There is nothing wrong wrong giving a helping hand your struggling sibling, so long as they are not jealous. If you help just do it. But let them not feel entitlement
Sasa huyu bro haki Atawezana na Hussle ya kupigwa kama Eric. Utawezana brother🙄 Eric mwenye Hussle ako ni cloud chaser mara ameshikwa na polisi,mara amekataa kukaa kwa nyumba eti amegoma kukula😂,mara anaokoka with seconds na anapreach😂mara ako na wanawake wengi kwa nyumba na nje mara huyu ndiye then again si yeye😃,mara ako kwa siku ya matusi only and live on youtube😀,he can be anything anytime hata kwa box kwa bararaba. Mara he is a very good and polite person to his friends mara he is enemy.🙄
Huu ugonjwa huaga uko kwa familia nyingi sana,,, kuna yupi mwengine certificates zake zilichukuliwa na uncle yake mwenye cheo kwa serikali akitarajia kupata job mpaka akashkuru
Watu wenye mnasema ati huyu kijana aende atafute pesa kwani wenye Eric anasadia hawana kazi hebu muwache mchezo Eric hebu saidia ur blood please it's so embarrassing kama hata ur brother Hana naomba yako
I dont see anything bad if you help a brother who is down since they will not be a budden and maybe they can succeed to wn extent of helping you when you are down one day
Damn bro.. Jitafutie... Wewe sio responsibility yake.. And is this even Eric omondis bro ama ni scm tu. Just because you have the same hair cut does😂mean you're relatef
These are nonesense Huyu jamaa ni mkamba, akwende huko, kwni ukifanana mtu inamanisha ni broh wko, ntk we Luos we don't tolerate nonesense kwenda huko Kitui utafute wakamba wenzako,huwezi kua mjaluo