Wimbo: EE BWANA UNIHUKUMU
Mtunzi: BERNARD MUKASA
Waimbaji:
QUADRI - V
(Familia ya Bwana & Bibi Bernard Mukasa)
Kinanda:
VINNY MUKASA
Studio (Audio & Video):
HOLY TRINITY
______________________________________
"Ee Bwana unihukumu, unitetee kwa taifa lisilo haki. uniokoe na mtu wa hila asiye haki".
Wimbo huu unatoka hasa katika Zab. 43:1, na ndio wimbo wa maingilio (Mwanzo) kwa DOMINIKA YA 5 YA KWARESMA.
20 авг 2024