Assalam alaykum.... 😂 😂 😂 😂. .sheikh amepatikana leeo..pole sheikh Massawe. Sasa sheikh kipindi kiongezwe Muda basi japo 30mins in shaAllah...kizuri sana mnshaAllah. Allah awahifafhi na awazidishiye nguvu katika kazi yenu in shaAllah. Maasalaam
Subhanalllah hio njia haifai kupit inatish, hahaha den Sheikh Abdillah why ulikwend huko juu panakuogopesh , hahahah sheikh Abdillah ulikua unashake mwil wote can't imagine camera man alikua hali gani , kilaasaa auliz treni hio,hahahha , Allah awajaz kheri