Тёмный

NDOTO 4 ZINAZO FICHUWA MARAFIKI WAONGO MAISHANI MWAKO. 

REV PETER NJIHIA
Подписаться 15 тыс.
Просмотров 483
50% 1

Join this channel to get access to perks:
/ @revpeternjihia
Katika channel hii, huwa ninakusaidia kujua nini maana ya ndoto zako nikitumia misingi ya Bibilia Takatifu. Subscribe na ubonyeze Kengele ya Notification ili uzipate video zangu pindi ninapoenda live. Pia ukitaka kuwa wa msaada kwa huduma hii kupitia matoleo unaweza nipigia simu kupitia/Whatsapp 0706945821

Опубликовано:

 

9 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 10   
@mercymuthonindumbi4306
@mercymuthonindumbi4306 2 дня назад
Hio ushuhuda imenijenga zaidi barikiwa Sana naomba pia Mimi mungu anijibu
@ElizabethEmiry
@ElizabethEmiry 2 дня назад
Amina
@JacklineMushi-o8g
@JacklineMushi-o8g 3 часа назад
Shalom mtumishi wa mungu Mimi ni Jacklin mushi nipo Tanzania nimeota ninachambua mboga za majani na baada ya hapo nikaziamdaa na viungo tayari kupika nikapika nilipogeuza mboga na mwiko nikamwona nyoka wa kijani ndani ya sufuria jikoni mboga inatokota akatokea kijana wangu wa kanisani amechukua yule nyoka kwa sufuria akataka kunilisha kwa nguvu nikamkataa nikashtuka asubui
@WitnessChrisant
@WitnessChrisant 2 дня назад
Amen naiwe km ulivyo nena mtumishi wa MUNGU
@florenceawinja-pc5qp
@florenceawinja-pc5qp 2 дня назад
Mtumishi asante Mimi sijaota but hisia zangu zinaniabia huyo rafiki sio mzuri je ina weza kua ukweli
@SIMONOSERE-yv6ye
@SIMONOSERE-yv6ye 2 дня назад
Nakataa mauti kwa jina la Yesu Kristo Amina
@JoyceKirruti
@JoyceKirruti 2 дня назад
Hi dady nko Narok niota nampiga Simba Hadi namuangusha
@SIMONOSERE-yv6ye
@SIMONOSERE-yv6ye 2 дня назад
Mchungaji what you went through i know coz my dad too had two wives to date tulipitia but Mungu ni mwema na ni mwaminifu Mungu who raised you up God to bless me too
@WitnessChrisant
@WitnessChrisant 2 дня назад
Pia ninaomba MUNGU awaweke ndugu zangu Ili wauone ukuu wa MUNGU wangu.
@DivinahNyambeki
@DivinahNyambeki 2 дня назад
Mtumishi mimi niliota nikiwa juu ya mti nikla matunda ila rafiki zangu wakiwa chini wananitazama, na ukiota matofali na mbao nyingi inamaanisha nini tafadhali nisaidie
Далее
MAANA 4 UKIOTA UNA NUNUA NGUO .
51:34
Просмотров 450
MAANA 5 YA KUOTO UNAOSHA MENO
32:26
Просмотров 136
Katta janjal
00:29
Просмотров 213 тыс.
Ndoto mbili hatari
2:12:50
Просмотров 1,2 тыс.
Maneno Mabaya Yanavyoweza Kuharibu Maisha Yako
14:55
Просмотров 48 тыс.
MAMA MKWE AMEVUNJA NDOA YANGU
1:04:02
Просмотров 18 тыс.
OGOPA HASAD YA KIJINI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
27:17
Просмотров 3,2 тыс.