Kaka ubarikiwe sana .....tunajifunza vingi sana ...me ni mwanafunzi wako since day one ...ntafanya k2 kupitia somo lako nitakutumia dm nipate comment ....much respect bro
Kaka Tisha mbaya napenda Sana kipindi chako . Ila Kaka mi niswali Moja Ivi linanitatiza .kunasomo Apo nyuma ulifundisha ukasema kipande Cha edit uoade wa audio.sasa Mimi swali langu ni ili Kama unahitaji kuweka nyimbo katika sini yako nahiyo nyimbo yako ila ushaipost tiali youtube .unafanyeje ili isilete copyright unafanyeje fanyeje Apo navyote nivyako lakini unahitaji kupost na uweke kwenye film nisaidie kaka