Тёмный

Episode 4 | Mfuko wa Ukwasi | Mfuko wa Hatifungani | Ijue UTT Amis 

Mindsetting Initiative
Подписаться 1,8 тыс.
Просмотров 2 тыс.
50% 1

Endelea kujihabarisha kuhusiana na #uwekezaji wa pamoja kupitia #mifuko ya #uttamis.
Hadi sasa katika episode hii ya nne tumeshakamilisha kupitia mifuko sita chini ya usimamizi wa #uttamis.
Hapa tumepitia mfuko wa #ukwasi na mfuko wa #hatifungani.
Tumebakisha kupitia #performance na #huduma chache wanazotoa kama uttamis, kisha tuwatafute wahusika kwa mswali kuhusu hizi taarifa.
Ili kuona vipindi vilivyopita, tafadhali tumia limk hapa chini:
Ijue UTT Amis: • Ijue UTT Amis

Опубликовано:

 

16 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@LucyStephano-d3l
@LucyStephano-d3l Месяц назад
yangu pia haifunguki
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative Месяц назад
Nini haifunguki?
@LucyStephano-d3l
@LucyStephano-d3l Месяц назад
jana acc imefunguka asante
@MaishaNiKuthubutuPodcast
@MaishaNiKuthubutuPodcast 2 месяца назад
Umeleza vizuri sana
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 2 месяца назад
Ahsante sana @MaishaNiKuthubutuPodcast. Tuendelee kuelimisha watanzania kwa pamoja.
@jichofoundationtv6893
@jichofoundationtv6893 3 месяца назад
Hongera sana UTTAMIS, nimeona mfuko wa UKWASI umepaa sanaaa mpka billion 🎉
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 3 месяца назад
Kwa kweli hongera nyingi kwao UTT Amis. Hii inaonesha ubora wa usimamizi wao juu ya hii dhamana, lakini pia kwa watanzania wawekezaji wanaoonesha imani zaidi kwa uongozi wa UTT Amis. Ila zaidi, hongera kwa waelimishaji wa elimu ya uwekezaji. Hivi ndivyo taifa linaweza kusonga mbele.
@MaishaNiKuthubutuPodcast
@MaishaNiKuthubutuPodcast 2 месяца назад
Mpaka trillion moja ni mfuko ambao unafanya vizuri pamoja na ule wa umoja. Mfuko wa kujikimu na wenyewe unakuja kwa kasi na ule wa wtoto maana thamani ya kipande inakuwa siku hadi siku
@gilbertmani9432
@gilbertmani9432 2 месяца назад
Je Kama mtu sio mtanzania anaruhusiwa kuwekeza?
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 2 месяца назад
@@gilbertmani9432 swali zuri sana. Katika maelezo yao hawasema, ila ninalihifadhi na nitauliza. Endelea kufuatilia pamoja na mimi.
@AcrusioraymondmakombeRaymond
@AcrusioraymondmakombeRaymond 2 месяца назад
Tatizo wanachelewesha malipo pale unapokuwa umeuza vipande kwa mfano mfuko huu wa ukwasi wanakuambia siku tatu za kazi baada ya maombi yako ya kuuza kupokelewa siyo kweli hadi wiki inapita
@LULUEZEKIA
@LULUEZEKIA 2 месяца назад
Mbona mm leo account yangu haifunguk 😢
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 2 месяца назад
Aisee pole sana. Hakikisha vizuri particulars zako. Ikiwa ziko sahihi, fanya kujaribu tena baadae ama kesho. Ikishindikana kabisa basi itabidi kuwasiliana na ofisi ya UTT AMIS
@LULUEZEKIA
@LULUEZEKIA 2 месяца назад
Tayari 😂 ​@@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 2 месяца назад
@@LULUEZEKIA safiiii.. kila la kheri
@LULUEZEKIA
@LULUEZEKIA 2 месяца назад
@@mindsettinginitiative 🙏🙏👋
Далее
Merab vs Sean underway!! 🚨 #ufc306
00:23
Просмотров 1,3 млн
MFUKO WA UKWASI (LIQUID FUND)
11:59
Просмотров 6 тыс.
IFAHAMU MIFUKO 6 YA UTT AMIS | PART 2
16:53
Просмотров 7 тыс.
FAIDA ZA KUWEKEZA KUPITIA UTT AMIS.JOSEPHINA LIMBILA
57:36
LIFE WISDOM:MUEPUKE MTU WA NAMNA HII - JOEL NANAUKA
12:03