Тёмный
No video :(

Enock Bella kwa sauti ya Komba - Buriani Magufuli - (Audio) 

Enock Bella Debase
Подписаться 122 тыс.
Просмотров 104 тыс.
50% 1

Wimbo huu ni maalum wakuomboleza ni wa watanzania wote Africa yote na Dunia yote tusikie na tuendeele kuyasema yote makuu aliyo yatenda enzi akiwa hai
Mungu mlinde na umpokee Baba yetu Amina
#Debasemusic#Buriani#Magufuli

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 355   
@mambokeshomqweli9427
@mambokeshomqweli9427 3 года назад
Mbona sioni likes za #Enock_Bella ama vilaza ni wengi humu Kama wamkubali basi tumlie #Magu kwa kulike hapa
@scolaemmanuel7459
@scolaemmanuel7459 3 года назад
Umeimba vizuri saña kaka asañte kwautuzi wako kwajiliya makufuli
@juliusjulius2080
@juliusjulius2080 3 года назад
Huu wimbo mkali kulko nyimbo zote za maombolezo
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 3 года назад
Kabla sijamaliza kuisikiliza hii ndo nyimbo yangu bora kwa waliomuimbia magu 🔥
@haroubabuu3766
@haroubabuu3766 3 года назад
mm .mwanzo nilijua kwangu mm alikua ni konde ndio namuona kafanya vizur ila kumbe enock ndio kafanya zaidi ya kitu kizuri
@nainaiblack6736
@nainaiblack6736 3 года назад
Km Mimi pia I support you
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 3 года назад
@@nainaiblack6736 👏
@shozylamparboom8393
@shozylamparboom8393 3 года назад
Kabisaaaa mzeee namsika kama Mzee Komba
@Dapeopletz7
@Dapeopletz7 3 года назад
Kawazidi akili wote
@williamdaud7359
@williamdaud7359 3 года назад
Ngoma kubwa xn like zenu
@albanoammuly4242
@albanoammuly4242 3 года назад
Japokua ni wakati Wa maombolezo ila Enock Toka Yamoto imevunjika huu wimbo ni mzuuriii sana na ndio wimbo Bora Wa maombolezo, cha mwisho japo si lazima jiunge na Toti
@fadhlikiweha5015
@fadhlikiweha5015 3 года назад
Yaani katika nyimbo zote zilizotoka za maombelezo hii ya kwako imenitoa machozi . R.I.P Kipenzi chetu JPM
@forextanzaniaa
@forextanzaniaa 3 года назад
Acha uongo
@moziidavchonchi3338
@moziidavchonchi3338 3 года назад
Skia ya P mawenge_Mavumbini...
@leviathaleopord9134
@leviathaleopord9134 3 года назад
Daaah 😭😭 hii nyimbo ni nzuri saaaaaaana kuzidi za wasanii wooote wa Tanzania walizoimba na ya pili ni ya peter msechu
@richardmbugi2746
@richardmbugi2746 3 года назад
Ngoma kubwa sana hii
@mudriqhamidu6031
@mudriqhamidu6031 3 года назад
Nani aliyerudia this song 2 time like me cz haushi ham kuusikiliza unahisia amemuenzi na I.R.P JON KOMBA KWA HIZO TUNE CZANGELUWA KOMBA WATU WANGELIA ZAID NA ZAID
@rogersdavis3058
@rogersdavis3058 3 года назад
Good mzee baba umepatia mule mule
@ayuburashid2557
@ayuburashid2557 3 года назад
Kwa kweri katika nyimbo za maombolezo za hayati magufuli hii ni nyimbo bora kuliko zote tuendelee kumuenzi mzeeemagu 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@shabanihamadi4331
@shabanihamadi4331 3 года назад
Dah!Umetisha Enock Bella Rest in Peace Dk Magufuli😭😭😭🙏🙏🙏
@abihudimndememndeme2121
@abihudimndememndeme2121 3 года назад
Kama kuna MTU aliyeirudia hii nyimbo zaidi ya Mara 5 gonga like zakutosha hapa tujuane
@justinejoseph2644
@justinejoseph2644 3 года назад
Jeshi la mtu mmoja umetisha wimbo mzuri sana huu ya kumuenzi
@maduhusamweli201
@maduhusamweli201 3 года назад
Nilikuwa nasubili wimbo wa kuombolezea huu msiba,huu sasa unatosha na tunaimba wote na 😭😭😭🙏
@sannymalava
@sannymalava 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-p-w7qjnZhAU.html
@jeremiewelongo2484
@jeremiewelongo2484 3 года назад
Tumesikiaa nyimbo nyingi za kuenzi MAGU ila ngoma hii ni first level I swear
@mungwetv945
@mungwetv945 3 года назад
Nimeshindwa lala nausikiliza tu tuufanye huu wimbo uwe ndo 1 katika zote
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 года назад
😭😭😭Nenda magufuli hakika hakuna kama wewe baba jasili hukuogopa mtu wala kitu hatatokea kama magu hakima tutakukumbuka daima😭😭🇹🇿
@zainabumwagiroabdallamwagi97
@zainabumwagiroabdallamwagi97 3 года назад
Kwa wasioijua hii nyimbo iliiimwa na captain Komba mwaka 1999,lkn bela ameifanyia haki na kutukumbusha .hiyo ni moja wapo ya kazi za msanii kukumbusha na kufariji,mungu amlaze mahali pema peponi rais magufuli.
@Elimunamalezi
@Elimunamalezi 3 года назад
weraaaa bonge la wimbo,yaani ni huuu na msechu tuuu zingine mbwebwe tuuuu,kanyaga twende enock safi sana with big voice
@mosesmlowe9207
@mosesmlowe9207 3 года назад
Enock ndugu/rafiki yangu umetisha aisee wimbo mkali sana... Sasa mbona ulichelewesha kuutoa
@jasminekatalia1959
@jasminekatalia1959 2 года назад
My favorite artist in TZ I'm from zambia
@laurenciamushi2576
@laurenciamushi2576 3 года назад
R. I. P jemedari....... Katka ngoma zote hii ngoma hatar hongera enock bella
@celinakomba2632
@celinakomba2632 3 года назад
Bigapu ziende kwa enock umetisha sana umenistua moyo wangu nimemkumbuka komba sasa
@harunabusengaupdates9518
@harunabusengaupdates9518 3 года назад
Enock Bella una makusud hii nyimbo noma sana
@pius1359
@pius1359 3 года назад
Hatimae tume upata wimbo Mkuu wa Maombolezo....
@swalehesaad4383
@swalehesaad4383 3 года назад
Hahahahahaa watz wanafki sana yaani mshamsaliti tayari peter msechu
@jbmwakyusa7459
@jbmwakyusa7459 3 года назад
Ume Tisha enock kombaaaaaaaaaa Asante kwa kazi nzur
@meralytanzani4443
@meralytanzani4443 3 года назад
Machozi tena yanaanza upya huu wimbo jmni hongera sana Brother 😭😭
@mussakongakonga6416
@mussakongakonga6416 3 года назад
Nimeumia Sana nenda kipenz Cha wtz r.i.p. magufuli
@dladchalle9179
@dladchalle9179 3 года назад
Hii sasa naweza download hata kwa simu sio zile kwaya nlizokuwa naziskia🥰 best song 🙏
@zawadramadhan8635
@zawadramadhan8635 3 года назад
Safi
@tatoorashedi1787
@tatoorashedi1787 3 года назад
Hongera enock kwa wimbo mzuri wa maombolezo
@jumamaganga2959
@jumamaganga2959 3 года назад
Umetisha sana enock bella kuliko nyimbo zote rest In Peace baba magufuri 😥😥😥😥😥😥😥😥
@dinnahhyypollyydinna2346
@dinnahhyypollyydinna2346 3 года назад
Huu ndiyo wimbo,, nyingine mbwembwe tu: Hongera Enocky
@damaspmtz1018
@damaspmtz1018 3 года назад
Ongera kwa nyimbo hii kwani inagusa sana ila Mungu ni mwema atatuvusha kwa magonjwa na malazi haya ya Corona
@chumamedia7154
@chumamedia7154 3 года назад
Duuuu nimekumbuka mbali mno hakika ni maumv makubwa sana
@dula8819
@dula8819 3 года назад
Kwa hakika enock ufanya kaz kwenye hiiii ngoma ipo sawa Sana umewakalisha mpka wale wazee wakik
@obedmwinuka6973
@obedmwinuka6973 3 года назад
This is amazing song, nyingine mbwembwe tu
@samsonkaboko5137
@samsonkaboko5137 2 года назад
Asante Sana enock machozi yetu HATUTAMWAGA BUREE
@muddyhamza9606
@muddyhamza9606 3 года назад
Aisee umeweza Sana sijategemea hiki ulichokifanya nasema hivi umeweza Sana sijategemea ✍️✊🏻🙏🏼😅💯💯💯
@barakajacob5692
@barakajacob5692 3 года назад
Kaka uje etengeneze video nzuri ya huo wimbo ni kumbukumbu ambayo haitatutoka masikioni
@kazumaryussuph1641
@kazumaryussuph1641 3 года назад
M naaamn enoq ukja ukapata menegement mzuur utatoboa hii nyimbno hata Kama n ya maombolezo ila 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💔
@mtungujatz9495
@mtungujatz9495 3 года назад
Yani katika nyimbo za maombolezo hii kali sana
@mussakongakonga6416
@mussakongakonga6416 3 года назад
Enock nipeinda Sana umetufarij Sana hakika tumeumia Sana Rip
@faizaahamd2052
@faizaahamd2052 3 года назад
😭😭😭😭😭😭😭😭e Mungu muweke mahali Pema peponi .hakika ni simanzi kubwa sana nalia hadi nachanganyikiwa kikubwa dua tu👏👏👏 tumuombeee Inshaalaah 😭😭😭😭
@mussaenock8928
@mussaenock8928 3 года назад
We ndo umeomboleza kwa wimbo bola sana hongera ote tuimbe na kumuenzi mkomboz wa uchumi wetu
@AsiaMkusa
@AsiaMkusa 3 года назад
Umeweza mdogo nilikuwa natamani hivi hata kabla sijamaliza kuusikiliz
@bakariadamu6068
@bakariadamu6068 3 года назад
Daa umepita mule mule 👏👏👏
@agustinondaga2364
@agustinondaga2364 3 года назад
Enock umetisha sana kuliko nyimbo zote 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@shozylamparboom8393
@shozylamparboom8393 3 года назад
Tunajua wew ni mzee KOMBA umefufuka unatuchoraa hapaa tuu sawa asante lkn tulimis sana hii
@pallumizzymussa8005
@pallumizzymussa8005 3 года назад
Asante Enock Bella unajua kuiga sauti ya komba
@selemanishabani6843
@selemanishabani6843 3 года назад
Ulichelewa saana,sema uko vzur
@isaackbm1935
@isaackbm1935 3 года назад
Yes ndo nilikuwa nausubiri huu wimbo sasa 🙏👏👏👏
@mudriqhamidu6031
@mudriqhamidu6031 3 года назад
This it's my best song big up Saut ya Zenge ENOCK BELLA IPO SWA 🙏🙏💯😭😭😭
@leonardedward8630
@leonardedward8630 3 года назад
Ebhanaeeeeee Noma Sanaaaa
@salmonketheatreofskills717
@salmonketheatreofskills717 3 года назад
First one here.
@hanceypop
@hanceypop 3 года назад
jamani hii ngoma kali tuacheni utanii
@omarmkumba3547
@omarmkumba3547 3 года назад
Enock,kwa hii nyimbo ww unafaa kua mlisi wa marehem komba Big up
@josephfuraha2289
@josephfuraha2289 3 года назад
Bella kama enock
@vailetikulanga5393
@vailetikulanga5393 3 года назад
Dah kaweza
@neemagondwe926
@neemagondwe926 3 года назад
R.I.P Rais wangu kipenzi Magufuli
@yasintamakongoro9458
@yasintamakongoro9458 3 года назад
Nimekumbuka Sana rais wangu
@alfredjohn5693
@alfredjohn5693 3 года назад
Wimbo huu utaishi sana
@othinielkamyola3697
@othinielkamyola3697 3 года назад
Duuuuuuu! HONGERA enock
@johnsonfrodianus6237
@johnsonfrodianus6237 3 года назад
Huu ndo wimbo sasa
@nishasalim2880
@nishasalim2880 3 года назад
Yaani huu mwimbo unaniliza.
@irenejustine3367
@irenejustine3367 3 года назад
Daah Bella umeimba vizuri
@stephenmussa7221
@stephenmussa7221 3 года назад
👏👏👏👏umetisha mzee baba
@lubungaetienealmasi1059
@lubungaetienealmasi1059 3 года назад
Song zuri sana
@georgembilinyi2824
@georgembilinyi2824 3 года назад
Nyimbo nzur san toa na video
@omarykambombo7264
@omarykambombo7264 3 года назад
Umetisha enock kinoma
@AlmassDD
@AlmassDD 3 года назад
Brother enock umefanya ki2 kizuri japo tupo kwenye huzuni mkubwa 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏
@fredyfundi6
@fredyfundi6 3 года назад
hakika kaweka kitu nzur katukumbusha vitu viwil kwa wakat mmoja.....daah jamaa apambane
@emmanuelmwanzalima4508
@emmanuelmwanzalima4508 3 года назад
Umeimba safi sanaaaa
@jasonomary736
@jasonomary736 3 года назад
Big perfect song enock bella
@ramaatzmtunguja7382
@ramaatzmtunguja7382 3 года назад
Nakhbar sanaa unajua bela
@abihudimndememndeme2121
@abihudimndememndeme2121 3 года назад
Ebwana umeuwa san pongezi san dah
@peterrizicky4299
@peterrizicky4299 3 года назад
komba is alive again big up
@geofreymchomvu5134
@geofreymchomvu5134 3 года назад
Hongera sana kaka bonge langoma
@duckeboy8800
@duckeboy8800 3 года назад
Dah ipo vizur San bro endelea kupit na mikat Kama hii utafika mbal maan nivitu adim san
@raboymziki336
@raboymziki336 3 года назад
Ngoma kali ya maombolezo Enok
@nishasalim2880
@nishasalim2880 3 года назад
Yaani hii ndio nyimbo iliyofana kwa msiba wa JPM. R.I.P. 🇹🇿💪
@iranangole7007
@iranangole7007 3 года назад
Umeua kaka akuna nyimbo mzur kama hii ngoja ni Download kabsa
@hamissahamissa105
@hamissahamissa105 3 года назад
Enock humejitaidi sana humenifanya nilietena kusikia huu wimbo 😭😭😭😭😭😭😭
@mungwetv945
@mungwetv945 3 года назад
Nimeufurahia sana
@markosikudhani799
@markosikudhani799 3 года назад
daaaah yaan umeua kk
@njentertainment2507
@njentertainment2507 3 года назад
From kigali Enock bella umefanya jambo la maana
@deogratiusdominick8882
@deogratiusdominick8882 3 года назад
Aseeee umenkumbusha mwaka 1999.
@celinakomba2632
@celinakomba2632 3 года назад
Tuache unafki huu wimbo umetikisa mioyo
@haroubabuu3766
@haroubabuu3766 3 года назад
mm mwanzo nilikua nikisema konde ndio kafanya vizur ila kumbe enock ndio kafanya zaidi ya kitu kizuri
@nishasalim2880
@nishasalim2880 3 года назад
Sana tena voice ya kingoni. Wangoni oyeee!👍🇹🇿
@nasirabdalla8646
@nasirabdalla8646 3 года назад
Kweli celina nakuunga mkono
@esterdoriye4304
@esterdoriye4304 3 года назад
Tatizo umechelewa basi upigwe siku ya 40
@suleshjunior7363
@suleshjunior7363 3 года назад
Uko vizuri sana Enock👏👏👏 Nakubali kazi zako toka kipindi kile cha #Mkuyu till now kwny #Chukua mpaka kwny hii #Buriani Hayati Dk Magufuli Salute Bro.
@elishamagayane8125
@elishamagayane8125 3 года назад
hii ndo voice inahtajka isikike wakat huu wa majonzi, hongera kijana
@victorkipkoech5668
@victorkipkoech5668 Год назад
This is feeling how losing a good person
@clintonjoas9020
@clintonjoas9020 3 года назад
Vizuri sana
@eggysulle7988
@eggysulle7988 3 года назад
Umebamba dogo uu wimbo sukar mno
@JamaBoy.
@JamaBoy. 3 года назад
Duh hii Tam sana Mzee wangu
@decodesttz
@decodesttz 3 года назад
Dakika takriban 30 nasoma comment huku nausikiliza huu wimbo oi enock hii ndo Ngoma yakwanz nayamwisho katikat zote zlizoimbwa kwenye maombolez ya msiba wa Mr president
@ezradaniel4613
@ezradaniel4613 3 года назад
Safi sn
@mungwetv945
@mungwetv945 3 года назад
Katika nyimbo zote za kuomboreza huu ni best song
@ibrahtv5592
@ibrahtv5592 3 года назад
we ni msanii pekee ulojenga iman ktk vfua vya watanzania wengne wanakatwha tamaa watanzania hongera sana kaka
@sadmahossein9030
@sadmahossein9030 3 года назад
Got it right bro MANENO MAZITO.
@isackboniphace516
@isackboniphace516 3 года назад
Motooo...
Далее
Mtunzi wa (BASI) ni ENOCK BELLA tazama hapa
4:34
Просмотров 1,4 млн
Как дела перцы?
00:25
Просмотров 71 тыс.
Почему-то хочется плакать
00:17
Просмотров 516 тыс.
Cristiano Ronaldo Surpassed Me! #shorts
00:17
Просмотров 11 млн
Tuonane
4:33
Просмотров 35 тыс.
Capt John Komba - Lulu ya Amani (Official Audio)
5:25
Просмотров 3,2 тыс.
PAUL TSUMA - VIGELEGELE
3:53
Просмотров 131
IMENIUMA SANA by Zabron Singers (Official Video)
5:05
Просмотров 998 тыс.