Тёмный

Mke wa ROMA alivyotambulisha wimbo wa ROMA - ZIMBABWE Clouds FM 

Vimba Media
Подписаться 681 тыс.
Просмотров 215 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 183   
@obedmalongo664
@obedmalongo664 7 лет назад
Zimbabwe Ni bonge la Ngoma Roma.Keep it up brother nakukubali Sana mkali wa Hip Hop
@veronicasarvatory9516
@veronicasarvatory9516 7 лет назад
Huyu WiFi yetu mi namekubali Sana. Anajibu maswali vizuri. Hongera Sana Mrs Roma mungu aibariki ndoa yenu.
@kihanda2554
@kihanda2554 7 лет назад
Ndiyo faida ya Kuoa Mwanamke ambae anaelewa unacho kifanya na ambae yupo tayari kuvaa viatu vyako. #Nimempenda sana Mr ROMA. Hongera Mama wanawake wengine wajifunze kwako.
@pakitinojotikikoti2668
@pakitinojotikikoti2668 7 лет назад
Hilo ngoma la Zimbabwe is xo Smart i lyk t...... Keep t up rome mkatiliki
@michaelevarist197
@michaelevarist197 7 лет назад
Vivaaa vivaaa Roma daaaah ndug yetu Roma umeamua kuhama Tanzania nakuamua kwend kuanza maish mapya Zimbabwe kila rahel Roma naamin utaish kwaaman uko maana uku awapend useme ukwel vivaaa vivaaa
@khalfanseif1410
@khalfanseif1410 7 лет назад
big up sana clouds kwa vipind bora na vyenye mafunzo ,mamy baby salut
@mbarukumwinyi3046
@mbarukumwinyi3046 7 лет назад
Shemeji wetu mzuri sana mashallah
@omarynkindwa1418
@omarynkindwa1418 7 лет назад
ngoma qaliiii kinoma an #bigup sana an
@Zawadi-1
@Zawadi-1 7 лет назад
Nime'mpenda bure ,huo dada mtangazaji❤❤❤.
@davidphares5316
@davidphares5316 7 лет назад
muami mamy mashallah umetokelezea kinyama mkwe wangu ibra akukosea kuchagua toto nimezaa hasaaaaa na napenda kumpongeza muami ana akili ya kufikiria kuwa huyu mume hii ni kazi yake kwa hiyo anamuelewa jinsi alivyo mume wake sio kugombana na kuweka mitandaon wote waelewe leo roma kanipiga leo akulala ndani hayuko hivyo mjifunze wake wa wasanii muige mfano wa mrs roma big up mamy so mwaaaaaaaaaaaa
@bm4tv602
@bm4tv602 7 лет назад
pole sana na nyimbo nzuri sana
@malaikatumaini7460
@malaikatumaini7460 7 лет назад
mke Wa Roma mzr San mungu akulinde na familia yako my sstar
@nkwabimayunga473
@nkwabimayunga473 7 лет назад
inapedeza sana kuwa na mke mwenye upendo wa kweli hogera roma mungu alikupa chaguo la ukweli ni mke wamfano katika upendo
@sephaniandabila8651
@sephaniandabila8651 6 лет назад
nampenda huyo dada n mtangazaji kinomaaaaaaaaaaaa!
@beatriccharles3767
@beatriccharles3767 7 лет назад
ngoma Kali Sana ubalikiwe kaka angu roma mkatolili
@asmeramir2371
@asmeramir2371 7 лет назад
Adam mchovu bwana hahahaaa
@hamzamakame5437
@hamzamakame5437 7 лет назад
mke wa Roma mashallah
@moseslaurentlaurent9365
@moseslaurentlaurent9365 7 лет назад
Hilu Man toto sihaba
@holisticpartnersdevelopmen2389
I like the song Zimbabwe...
@gershonkomando4669
@gershonkomando4669 7 лет назад
Bonge la coupleee.....jamniii msituangushee jamniii kamaa wa kinaa flan iv....naipendaa couplee yenu
@pillyhamis5805
@pillyhamis5805 6 лет назад
Gershon Komando Nancy we ni mrembo sana mama
@saidthuwein2645
@saidthuwein2645 7 лет назад
big up mama Ivan u duin a great job shemalaaa...#the king is bak
@hosianakibona659
@hosianakibona659 7 лет назад
she is a strong woman. she deserve it all
@catherinemsofe8020
@catherinemsofe8020 7 лет назад
adamu mchomvu ww ni kwereee nakupendaje sasa?!!! mrs roma mzuri sana. kipindi kipo powa, nakwenda zimbambwe ni fire.
@erastokitime5208
@erastokitime5208 7 лет назад
hakuna binadam mmbaya dunian mnae mponda huyo Dada mungu anawaona tabia mbaya
@adamuphilipo9020
@adamuphilipo9020 7 лет назад
dah! nomaaaa sanaaaa!!!!
@princesspeter48
@princesspeter48 6 лет назад
Mashallah
@kwanzatv490
@kwanzatv490 7 лет назад
Zimbabwe ni nchi ambyo kiuchumi imeanguka kisiasa inaendeshwa ...............NA hali za kimaisha wanawanchi wake maisha yapo duni so Roma kusema yupo zimbabwe ana bashiri Tz inaelekea ivo
@gisangasamson1580
@gisangasamson1580 7 лет назад
Izrack Zungu very true
@prettygrl2793
@prettygrl2793 7 лет назад
haswaaa ilo in fumbo tu
@mwakapango8828
@mwakapango8828 7 лет назад
Very true aise..... Roma ni mwana Kiswahili mzuri....
@donathaayaga527
@donathaayaga527 7 лет назад
hahahahhah!!!
@fecyjohnnie3723
@fecyjohnnie3723 7 лет назад
Izrack Zungu ametumia fasihi ya ajabu duh roma ni kichwa
@patriciamassawe6496
@patriciamassawe6496 7 лет назад
pole mrs roma love you so much
@hadijaharun2333
@hadijaharun2333 7 лет назад
patricia Massawe mbona Adam Mchomvu kaharibika ivo jmniiiiii! alikuw mzur 2015 mpk maneno yalikuwa mazuri
@hassanmsellem1521
@hassanmsellem1521 7 лет назад
hadija harun mfate umuulize mwenyewe watu wanafanya kazi ww unaenda kuangalia muenekano kiasi gani umeishiwa ww kondoo
@franklyboy2556
@franklyboy2556 7 лет назад
Good Sana Roma kufanya ivo amemwamini Sana mkewe katika nafasi yake.
@mjitahidumbashilu1006
@mjitahidumbashilu1006 7 лет назад
Nice song
@rachelenock9599
@rachelenock9599 7 лет назад
nakwenda Zimbabwe kaliiiiii
@samueljoseph6542
@samueljoseph6542 7 лет назад
Wabongo tunapenda kuangalia sana kasoro za watu kuliko kuangalia zetu binafsi sasa huyo dada ana tatizo gani kwh modo wake mnataka akaukate??????
@tineywilly4207
@tineywilly4207 7 лет назад
So cute
@emmanuelluiso4872
@emmanuelluiso4872 7 лет назад
shemeji unajiamini Sana hongera kwa hilo kwa nn usiwe mtangazaji eti
@abeldaudi3291
@abeldaudi3291 7 лет назад
chuma la nguvu 💥💥💣
@kalamakioza883
@kalamakioza883 7 лет назад
ngoma karisan
@markanthony5628
@markanthony5628 7 лет назад
Mrs Roma she's so cute
@Aidansimwanza
@Aidansimwanza 7 лет назад
kapo fresh sana kweny voice
@ahmadkhattar6760
@ahmadkhattar6760 7 лет назад
Hatari sana hiyo ngomaaa
@fahadfahmy
@fahadfahmy 7 лет назад
Amekwenda Zimbabwe na ngoma Zimbabwe
@cyprianluhega4049
@cyprianluhega4049 7 лет назад
Fahad10 bonge la bakola
@pendomasawe163
@pendomasawe163 7 лет назад
Hiv kumbe alivosema nakwenda Zimbabwe alikua anamaanisha kweli kumbe kaenda kweli Zimbabwe? Me nilijua ni song tu dah Roma mkweli sana
@agnesloeuku7766
@agnesloeuku7766 7 лет назад
nice song zimbabwe
@zuenalugaila2310
@zuenalugaila2310 7 лет назад
uko vizur sana
@giantnigakamchape9344
@giantnigakamchape9344 7 лет назад
big up thana ROMA
@angelinajoseph5733
@angelinajoseph5733 4 года назад
appreciate you Mrs Roma
@hildamathias5697
@hildamathias5697 7 лет назад
mmmmmhhhh big up Sana roma mzalendo was tanzaniaaa
@josephernest155
@josephernest155 7 лет назад
Tisha sana shemela
@kevinjeremiah6972
@kevinjeremiah6972 7 лет назад
ngoma kaliiii
@eddydon5776
@eddydon5776 7 лет назад
Fire to the roma
@paschalnyabatende4385
@paschalnyabatende4385 7 лет назад
Mungu akutunze wewe pamoja na familia yako.
@daudimwidimakihanda5386
@daudimwidimakihanda5386 7 лет назад
Ila Roma una mke mzuri aisee mi hadi nimesahau kusikiliza interview
@asianassoro153
@asianassoro153 7 лет назад
anafanana na uwoya had saut
@anethwanyika6041
@anethwanyika6041 7 лет назад
Roma kaenda Zimbabwe kwa Mugabe akampe mistari ya kiutuuzima .nyi si mnamjua Mugabe na madongo yake.
@Officialmasaikhan
@Officialmasaikhan 7 лет назад
mzuri sana
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi 7 лет назад
Adam mwehu kweli😁😁
@jplusmrema5508
@jplusmrema5508 7 лет назад
duu young brather
@ayubuayubu1165
@ayubuayubu1165 7 лет назад
kweli kweli
@godfreyjames23
@godfreyjames23 7 лет назад
My wiii love you sana
@jovinjacob9329
@jovinjacob9329 7 лет назад
katisha Sana Roma
@vallencephilbert9284
@vallencephilbert9284 7 лет назад
TWENDENI ZIMBABWEEE WOTEEEEEEEE
@islammwatoa2990
@islammwatoa2990 7 лет назад
bigup
@issanyondo5576
@issanyondo5576 7 лет назад
roma ninoma
@castormpunga528
@castormpunga528 7 лет назад
mke wa Roma anabonge la confedece
@godsonlyimo9097
@godsonlyimo9097 7 лет назад
noma
@hawaomarabdishakuru4689
@hawaomarabdishakuru4689 6 лет назад
👊👊👊🔥🔥🔥🔥🔥
@marywilliam2018
@marywilliam2018 7 лет назад
asee duh nc
@successjulius4343
@successjulius4343 7 лет назад
we ni mwanamuke bora sana sijawai kuona,
@feni.tupevitudjmoofayaaaho5794
nimtakie Roma maisha marefu halikadhalika AMANI kwake.
@issangwanu372
@issangwanu372 7 лет назад
goma kali
@captenndunga9385
@captenndunga9385 5 лет назад
Amini kwamba.
@ARFIddy
@ARFIddy 7 лет назад
haaahaaahaaa 😍😍😍😍
@aswellalihoka4373
@aswellalihoka4373 7 лет назад
nakukubal San Roma Ngoma imebamba Sana pande za mbeya.
@prosperndelwa4560
@prosperndelwa4560 7 лет назад
zimbabwe ngoma karee kinyamaa
@fabianemmanuel6253
@fabianemmanuel6253 7 лет назад
Dada ana interact sna
@florianmasawe9520
@florianmasawe9520 7 лет назад
Ngoma kali knoma noma | roma sio wa ki sport sport
@lilianmavika2757
@lilianmavika2757 7 лет назад
hiv ndivyo mwanamke anatakiwa awe
@patrickmapunda
@patrickmapunda 7 лет назад
hako ka dem katangazaji cjawahi kukaelewa! mlikaokota wapi aisee!?
@happinessmwaipopo7426
@happinessmwaipopo7426 7 лет назад
She is cute
@daniellukindo4162
@daniellukindo4162 7 лет назад
roma fundiiiii
@daudikinunda2004
@daudikinunda2004 5 лет назад
Daniel Lukindo r
@sakinandoile9439
@sakinandoile9439 7 лет назад
😂😂😂 Adam sikuwezi chaaa
@mwezanephta1107
@mwezanephta1107 7 лет назад
Ww Dada mtangazaji mbona unaongea ongea tu au ndo unatafuta sifa cjakupenda
@evangeliquehb4640
@evangeliquehb4640 7 лет назад
We Mama unaumbea kbs
@joohcloudy738
@joohcloudy738 7 лет назад
tuyajenge basi tusitukanane apo chini ama nn ss wote wa wazimbabwe
@husseingwanone7887
@husseingwanone7887 7 лет назад
jiwe la mweZi
@oliverraphael9030
@oliverraphael9030 7 лет назад
kalli
@pigapesa1013
@pigapesa1013 7 лет назад
Beautiful women Roma's wife.
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi 7 лет назад
😀😀😀😀Mchomvi bn,!,😊😊
@johnmsuya9730
@johnmsuya9730 7 лет назад
Ngoma kali
@naurumnazaleti6774
@naurumnazaleti6774 7 лет назад
mama Ivan mi nakukubar na unajua alafu ni mwanamke jasiri kichiz yn
@wilifred1472
@wilifred1472 7 лет назад
Pacha Wa fetyy
@benekatare3948
@benekatare3948 7 лет назад
Adam unazingua sana,,,, kila anayetekwa si lazima abakwe??? Hahahahahaaaaa
@moseslaurentlaurent9365
@moseslaurentlaurent9365 7 лет назад
Katangazaji kakike kamejaliwa sauti ila sula mbovu kimya kelele nyingiiiii nilijua kazuri kumbe fuvu bovu mbaya manzee
@hassanmsellem1521
@hassanmsellem1521 7 лет назад
Moseslaurent Laurent nimegundua watanzania tuna akili mbovu sana baada ya kuangalia mtu uwezo wake tunaenda kuangalia mapungufu hivi kuna mtu aliekamilika, hivi si hata mamako ana mapungufu kibao
@saymarsaymar4654
@saymarsaymar4654 4 года назад
Wee Moses acha
@alexlucas1964
@alexlucas1964 7 лет назад
Issue Roma mnaanza kumuuliza maswali ya ajabu ajabu
@godfreykanelela9448
@godfreykanelela9448 7 лет назад
ana mguu
@phdomiiaguero8849
@phdomiiaguero8849 7 лет назад
Nakwenda zimbabwe
@emmanuelwanjala6709
@emmanuelwanjala6709 7 лет назад
kila mtu ni mwizi Dazan sema ujashikwa ukishikwa ndo utajua maana yake.
@markanthony5628
@markanthony5628 7 лет назад
ila Adam mchomvu ww ni kwere yan umepindaaa
@angelinajoseph5733
@angelinajoseph5733 4 года назад
Mungu ndo anaeumba msimseme uyo dada mtangazaji
@cleopatraefatha3859
@cleopatraefatha3859 6 лет назад
Mdada mtangazaji sijui wa mbagala
@tungupaschal1340
@tungupaschal1340 7 лет назад
Roma hakwenda zimbwabe think critically and logically Ukiangalia tukio lilivyokuwa na wimbo ulivyo
@laurentngowi3052
@laurentngowi3052 7 лет назад
adam mchomvu 😂😂😂😂
@massaweregina7835
@massaweregina7835 7 лет назад
hilo swali la biliget kuja tz kiukweli amekuja kumwangalia tikteta
@ezekiafilbert4896
@ezekiafilbert4896 7 лет назад
watangazaj ovyoooo hmna kitu yan mikelele tu cha mxing hkna 😂😂😂
Далее
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
MISSION IMPOSSIBLE [60]
23:51
Просмотров 40 тыс.
MV. CLARIAS YAPINDUKA   ZIWA VICTORIA
4:19
Просмотров 4,6 тыс.