Je kama nimeharibu chumba Cha adobe na cjui jinsi ya kukirudisha kikae sawa nafanyaje maan Kuna wakat nilifanya like zoez la kupanga vile unavyopenda ww kikae vip ili uwez fanyayako kwa kuwa comfortable lkn nikajikuta nimeharibu Adoberoom yote na nmeshidwa kukirudisha