaaaaanza ❤️❤️
@modelka222
@modelka222 8 месяцев назад
nashukuru Mungu tuliachana bila kufika huku
@ibrahimsamsonichristian5704
@ibrahimsamsonichristian5704 8 месяцев назад
Master j bonge mmoja la actor. Mpeni likes zake
@shadrackalum2696
@shadrackalum2696 8 месяцев назад
binafsi master jay. ameonyesha u master wake
@asumanisadikianswa
@asumanisadikianswa 7 месяцев назад
Vanillah love from canada 🇨🇦
@user-wq2jq7on7t
@user-wq2jq7on7t 8 месяцев назад
Master J aendelee na uigizaji, anakipaji sana. Bonge la ngoma uandishi umetulia.
@officialhysam2720
@officialhysam2720 8 месяцев назад
Wa kwanza mnipe like hata 1
@trendsmusiclyrics953
@trendsmusiclyrics953 8 месяцев назад
Sawaa😅
@orestonjalika632
@orestonjalika632 8 месяцев назад
Rapcha umemtesa sana mzee wa watu aise. Video imekuwa powa sana.😂😂😂
@ramadhanitambile9100
@ramadhanitambile9100 8 месяцев назад
Master j katish san
@millchambile1237
@millchambile1237 8 месяцев назад
Hongeraaaaaaa🎉
@yonekenya
@yonekenya 8 месяцев назад
Nimekupa
@KennedyMbawala-pr4bt
@KennedyMbawala-pr4bt 6 месяцев назад
My favorite song in 2023 to 2024 hii videoo ndio nmeionaa leoo january 29 2024 nmeaangliaa zaid ya maraa 10 master j kauvaa uhusikaa vizurii
@user-dv3vl6ml7o
@user-dv3vl6ml7o 5 месяцев назад
Huyo vanilla kanogesha wimbo
@flinchclassic1531
@flinchclassic1531 8 месяцев назад
Kwenye uhalisia master Jay umetisha sana kwenye hii video
@Fanzy_kabaya
@Fanzy_kabaya 8 месяцев назад
No body talks about the chorus ❤❤vanillah ukoo juu sana
@aloiceassenga7582
@aloiceassenga7582 8 месяцев назад
Vanilla may God bless u broo💯💯 💯💯 unyama mwingiii
@user-re9gn4bt1n
@user-re9gn4bt1n 8 месяцев назад
Vannilah hajaangusha pia...Mia kwa Mia kila sehemu...audio video..lyrical
@Hashdough
@Hashdough 8 месяцев назад
RAPCHA IS GOOD WITH STORY TELLING RAP MPAKA BASI ASEEE
@BigZhumbe
@BigZhumbe 8 месяцев назад
He is so good 🔥🔥
@RichardMbwelwa-xk3tm
@RichardMbwelwa-xk3tm 8 месяцев назад
Master J is a good character inabi afanye filamu moja classic na mi niwemo
@sportsnews423
@sportsnews423 8 месяцев назад
@Vanilla ndo amekuja kumpoteza baraka da prince kwenye game
@kelvinmhagama1894
@kelvinmhagama1894 8 месяцев назад
Kwel kabisa
@Dakingyasta
@Dakingyasta 8 месяцев назад
This is true story ya yule jamaa wa mwanza
@user-xi7mc5sm8i
@user-xi7mc5sm8i 7 месяцев назад
Feel the music,gonga like kama unamkubali Rapcha
@user-wq7zm9bo6l
@user-wq7zm9bo6l 4 месяца назад
Hii atory kama ya saidi wa mwanza hadi alivyojifyatua risasi ya kidevu
@fabianijoseph-me8jk
@fabianijoseph-me8jk 8 месяцев назад
Kweli rapcha ni last King of 90's baby kama unamuelewa rapcha twende p1 weka like
@mosessilungwe1670
@mosessilungwe1670 8 месяцев назад
Rapcha I'm your number one fan from Zambia 🇿🇲
@herielrodgers
@herielrodgers 8 месяцев назад
Masta j kauwa big up
@hassanshaaban9508
@hassanshaaban9508 8 месяцев назад
True story of Sarha & Saidi Iliyotokea Mwanza mwaka Janna
@fadidhilukaondo2597
@fadidhilukaondo2597 7 месяцев назад
Vanilla shikamoo👏
@Rangoboytz2023
@Rangoboytz2023 7 месяцев назад
Hii si story ya kweli ya kaka said na swlha siku ya simba na yanga ngao ya jamii
@AstarikoMalanda-jn2xn
@AstarikoMalanda-jn2xn 8 месяцев назад
Huwa mnaesma ngoma tuh! Hii ni bonge kiukweli❤❤ hayaaaah nupeni likes basi
@lilwiz5414
@lilwiz5414 8 месяцев назад
Everything amazing, master j 👏performance
@gregorygendowaga1509
@gregorygendowaga1509 8 месяцев назад
Cha ajabu ngoma kama hizi hazipewi nafasi kama makirikiri Yao, dope lyrics dope video dope casting.....hizi ndio materials tunahitaji Kwa industry
@Iyna-kd3ge
@Iyna-kd3ge 5 месяцев назад
Mapenz yanaumiza sana,😞jibu ni kukimbia,,lia ukiwa mbali na mtu anaekuumiza,,itachukua muda ila ipo siku utamsahau tu na utajua ulifanya maamuz yaliyosahihi 👏😔(bado yupo moyon mwangu na nampenda ❤ila its too late siwez kuwa nae)
@goodmusic7430
@goodmusic7430 5 месяцев назад
Pole sana
@RapchaTz
@RapchaTz 5 месяцев назад
You will be fine
@msomaliwamafia3454
@msomaliwamafia3454 8 месяцев назад
Uyu vanila saut kama baraka
@maureensunguya8779
@maureensunguya8779 8 месяцев назад
Master J kumbe ana uwezo mkubwa ivi wa kuigiza? This is one of the best performances hadi nimefeel uhalisia wa nyimbo na video. Good job to Zaylissa too
@sabuyangealphonse3737
@sabuyangealphonse3737 8 месяцев назад
Vanilla so talented
@stevensenghana1593
@stevensenghana1593 8 месяцев назад
wanao sema Master na bidada ndio wameba hii sound niunge hapa mimi naona mtu mpka atazame kideo big up kwa masta zailissa rapcha
@adammagoli3956
@adammagoli3956 8 месяцев назад
I have never seen acting like this in tanzania master j umeua salute
@emilyrenatus9374
@emilyrenatus9374 8 месяцев назад
Yoooo J can act as well what a talent
@saidmakorijr-ko3fi
@saidmakorijr-ko3fi 8 месяцев назад
Video Kama ile story ya said wa buswelu na swalleha mwil wa said ulipatikana ziwan mwanza 2021 good idea yatuacha vibaya maamuz ya hasira
@user-lg1mr2iq8m
@user-lg1mr2iq8m 8 месяцев назад
imefanana kilakitu
@chizoboy3001
@chizoboy3001 8 месяцев назад
Kama umeipenda 40 missed call dondosha like hapa👍👍👍👍 @chizoboyofficial2✌️
@user-un3yn6kj4c
@user-un3yn6kj4c 7 месяцев назад
Rapcha akili kubwa story hi umeileta kwa Jamii ilitokea mwaka juzi mwanza kwa marehemu said na mkewe swalha ujumbe mzur sana mapenz hupoteza Maisha ya watu usipo kuwa makini
@zomasamweli
@zomasamweli 7 месяцев назад
Nikweli Hii ilitokea mwanza
@janeymhando
@janeymhando 6 месяцев назад
imetufundisha piaa😢
@sadiqrifay5448
@sadiqrifay5448 8 месяцев назад
Rapcha is the best story taller ✍✍
@nabosedward4836
@nabosedward4836 8 месяцев назад
Hii story ndo ile ya mwanza
@user-fz7zb7je7w
@user-fz7zb7je7w 6 месяцев назад
Ugomvi wa mapenzi usipo kua makini una weza kuta una fanya vitu vya ajabu 😢
@user-et4ie2sm5b
@user-et4ie2sm5b 8 месяцев назад
Jama hatumi nguvu.kama anafinya tonge to la ugali.RESPCT RAPCHA.
@hamisisalim
@hamisisalim 8 месяцев назад
Waaah nyimbo inafunzo sana watu waheshimiane na uaminifu uwepo
@tigejuma9865
@tigejuma9865 7 месяцев назад
Wanao sikiza hii ngoma na kusikia sauti ya vanny boi wapi like zake...😅
@kambiyusufu2776
@kambiyusufu2776 8 месяцев назад
Dogo tukupe mauwa yako mapema sio sili kwa hii Ngoma umetisha sana
@GabrielSky64
@GabrielSky64 8 месяцев назад
Ebhanae kumbe Hip hop si lazima ukamie kama ugomvi ni mpangilio tu wa sounds bonge la ngoma 🔥🔥🔥🔥
@kelvinduper
@kelvinduper 8 месяцев назад
Master killed it 💥👑
@silvesterjohn8
@silvesterjohn8 8 месяцев назад
3:35 best story ...... True story ile ya mwanza yule bwanake nae akaenda kujiua baharini umetisha sana mwanangu RAPCHA🎉maua yako kaka🎉🎉
@AdamRichard-pd5lc
@AdamRichard-pd5lc 3 месяца назад
rapcha mamae nataka kumaliza mb zang mimeliludia zaid ya mara 10
@ruthmarco1489
@ruthmarco1489 8 месяцев назад
Hivi ndivyomahusiano mengi yalivyo currently... Am sure Kuna some of us tuko missed call ya 50😂... Big up bro unatufunza through your songs
@Ivannovann
@Ivannovann 8 месяцев назад
Sijui kama story ya swalha WA mwanza ulisha Wai skia but this is wat exactly happened. R. I. P
@tuzungumzeafya
@tuzungumzeafya 7 месяцев назад
Master piece 🙌 vanilla katisha sana namsikia Mario na vanny boy ndani ya sauti yake 🔥
@adetaurus
@adetaurus 8 месяцев назад
Shaban na Warda
@BrackMelody
@BrackMelody Месяц назад
Vanila mtu mbaya sana anajua kila ngoma
@mcnyota
@mcnyota 7 месяцев назад
Alafu Vannila ni fundi sana aise.. Kings hapa waliangukia kifaa🎉
@rosemarygeofrey7898
@rosemarygeofrey7898 8 месяцев назад
Hii story ni ya yule dada wa mwanza 😢
@abdulshaq-qx8wz
@abdulshaq-qx8wz 8 месяцев назад
ndio
@sefoo8084
@sefoo8084 8 месяцев назад
Vanilla 🔥🔥🔥 kiungo matata
@kilomoleerneus9117
@kilomoleerneus9117 2 месяца назад
Anaitwa rapcha mchizi kutoka shi town......ngoma zake continuable......hazichoshi kusikiliza......salute senior
Далее
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Просмотров 1,1 млн
Rapcha - Fungua (Official Music Video)
3:31
Просмотров 321 тыс.
Vanillah feat Roma - Never Mind (Official Audio)
3:19
Просмотров 238 тыс.
B2K feat Vanillah - LaLa (Official Music Video)
3:51
Просмотров 708 тыс.
Rapcha - Mtoto Wa Taifa Freestyle (Official Video)
4:04
Bando MC ft Vanillah - Sikulaumu
3:40
Просмотров 209 тыс.
Rapcha - Interview (Official Music Video)
3:13
Просмотров 670 тыс.
Chege feat Alikiba - Kipofu (Official Music Video)
3:59
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Просмотров 1,1 млн