Тёмный

UKIWEKA MILIONI 100 UNAONGEZEWA MILIONI 19 --- NMB WAFAFANUA KITU KIPYA KINAITWA AKIBA PLUS 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 93   
@mustaphakalembo349
@mustaphakalembo349 Год назад
Maelezo yenu ni mazuri ila mifano haiendani na uhalisia wa mtanzania ungeanza na miliion kumi au million tano huyu atalipwa faida ya TSH ngapi
@lesilale
@lesilale Месяц назад
zidisha kwa asilimia 9.5 utapata kiwango utakacho lipwa baada ya mwaka mmoja. kwa kua unaweka kwa miaka miwili basi utazidisha kwa mbili.
@nahiriali1405
@nahiriali1405 Год назад
Sasa mbona mnataja pesa nyingi kiasi hicho kwanini si mseme ukiweka miliono tano unapata kiasi kadhaa unamuuliiza maswali ya milioni mia muulize maswali hata mwananchi wakawaida wakiasikia basi anafarijika kuanzia miloni 10 tano moja hapo sawa ila milioni mia heee
@diamondplatnumz.148kviews5
@diamondplatnumz.148kviews5 Год назад
Waambie
@diamondplatnumz.148kviews5
@diamondplatnumz.148kviews5 Год назад
Au wanalenga wale wafanya biashala wakubwa
@nahiriali1405
@nahiriali1405 Год назад
Tatizo hawa wanamiliki kuanzia milioni hamsini kwenda juu sasa sijui wanadhani kila mtu ana mamilioni yani millad ayo saa nyingine sijui vipi hivi kweli unamuliza msswali ya kuanzia milioni mia si itakua rahisi yeye kujibu,nina uhakika angemuliza maswali ya kuanzia milioni 10 kushuka chini angepata tabu ya kujibu kweli na kuanzia milioni 10 kushuka chini wengi ndio wenye akaunt kule NMB
@lucksonkazimoto6282
@lucksonkazimoto6282 Год назад
Wanajua ukiweka kiasi kidogi faida ni ndog mfano ukiweka milion 5 faida unayo pata ni laki 9 na elfu 50
@shd12m55
@shd12m55 9 месяцев назад
Milad ayo umezingua miela yoote iyo wakati nmb ni benk ya walala hoi
@sihabahusseinmdee1102
@sihabahusseinmdee1102 Год назад
Si bora uwekewe kwenye bond za utt mil 100 unapata 1,000,000 kwa mwezi
@annaandrea2812
@annaandrea2812 Год назад
Hebu nieleweshe utt ndo wapi?
@DennisDidas
@DennisDidas Год назад
wafundishe nayo ni hoja nzuri sana.
@AcrusioraymondmakombeRaymond
@AcrusioraymondmakombeRaymond 5 месяцев назад
Hawa hawa benki wanachukua pesa zetu wanapeleka kuweza kwenye Bond Utt amis Na kukopesha watu
@AcrusioraymondmakombeRaymond
@AcrusioraymondmakombeRaymond 5 месяцев назад
Utt amisi wanakupa millions 12 kwa mwaka afu nyie mtoe millioni 9 apo kuna tofauti ya 3 millioni
@michaelboniphace3685
@michaelboniphace3685 Год назад
Mil 100 ni sawa na Hiace zako 3 ambazo kila siku zinakuletea elfu 50 ,Kwa mwezi Hiace zote zitakuletea mil 4.5 ,,toa Mil 1.5 kwa ajili ya Matengenezo unabakiwa na Mil 3 kwa mwez,,fanya 12 ×mil 3, Kwa mwaka unatengeneza mil 36. Kupanga ni Kuchagua
@DennisDidas
@DennisDidas Год назад
Hesabu ni tamu kwenye karatasi, Ukianzisha hiyo biashara sio rahisi kama unavyodhani maana unaowaajiri wakufanyie kazi kila mmoja na akili yake.
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 Год назад
tatizo usimamizi
@KenedyMboma-zb4cq
@KenedyMboma-zb4cq Год назад
Nazikiwa mpya matengenezo haifiki 1.5
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Год назад
Yaaan walivyosema 100millions kwamba ukaweke ile ambayo haina mpango sio pesa iyoiyo yakunywea beer ukaweke😅
@joachimshayo9060
@joachimshayo9060 Год назад
Broo sio rahisi ivo
@veronicamalomele7494
@veronicamalomele7494 6 месяцев назад
Nina swali, hiyo fedha niliyo weka Mfano, baada ya miaka miwili kuna Kazi nataka nifanye nayo, Japo nitabakiza, kidogo. Naomba jibu. Asante 🙏 Je, naweza kuitoa?
@JohnMngongo-ol6hk
@JohnMngongo-ol6hk 4 месяца назад
habari nmb naitwa John napenda kuuliza kuhusu mikopo ya tractor za kampuni ya camco jeniwe na vigezo gani ili nipate mkopo huu?
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 Год назад
Sasa tuelewane sisi tulioko nJe kama mimi niko marekani kwangu mimi dili na weka dollars laki moja nduguzagu 👍
@lovenesdickson1824
@lovenesdickson1824 Месяц назад
Nimependa
@faridmohamed203
@faridmohamed203 Год назад
milioni 100 ukifanya biashara kwa miaka 2 unaweza ukapata milioni hata 200
@Michoarbah
@Michoarbah Год назад
Hahaha ni kwel
@mwaaang
@mwaaang Год назад
Kuna ambao hawana ujuzi wa biashara na hawana muda or hawataki kufanya biashara.
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs
@FidasMwaiteghelesya-hw9qs 10 месяцев назад
Ukijiunga na vikundi vya kijamii vya huduma ndogo za kifedha Community microfinance group cmg vinavyo simamiwa na KAMPUNI YA PESCOP ENTERPRISES TANZANIA MILIONI 100 KWA MDA WA MIAKA MIWILI HUKOSI MILIONI 40
@elibarikkiakyoo
@elibarikkiakyoo Год назад
Yaan bank sjui mawazo yenu kwann huwa ya kua hv, Mm nikja nataka kukopa m35, nachajiwa kiasgan
@KPPKPPkabwendepoultrypro-ue4pe
Nimeipenda hii
@Moviechanel255
@Moviechanel255 Год назад
Ngoj nitaftee zangu ela nikaweke milioni 200 miee😂😂😂😂😂💃💃💃
@SurprisedMacawBird-qh7dg
@SurprisedMacawBird-qh7dg 4 месяца назад
Mimi naenda kukopa bank then naweka hukuko😂😂😂😂
@SurprisedMacawBird-qh7dg
@SurprisedMacawBird-qh7dg 4 месяца назад
Kingine hiyo account haina muda wakuisha
@michaelzoomnet
@michaelzoomnet Год назад
maskini wanaweka alafu matajir wanakopa hapo haujiulizi
@DennisDidas
@DennisDidas Год назад
Elimu ya Biashara na fedha ni muhimu sana. Upo sahihi sana ila wachache watakuelewa.
@diamondplatnumz.148kviews5
@diamondplatnumz.148kviews5 Год назад
Sahihi kaka
@elibarikkiakyoo
@elibarikkiakyoo Год назад
Jaman mbona hvyo Mfano 9.5% ya 250000=23,750 then ÷ miez 24 there for kwa mwezi utapokea989.6 😂😂😂😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 Год назад
We Millard ndo umeharibu kila kitu,ulipaswa uhoji kiasi cha pesa ambacho watu wa chini huku wana uwezo nacho kama alivyo sema yy ni laki 2.5 ,sasa we umehoji kiasi cha uwezo wako binafsi,,swali lako sio tija kwa watazamaji wako,ulipaswa uibebe jamii yako na sio ww binafsi,,umeharibu kabisaa interview hii,,sasa watu wa laki 2.5 watajuaje interest yake apo
@mwaaang
@mwaaang Год назад
Mahesabu Michael riba ni 9.5% kwa mwaka so chukua mtaji wako zidisha mara 9.5% utapata riba yako kwa mwaka. Ukitaka kujua kwa mwezi gawa hiyo riba kwa miezi 12
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 Год назад
@@mwaaang sawa kaka
@mwaaang
@mwaaang Год назад
@@michaeljohn9070 ila kuna benki niliskia redioni inatoa 12% kwa mwaka. Sikuinote jina
@MashakaSayi-vy2xf
@MashakaSayi-vy2xf 5 месяцев назад
Mashaka sayi
@ibrahimamanimussa376
@ibrahimamanimussa376 Год назад
Please naomba unisaidie nikiweka 5000000 kilamwezi napata ngapi?
@annaandrea2812
@annaandrea2812 Год назад
Hiii iko vizuri sana
@vicentymory5893
@vicentymory5893 Год назад
Sisi wa kuweka elf 30 Kwa mwezi tutakunya mavi ya chuma mpaka tupate milioni mia mhuu.
@jastinpiniel4447
@jastinpiniel4447 Год назад
wenye expirience ya biashara hiyo faida ni ndogo sana
@manyangumashala466
@manyangumashala466 Год назад
Ndogo sana,yani urundike milioni 100 miaka miwili halafu uzalishe milioni 19 tu,yani hiyo milioni 100 kwa mwaka mmoja tu ukinunua stock za mpunga unazalisha zaidi ya milioni 70 au 80 ,huo ni mwaka mzima
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Год назад
@@manyangumashala466 ukweli kabisa hakuna mtu mwenye mipango ya besa akawekeza hiyo pesa
@michaelboniphace3685
@michaelboniphace3685 Год назад
Ni ndogo sana
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc Год назад
Saana mimi nafungia mzigo South Joburg nikinunua mzigo wa mil 100 faida Mia nauzia kasumbaresa Kongo na Zambia sasa kwa Hilo wasemalo iyo pesa itakuwa inawanufaisha wao 😮
@manyangumashala466
@manyangumashala466 Год назад
@@SophlaJackson-nt1nc kabisa,wewe unaiweka bank halafu wenyewe wanaikopesha kwa wengine wanaingia faida
@HamisLeo
@HamisLeo 3 месяца назад
Mda gan
@NOORMOHAMED-sg9lo
@NOORMOHAMED-sg9lo Год назад
Waislam Hapo sio kwenu Tamaa hapana Muwe na uhuru katika dini yenu Hifadhi pesa yako kama akiba lakini usiweke katika Akiba plus Weka hela yako NBC katika account ya malengo Ukiweka milion 2 utachukua milion 2 Asante
@mariamjamali1444
@mariamjamali1444 Год назад
Usiwe mtumwa wa dini. Kuwa mtumwa wa matendo mema yawe yenye kupendeza machoni pa Allan na wanadamu
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 Год назад
Millard umelipwa shilingi ngapi kwa promo hii? Maana hii siyo bahati mbaya!
@lodrickmwambene133
@lodrickmwambene133 Год назад
Wangapi bongo wana 100 wa hali ya chini ambao Ndio wateja wengi Maana mishahara ya walimu, police NMB
@SophiaChaula-jd4ry
@SophiaChaula-jd4ry Год назад
Sasa mmenipa akili ngoja nibeti jackpot ya billion moja ya mechi 17 nikiipiga ile nakuja kuwekeza million 200 kumbe inawezekana kula hela kwa mwezi bola kaz
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 2 месяца назад
Wahuni tu
@vailetyonest9884
@vailetyonest9884 7 месяцев назад
Milion 1 kila mwezi unapata 7900 kwa mwaka unapata 95000
@adamnguvu1020
@adamnguvu1020 Год назад
*Lakini mmeshaongea na MUNGU kuhusu izrail mtoa roho Mana mnazungumzia miaka miwili wakati kesho yke hatuijuwi SWALI LINAKUJA HUYO MUWEKAJI MALA PAAA AKAFA ITAKUWAJE?*
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 Месяц назад
We nae unawaza umasikin mpk kifo hizo benki unahisi zinaendeshwa na mmiliki mtu anakufa na maisha yanaendelea kama unaweka ela kwa siri hushirikishi watu pesa zako utazikuta kuzimu ila dunian watu watafurahi na pesa zako
@SurprisedMacawBird-qh7dg
@SurprisedMacawBird-qh7dg 4 месяца назад
Je hakuna pesa inayo katwa
@leonardwaah4370
@leonardwaah4370 11 месяцев назад
Kiazio shingapi
@manengelo8427
@manengelo8427 Год назад
So ni sawa na milioni 100 inakuzalishia 791,666 per month???
@salminasalim5630
@salminasalim5630 Год назад
Hele gani hiyo nmb wabahili jamani
@musaolemuindy1218
@musaolemuindy1218 Год назад
Nikiwa naweka laki mbili 200000/" kamili Kila mwezi itakuaje mkuu
@5Multpurpose
@5Multpurpose Год назад
Unapat afuuu3
@shd12m55
@shd12m55 9 месяцев назад
😂
@emmanueldaniel1781
@emmanueldaniel1781 Год назад
Ongeleeni hiyo kaki mbili na nusu
@sadakambi5643
@sadakambi5643 Год назад
Milioni 100 mwezi inaingiza laki saba je milioni moja inaingiza beigani kwa mwezi
@thomasjohn2554
@thomasjohn2554 Год назад
Elfu saba mr
@thomasjohn2554
@thomasjohn2554 Год назад
Elfu sabini mr tena sio kwa mwez kwa mwaka
@michaelzoomnet
@michaelzoomnet Год назад
Kibiashara hailipi
@DennisDidas
@DennisDidas Год назад
Hakuna mfanyabiashara anayeweza kukubali wazo hilo labda wanaostaafu na wale ambao hawajui biashara.
@Official_BK47
@Official_BK47 Год назад
100
@lailalaila8206
@lailalaila8206 Год назад
Raki mbiri kila mwezi au vp
@GilbertGombeye
@GilbertGombeye 5 месяцев назад
Nikiweka laki Tano faida ni sh ngapi?
@ngadumbishi1405
@ngadumbishi1405 Год назад
Zange Nile Nikumtogole Kwa Kumtogola
@Officalnaph
@Officalnaph Год назад
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 NMB
@Montana12-v2c
@Montana12-v2c 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂
Далее
NMB Jiwekee Talk Show
45:18
Просмотров 1,8 тыс.
Brawl Stars expliquez ça
00:11
Просмотров 6 млн
Ванька пошел!!!! 🥰
00:18
Просмотров 681 тыс.
UZINDUZI RASMI WA AKAUNTI YA PAMOJA KUTOKA NMB
28:37
Просмотров 1,9 тыс.