Тёмный

ENOCK BELLA: Sijaimisi Yamoto Band, Hakuna Walichonizidi/ Hawabadiliki 

Dozen Selection
Подписаться 230 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 51   
@issajohn8983
@issajohn8983 5 лет назад
Enock bella debase mkali wamasauti
@ousmanjuma3396
@ousmanjuma3396 5 лет назад
Nakukubali sana enockbella the BASE
@hmatta1225
@hmatta1225 5 лет назад
😂😂😂😂😂 naona kabisa unashindwa hata kuonyesha picha ya mbosso utafikili yy sio yamoto
@dullahdulayo4361
@dullahdulayo4361 5 лет назад
Ndiwoo nakubal bella
@neytoboy4925
@neytoboy4925 5 лет назад
enock naamini sana talent yako brother uko vizuri
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 лет назад
Keep it up young man.. tuko nyuma yako.. utabaki kuwajuuu, utabaki kuwa kileleni iyooooooooo 😂🤣😂😂
@damamapasscall9926
@damamapasscall9926 5 лет назад
Pambana enock bella
@sampalsa_Official
@sampalsa_Official 5 лет назад
KizaZi San mzee @debase kazi kazi mzazi wangu
@freddytoyo8082
@freddytoyo8082 5 лет назад
nakubali Sana broo
@ahmedsalum5504
@ahmedsalum5504 5 лет назад
#DozenSelection mnafeli sanaa Wcb ni maji2 kama hamuta yanywa bc mutayaoga2 yaani munashindwa kutaja jila Mbosso🤣🤣 #BabaZenu..!nyinyii
@issajohn8983
@issajohn8983 5 лет назад
Kizazi cha clous mnalaana kwani mbosso katokea wapi maana hatujamsikia atajwe kwenye majina yajumla ya yamoto
@kindandakudingwa7514
@kindandakudingwa7514 5 лет назад
7babu MBOSSO ni TEAM muziki mzuri, akimtaja ni sawa Na kumpromote
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 5 лет назад
Wewe fala hapa mskilize bella
@hasnaabduly4945
@hasnaabduly4945 5 лет назад
Umenenepa kweli
@albertoarcangel5859
@albertoarcangel5859 5 лет назад
Izo nywele mh
@mjanthony4864
@mjanthony4864 5 лет назад
Interview Nzima Jina la MBOSSO linaogopwa kama Ukoma. Ha ha haha..!!! Mamamaeeeeeee mtanyooka tu.
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 5 лет назад
Kweli ww fala asee ko msanii umemuona mbosso tu
@koffiianord5700
@koffiianord5700 5 лет назад
Enock Bella nakukubalisana
@afhd7079
@afhd7079 5 лет назад
Nakubali kaka yangu
@adamtimotheo3157
@adamtimotheo3157 5 лет назад
Dogo shavu
@osmanmustafa2925
@osmanmustafa2925 5 лет назад
Jamaa namkubali itafika time yake
@shanisshow1864
@shanisshow1864 5 лет назад
Osman Mustafa time yake ipi nahao unaoona wamefika ni kinanani Mbosso, beka wanamzidi nini huyu jamaa Mwenzao yupo nje na ndani Inawezekana wimbo kawazidi sana. Mbosso kapata mashabiki kwa wcb Labda beka na asley na wako sawa
@salmambonde1321
@salmambonde1321 5 лет назад
Ndugu mtangazaji mbna mboss humuongelei
@chafumirro5617
@chafumirro5617 5 лет назад
Umeniwahi😂😂😂😂 itakuwa ni mashart ya kazi kutoka kwa twangala
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 лет назад
Salma Mbonde Kwani wametajwa mara ngapi? Come on ppl
@kevincray3450
@kevincray3450 5 лет назад
Beka nakukubali Sana lakini hao kina wenye hii Chanel wanaushamba ndani yao tena washamba sana
@johansenbashange2628
@johansenbashange2628 5 лет назад
Mbosso alikuwa Yabaridi. Band?
@starkid4336
@starkid4336 5 лет назад
Kama unamkubali debase tupia like yako na comment......usisahau kusubscribe kwa RU-vid Chanel yangu
@dannielahdonah4673
@dannielahdonah4673 5 лет назад
napenda base yk
@chinguilechinguile1501
@chinguilechinguile1501 5 лет назад
usitegemee kama utafika mbali na hii online TV.U need to avoid bias.U didn't mention mbosso even once as if yamoto was made of 3.
@sheillachisika2600
@sheillachisika2600 5 лет назад
Dozen acha ubagusi mbona walikua wanne wakiwa yamotto
@shangwemyuki3466
@shangwemyuki3466 5 лет назад
Kiukweli haya majamaa ni mabaguzi sana, roho zenu mbaya hazitawashusha wcb. Hamukomi tuu
@williampanga2818
@williampanga2818 5 лет назад
Maana yakuSubscribe ni nini sasa ?? Acheni Ufala badilikeni Pumbavu
@abuubakrachani1943
@abuubakrachani1943 5 лет назад
ivi sisi tunaodiss kwann hkutajwa Mbosso kweny .....tunajuwa kwann hajtwaje au tumeegemea kwny uchochez tu........hata ss pia tunachngia chuki baina ya wahusika
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 лет назад
Abuubakr Achani Nimeiona hiyo pia, hivi najiuliza wengine wametajwa mara ngapi? Kwanini tupagiane cahakuuliza? Duh waTZ
@vivianminja6332
@vivianminja6332 5 лет назад
Lzm tuulize kwani we umeona alichokifanya huyo mtangazaji yupo sawa? Au yamoto walikuwa wa3?
@giftmboni2222
@giftmboni2222 5 лет назад
Haaaaa
@mariamalex8683
@mariamalex8683 5 лет назад
Wewe mtangazaji mbona haumtaji mbosso? mnaanzisha TV online kusaport vijana lakini mambo bado ndo yaleyale ! I hate this for sure
@TheBongotech360
@TheBongotech360 5 лет назад
Kupata story za sema sepetu kujihusisha na mapenz ya jinsia moja ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-GBWeHpQnGcY.html
@attakerattack1652
@attakerattack1652 5 лет назад
Please speak English sometimes u have a lot of fans who cannot hear the language u are speaking 🙏🙏
@TheBongotech360
@TheBongotech360 5 лет назад
Kupata story zote za WCB bonyeza hapa ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-GBWeHpQnGcY.html
@majanimsethi2096
@majanimsethi2096 5 лет назад
Komaa kijana ndo utajiri wako huo
@eriusemanuel5938
@eriusemanuel5938 5 лет назад
N
@maikomwangamba4734
@maikomwangamba4734 5 лет назад
Nimechukia sana ndo unafiki unaendelea kwamba hili ni tawi la clouds , kwamba ya moto walikua watatu. Mboso hakuwepo au?
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 лет назад
Maiko Mwang'amba kwani kwenye picha amekatwa hapo kwenye screen yako?
@maikomwangamba4734
@maikomwangamba4734 5 лет назад
@@RamazaniMulongeca sio picha . ayo akiulizwa Enok umemsikia mbosso?
@kochantv8554
@kochantv8554 5 лет назад
Swadakta enock
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 5 лет назад
Maiko Mwang'amba Hakuja kuitambulisha YaMotoBand bro.. katizame ngoma yake, Mpe support fresh... Utabakia kuwajuuu
Далее
Harmonize X Hamadai - Tushukuru kwa yote (live band)
3:02
Тупняк 🤣
0:11
Просмотров 976 тыс.