Rihama ni mwanamke anayejitambua sana. Nampenda sana yeye pamoja na mume wake. Wallah kuna siku nimewasimamisha barabarani na kwa ambavyo hawana maringo walisimama na kunisikiliza. Ujumbe wangu kwao ilikuwa ni kuwaambia ninavyofurahia mahusiano yao na kwamba nawapenda. Walipokea ujumbe kwa bashasha honi za magari zikatukatisha. Mungu awatunze na awadumishie upendo wao biidhin'Allah ❤❤❤
Nakupenda dda riyama yani hadi rahaa wallah nawaangalia ntamani kilacku thu muwe apo hhaaa mapenzi rahaa moto motoo ila nakuomba kitu ddangu riyama we ni muislam tafadhali naomba uctiri kichwa chako kwani haifai kabxa katk dini yetu mwanamke kuonekana hta unywele mmoja mie mkenya njo qatar ..i luv u so much nawatakia kila la kheri ktk ndoa yenu muendelee kua pamoja leo duniani mpk kesho akhera Insha Allah muzdi kufanikiwa😍😍😍😍😘😘😘
Mi nimeipenda. Ila uongo dhambi dada Riyama hua unanikosha saana moyo pale unapoigiza movie za KIISLAAM ukawa umevaa kisheria ya Kiislaam. Wallahi hua unapendeza saana. Namuomba Allah akupe moyo uje uwe ka bi khadija mke wa mtume (s.a.w.) kwa kushika dini in shaa Allah.
Kma hajawah kumfanyia mambo ya ajabu asisemee kuna wanaume na migume gumee hajapat gume gume huy na mtu aomb mabaya anaomba mema ila ad alipofikia anahak ya kumaifia miak mi 4 ming mnoo wengne waume zetu sim paswd kila sehemu
Mashallah, haki Nimefurahi na Umenichekesha Riyama,😂😂😂👏 nakupenda sana Riyama, Allah hawadumishe na hawasimamie katika ndoa yenu inshallah, nawapenda sana nataman hii interview isiishe wallah, Allah akupe umri mrefu Riayama, nafuraishwa na mineno yako😂😂😂😘😍😍
Zena Said yaan mpak rahaaa ila karnee hii kumpat mwanaume wa hiv mwenye upendo wa dhati dooh!si kazi ndogo wallah watu wahiv washakufa vit vya pili😀😀😀😀😀😀😀sahiv ni bahat 2 kumpat wa hivi hongera momy riyaama Alliy