Тёмный

EX WAKO-Ukiota Na Mpenzi Wa Zamani, Je Ina Maana Gani [] +254706945821 

REV PETER NJIHIA
Подписаться 15 тыс.
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Join this channel to get access to perks:
/ @revpeternjihia
Katika channel hii, huwa ninakusaidia kujua nini maana ya ndoto zako nikitumia misingi ya Bibilia Takatifu. Subscribe na ubonyeze Kengele ya Notification ili uzipate video zangu pindi ninapoenda live. Pia ukitaka kuwa wa msaada kwa huduma hii kupitia matoleo unaweza nipigia simu kupitia/Whatsapp 0706945821

Опубликовано:

 

9 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 88   
@mamasia9741
@mamasia9741 9 дней назад
Mm sijagombana nae niyeye tu aliamua kunikatia mawasiliano. Ukwel nimeumia nakuteseka sana maana nampenda sana. Hata nikimtumia sms hanijibu anakaatu kimya,,,,,,, namm nikaamuatu nikae kimya ,,,namuota kila wakat na kila ndoto ninayoota naota yuko na mwanamke,,,,, na kuna ndoto niliota et nilikua nimeenda nyumbani kwake. Akaja mwanamke wake na mtoto mimi akanifukuza pamoja na kwamba nlikataa kuondoka lkn ikabidi ,,na alinisindikiza ili ahakikishe nimeondoka,, natafakar hii ndoto sjui nn maana yake
@bettymariga
@bettymariga Месяц назад
Amen pastor hii mafudisho inanisaidia juu hta mimi niko saudi lakni hua natamani kuenda home hta usiku naota niko home ..barikiwa sana babaa
@ZahiraMzee
@ZahiraMzee Месяц назад
Wah haki ndio maana,mtu tunaachana but kila siku namuota jamani mungu nisaidie
@NanaMilfath
@NanaMilfath 6 месяцев назад
Mimi huwa naota naingiliwa kinyume n maumbile na mtu nisiye mjua lkn jan nimemuota xx wangu ananiingilia alf nikamuuliza mbon siumii😮
@damjuaji450
@damjuaji450 Месяц назад
Kemea jini mahaba ilo lmekuja na sura ya mpenzi wangu
@damjuaji450
@damjuaji450 Месяц назад
Mpenzi wako nimekosea
@GatekaFatma
@GatekaFatma Месяц назад
Mimi tuliachana kibaya tena sitaki hata kumuona namchukia sn ila namuota nafanyanae mapenzi na tuliishi nae vibaya nahatukuwa tunashiriki tendo la ndowa nahivi nampenda sna mume wangu wa2
@ZASTAMWE
@ZASTAMWE 8 месяцев назад
Hivyo tufanyaje pastor😢 tunawezaje kuvunja hayo maagano mana sina malengo nae tena nina mtu mwingine😢
@LucyMwakinunu
@LucyMwakinunu 7 месяцев назад
Go straight to the point unazunguka mnoooo jamani 😢😢
@revpeternjihia
@revpeternjihia 7 месяцев назад
Mbona una haraka wewe, MWALIMU mzuri ni yule anelezea Taratibu . Ukumbuke uwezo wako wakuelewa ni tofauti na mwingine. Just humble yourself
@revpeternjihia
@revpeternjihia 7 месяцев назад
Wengine hawana tatizo soma comments zao.
@WinnerStanley
@WinnerStanley 7 месяцев назад
Shalom baba niliachana na mchumba wangu mwezi uliopita jana ananiuliza umekasirika nini wakati alinidharau leo nimeota kanifuata kwa ndoto tumevuka daraja ananifuata hii ni nini baba winnie
@scolarjapheth3249
@scolarjapheth3249 Месяц назад
Simpend pamoja na kunifata ndoton bado namchukia ila moyo unaumaga sana ,Mungu sitak hil pepo
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Год назад
Asante sana mimi nilikuwa namuotaga sana ndio ata mimi nilijuwa kuwa maaana yake bado unampenda na ndo mana unakuona
@fedrickmwakibibi9176
@fedrickmwakibibi9176 10 месяцев назад
.m
@HaweSidi
@HaweSidi Месяц назад
.bwana yesu asifiwe mchungaji mm nimeota nmejikunyia
@ShaniaKing-o5d
@ShaniaKing-o5d 10 месяцев назад
Mimi nimezaa na mtu tukakorofishana akanitelekezea mtoto akaoa na anawatoto wa 3nami nikaolewa na ninawatoto hatuna stor miaka 8 na ninamchukia kwa ila nashangaa juzi nimeota ananifata nyumbani mpaka ndani ananiambia namuumiza ananipenda sielewi manaake nini.
@agnesmolly1247
@agnesmolly1247 Год назад
Asante kwa mafunzo mazuri pastor
@موناجابر-ت5ث
@موناجابر-ت5ث 9 месяцев назад
Nini maana ya kumuota ex wako ambae tuliachana lkn atujawahi kuonana ni kuchati tu na kutumiana picha lkn bado namuota au namuwaza je inakuaje yy pia uwa ywanitaja bado au nivip
@CeciliaPeter-pf9qd
@CeciliaPeter-pf9qd 9 месяцев назад
Mm nimeota x wangu wazaman kipindi nasoma tunapanga kuhusu kuonana na kuzaa watoto mapacha nn maana yake
@lilianmwendejoe735
@lilianmwendejoe735 7 месяцев назад
What about you have adream with him and the following day with him
@TeresiaMuthoni-jt3mb
@TeresiaMuthoni-jt3mb Год назад
Niliota mpenzi wangu wakitambo tukiwa single room. Nikajiescuse nikakojoe. Kuakisha stima nikapata zimepotea. Nikatoka nje kwenda kwa choo. Kidogo kidogo nikaona ame.nifuata akiwa na ubaya katika iyo process nikaanguka chini. Alikuwa anataka kuniua. Nilijipata nikipiga mayowe.
@mamaafrika1481
@mamaafrika1481 Год назад
Kweli kabisa kuusu kuchekewa kuolewa ata Mimi naota sana anataka anioe tena nimemwambia usinione Sina akiri akaniambia umebadilika tena
@merryguza3307
@merryguza3307 Год назад
Amina mumishi wa mungu , ,, Mimi nimepata mpenzi wangu ambae tumeachaana takriban miezi 6 nilimwota anakuja kwetu akiwa na mpezi wake mwengine Ila et baada ya kuwaona nikaanza kupigana na uyo mdada , tulipigana Sana katk njoz Ila baadae nikawa nime mzidi nguvu yule mdada na mpenz wangu hakutugombelezea alituacha Nika mpiga baadae uyo Alie kua mpenz wangu akarudi uko waliko toka akiwa peke ake alivo fika mbele kidogo nikamchapa na kiwe aka nigeukia akicheka. Dhen Nika mwongelesha kisha nikamrushia kiwe la pili , na apo tulipo kua tunapigania ktk njoz niliona kulikua Kuna mbaba kakaa Ila alikaa kimy hakutugombelezea Wala hakujitikisa Nini maana yake mtume
@ZASTAMWE
@ZASTAMWE 8 месяцев назад
pia nilipomuota ex wangu yupo kwenye baiskel anaondoka ananiaga kwa tabasamu bila chuki ana ananipa hi vizur tu nami nikaipokea kwa tabasamu kish akapanda baiskel yake akaondoka😢
@AliceClarisse-gs9ki
@AliceClarisse-gs9ki Год назад
Mutumishi niliota na pewe pesa na gipofu nikaota tena nimeka sehemu sina mutu wakunitowa iyo fasi nakaona Ex wangu akanitoa iyo sehem
@AzizaHilali-m9h
@AzizaHilali-m9h 7 месяцев назад
Kuota mpenzi wako wa zamani mara zote muko safari ya baharini au nchi kavu
@GraceAlex-it2gp
@GraceAlex-it2gp 5 месяцев назад
Niliota na mpenzi wangu was zaman kanifata nyumbani Kwa mume wangu na akanambia kwann simtafuti na akanipa namba yake lakin mume wangu alistuka akatoka nje bila nguo baad ya kuon tukio hilo
@Ruthmpoa-sv9ul
@Ruthmpoa-sv9ul Год назад
Mimi naomba unisaidie, naota nikimwona na kimbia kila mara hadi najikuta nimechoka sana.
@UshindiAksante
@UshindiAksante Год назад
Mimi niniota majeshi wakinikimbiza sasa kwasababu gani?
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Год назад
Mimi sijatenda naye tendo la ndowa alinikis tu lakin nilikuwa namuota sana na iliniuma sana kuwa naye mbali
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Год назад
Dada alivyosimulia ata mimi niliota ana mwanamke mwingine namjuwa tukawa tunagombana na uyo mwanamke
@Aisha-f2g
@Aisha-f2g 2 месяца назад
Apo kwa hisia siko na hata siwazi hilo,
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Год назад
Ongera kwakweli,yote nilifafanuliwa na wewe yamekuwa,niko mahakamani na tunaetaka kupeana taraka na alikuwa mme wangu,nimepata namuona akiwa na mwanamke alitutenganisha wakifurahia na kunicheka sana na mwanamke alikuwa anamnyonyesha mtoto,aliponiona akampa kwenye Tịtị na kumpa mme ambebe,mwanamme alipokea mtoto na akakaa kimya,
@sarahkaniki1732
@sarahkaniki1732 5 месяцев назад
Polee
@DenisJackson-t5k
@DenisJackson-t5k 11 месяцев назад
Tafsir ya ndoto unaulizwa umbea na boss wako wa Zamani. Nini maana yake?
@Hidaya-e7x
@Hidaya-e7x 3 месяца назад
Mm nmeota naolewa na ex wangu😢
@jenniferkinyanjui2303
@jenniferkinyanjui2303 Год назад
Shalom Mtumishi
@raymondmagere4696
@raymondmagere4696 4 месяца назад
Nimeota mm nipo namtu yupo mbele yangu alafu tunapita kwenye makaburi mengi makaburi mengine yapo wazi yamefukuliwa na sisi tukawa tuna pita tuu
@patriciakurz4135
@patriciakurz4135 6 месяцев назад
Ndoto x wangu ansema wali ni Loga
@Veronicahquithern
@Veronicahquithern Месяц назад
🎉🎉
@JudithSimiyu-ps7ee
@JudithSimiyu-ps7ee 10 дней назад
Jifunze kuongea haraka jamani
@sashatom9463
@sashatom9463 Год назад
Mimi sina feelings na yy hata kidogo ila namuota ..labda yy ndio ananiwaza lakini mimi sina hisia na yy wala mawazo juu yake
@NuruSinkala-v9j
@NuruSinkala-v9j 8 месяцев назад
Nimeota mpenz Wang ananikataa na anasema hata kwanini alikutana nami hii inamaana gani mtumish
@jenniferkinyanjui2303
@jenniferkinyanjui2303 Год назад
Niliota Na ongea na mama Kwa verandah. Punde nikasahu niko mama Nikajisaidia haja ndogo hapo tu kando yake. Nilishtuka nikakaa nkama nimeshikwa Na kichaa. Mama alitengeneza kofia nilikuwa nime baa kichwani. Maana yake ni nini?
@lucywambui7725
@lucywambui7725 Год назад
Mm nliachana nayeye 17 year but hua naota nayeye karibu Kila siku
@heritier5119
@heritier5119 Год назад
Kumuota mpenzi wako zaidi ya Mara kumi inakuaje hii
@mercylinemwabora-pm5yy
@mercylinemwabora-pm5yy 11 месяцев назад
Amen and Amen
@AlineNzosabimana
@AlineNzosabimana 6 месяцев назад
Ukweli kabisa
@Judahnguru
@Judahnguru 2 месяца назад
Nimeota mchumba wangu amekuja kwetu ushagoo na gari lakini amekuwa mlemavu na sister ya mguu wake uko na shida
@jiokio2511
@jiokio2511 Год назад
Ukiota mpenzi wako wa zamani anakuomba hela na muliachana miaka4
@NeemJoseph-r7g
@NeemJoseph-r7g 11 месяцев назад
Mim nina moenz nimefung na kuomb lakn sjapat majb kam ananipend au laa na yey ananijali sana je mtumsh atakuw sahih kwang kwl
@NeemJoseph-r7g
@NeemJoseph-r7g 11 месяцев назад
Na Kuna sik nimekuot kanitoa out ina Manish nin
@DonathaMlwilo-vo8us
@DonathaMlwilo-vo8us 10 месяцев назад
Naota nimezaa mtoto na mtu tuliyeachana ni mara kwa mara sana
@ZawadianaMwangosi-is2jm
@ZawadianaMwangosi-is2jm 9 месяцев назад
Una ndoa na majini ndo ilokuachanisha nae vunja hiyo ndoa ya kijini
@marcelinasulootartoo-rf2ql
@marcelinasulootartoo-rf2ql Год назад
Kama ninamwota mume wangu mara kwa mara na tayari tunamtoto na huku tumeachana takriban one year
@eunicegerminus193
@eunicegerminus193 Год назад
Acha kumuwaza
@hyinekebasokerubo8902
@hyinekebasokerubo8902 Год назад
Sauti baya
@revpeternjihia
@revpeternjihia Год назад
Samahani kwa sauti mbaya , hii moja ya videos nilifanya nikianza sikuwa na mitambo kama sasa.
@merryguza3307
@merryguza3307 Год назад
Sawa
@jenniferkinyanjui2303
@jenniferkinyanjui2303 Год назад
Niliota tena nataftia ex-wangu kazi. Nilipata contacts za Ile kampuni nikataka kumpa zile contacts nikaamka
@JoannaWilliam-gw8fy
@JoannaWilliam-gw8fy Год назад
Na inakuwaje mala nyingi unaota mnafanya biashara pamoja na inatokea uharibifu kwenye hiyo biashara
@EsterLiwa
@EsterLiwa 2 месяца назад
Mm nimeot ex wng tumeludian
@KissiwaAlly-ug6gd
@KissiwaAlly-ug6gd Год назад
Hio hapo mtumishi hujaona
@buhitexmohamed4785
@buhitexmohamed4785 Год назад
Mtoto ndie anota anaomba msamaha
@EmmaOsundwa
@EmmaOsundwa Год назад
Naota nililala na mwanamke mwenzangu
@MorineAseyo
@MorineAseyo Год назад
Niliota ety tumerudiana na baba mtoto atinimelala kweke na n mwaka moja tu akaoa😊
@shebahmorara3453
@shebahmorara3453 Год назад
Nimeota eti Mimi na mupenzi wangu tumekaa pamoja lakini simwamini wakiwa na familia Yao wakanipeamabakisho ya dawa fulani
@hyinekebasokerubo8902
@hyinekebasokerubo8902 Год назад
It's true ni hile bond u created together
@FrankiAidan
@FrankiAidan 6 месяцев назад
18:01 18:03
@raymondmagere4696
@raymondmagere4696 4 месяца назад
Ukiota unafanya mitihani alafu uwezi umesaidiwa sasa ndoukapata
@marcelinasulootartoo-rf2ql
@marcelinasulootartoo-rf2ql Год назад
Na watoto wengine wawili na anasisitiza umeachika umlee mwanao
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Год назад
Hivi na yeye anakuwa anakuwaza hivyo hivyo
@lilianmwendejoe735
@lilianmwendejoe735 7 месяцев назад
Kuita na x na Tena kesho take unamuona
@irennkwita8409
@irennkwita8409 4 месяца назад
Tunatumia bando baba
@revpeternjihia
@revpeternjihia 4 месяца назад
Ungetaka nikusaidia aje?
@JudithSimiyu-ps7ee
@JudithSimiyu-ps7ee 10 дней назад
😅😅😅
@euniceorao2732
@euniceorao2732 Год назад
Na ukiota mnazozana na x wako
@FloraMosess-cl2eh
@FloraMosess-cl2eh 4 месяца назад
Je kama unaota na mume wako
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Год назад
Kwel ndege mafanikio najuwa hilo ata mimi niliotaga
@naominyongesa5580
@naominyongesa5580 Год назад
Niliota ninadungwa kisu na mchumba wangu
@KissiwaAlly-ug6gd
@KissiwaAlly-ug6gd Год назад
Nimeota ndoto nipo na mke wa mtu lakin yeye walishaachana na mume wake na mm nina mke wangu alafu gafla mume wake akatokea na huyo mke wake akaamka na kwenda kumkumbatia huku akisiwa analia maana yake nn?
@KissiwaAlly-ug6gd
@KissiwaAlly-ug6gd Год назад
Hio hapo
@maglindaanyango
@maglindaanyango Год назад
Amen
@lilianmwendejoe735
@lilianmwendejoe735 7 месяцев назад
Kumuota x na kesho take unamuona
@lilianmwendejoe735
@lilianmwendejoe735 7 месяцев назад
Kumuota x na kesho unamuona
Далее
ISHARA 6 UNA CHUNGUZWA KWENYE KIOO CHA KICHAWI.
15:37
Просмотров 2,2 тыс.
KUOTA NA MPENZI MLIACHANA INA MANISHA NINI?
42:36
Просмотров 29 тыс.
Сделка 😂
00:27
Просмотров 239 тыс.
Tumia MSHUMAA mweupe kumvuta MPENZI aliyekusaliti
11:00
Kuota Na Nyanya Ina Manisha Nini? +254706945821
1:40:02
Kuota Uko Kwa Matope Ina Manisha Nini?
1:32:56
Просмотров 8 тыс.
Kuota Na Mume Au Mke Mlisha Acha Kitambo Ina Manisha Nini?
2:15:23