Тёмный

ELIMU YA MIKOPO YA NYUMBA YA MUDA MREFU KUTOKA NMB BENKI 

TMRC \
Подписаться 988
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 30   
@JulliethTenga
@JulliethTenga Год назад
Asanteni sana nmb tutakuja kuelimishwa vizuri
@ariesastrology5708
@ariesastrology5708 2 года назад
I love it,kwa kweli mtanijengea tu,soon
@prophetsayitv1541
@prophetsayitv1541 2 года назад
I love My bank NMB, Nahitaji huo mkopo wa kujenga nyumba.
@salha6596
@salha6596 2 года назад
Ni kweli kabisa nchi zote wa nafanya hivyo
@kaznakazn3495
@kaznakazn3495 Год назад
Ahsanteni Sana Mimi nataka kununua nyumba lakini Niko nje ya nchi nifanyeje?
@wardajumaa1272
@wardajumaa1272 Год назад
Je Zanzibar tawi lipowapi
@WebuyhousesAsIs
@WebuyhousesAsIs 2 года назад
His ni habari njema kwa watanzania,je WaTanzania walokuwepo nje ya nchi wanaweza kunufaika vipi na mradi huu? pili Refinance % yeni ni ngapi?Ahsante sana.
@GodsonNgereza
@GodsonNgereza 10 месяцев назад
Nimependa je kama naiitaji nifanyeje
@RasuliMbwambo
@RasuliMbwambo 9 месяцев назад
Nnataka nimalizie nyumba yangu je? Nna weza kupata mkopo kama nna dhamana ya eneo kam shamba au kiwanjaa ?
@prophetsayitv1541
@prophetsayitv1541 2 года назад
Big up NMB,
@JaziraMustafa-g9p
@JaziraMustafa-g9p 7 месяцев назад
FIDDA HUSSEIN NI MWIZI WA NYUMBA ZA WATU DAR.
@RasuliMbwambo
@RasuliMbwambo 9 месяцев назад
Mbona tunatuma msg zetu lakini hamjibu...
@winfordmosha11
@winfordmosha11 2 года назад
Thank you
@ZumlatiJuma
@ZumlatiJuma Год назад
nahitaj mkopo wakujengewa ninahati yakiwanja
@salagandalubinza1090
@salagandalubinza1090 2 года назад
Program nzuri sana, lkn Bima ya maisha naipataje !?
@salha6596
@salha6596 2 года назад
Tuliopo nje lakini tunaviwanja tz mnatusaidiaje ili tujenge we?
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا Год назад
Namba zenu mbona hamuweki
@NeemaJosephat-gv4ni
@NeemaJosephat-gv4ni 11 месяцев назад
Nahitaj mkopo wanyumba
@kobelochamanga9757
@kobelochamanga9757 2 года назад
Vigezo na madhalt
@wilsonmmasa5371
@wilsonmmasa5371 2 года назад
Elimu ni nzuri nimeelewa Bali naona shida hapo kama ifuatavyo. Mkopo wa miaka 15, kama riba ni 14% ya mkopo wote, je hiyo 14% ni Kwa mwaka mmoja au Kwa miaka 15? Mfano nyumba ikijengwa kwa Tsh 60, 000,000 hapo 14% ni 8,400,000 hapo jumla ya mkopo wa kulipa 68,400,000. Swali hapo ni hiyo 8,400,000 inalipwa Kwa mwaka mmoja au hiyo 15? au inazidishwa mara 15 ya miaka ya mkopo kama faida yenu? Kama inalipwa Kwa miaka 15 itakuwa Tsh 126,000,000 riba tu na ukijulisha million 60 itambidi mlipaji wa mkopo huo Kwa miaka 15 alipe jumla ya mkopo wa milion 186? Hapo mtaua watu Kwa pressure
@veronicamassala562
@veronicamassala562 8 месяцев назад
Sidhani
@omariramadhani9990
@omariramadhani9990 2 года назад
Vigezo vya nyumba vikoje
@ABBITHEBABYSITTER
@ABBITHEBABYSITTER Год назад
Vp kama unataka mkopo wa maboresho
@kpmagothtv8620
@kpmagothtv8620 2 года назад
VIP Kama unataka kujengewa mradi wa majengo ya shule au chuo?
@TabarakaSauka
@TabarakaSauka Год назад
Je kwa wakulima wanaweza kupata mkopo huo?!
@tmrc1408
@tmrc1408 Год назад
inawezekana kabisa, fika katika tawi lolote la benki yako upate maelekezo zaidi
@mrsferuzi7443
@mrsferuzi7443 3 месяца назад
Sina hati na nyumba yakumalizia
@SabrinaMsuya
@SabrinaMsuya 2 месяца назад
Mimi Nina nyumba naitaji mkopo nishawai kwenda tawi flan wakasema eti niwe na biashara tena
@ismailismail1248
@ismailismail1248 2 года назад
Woooo naenda kununua ghorofa sasa
@zakhianzuki9348
@zakhianzuki9348 2 года назад
Mie nnakiwanja ngoja nije uko
Далее
That was too fast! 😲
01:00
Просмотров 3,4 млн
DIY Pump Solutions
00:18
Просмотров 1,8 млн
Jua zaidi kuhusu Hati Fungani ya NMB na faida zake.
3:23
That was too fast! 😲
01:00
Просмотров 3,4 млн