Тёмный

ENEWZ - Best Naso anaabudu mizimu? 

EastAfricaTV
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 79 тыс.
50% 1

Enewz yenye upako isiyo ogopa jambo chini ya jua kuakikisha inakufikishia Habari, Tumeamua kuchimba habari zilizo mtaani kuwa muimbaji wa bongo fleva Best Nasso anashirikiana na mizimwi ili tu kufanya kazi zake za muziki zipendwe zaidi. Best Naso akiongea na Enewz amesema kuwa yeye si muabudu mizimwi.

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 171   
@terrietrizah3049
@terrietrizah3049 3 года назад
Nasso uko sawa sana nakukubali tangu wimbo wako wa narudi kijijini..msanii mpole na anayejiamini na nyimbo zako zinaburudisha...👍👍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@zakariasamwel6829
@zakariasamwel6829 6 лет назад
hongela kijana uko fresh wanaosema una2mia mizim acha wasema we pasua anga wana Mara 2ko sambamba nawe poa by mula kichuli
@BestNasoMusic
@BestNasoMusic 6 лет назад
Asanteni dumu zangu mungu wetu sote
@nadhlfasalmazena7444
@nadhlfasalmazena7444 6 лет назад
Best Nasso nikiacha kukupenda mmoja NI Chief maker napenda Sana Songs zenu
@salmagogo1038
@salmagogo1038 6 лет назад
Aminnnh inshallah my hakika amtegemeae hawezi choka jitahidi baba ibada ndyo kila kitu 😍😍😍😍😍😍😍
@estherjohnson8462
@estherjohnson8462 6 лет назад
best nakupeda sana kama vipi nipenambayako
@salmagogo1038
@salmagogo1038 6 лет назад
Esther Johnson mmmmmh mm napita tu
@mgayamakori1564
@mgayamakori1564 6 лет назад
Nakukubali sana kjn we machine piga kazi tuko pamoja sanaaaaaaa....... Mara 1 hiyo
@binttsulu647
@binttsulu647 5 лет назад
Mnapenda udaku huyo kaka anaabudu mungu bint kutoka kenya nampenda sana ata siwezi sikia zenu porojo kwanza ile nyimbo ya
@sandutara5393
@sandutara5393 5 лет назад
ngoma Kali sana kafanya besstinaso
@roseuwambe8089
@roseuwambe8089 4 года назад
Nasso upo juu sana nakukubali sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@amissabdala5163
@amissabdala5163 6 лет назад
Nimekuelewa Best waukwel unajua Broo.
@stumay-wx9rp
@stumay-wx9rp 5 лет назад
Nakupend balaa broo
@johnbernad3990
@johnbernad3990 2 года назад
Umejibu vyema kabisa Mungu ananguvu sana kuliko hiyo mizimu
@magrethpoulpoul8585
@magrethpoulpoul8585 6 лет назад
mabrooq best nasso. mung akupe nguv
@helenpeter6059
@helenpeter6059 6 лет назад
Me namkubali toka wimbo wake Tuma..hongera... Best naso
@zulfasaeed7445
@zulfasaeed7445 5 лет назад
Jaman namkubali sana huyu kaka nyimbo zake na nazifatilia sana mm kaka cha msingi kaza buti penye lidhik hapakos fitina kaka
@nhandinkwabi7724
@nhandinkwabi7724 6 лет назад
Nakuku bali sana best naso wakitambo
@salomejoseph
@salomejoseph 5 лет назад
Watanzania wanafik kenya tuna mkumbali sana best nasso
@heliethkiliani9169
@heliethkiliani9169 3 года назад
Mimi namkubali sana best naso
@adidjayousuf7300
@adidjayousuf7300 4 года назад
Naso yuko powa saana 🥰🥰🥰🥰
@elivtv.baseafrica3988
@elivtv.baseafrica3988 6 лет назад
Nigeria kuna tv zinapiga nyimbo zake uyo .nashangaa tanzania sijui mna loho gan .
@badboy2577
@badboy2577 6 лет назад
Askof Wa dar :Tv za bongo mpka ulipe ndo uchezeshwe yaani bila mtu wakukusimamia huskiki.
@elivtv.baseafrica3988
@elivtv.baseafrica3988 6 лет назад
RAJUM PICTURES du! Ngoja tuone kwa nay wa mitego itakuweje
@nadhlfasalmazena7444
@nadhlfasalmazena7444 6 лет назад
Askof Wa dar Wana dharau hawa
@binttsulu647
@binttsulu647 5 лет назад
benda sana best nasso
@lestobenito3772
@lestobenito3772 5 лет назад
Wanao sema best naso mchaw wao ndowanamloga asiendelee washamba hao
@annautenga9136
@annautenga9136 6 лет назад
duuu best yupo vzur saaana akiimba kwaajili yakuelimisha jamiii anawakilisha kweli ujumb unatufikia nice nasso kaza buty kaja anguuu
@papykatoziking2395
@papykatoziking2395 6 лет назад
congratulations bro best naso I'm one of your fan's from out of your country
@chrissiequeenmsami980
@chrissiequeenmsami980 5 лет назад
Nakupenda best naso
@christinajonas374
@christinajonas374 6 лет назад
Nampenda uyu kaka arafu anaonekana ajiskii kabisa lv you best naso😘
@fadhilamgao2516
@fadhilamgao2516 5 лет назад
best njo niowe nakupenda asan
@msaflus2492
@msaflus2492 6 лет назад
Best Nasso yuko vizur ktk kazi ... tatizo watz wengi wakiona mtu yuko vizur snahisiwa mchawi
@solangedasylver9124
@solangedasylver9124 4 года назад
Nampenda bure uyo kaka
@salmagogo1038
@salmagogo1038 6 лет назад
Nyieee nao achegeni unafki huyo kaka ni yuko vizuri mbaayaaa mm kwanza nampenda mnooo ila tu hana bahati kwa mashabiki wa juu ila kiukweli yuko vizuri mmmnooooo yaani anapendwa na mwshabiki wanao uujua mziki kama team kiba coz kaka anaimba anatumia hisia kali mno alaf kama angelikua anatumia mizim kwa mziki anao upiga huyo kaka nahisi ata diamond asingelimfikia huyo kaka yaani love u best naso nakusapoti sana kwa mziki wako na nitaendelea kukusapo mpaka mwisho love mingimingi bro 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@hussainhussain7869
@hussainhussain7869 6 лет назад
Kweli huyu jamaa namkubali sana yuko vizur sana nyimbo zake napenda sana kuzisikiliza tatizo nyota
@salmagogo1038
@salmagogo1038 6 лет назад
Hussain Hussain umeona eee lkn mkaka wa watu mashallah hana tatizo kwa kweli anacho kipata anaridhika izo izo show ndogo ndogo mwenye anasema Allhamdulilah kwa kweli mungu akuongoze ivo ivo
@hussainhussain7869
@hussainhussain7869 6 лет назад
Salma Gogo unajua sisi watanzania huwa hatuishiwi maneno chochote unachokipata rizika nacho hata yeye show anazopata amerizka nazo na ni mtu mtulivu sana huyu jamaa hanaga sikendo mbaya sijui kwenye mitandao sijawahi kuona kabisa ila ndo hivo ubinaadamu kazi
@salmagogo1038
@salmagogo1038 6 лет назад
Hussain Hussain umeona eee ila mungu yuko ndye atakaye msaidia🙏🙏🙏
@moshimongelwa7795
@moshimongelwa7795 6 лет назад
Tatizo nyota
@hkifofficial9001
@hkifofficial9001 5 лет назад
Pamojasana mzeebaba
@francinehategekimana9486
@francinehategekimana9486 6 лет назад
nakupenda bure wemkaka
@habauagway7251
@habauagway7251 5 лет назад
Best Naso nakupenda bureee
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 6 лет назад
Musanii mwenye Kipaji Heshima Bidii Mustaarabu Mi napenda saana huyo jamaa na nilianza kumfatilia toka ana anza 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏💪💪💪👏👏👏👏 Gooo #nasso
@nadhlfasalmazena7444
@nadhlfasalmazena7444 6 лет назад
Dkens Mo Pain Mimi pia kutoka NIPE NAFASI ,TUMA NAZINGINEZO
@aminaamin9885
@aminaamin9885 6 лет назад
Dkens Mo Pain saf
@stephanobogwa2917
@stephanobogwa2917 6 лет назад
naso unajuwa sana mbaka unabowa
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 6 лет назад
Best naso nampenda ni mpole so hanaga majibu mabaya
@hadija846
@hadija846 6 лет назад
Ni kweli kabisa tunazipenda sana nyimbo zako kwa sababu unajuwa sana kuimba dear 😘🎊🎉👍Pamoja saaana wakati wote 😍
@agnessjohn8404
@agnessjohn8404 6 лет назад
best nasor nakukubali Sana hakuna Nyimbo nisiyoifahamu uloimba wewe ni shida mungu akubariki ktk Kazi zako ufike mbali zaidi
@georgesamwelchacha7680
@georgesamwelchacha7680 6 лет назад
BEST NASSO NDIE MSANII ANAE TUPA BURUDANI NZURI VIJIJINI KWA SABABU WASANII WENGINE WAMEKIMBILIA DER WAMETUACHA PEKEETU DON'T GIVE UP #Best Nasso
@user-nb5ls7xq9p
@user-nb5ls7xq9p 6 лет назад
hii ni noma zana true bouy
@gracenyanza432
@gracenyanza432 6 лет назад
best nasso ni mtu wa kipekee san kwanza ajisikii mungu ampe maisha marefu na yenye baraka
@shirazeboss8472
@shirazeboss8472 6 лет назад
nakukubali san nasso
@braysonsifueli5154
@braysonsifueli5154 2 года назад
namkubali ssnaa
@williamssadala377
@williamssadala377 6 лет назад
Mmeongea point aisee huyu jamaa kijijini anakubalika kinoma noma
@georgesamwelchacha7680
@georgesamwelchacha7680 6 лет назад
Ni kweli huyu jamaa Yeye anaenda kupiga shoo hata vijijini Lakini wasanii wengine Wanajidai ni wa Der ET hawaji Bush 😂😂😂😂
@williamssadala377
@williamssadala377 6 лет назад
Na wakikosa show wanalalamika wakati wanatakiwa kujiandalia show zao wao wenyewe
@ezzytz6381
@ezzytz6381 6 лет назад
ndo hicho kinachonifanya nimkubal zaid best zarau hana kabisa
@omarymanyend5337
@omarymanyend5337 6 лет назад
Nawatakia maisha mema dunia nzima tupambane jamani
@elivtv.baseafrica3988
@elivtv.baseafrica3988 6 лет назад
Nafulai kuona anaongea live kwenye TV asante sana east Tv
@mohamedsadiki9846
@mohamedsadiki9846 6 лет назад
Askof Wa dar we baasha wakenin mbon unacommnt marambil mbili
@hejopansimon5217
@hejopansimon5217 6 лет назад
Askof Wa dar yaan ulivyompania
@elivtv.baseafrica3988
@elivtv.baseafrica3988 6 лет назад
Hejopan Simon jamaa anazingua kinoma yan
@nadhlfasalmazena7444
@nadhlfasalmazena7444 6 лет назад
Mimi MWENYEWE namoenda Naskiliza Sana nuimbo zake
@johndavid1142
@johndavid1142 6 лет назад
big up** best basso!!
@musakiangio8619
@musakiangio8619 4 года назад
Huyu jamaa anajua kuliko yeyote tz ila basi roho mbaya za wasanii wa tz wizard sana
@kituladigala4880
@kituladigala4880 5 лет назад
Huyo kaka momma napenda nyimbo zake
@shanizyusuf8210
@shanizyusuf8210 6 лет назад
apo umenena uko juu kaka
@binttsulu647
@binttsulu647 5 лет назад
Naomba namba yake kama inakubalika joo
@zennakailo8106
@zennakailo8106 6 лет назад
Watu wanajua kuzusha vitu duuuuuu!! Chamsingi kuomba mungu
@seifallywamunn4093
@seifallywamunn4093 5 лет назад
best nasso noma napenda ngoma take habari yako na khadija
@shanisaidy5033
@shanisaidy5033 5 лет назад
Best naso Mim binafs napenda sana nyimbo zako
@chitamuhaule3743
@chitamuhaule3743 5 лет назад
Kaza but I basso Mara hatoki fala
@alquinmadoro8064
@alquinmadoro8064 6 лет назад
Uwezo anao mkubwa sana ,mungu ambariki siku zote
@Zero_Brainer254
@Zero_Brainer254 5 лет назад
Best Nasso napenda nyimbo zako. Niko kenya mmi
@bercahot152
@bercahot152 6 лет назад
best in town!! best naso himself!!
@hassanmakacha3942
@hassanmakacha3942 5 лет назад
Nakukubali sana best nasso love you 💋💋
@asafu_tz8960
@asafu_tz8960 6 лет назад
duuuuu jamaa point kama una PHD
@hyasintakundy3257
@hyasintakundy3257 6 лет назад
Halafu anaongea vzr I like yur voice nasso piga kazi na Mungu akubariki never give up darlin
@khimfarawaytz6910
@khimfarawaytz6910 4 года назад
Ukovizur best nasso
@essaumnyama7855
@essaumnyama7855 6 лет назад
Mungu akuongoze hom"boy, good lucky!
@tausikaswaka4151
@tausikaswaka4151 3 года назад
kaka pga kazin usisikilize maneno ya wat tatizo nyota ukitunukiwa na mwenyezi mungu et unatumia nguv zagiza jamn usiwaze nakuombea kwa mungu akuzidishie kheli ishalla
@muddymuddy5870
@muddymuddy5870 6 лет назад
Nakupenda sn toka ngoma yko ya mam wa dar ulinishika sn naso mpaka leo cnambio.
@kashindielennat9544
@kashindielennat9544 6 лет назад
nakumbuka ulivyo kujaga kwetu kalemie Congo tuna kupenda sana unajua ku umba atuja kuchoka bado ata leo bado tunakupenda tu
@hamismadanga1165
@hamismadanga1165 6 лет назад
Anajua xna
@binttsulu647
@binttsulu647 5 лет назад
Nyimbo ya narudi kijijini weeeee iyo naicheza kila siku kila wakati hamna cha mizimu
@mwitadanyel4161
@mwitadanyel4161 6 лет назад
Best nasso nakukumbari xana brother jitaindi Brother
@malkavoice2570
@malkavoice2570 6 лет назад
Jamaa yuko bright sana ktk interview nadhani kuliko msanii ye yote ambaye mm namfatilia ktk hii Sanaa😃😃😃
@aminaamin9885
@aminaamin9885 6 лет назад
Nikeli.naso
@benardmanyama3415
@benardmanyama3415 6 лет назад
Nasso ni bonge la msaniii Tz na nje ya Tz anajua kuimba sana Best
@mchikarashidi1327
@mchikarashidi1327 5 лет назад
Nimekuwa nikimfatilia jamaaa toka nikiwa kagogoooooooooo ****hapo hakuna mizimu wala kinyagooooooo
@aishamohamed9868
@aishamohamed9868 6 лет назад
Jaman mm napenda sana muziki wa best basso
@nemiafranko303
@nemiafranko303 5 лет назад
You an bæst 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@frenkindagalafrenki7700
@frenkindagalafrenki7700 5 лет назад
waacheni unafki afu ni tumie namba za Best nasso kwaz
@japharimandalafamily6868
@japharimandalafamily6868 6 лет назад
Naqubali sana bg br best nasso
@mwajumakweli6753
@mwajumakweli6753 6 лет назад
Bestnaso up vizuri sana nakupenda ad humwa Mungu azidi kukusimamia
@habibuhika3653
@habibuhika3653 6 лет назад
nakubal kaka
@georgeperfect5696
@georgeperfect5696 5 лет назад
Kama msanii nikiyoo cha jamii BC naso in namba 1. Nyimbozake zafaakuangalia hata na watoto wadogo
@edwingwesso129
@edwingwesso129 5 лет назад
Saf xana nasso
@peterfujokalogi7821
@peterfujokalogi7821 6 лет назад
Nimejikuta naipenda duuuh hongera sana
@petersimkonda1440
@petersimkonda1440 5 лет назад
nitafute nakupenda sana
@geraldmasanya6306
@geraldmasanya6306 6 лет назад
Misago inaoneshaa humkubari nasso coz ni Mara YA PILI kucrash
@jumaigoti3666
@jumaigoti3666 6 лет назад
best naso mbona yuko vizuri ila media ndio hazimubebi ila yuko vizuri
@salvatoryevariato7190
@salvatoryevariato7190 6 лет назад
Nakukubali sana bestnaso
@acruxe5810
@acruxe5810 6 лет назад
Nakubali xanaaaa
@mwitadanyel4161
@mwitadanyel4161 6 лет назад
Best nasso nakumbari xana brother
@moshimongelwa7795
@moshimongelwa7795 6 лет назад
Huyu jamaa anapendwa Sana kijijini kiukweli alafu anatambulika snaa
@kassimabduli9028
@kassimabduli9028 6 лет назад
kwake huniambii kitu aanza kusikiliz nyimbo ya kwanza mpaka ya mwisho ndo utajuwa juhudi zake nakupe nasso Kama wanaona huna uwezo waweke wanae muona yuko juu na ww uwepo waone kazi zako
@mchikarashidi1327
@mchikarashidi1327 5 лет назад
Nasso anauwezo bhnaaaaaaaaaa ACHENI fitina Hiyo ni train ikiwashwa ni mbeleeeeeee Nassooooooooooooo hakuna mafanikio RAHISI kakaaaa
@herryguy
@herryguy 5 лет назад
Kwa sababu wewe ni best lazima mijadala iibuke kwani wakipita anga za madon members wanakutana na vumbi au manyoya kaza bro alway trust God
@petromanyonyi6874
@petromanyonyi6874 6 лет назад
Unajua bb ila njoo mjin
@johndavid1142
@johndavid1142 6 лет назад
💪💪💪💪 uko vzr nasso!?
@nasrimchopa678
@nasrimchopa678 6 лет назад
Kweli kabisa best Nasso anavuma sana vijijini lakini nashangaa hapa mjini Hamna Jina lake
@itresolutions951
@itresolutions951 6 лет назад
We love nasso from Mara
@elivtv.baseafrica3988
@elivtv.baseafrica3988 6 лет назад
Katika wasanii wote nchi ya tanzania uyo ndo msanii wengine mabosheni tu
@salmagogo1038
@salmagogo1038 6 лет назад
Askof Wa dar apa my dada umenena yaaani kaka anaimba huyu sio hisia tu adi mafunzo ani daaaa 🤔😍😍😍😍😍😍😍😍
@elivtv.baseafrica3988
@elivtv.baseafrica3988 6 лет назад
Salma Gogo kwenye status yangu nimuweka demu wangu ..mimi kidume bana
@salmagogo1038
@salmagogo1038 6 лет назад
Askof Wa dar 😂😂😂😂😂sorry my sorry
@elivtv.baseafrica3988
@elivtv.baseafrica3988 6 лет назад
Salma Gogo Asante sana kalibu lagos nigeria
@tausikaswaka4151
@tausikaswaka4151 3 года назад
napenda sana kusikiliza nyimbo zako kaka uko vizri san
@pendomassawe2854
@pendomassawe2854 6 лет назад
Msinikere kabisaa!! Naso ni mtu wa Mungu hatumii mizimu hata kidogo tunampenda tu maana ana kipaji kinachoeleweka kuliko mumseme vibaya huyo bora mniseme mm
@tatushebe5847
@tatushebe5847 4 года назад
Acheni kuwa wanafki kaziyake inakubariki ajawai kuimba upuuzi pigs kazi kaka watu wanakuelewa kinouuuma wenye kutumia ndumba azarani wala awafuatwi
@katengololosteven8196
@katengololosteven8196 6 лет назад
Ametokea Mwanza,au Iringa kwa Wahehe,,,!
@isibanianews1329
@isibanianews1329 6 лет назад
hahaha mbaba wanakushirikisha na matunguli,hakuna cha matunguli wala nini
@rizikimohamed8467
@rizikimohamed8467 5 лет назад
Acheni ujinga nyie uyo bonge la msanii
@boscopo8504
@boscopo8504 6 лет назад
Muacheni Nassor jamani #herena on the air
@samsonmanyaha9043
@samsonmanyaha9043 6 лет назад
Wakwe2 kule musoma
@reonardmajula5151
@reonardmajula5151 6 лет назад
piga kazi bro nyota imeonaka Kwan. watu Fanya kazi
@witnesskihaga2241
@witnesskihaga2241 6 лет назад
Best nasso piga kazi baba maneno hayajengi
@hyasintakundy3257
@hyasintakundy3257 6 лет назад
Best nasso anaimba jamani namkubali na nyie watangazaji acheni kuhoji pumba,,,
@aminaamin9885
@aminaamin9885 6 лет назад
Nakwminia.kak
Далее
Best Naso - Narudi Kijijini (Official Video)
5:24
Вопрос Ребром - Булкин
59:32
Просмотров 998 тыс.
ENEWZ CHECHE - Kauli ya Victoria Kimani
18:56
Просмотров 1 тыс.