Тёмный

EKARISTI:ALTARE KWA BWANA YESU-CHANG'OMBE CATHOLIC SINGERS DSM TZ.Mratibu ALOYCE KIPANGULA 

Aloyce Goden Kipangula
Подписаться 91 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Altare kwa Bwana Yesu, ndiyo Hazina Yetu, Malaika nipelekeni Yesu unipokee x2.
Wimbo huu ni kati ya nyimbo Maalufu sana katika Nyimbo za kanisa katoliki Hasa Hapa Tanzania, imekuwa ukiimbwa na kupendwa sana hasa na Wazee, NI kati ya nyimbo Muhimu zinazotunza milindimo ya Kikatoliki japo ni wa Siku nyingi lakini ukiimbwa hata sasa unasisimua Miito ya waamini wengi na hauchuji umebaki na ubora ule ule hadi Leo.
Na sisi wanachang'ombe (Chang'ombe Catholic Singers Dsm) kwa kuona umuhimu wa Wimbo huu tumeamua Kuurekodi Ili uwafikie Watu wengi Zaidi.
TUMEBATIZWA NA KUTUMWA KUWATANGAZIA WATU HABARI NJEMA ILI WATU WOTE WAPATE WOKOVU.
NI Mimi Mratibu wa huduma ya uinjilishaji kwa njia ya Nyimbo
ALOYCE GODEN KIPANGULA#kanisakatoliki #katoliki #nimewalishakwaunono#aulayemwiliwangu

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@StellaSangayau
@StellaSangayau 15 дней назад
Hakika Tuwaombe Malaika watuongoze kwa Bwana Wetu YESU
@MariethaMsovela
@MariethaMsovela 4 месяца назад
3:46 3:53
@MariethaMsovela
@MariethaMsovela 4 месяца назад
❤❤❤
@DorothMlaponi
@DorothMlaponi 2 месяца назад
Saa 12 asb nausikiliza kila cku ninakuwa na amani rohoni kutwa mzima pia uck saa 2 napata usingizi wa amani ❤❤❤❤ endelezeni kutangaza neno la BWANA mbarikiwe
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 месяца назад
Asante Doroth
@SailosMaligite
@SailosMaligite 5 месяцев назад
aisee huo wimbo unanibariki sanaa ...🙏🙏🙏❣
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 5 месяцев назад
🙏
@DorothMlaponi
@DorothMlaponi 5 месяцев назад
Hakika najisikia niko kwa Mungu niusikiapo wimbo huu mbarikiwe sana
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 5 месяцев назад
Amina
@mustorytellermullah2737
@mustorytellermullah2737 Год назад
Huu wimbo huwa na barikiwa ninapo usikiliza moyo wangu una kuwa na Amani sana
@febroniabernado9043
@febroniabernado9043 2 года назад
Amina sana..ndiyo asili yetu🙏
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 года назад
🙏
@minafadhil3837
@minafadhil3837 Год назад
Wimbo mzuli huuu
@MariethaMsovela
@MariethaMsovela 4 месяца назад
❤❤
@MaryFabian-pi5tt
@MaryFabian-pi5tt 14 дней назад
Kwa kweli huwa nikikusanya vijana wangu tuimbe kwanza huu wimbo nahisi nipo na yesu hakika barikiwa
@remigiusrevocatus6374
@remigiusrevocatus6374 9 месяцев назад
Wimbo unanibariki sana❤
@martinodhiambo1639
@martinodhiambo1639 Год назад
Kuna sauti ya tenor hapo....on point. Ni baraka tele.
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Год назад
🙏
@emmanueldamas3629
@emmanueldamas3629 8 месяцев назад
Be blessed
@beatricekessy8710
@beatricekessy8710 10 месяцев назад
Nice
@aminacandy1890
@aminacandy1890 Год назад
Beautiful beautiful
@yuvensiabosibori2476
@yuvensiabosibori2476 Год назад
Altari Kwa bwana yesu ndio hazina yetu...kweli kabisa,barikiwa
@regulamdawa2139
@regulamdawa2139 Год назад
Neno Yesu linaanzwa na herufi kubwa kulipa heshima inayostahili
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Год назад
🙏
@konardariri9266
@konardariri9266 Год назад
Amen and Amen
@sophiesophie6452
@sophiesophie6452 2 года назад
bwana yesu karibu moyo ni mwangi
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 года назад
🙏
@martinodhiambo1639
@martinodhiambo1639 Год назад
Wimbo mzuri kweli
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula Год назад
Asante
@johnpaschael7158
@johnpaschael7158 2 года назад
So nice song. Much congratulations to the blessed singers of it
@AloyceKipangula
@AloyceKipangula 2 года назад
Amina. Zidi kutuombea Ili Tuendelee na huduma hii
Далее
DAXSHAT!!! Avaz Oxun sahnada yeg'lab yubordi
10:46
Просмотров 469 тыс.
Ко мне подкатил бармен
00:58
Просмотров 149 тыс.
Altare kwa bwana Yesu ndio hazina yetu
4:55
Просмотров 20 тыс.
Uje Roho Mtakatifu.
4:58
Просмотров 127 тыс.
Kaa nasi Bwana - Chang'ombe Choir, Dar es Salaam
4:47
Просмотров 311 тыс.