Тёмный

Elsa Majimbo anakerwa na tabia ya kutumia ndugu pesa ‘Fanyeni kazi, acheni uvivu’ 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 95   
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 27 дней назад
Imagine.. It's extremely frustrating,and the begging never stops. Tatizo sio kusaidia ,TATIZO NI NDUGU KUKUGEUZA KITEGA UCHUMI. Yaani kichukua na kuchukua mpaka wewe sasa kubaki unawafanyia kazi wao tu sababu pesa yote inaishia huko.
@motive_8kenya
@motive_8kenya 27 дней назад
She is right but choose the wrong way to express it.
@husseinhamis1428
@husseinhamis1428 27 дней назад
Sure
@frankrobert3999
@frankrobert3999 27 дней назад
Kumbukumbu la Torati : 15 : 11 - Kwa maana maskini hawatakoma katika nchi milele; ndipo ninakuamuru na kukuambia, Mfumbulie kwa kweli mkono wako nduguyo, mhitaji wako, maskini wako, katika nchi yako.
@ramermohamedy4344
@ramermohamedy4344 27 дней назад
Ndugu wanaomba sana hela na hawataki kufanya kazi...
@homeandaway2811
@homeandaway2811 27 дней назад
Halafu wanatanua kinoma na hela za kuombaomba, halafu baadae wanakusema yule hajajenga mpaka leo,
@sonnyr1899
@sonnyr1899 25 дней назад
@@homeandaway2811 😂😂😂😂😂 kitonga 😂😂😂😂😂 Sasa wanakusubiri ufeli watakutukana matusi yote kana sio wewe ulikuwa unashusha mkwanja
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 24 дня назад
Uko sahihi ndugu yangu ​@@sonnyr1899
@sonnyr1899
@sonnyr1899 27 дней назад
Dada mizinga imemvuruga 😂😂😂 mizinga ni noma ukiwa huna subira unaweza kupanic 😂😂😂
@JOHNINSURANCE
@JOHNINSURANCE 25 дней назад
😂😂😂😂
@vincej9275
@vincej9275 25 дней назад
Kusaidia familia sio kwa lazima, lakini kawa mapenzi yako mwenyewe. I have been supporting family members, few friends and sometimes even total strangers who are in need. I have been doing it since 2002 and I will still do it because I was once helped/supported.
@lizzygabriel9601
@lizzygabriel9601 27 дней назад
Nadhani ujumbe wake unaukweli ila namna alivyouweka ndio shida, kiukwel familia zetu za kiafrica kuna muda zinachosha kweli yaani mfano kwa sisi tunaoenda nchi za watu kufanya kazi unaweka pause maisha yako kusaidia familia labda mtaji unawaambia fanyeni kitu fulani lakin hakifanyiki,hiyo ndio inachosha
@erickmollel-zv2eu
@erickmollel-zv2eu 27 дней назад
Absolutely 💯
@zahararamadhanisalmu395
@zahararamadhanisalmu395 27 дней назад
Kabsaaaa alafu Hata hawajali Hata ukiumwaa uwambiye natakA kurudi wataanza Kudai kuhusu masaliii yaoo nasio kuhusu Hali Yako wanaudhi wallah Allah atufanyiye wepesi 😢😢
@missp1814
@missp1814 27 дней назад
Pole ila kama ulikuwa unasaidia ukaona hivyo...achana nao wekeza Kwa ajili Yako,sema Sasa huyu dada anataka kukatisha watu tamaa Kwa kuwaaminisha watu wasisaidie ndugu kitu ambacho si sawa,Kuna ndugu hawabebeki hata ufanye nini,ila wapo ndugu kwenye familia au ukoo hawana upuuzi saidia kama una uwezo...
@lizzygabriel9601
@lizzygabriel9601 27 дней назад
@@missp1814 ni kweli kusaidia ndugu ni jukumu letu ila kuna wale unakuta hawataki kufanya kazi hata ukiwawezesha kisa tu unaweza kuwasaidia
@erickmollel-zv2eu
@erickmollel-zv2eu 27 дней назад
@lizzygabriel9601 shida siyo kusaidia shida ni baadhi yao hawajali kuhusu wewe unaoshije wao wakipiga simu ni hela wanataka... they dont want to know changamoto gani unapitia..
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 27 дней назад
Bless to bless others
@trizereve3386
@trizereve3386 27 дней назад
Always I help my family ❤
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 27 дней назад
Yes me too ❤❤❤I'm here 🇨🇳
@JacklineJames-i5o
@JacklineJames-i5o 27 дней назад
Asantee dd kwa ushaur mim husaidiaaa sana kwetu bila kubaguaaa lakin Kilichotokea nimebanwaa sana na shida imenipat now niko home nilokuwa nawasaidiaaa wotee wamenikimbiaa ndo matangazo kama yotee 0:01 😢😢😮d😢
@tausilifestyle795
@tausilifestyle795 25 дней назад
Mie nitamtunza mamaangu mpaka milele no matter what ❤❤❤❤.
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 27 дней назад
Charity starts at home
@kadeejakadeeja1929
@kadeejakadeeja1929 27 дней назад
Kusaidia wazazi ni vyema sana kwa sababu dua zawo nibora zaidi ata ndugu siyo mbaya ata limoja ku mwak
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 27 дней назад
😢
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 27 дней назад
Hata mimi huwasaidia sana na sitaacha kamwe nawapenda sana Family yangu siwezi kula raha wakati wao wanahuzi siwezi kabisa Daima I'm here Beijing 🇨🇳
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 27 дней назад
❤❤❤ I love so much my Family my life I'm here Beijing
@hahmadhabibu2076
@hahmadhabibu2076 27 дней назад
I agree
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 27 дней назад
Jambo la kutoa ni sehem ya sadaka kama moyo wako unautayari wa kutoa toa lakin kama moyo wako hauna utayari usitoe Mungu anatoa baraka ya kuwa nacho kwa sababu ya msingi fedha ni ya kutumia zingatia utayari wa moyo wako tu.
@Zaoplus
@Zaoplus 26 дней назад
Mwanzo 12:2 Nami nitakufanya wewe uwe taifa kuu, na kukubariki, na kulikuza jina lako..nawe uwe baraka Kuna Wengine Hapo Ulipofika Mungu Amekuweka kwa Ajili ya walioko nyuma yako kabla Ujaongea Hizi Nosense confirm kwanza sio Mungu Aliyekuweka Hapo…
@elizabethkikoti7265
@elizabethkikoti7265 25 дней назад
Saidia ndgu zako dada acha lawama unapojaliwa na Mungu saidia ndgu zako toa kwa moyo nimejifunza sana kusaidia ndgu zangu nilikua kwa kazi DHL Company Nilikua nasaidia sana msaad wakiniomba pesa natoa bila manung’uniko kama ninayo nawapa leo hii nilipokwama ndo wamekua watu wa kwanza kunisaidia kwa kuniongezea pesa ya biashara nimefungua biashara kwa pesa za ndgu zangu wamekumbuka fadhila zangu tusijisahau sana tusaidie ndgu zetu kuna leo na kesho haupo duniani utawatesa watoto wako saidia ndgu zako hicho hicho kidogo ulichojaliwa Mungu manung’uko ni dhambi
@veronicangugi8651
@veronicangugi8651 27 дней назад
My family my life
@HassanhaidaryKamana
@HassanhaidaryKamana 27 дней назад
Nilimbukeni sadaka nzuri ni ile inayo anzia nyumbani
@user-tq5di6mv9c
@user-tq5di6mv9c 27 дней назад
Hatukatai kusaidia nyumbani lakini watu wanakugeuza kitega uchumi
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 27 дней назад
Hawanaga shukrani hao. Wakiwa na shida wanajifanya salamu nyng ukiwatumia tu hela wanakata mawasiliano hata hawakwambii imefika wala hawakwambii asante kukutafuta tena ni mpk wakiwa na shida tena. Jifunze kutofautisha kati ya upendo wa dhati na upendo fake. Mtu anakutafuta tu pale anapokuwa na shida ila akiwa hana shida anajifanya yuko bize
@homeandaway2811
@homeandaway2811 27 дней назад
Wewe Hassan lazima ni mmoja ya wale waombajiombaji
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 27 дней назад
​@@rumdeesonsoa1811umeona eee
@sharonnorbert6320
@sharonnorbert6320 27 дней назад
🎉🎉🎉
@mwasitigervas2624
@mwasitigervas2624 26 дней назад
Unawatumia pesa baadae ukirudi bila pesa kwa sisi watoto wa kijijini unachwekwa sana haohao uliwatumia wamesahau wanakucheka😂🙏lakini kwa baba na mama Mungu anione siwezi acha kuwatumia❤️
@mocomoja4229
@mocomoja4229 27 дней назад
African ukisema hivyo Ni Kama umetukana masikin Ila kwa marekani Ni sawa sabub kule akuna tabia za kuombana,,so ametekwa na uamerika
@rerisamba
@rerisamba 27 дней назад
Mungu anakuona ungejua vile kupeana ina ongeza na inakuepusha na mikosi wacha tu kuna mama Mungu alimrudisha kutoka mautini kwa ajili alikua analipia watu rent na fees
@mumberemoise9323
@mumberemoise9323 27 дней назад
La philosophies bantu dit " je suis ce que je suis par ce que nous sommes tous "
@nurumasha
@nurumasha 27 дней назад
Je, upo tayari upewe ili utoe, au unyimwe ili upewe? Mungu katuumba kwa matabaka mimi sio ndugu tu hata mtu nisiyemjua kama nnacho natoa❤
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 27 дней назад
Ni kweli wanazani sisi tunazichuma hela
@celifpower4993
@celifpower4993 27 дней назад
Mungu ibariki africa viongozi wema na wenye maono makubwa mazuri kwa bara letu zuri la africa ili wa epukane nahizi kafsha za kuitwa mvivu na kuonekan omba omba. Huyu bibie angekua mzawa wa marekani ningepata mengi ya kusema ila kwakua yeye ni mzawa wa Kenya mwenye makazi marekani basi naye atakua omba omba Kama alivyo sema wenzake
@AishaJuma-wd8xd
@AishaJuma-wd8xd 27 дней назад
Ni kweli kabisa
@williamkirema6254
@williamkirema6254 27 дней назад
Wakisiiiiiiii
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 27 дней назад
Na ukiwaendekeza kujifanya wewe mwema sana kwao unakufa masikini 😂unafanya kazi kuwatumia hela na watakupenda kweli sipendi huu ujinga ujumbe wake una ukweli
@swahiliwithZita
@swahiliwithZita 27 дней назад
Nadhani kusaidia ndugu maskini ni sawa ila usiwalemeze akili kiasi kwamba wanakipatwa na shida wanajua pa kukimbilia. Ikibidi mkopeshe ili ajue kujiinua mwenyewe halafu usitegemee ndugu uliyemsaidia akuabudu au aishi kwenye kutimiza malengo yako tu kwasababu umemsaidia. Kusaidia kwa mipaka ni sawa ❤
@bonita329
@bonita329 27 дней назад
Sio uongo ni ukweli kabisa
@fakijecha
@fakijecha 25 дней назад
Yan usiamin Kila anae omba mvivu Kuna watu wanajituma tangu hatujazaliwa wanabeba mizigo Haina mana kuwa na pesa ndo kunituma sana we ukiamua kumsaidia mtu msaidie tu sio ata yenye kasaidiwa ndo kafika apo ache kiburi
@irenemboya7899
@irenemboya7899 27 дней назад
Ni kweli
@Aishatheboss117
@Aishatheboss117 27 дней назад
Hapa kuna point ndaniake ila sasa kwa njinsi alivyo ongea ameongea na ukosefu wa adabu anaongea kama mwenye kutapika wala hapendezi 😏😏😏
@visionstudios6804
@visionstudios6804 27 дней назад
"You are too lazy to be alive" 😂😂
@zayneryassin6054
@zayneryassin6054 27 дней назад
Navile azina shukurani wakiwa nashida yapesa unatafutwa kila siku salamu zisizo isha ukisha tumatu wanapotea online awasemi nimepata walanini unakuja kuona sms oi vip ukishaonatu ujue niela yani
@User-mo9ox
@User-mo9ox 27 дней назад
Kusaidia ndugu ni ujinga ila kuchangia misibani mamilioni ni ujanja!
@ramermohamedy4344
@ramermohamedy4344 27 дней назад
Fanya kazi acha kulaumu laumu watu...uvivu tu umekujaa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 27 дней назад
😂😂😂
@homeandaway2811
@homeandaway2811 27 дней назад
Mnaomba sana jamani ,tunajibana tunasapoti wazazi hao inaeleweka wamezeeka lakini ndugu wengine PLEASE hemu tuheshimiane na tuhurumiane, mtu utaishije kwa kuomba tu? Changamka maisha magumu kwa kila mtu
@nikrahayubu-sz3pw
@nikrahayubu-sz3pw 27 дней назад
Sio. Kwwli kila mmoja ana moyo wake mie napenda sana kisaidia ndg
@RonnieBertin
@RonnieBertin 27 дней назад
Tumekuja hapa Duniani kusaidia watu. Au kusaidiana
@gracenizigama695
@gracenizigama695 27 дней назад
I can't do that bulshit neither. I believe everyone can work and make money
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 27 дней назад
Hata mimi vinanikela sana. Sio vibaya lakini too much. Nilipokua Africa hawakua wananiomba pesa, baada ya kuja Marekani ndo nikageuka kua bank. Napenda kusaidia lakini Mwenye kutaka kujiendeleza. Lakini kuna mwingine umemtumia pesa kila baada ya miezi 3 kwa miaka 16 na hayuko kilema. Kweli mengine unatakiwa kufikilia hata awe wewe
@YussufHaji-g1j
@YussufHaji-g1j 26 дней назад
Acha ujinga dada maana ya kuzaa watoto kwenye ndoa ,pia kikubwa nikutegemea mtoto wako atakusaidia kwa mbeleni na ndio furaha ya mzazi ,unaonaje wewe unamtoto wako na maisha yako sio mazuri then akakuambia kafanye KAZI muda upo ?
@dogodogo595
@dogodogo595 27 дней назад
Kama huna sema sena lkn sio kuwasema kwasababu hata wewe unaweza kukosa pia na ukaomba so acha kuwasema ndugu zako
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 27 дней назад
😂😂😂😂 ukweli usemwe
@RaphaelJickson-t7u
@RaphaelJickson-t7u 27 дней назад
Ukweli ndio ata wewe ungeomba tu SEMA umajipata hongera
@svt3
@svt3 27 дней назад
Ila kuna ndugu wanakera wanataka majukumu yao yachukuliwe 100% hata ukimpa mtaji miezi 4 haitapita anakuambia mtaji umehomba
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 27 дней назад
Kwenda nje sio kujipata. Hiyo ndio mindset ya mwafrika wanadhani ukishatoka nyumbani ndio tayari umetoboa kimaisha.
@user-dx6dm6lh1i
@user-dx6dm6lh1i 27 дней назад
​@@rumdeesonsoa1811Kumbe mtu anahangaika
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 27 дней назад
😂Hapo yupo Marekani hataki kuwasaidia ndugu zake hata kama ana nafasi hiyo, je anasubiri afe asafirishwe kwenda Kenya kuwanukia kwa lipi jema wanalomkumbuka nalo?
@hassanjuamchipua9384
@hassanjuamchipua9384 27 дней назад
Hizo perfume zote lazima unuke mavi tu 😂😂
@homeandaway2811
@homeandaway2811 27 дней назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@neemayatosha1618
@neemayatosha1618 27 дней назад
Khee!😂😂 tusifike huko jamani
@Agath45
@Agath45 27 дней назад
Unawasaidia kwa uwezo wako tu
@GalaxyDamian-gx9ov
@GalaxyDamian-gx9ov 27 дней назад
Acha ukweli basi 😁😁
@Lewinglovbi6699
@Lewinglovbi6699 27 дней назад
Bangi hizo 😂😂😂
@kanezajoella6663
@kanezajoella6663 27 дней назад
Mimi namu unga mko sana familia zingine zina kera kwa sababu kuna familia zingine zinashindwa kutu saidia tukiwa wadogo ila mtu ukisha jipata unaonekana muhimu sana pia mtu moja hawezi kusaidia familia nzima kuna watu kibawo wa inje wana tusaidia kuliko ndugu niheri imsaidie yule aliye kushika mkono kipindi cha ma tatizo
@missp1814
@missp1814 27 дней назад
Wafrica tunanamna yetu yakuishi na hii ndo inatusaidia kuinuana...na maisha yetu kiukweli yanatusaidia kuepuka na shida wanazopitia wazungu huko,ingawa sema ukipata ndugu ambao sio watataka kukutumia mno,ila hao ni wachache bana...Waafrica tuendelee na utaratibu wakusaidiana bana kama unauwezo saidia tu ndo baraka,me nimekulia kwenye familia mpaka Leo sielewi undugu wetu umekuja maana ukielezewa nani wanani ukifika mwisho umesahau😂imetufanya mpaka Leo tunashirikiana sababu tumekulia nyumba Moja.
@RonnieBertin
@RonnieBertin 27 дней назад
Kwani kumsaidia baba au mama yako kuna nini
@kijeshiabdalla6316
@kijeshiabdalla6316 27 дней назад
Sawa anakerwa, lakini sio vzur kwa yeye kuweka hazarani maneno hayo ni vyema angetumia busara
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 27 дней назад
Wape mitaji
@Eddyx21
@Eddyx21 27 дней назад
Ukweli unaumaa😂😂😂😂
@selemanisinda9452
@selemanisinda9452 27 дней назад
mimi sikupendezwa na kauli hii maisha ni mxunguko ata.yeye hasijione.kafika ipo.wakati nayeye ataomba, hata wazazi wako.wakukela ,kawaombe msama huijui dunia
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 27 дней назад
Hawanaga shukrani hao. Wakiwa na shida wanajifanya salamu nyng ukiwatumia tu hela wanakata mawasiliano hata hawakwambii imefika wala hawakwambii asante kukutafuta tena ni mpk wakiwa na shida tena. Jifunze kutofautisha kati ya upendo wa dhati na upendo fake. Mtu anakutafuta tu pale anapokuwa na shida ila akiwa hana shida anajifanya yuko bize
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 27 дней назад
Hawa ndo waombaji wenyewe sasa,kimewaramba
@Eddyx21
@Eddyx21 27 дней назад
​@@kekiplus1andonlymm mwenyewe nilikuwa na mawazo kama yako😂😂😂😂😂
@prettynayally2177
@prettynayally2177 27 дней назад
Kama unaafya njema😂shukuru
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 27 дней назад
hakyamungu tokeni mtusemee;;;yani usifanikiwe kila mtu anashida;;hawaangalii mdogo wala mkubwa;;;wengine ukishawaskiliza asante inawashinda,,,muache mtu afeel kukupa sio ukamfosi kisa mna undugu,,,na wengi huwa hatuendelei
@Divinelinna
@Divinelinna 27 дней назад
Kajinga ako kanaropoka tuu
@happymrema7487
@happymrema7487 27 дней назад
Izo kaz zikowap tufanye
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 27 дней назад
😂😂
@user-ch3ku3yx2z
@user-ch3ku3yx2z 27 дней назад
Hii michongo imezidi sana mocambigue ukiowa umeyakanyaga
@hopechidera
@hopechidera 27 дней назад
Mocambigue ni wapi?
Далее
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00