Elizabeth Obege! Hongera sana sana kwa mawaidha yako pamoja na kazi ulio ifanya KBC. Mwito ulio utowa ni swahii kabisa. Tusi ende kiyasi ya kusahau tulipo toka, japokuwa imepita tufamikiyane. Heshima mulio kuwa nalo, kwetu sisi bado hatuja sahau kwa kazi zenu nzuri sana sana. ❤