Тёмный

Episode 5 | Ijue UTT Amis | Huduma za Usimamiaji wa Uwekezaji na Kukuza Thamani 

Mindsetting Initiative
Подписаться 1,8 тыс.
Просмотров 386
50% 1

Hii ni habari kwa kifupi kuhusiana na UTT Amis #uttamis. UTT Amis ni #dhamana ya pamoja ya #uwekezaji (#uwekezajiwapamoja )
Ili kufahamu zaidi, hapa chini ni mtiririko wa video kuanzia episode ya 1 hadi hii ya 5.
Ijue UTT Amis: • Ijue UTT Amis
#mifukoyauwekezaji sita imekwisha kujadiliwa kwenye episodes 2-4.
Sasa tujiandae kuuliza maswali kwenda wa wahusika wa UTT Amis wenyewe.

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 2   
@judithsawala
@judithsawala 2 месяца назад
Naomba kujua endapo nimenunua vipande kwa miezi miwili, nitajuaje thamani ya vipande vyangu kwa miezi hii miwili.
@mindsettinginitiative
@mindsettinginitiative 2 месяца назад
Thamani za vipande kwa mifuko yote huwekwa kwenye website ya UTT Amis, kwenye tablet inaitwa Ufanisi wa mifuko. Ili kupata hizo taarifa za ufanisi angalia hii video tena kuanzia dakika ya 10.
Далее
БЕЛКА РОЖАЕТ? #cat
00:26
Просмотров 528 тыс.
MFUKO WA UKWASI (LIQUID FUND)
11:59
Просмотров 6 тыс.
Philip Kotler: Marketing
57:30
Просмотров 2,3 млн
Good Strategy, Bad Strategy | Richard Rumelt
1:49:17
Просмотров 51 тыс.