Ahimidiwe Bwana wa mabwana asiyetutoa mawindo kwa meno yao. Nguvu zake Bwana zimetufunika: Tunalindwa, tuko salama. Ubarikiwe @Emanuel Mgogo kwa wimbo.
To be honest, naumia sana moyo wangu kwa kukosa hii collaboration ya Sayuni band na mtumishi wa Mungu pastor Emmanuel Mgogo. Mungu ndie anaeita watu na ndio anaamua wapi na wakati upi amweke mtumishi wake. Hizi nyimbo zilikuwa ni injiri tosha, sio burudani
Oooooh wooow. ..woooow ..wimbo poa zaidi huuu. ..❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Be Blessed Pastor Emmanuel Ezekiel Mgogo and Woman of Great lord God❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Shetani kufanikiwa kuisambaratisha hii kwaya,kuzimu itakuwa ilifanya sherehe ,wangekuwa pamoja hadi leo wangekuwa mbali sana kiroho na kimwili, Mungu tusaidie watoto wako,pale tunaposhindwa kwa akili zetu,tupe nguvu yako mpya ya kuanza upya
Hii nyimbo imenikumbusha mbali sana, kinachoniuma hii band ilishasambaratika kila mmoja anaimba kvyake@,majivuno na kujiona bora kuliwagawa hawa watu wa MUNGU😅😅
One of the best choir to happen in Mbeya. Mgogo rudi ufanye injili na hawa wadada. Hakika mliwezana sana. Wanajua ukipanda wao wanashuka. Wanakufaa sana kufanya nao kazi sote tunamwimbia Bwana kwanini usimame peke yako? Rudi umtumikie Mungu na hawa watumishi wenzio.
Apana mungu ana mambo mengi kwako mtumishi emmanuel mungu akutumie kupitiliza nimeinua mikono mimi kwako mtumishi umetoka mbari sana ubalikiwe na upitirize kutubaliki nasisi🙏🙏🙏🙏💯
Yaan huu wimbo hauna mfano wakuelezea naweza kusikiliza asubuhi hadi jion duh, ujumbe wake tu unanitosha kwa kweli Mungu aendelee kukutumia mtumish wa Mungu Emanuel mgogo salute nyingi zikufikie mahali popote ulipo 🙏🙏