Тёмный

Emmanuel Mgogo: IKO WAPI NJIA 

EMMANUEL MGOGO Official Tz
Подписаться 172 тыс.
Просмотров 299 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 141   
@IsaacEmmanuel-sc1tq
@IsaacEmmanuel-sc1tq 5 месяцев назад
Mtumishi huu wimbo nimzuri ukiliasa kanisa, namimi naomba nikuase rudi kwa Mungu umeshageuka unaimba nyimbo na uchezaji wa kidunia umeshaiacha njia, rudi,
@marychiyungu7741
@marychiyungu7741 3 года назад
Wow mwenye anasikiza hii song 2020 Gonga like twende zetu
@Jh-fe8zj
@Jh-fe8zj 2 года назад
2022
@hildandanzi4713
@hildandanzi4713 Год назад
Asante mungu uhuu wimbo
@boazotieno2574
@boazotieno2574 Месяц назад
2024
@bahatisenkana2039
@bahatisenkana2039 3 года назад
2014 hiyo nipo tunduma hapo kila bajaji inaupiga huu wimbo hadi rafiki yangu mwislam ilibid autafute huu wimbo
@ChrisMeshack
@ChrisMeshack 2 месяца назад
Mzik hauna mipak
@jastincharles6347
@jastincharles6347 2 года назад
It's now 2022. Asante mungu kwa zawadi ya uhai ,pamoja nakuzidi kumuinua mtumishi huyu I remember nikiwa mbeya 2014 at iyunga technical school ❤️.
@AgudaMbilinyi-vg3yv
@AgudaMbilinyi-vg3yv Год назад
Qqq
@laurenciamwalongo8165
@laurenciamwalongo8165 8 месяцев назад
Huu wimbo leo nmelala naimba kwenye ndoto had nmestuka naimba hcho kipande cha Victoria Nazah😢
@neboughtkalwila
@neboughtkalwila 7 месяцев назад
Nimeutafuta huu wimbo tena, 2024. Huu ni wimbo.
@johnmwongela7761
@johnmwongela7761 2 года назад
Neema iliyo ndani ya huu wimbo ni kubwa sana.Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu.You really bless me through your Ministry
@christinakyando3508
@christinakyando3508 11 месяцев назад
Niliijua huu wimbo kupitia dadaangu kila mara alikua anaimba aisee apumzike kwa aman
@msafiriomary893
@msafiriomary893 10 месяцев назад
Klo rice 3000 haijawahi tokes tanzania cement 20000 wanaongoza matumbo Yao,
@francismboma6839
@francismboma6839 4 месяца назад
2024 nyimbo kama ja jana vie😂😂😂❤
@judithchinga7349
@judithchinga7349 4 года назад
kipindi niko advance 2011 nilikua naupenda sana huu wimbo na still adi leo naupenda
@francisjapan1594
@francisjapan1594 3 года назад
Du mi form tatu 😂
@jastincharles6347
@jastincharles6347 2 года назад
❤️
@moseskimothoapostle6489
@moseskimothoapostle6489 2 года назад
2 year ago I was given this song in my prayers and fasting. ITs message of revival to the body of Christ, it shall remain in our spirit and SHALL BE KNOW IN MY TIME IT IS MY MESSAGE TO THE WORLD AND TO THE BODY OF CHRIST #ISA 58 #ISA 61 #JER 6:16-19 According to the time of men less than 9 yrs the message in this song shall be like gold to the soul of men. Body of Christ get prepared for the shift that is coming 2022/8/6
@mwamboshopendakazi984
@mwamboshopendakazi984 Год назад
Qqqqqqq😊qqqqqqqqqqqqqqqqqq
@mwamboshopendakazi984
@mwamboshopendakazi984 Год назад
Qqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqq qqqqqqqqqqqqqqqqqq😊qqqqpqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqqszs
@bukuruluminatha5185
@bukuruluminatha5185 4 года назад
Kabisa mtumishi wa mungu yani roho wamungu amekuonyesha. Maneno umetumia la wimbo huu nikama umeona yanayo tendeka kanisani kwetu mungu akuzidishie vipaji vingine.
@leonkangu2850
@leonkangu2850 Год назад
Mungu akubariki mtu wa Mungu napenda sana unyenyekevu wako ndani ya neno neema yake Mungu na ushirika wa roho mtakatifu ukuzidie.
@kelvinnzilano6153
@kelvinnzilano6153 4 года назад
Mtumishi hawa watumishi wadada ungeendelea kufanya kazi pamoja nao. Hakika utumishi wenu ulioana vizuri mno. Wanajua kupanda ukishuka, ukipanda wao wao wanashuka. Mlitubariki sana mlipofanya kazi pamoja.
@jafetjulius2227
@jafetjulius2227 3 года назад
Nimesikia kwamba mtumishi wa Mungu Ema yalimkuta mabaya yule aliolewa na tangu hapo mtumishi akabakii peke yake
@neemamussa1745
@neemamussa1745 3 года назад
Ooo Bwana Mungu uliponye kanisa lako🙋,Tupe Neema Ili tushinde tupe nguvu Ili tushinde,tushinde yaliyo mbele🙋🙌
@judithmartin9442
@judithmartin9442 Год назад
Mgongo hizi ndo nyimbo sio saiv na visuruali umeijua dunia
@BeatriceChaula-v5h
@BeatriceChaula-v5h 5 месяцев назад
Wimbo mzur
@reveliusmuchruza7952
@reveliusmuchruza7952 Год назад
Kibarikiwe sana kitabu cha Nabii Jeremia kwakuwa naaneno mazito ya huu wimbo na waimbaji Pia na watungaji
@yoramtango2470
@yoramtango2470 2 года назад
Mungu akutunze sana, yaani umeimba kwa hisia za ndani, ubarikiwe.
@judithmartin9442
@judithmartin9442 Год назад
Mgongo hizi ndo nyimbo sio saiv na visuruali umeijua dunia
@jannetjimv6231
@jannetjimv6231 3 года назад
Mungu akuinuwe emmanuely mgogo Mimi mdogoako Nafrai kuona Mungu yukopamojana na ww Nakuombea sana
@jeremiahmussa2178
@jeremiahmussa2178 9 месяцев назад
2023 bye bye song aliishi utamu
@NyikaErnest
@NyikaErnest Год назад
Hii ingawa ni ya zamani lakini unajifunza kitu Mgogo barikiwa sana kazi Yako njema
@jothamekisouke2326
@jothamekisouke2326 Год назад
Huu wimbo lazma unitoe machozi kila napouangalia Ni mzuri Sana aisee
@andisonkibona2158
@andisonkibona2158 Год назад
Balikiwa mtumishi wa mungu ulionwa na mungu tangu tumboni mwa mama kuwa utakuwa mtumishi bora
@mgogosinger
@mgogosinger Год назад
Amen! Ubarikiwe pia pamoja na uzao wako mteule
@NaborthSeverine
@NaborthSeverine Год назад
2023 julai stilll vrl❤❤❤❤❤
@judithmartin9442
@judithmartin9442 Год назад
Saiv visuruali rudi huku ujipime na wewe neno uwa ni upanga unakata kuwili na wewe umegeuka, imba kwa stahili hii na wavaaji wazuri
@salumdonard5014
@salumdonard5014 8 месяцев назад
Tunabaliwa wengi balikiwa mtumishi tuponewengi
@lesliemgimba
@lesliemgimba 8 месяцев назад
Nzuri sana hii song
@bellogregory7175
@bellogregory7175 2 года назад
Kwa kwel makanisa ya leo Mungu utusaidie😭🙌🏾
@emmymakeya5136
@emmymakeya5136 Год назад
Balikiwa sana 2023
@atupakisyemwangumbe6038
@atupakisyemwangumbe6038 5 лет назад
ivi mtumishi Yule sorolist wako yuko wap?
@jafetjulius2227
@jafetjulius2227 3 года назад
Yani hata mm nimemkumbuka sana yule solo
@EdwinMwainyekule
@EdwinMwainyekule Месяц назад
Aislee ndugu huu wimbo mlijitaidi sana hakika
@elizamasangula2935
@elizamasangula2935 23 дня назад
Shetani ana nguvu, Mungu nisaidie mwisho wangu uwe mzur
@alphamwafumbila3453
@alphamwafumbila3453 9 месяцев назад
🎉me nafunga mwaka na nyimbo pendwa ya mama angu 2023 gonga like Aya moja tyu inatosha
@densacom5951
@densacom5951 2 дня назад
2024 🎉❤Bado wimbo huu ni Baraka🙌🙌
@doriskashili8461
@doriskashili8461 2 года назад
Mtumish wa Mungu ubarikiwe Kwa huu wimbo..hauchuji moyoni mwangu...
@familysoundsgospel-music1263
@familysoundsgospel-music1263 8 дней назад
Hivi mpaka leo kuna watu wanaangalia huu wimbo mwaka huu au nimimi peke yangu 🎉🎉🎉❤
@RehemaAkukweti
@RehemaAkukweti 22 дня назад
Wimbo mzuri sana ubarikiwe sana mtumishi
@raymondstewart228
@raymondstewart228 9 месяцев назад
Victoria nazah her voice is 😮 ❤❤🙏
@ChrisMeshack
@ChrisMeshack 2 месяца назад
Eeee mungu babaa icho kipande nomah sana
@aisimborobby691
@aisimborobby691 3 года назад
Unanibarikig San Mungu akupe kibali chako
@judithkabyazi1471
@judithkabyazi1471 3 года назад
MUNGU IBARIKI KWAYA HII,HUWA INANIBARIKI SAAAAANA
@bukuruluminatha5185
@bukuruluminatha5185 4 года назад
Yani wimbo huu umenitoa machozi ya kiroho ju ya kanisa na watu alie wachagua mungu atuhurumie tunajichanganya sana.
@charlesmaregewimbomzurisaa5635
@charlesmaregewimbomzurisaa5635 4 года назад
Mungu akubariki mtumishi wimbo mzuri saana
@abdallahkellu1954
@abdallahkellu1954 4 года назад
Barikiwa Sana
@meshackmnyuluka5185
@meshackmnyuluka5185 4 года назад
I'm blessed saaaan mungu akutie nguv mtumishi
@twajamwalimu287
@twajamwalimu287 4 года назад
Hongera sana mtumish wamngu naupenda sana huu wimbo
@hasanialiy6576
@hasanialiy6576 4 года назад
Unaimba vzr sana emanuel Mgogo nahuyo mdada mwembamba anasauti nzuri sana
@salomeoberd2949
@salomeoberd2949 4 года назад
Bado naupendaga uwii
@kishokatz8727
@kishokatz8727 Год назад
Mimi naienda sana hii ngoma 2023
@janechipeta6231
@janechipeta6231 3 года назад
Niliwapendag bure
@nashoniambokile
@nashoniambokile 10 месяцев назад
2023 gonga like
@lewsally3409
@lewsally3409 Год назад
I love 💕 this song
@tumainilong135
@tumainilong135 Год назад
Nyimbo nzuri sana brother congratulation
@oscarndagile9483
@oscarndagile9483 4 месяца назад
HAICHIUJI. HONGERA. SANA
@amonmndulu5415
@amonmndulu5415 4 года назад
Amina Mtumishi wa Mungu..Simamia njia ya Bwana wewe ni kielelezo chema kwa wengi usipotelee mwisho kabisa
@eneckkyula3971
@eneckkyula3971 4 года назад
Amina nimebarikiwa kwer
@millybanga3544
@millybanga3544 5 лет назад
Hongera wimbo mzuri sana
@agnehtabetino155
@agnehtabetino155 4 года назад
Nabarikiwa mno na wimbo
@estarsaidi6114
@estarsaidi6114 8 месяцев назад
2024❤❤❤❤❤🎉🎉
@emmymakeya5136
@emmymakeya5136 Год назад
2023
@chrismeshack3168
@chrismeshack3168 Год назад
2023
@dastanmp
@dastanmp 3 года назад
Barikiwa sana. Lakini kuna nyimbo sizioni huku, niliwahikuwa nazo audio 2017 bahat mbaya ile flash iliji format, mojawapo ulikuwa huu, Nataka nikuone Bwana, na nyingine kama tatu ivi ambazo hizo sijawahi kuziona popote ata kwenye account yako. Please over please naomba ziweke kama utajaaliwa kufanya hivyo (Wataulizana n.k) nlikuwa nabarikiwa sana sana.
@RehemaMissinzo
@RehemaMissinzo 22 дня назад
2024😊
@AngleChanda-gs8xg
@AngleChanda-gs8xg Год назад
🙏
@jovitaaugustine
@jovitaaugustine 4 месяца назад
🎷🎷🙏🏾🥰
@sevelinahinnocent6803
@sevelinahinnocent6803 9 месяцев назад
❤❤❤❤
@JescaMwambete
@JescaMwambete 2 месяца назад
2024 ❤
@RehemaMissinzo
@RehemaMissinzo 22 дня назад
@jothamekisouke8199
@jothamekisouke8199 3 года назад
Hii ilikua ndio the best Album Mgogo, Hizo nyingne umebugi tu
@Tweve-k7q
@Tweve-k7q 7 месяцев назад
Amen 🙏🙏🙏
@esthermichael6856
@esthermichael6856 4 месяца назад
Hakika uzidi kubarikiwa mtumishi wa Mungu. Nasikia kuinuliwa kwa nyimbo zako.
@RaymondjrRaymondRJreymon-fw2de
@RaymondjrRaymondRJreymon-fw2de 8 месяцев назад
J
@NaimanNnko-xd3vd
@NaimanNnko-xd3vd Год назад
Good
@tumainkadinda1847
@tumainkadinda1847 3 года назад
Ivi nyiwaimbaji kwanini mkipata nyimbo mpya mnaacha kuimba hiizi zazamani
@julianabenard7840
@julianabenard7840 3 года назад
Barikiwa Sana na nyimbo..ameen
@naajpatrick9882
@naajpatrick9882 3 года назад
My favvvv song ❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@pastoreliamtishibi6854
@pastoreliamtishibi6854 2 года назад
Nilijuwaga huyu ndugu atafika mbali sana maana anamuhudumia mungu na sio wanaaadamu
@AgnesMgina-ud6ho
@AgnesMgina-ud6ho Год назад
Ilo niagizo tuka kwa mungu mwenyewe
@monicandengo4680
@monicandengo4680 10 месяцев назад
Ubarikiwe sana hakika hii kazi njema sana
@judithkabyazi1471
@judithkabyazi1471 3 года назад
MUNGU AKUBARIKI MCHUNGAJI NABARIKIWA NA UIMBAJI WAKO
@lusekelomwasandube2992
@lusekelomwasandube2992 Год назад
Wimbo hauchuji unaujumbe mzito sana
@lauranceanyawile9906
@lauranceanyawile9906 2 года назад
Wimbo bora sana huu!Sayuni Band@@#####@@@@@
@jeremiahmussa2178
@jeremiahmussa2178 2 года назад
Nyimbo nzur sana mungu naakubari mtumishi wamungu.
@peternyakunga9796
@peternyakunga9796 3 года назад
Mungu baba tushike mkono
@JacksonMayombo-g3o
@JacksonMayombo-g3o Год назад
Barikiwa mtu wa Mungu kwa wimbo mzuri
@yoramtango2470
@yoramtango2470 2 года назад
Mungu akubariki mtumishi, naupenda sana huu wimbo.
@godsonanthony6024
@godsonanthony6024 5 лет назад
Iko wapi njia?
@stevemauzo1126
@stevemauzo1126 5 лет назад
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgogo
@nandindale9418
@nandindale9418 Год назад
Naipenda sana.hii nyimbo ina injili sana
@PiusIlomo
@PiusIlomo Год назад
Safii sana song Kali sana hili
@denismalya8379
@denismalya8379 2 года назад
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@daynesskabanga5415
@daynesskabanga5415 Год назад
Nasikiliza 2022
@EstherSimwanza-ev6dl
@EstherSimwanza-ev6dl Год назад
Thanks you Jesus for giving us 🙌 knowledge
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 Год назад
one of the greatest song sang by mgogo Emmanuel
@fredrickrossenius150
@fredrickrossenius150 Год назад
Mungu akubaliki
@sydney.ikapaya9994
@sydney.ikapaya9994 4 года назад
Amina mtumishi
@edgarchristopher4147
@edgarchristopher4147 Год назад
Nabarikiwa
@lovenessessau5892
@lovenessessau5892 4 года назад
Nabarikiwa na huyo dada
@costerwilson8302
@costerwilson8302 3 года назад
amina
@estermachea3373
@estermachea3373 2 года назад
Safi nzuri nyimbo na sauti
@vailethmwagange1901
@vailethmwagange1901 2 года назад
2022 🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️
@sikudhaniponera2983
@sikudhaniponera2983 2 года назад
2022
@msafiriomary893
@msafiriomary893 11 месяцев назад
Mgogo mdogo nice
@WinFriday-km2ob
@WinFriday-km2ob 10 месяцев назад
Nice song
Далее
KAMA SI BWANA.
8:38
Просмотров 298 тыс.
荧光棒的最佳玩法UP+#short #angel #clown
00:18
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Просмотров 36 млн
Emmanuel Mgogo Nitayasimulia Official Video
10:22
Просмотров 1,6 млн
Uso Wangu
9:52
Просмотров 141 тыс.
Twendeni Sayuni
10:56
Просмотров 29 тыс.
EMMANUEL MGOGO - PAGALA (Official Video)
11:56
Просмотров 634 тыс.
Emmanuel Mgogo - Msikilize Mungu (Official Video)
11:42
BEST OF FANUEL SEDEKIA WORSHIP SONGS VOL 2
1:00:43
Просмотров 442 тыс.