Тёмный

EXCLUSIVE: ALLY KAMWE ABANANISHWA PENZI NA HAMISA “ILE NI ROHO, SHE IS BEAUTIFUL, VITATU VICHACHE” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 87 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

29 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 205   
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Год назад
TEAM MISA KUJENI HAPA.HAMISA UMETULETEA SHEM VERY H.B❤❤❤❤ ALLAH AWADUMISHE MFIKE KWENYE NDOA.THAT'S A GENTLEMAN.HONGERA !MY BEST FAV NEW COUPLE IN TOWN@misaaakeeeee👇like down
@Mimy_keys
@Mimy_keys Год назад
Daah! Sauti inakata kata jmn 😢 Aisee NAAM 🎉🤸 Wanapendezana Haki Nimependa 😎👌 Inshaa'Allah Kheir 🙌
@jacksonjudicate9388
@jacksonjudicate9388 Год назад
Millard ni kama ndoano, ukikaa vibaya Anakuvuta mpaka kwenye ukwel.. BIG UP TZA
@millardayoTZA
@millardayoTZA Год назад
Asante sana Jackson
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf Год назад
Very handsome man na ana attractive smile Alikamwe
@joanesasalavaleriano9980
@joanesasalavaleriano9980 Год назад
Millard uyu jamaa ni mwamba sana unyama sana Ayo inabamba sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇲🇿🇲🇿🙏 🙏🙏
@millardayoTZA
@millardayoTZA Год назад
Asante sana Valeriano
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc Год назад
waandishi muko vizuri ktk kuuliza maswali
@bettybregy7361
@bettybregy7361 Год назад
Mashallah Mwandamizi nimependa interview Na anavyojibu Hadi raha.Mungu abariki iwe kweli ndoa iwepo In Shaa Allah
@binamubinamu1151
@binamubinamu1151 Год назад
Broo ahsante sna Mr Ali kamwee hongera Kwa unavojibu
@natamihambo8077
@natamihambo8077 Год назад
Sehemu zingine sauti sisikiiiii😢
@janeschurmanns6311
@janeschurmanns6311 Год назад
Nawaombea sana wawe na mahusiano kweli na wafunge ndoa
@shazceo6853
@shazceo6853 Год назад
If it iz true for my self I'm happy more than relationship with Kamwe and mobbeto #I_LIKE_THIS ❤❤❤
@claudiajames2003
@claudiajames2003 Год назад
They make a nice couple! Yani ikitokea ni kweli Yani ntafurahiiii
@hebybiba6442
@hebybiba6442 Год назад
Binafsi yangu kutoka moyoni nafurahia huu uhusiano wa aliy kamwe na hamissa
@jacklineikoki6653
@jacklineikoki6653 Год назад
Nawapenda pia MUNGU awe pamoja nao
@FredMaulid
@FredMaulid 4 месяца назад
Yah wanapendeza kiukweli wakiwa pamoja ila naona kama hawatadumu hamisa atamuacha Ally kamwe na kuhamia kwa azizi kii au wengineo maana sijui wanawake huwa wanahitaji Nini unaweza ukawa na pesa na Bado ukaachwa, na ukampa time , ukawa mzuri wa sura lakini Bado ukaachwa na unaweza ukawa mwaminifu sana kama kaka wa brazili na Bado ukaachwa kiufupi tuishi na Hawa viumbe kwa akili na siyo hisia
@margaretnyamwilahila292
@margaretnyamwilahila292 Год назад
Go Hamisa, the guy is cute.
@jacklineikoki6653
@jacklineikoki6653 Год назад
Yan Leo ally kamwe amekua mdogo kanywea dah kwel power of love inafanya kazi., Nawaombea MUNGU mfike mbali katika mahusiano yenu ikawe kheri
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc Год назад
ally mbona kama pressure ipo juu sana?
@esperancenathali
@esperancenathali Год назад
😂😂😂😂hii media haijawai kunihangusha hata siku zoteeeee😂😂😂😂😂love you guyz you are my favorite advertisers 😂😂😂😂
@francomwacha2262
@francomwacha2262 Год назад
Nampenda sana Frida Sana beautiful with intelligence
@mariamjason8319
@mariamjason8319 Год назад
Nawapenda Misanakamwe💚💛💚💛❤️❤️❤️❤️
@carohkilonzo4688
@carohkilonzo4688 Год назад
Very handsome
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Год назад
😂😂😂😂😂😂Millard is just amazing at what he does
@millardayoTZA
@millardayoTZA Год назад
Asante sana
@evertheobald1811
@evertheobald1811 Год назад
Nimecheka jamani hadi nimetoa machozi hakika, Ally Kamwe!
@manaalahmed3541
@manaalahmed3541 Год назад
Vido hakuamini alivyo ambiwa ni roho 😂😂😂😂 but he made the interview fun to watch
@renatuscharles2018
@renatuscharles2018 Год назад
Millard on fire
@gracevicent510
@gracevicent510 Год назад
Aje meena ally
@Faith_joseph
@Faith_joseph Год назад
🤣🤣🤣🤣Siku mkiwaleta missa na Ally sipat picha itakuwaje🤣
@bernadetacharles2013
@bernadetacharles2013 Год назад
Nimeipenda hii interview ❤😂
@bokekaone2516
@bokekaone2516 Год назад
Frida mshenzi eti roho kimwili😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@chrissg4026
@chrissg4026 Год назад
Ali Kamwe kaingie choo cha kike! Utachunwa hadi ubakie ngozi kudadeki nakuonea huruma mtoto wa mkulima😂
@deboraezekiel784
@deboraezekiel784 Год назад
semaji
@Zuulito
@Zuulito Год назад
Fifi❤
@evamlay8997
@evamlay8997 Год назад
Haya jamani Roho
@busnaoman9981
@busnaoman9981 Год назад
Q
@nassiromar3957
@nassiromar3957 Год назад
Ali kamwe broo mm yanga damu ila huyu hamisa km unadate naye bs mmm mana huyu level za juu sana kwako😢
@NeemaRutahiwa-is3eu
@NeemaRutahiwa-is3eu Год назад
Hsante umejibu vzr maswali nawaombea mahusiano mema
@aminarashidi5649
@aminarashidi5649 Год назад
Watangazaji wanamzuka Ila anayehojiwa Yuko kawaida
@herbertbavuma7228
@herbertbavuma7228 Год назад
Siijui sana background ya kamwe kimahusiano, sema huyu Hamissa duuh anakuwa kama ma interests sana waacha tukae wananchi tuone,tusihukumu
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc Год назад
yani nimecheka sana,ally kaingia mzima mzima.
@dijahmriri523
@dijahmriri523 Год назад
Ila vido mzur jamani uyu kaka nampenda sana
@nassirmohamed8492
@nassirmohamed8492 Год назад
😂😂
@dijahmriri523
@dijahmriri523 Год назад
@@nassirmohamed8492 unacheka Ila simpendi kimahusiano napenda alivo msafi tu ivo
@missnaah4757
@missnaah4757 Год назад
@@dijahmriri523 ngoja aunt ezekiel akusikie😂😂😂
@dijahmriri523
@dijahmriri523 Год назад
Aunt SI ana kusah jamn😂😂😂Yani I wish nikawe ata mfanyakazi wake tu wa ndani😂😂
@missnaah4757
@missnaah4757 Год назад
@@dijahmriri523 hahahaha yn ww vido ndo amekuchota akili hivyo😂😂😂,je umeyaona macho yake?😂😂😂
@harunatengu26
@harunatengu26 5 месяцев назад
Priva amechili kwa mbaliiiii
@Hasnspop
@Hasnspop Год назад
Ally kamwe mimi simba damu ila kama unamtomba hamisa mbeto umetisha sana mwenyewe namuelewasana huyu demu aisee 8:34
@sniper93999
@sniper93999 Год назад
😂😂😂😂😂
@isaachayes9783
@isaachayes9783 Год назад
😂😂😂😂😂
@mdta8161
@mdta8161 Год назад
😅😅😅😅
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 Год назад
Hahaha utakuja kuwa mzee wa hovyo sana
@Hasnspop
@Hasnspop Год назад
@@dorisfabian4776 😂😂 Doris we acha niwe zee la ovyo mtoto wa mwenzako hamisa ananiumizaga. Roho sana aisee
@najmasaid7057
@najmasaid7057 Год назад
Hakuna ambae hajawahi kukosea hakuna ambae hatelezi ktk maisha km Allah kaandika kheir kwenu Basi nasi tunawatakia kila la kheir
@KSJ6569
@KSJ6569 Год назад
Eeeh jamn leo vipi sauti😢
@islamrashid5451
@islamrashid5451 Год назад
Jamaa kumbe hua anapoa hivi
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Год назад
Ila huyu kaka sijamzoweya hivi ila vidoo mdogo wangu umembananisha kaka ako kazidi kuwa mdogo
@perpetuaselestinemazigo259
@perpetuaselestinemazigo259 Год назад
Naomba majina ya hizo nyimbo
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc Год назад
jamaa kaingia ktk mtego
@ahuriladaniel9849
@ahuriladaniel9849 Год назад
Daaaah kamwe kafumwaaaa😅😅😅😅😅
@martinmadimilo8593
@martinmadimilo8593 Год назад
Dah nmechek kwa herufi kubwaaa
@peterassenga2428
@peterassenga2428 Год назад
Semaji Kula mtoto huyo
@drrecoti1455
@drrecoti1455 Год назад
Mbona Ally yupo siriazi hivo😂
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc Год назад
unaona alivyotulia kama kamwagiwa maji
@sniper93999
@sniper93999 Год назад
😂😂😂😂
@isihaqkerdehaqker1403
@isihaqkerdehaqker1403 Год назад
Ila Ally kamwe sio mdogo angalia usoni kwake.
@nurusaid4698
@nurusaid4698 4 месяца назад
Jameni Mrudie Mnapoziba Sauri Maana Huu Umbeya Tunauitaji Wote Cyo Nusu Nusu
@samsung-zb3xi
@samsung-zb3xi 5 месяцев назад
Ally kamwe unayingia cakike acana namapenzi ya Mobeto uyoni kokodi hutamuweza nauyo uporewako usijikujuta badae kukakutana uripoteza mudawako uyo Mobeto yiko kwenye masilahi utajita ishishiya apo ohooooooo👁️👁️👁️👁️
@SaidihusseinAthumani-dy9kw
@SaidihusseinAthumani-dy9kw Год назад
Ali kamwe kula roho iyo yanga ni Raha na Kwa hamisa Raha
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc Год назад
amisa alijuwa kuchomoka ktk maswali kama haya, ila ally ameingia mzima mzima, yani kawa ipole sana leo, kweli mapenzi hayajifichi.
@maxcharles5436
@maxcharles5436 Год назад
Saut mbona hamna
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 Год назад
Vido nikambea , kachimbi he is my best hadi sasa 😂😂😂😂😂😂
@eunicephillip5347
@eunicephillip5347 Год назад
Alikamwe mzur
@leonidamsungu7208
@leonidamsungu7208 Год назад
Mnamchosha Ali wetuu
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 4 месяца назад
Ila kamwe hakika umeingia kwenye ajal mbaya kama kweli upo na hamisa...kama ile ya kwanza ulitaka kujiua basi ya safari hii wallah watu watakuja kwenye msiba wako...labla kama una ajenda zako zingine
@stellah3844
@stellah3844 Год назад
Mko 🔥🔥🔥🔥🔥
@felistafelista7088
@felistafelista7088 Год назад
Hila huyu kaka ni mjeuri kujibu maswali 😂😂😂😂😂
@صالحالصوافي-غ5و
ayo tv mbona sauti haiskiki 😢
@abuuayoubayoub9260
@abuuayoubayoub9260 Год назад
Msemaji wetu kanyeshewa na mvua leo kapoaaaaa huyu sio ali kamwe ni kivuli
@evertheobald1811
@evertheobald1811 Год назад
Hahahaaaa, au ni mzimu wake et ee
@abuuayoubayoub9260
@abuuayoubayoub9260 Год назад
@@evertheobald1811 kabisaaaa na vile sio habari za yanga ndo maana kanyeshewa coz akiropokwa tu kesho media zote zinamuanika
@yusufmsaa5693
@yusufmsaa5693 Год назад
Kaka Leo umekuwa mpole kwann
@witnessroby1223
@witnessroby1223 Год назад
Hawa watu watatu umakini binafsi unaitajika😅😅😅😅
@captainlevispowers
@captainlevispowers Год назад
Not Sauti hamsikii those are guidelines to protect the media rights😂na pia kupunguza scandles na maneno yanaochoma
@rouhaipher7388
@rouhaipher7388 Год назад
Si tunajua Ni chombo ya boss wakew baada ya iriniiii kuacha nafasiii😁😁
@burudanitiv324
@burudanitiv324 Год назад
Pamoja BF2047 tuko wengi
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 Год назад
Ila hii team ya Millard ni kiboko.. mnambananisha Ally mpaka anashindwa kupumuaa 😂😂😂😂😂
@Pendo197
@Pendo197 Год назад
Mnambananisha semaji letu mpka anaona aibu jmn
@jacklineikoki6653
@jacklineikoki6653 Год назад
Semaji lenu kawa mdogo Leo chezea kupenda wewe
@rehemarwanda6039
@rehemarwanda6039 Год назад
Millard mmeezingua sauti imekata mara 2 jamaniiii
@kulwamizungumiti7878
@kulwamizungumiti7878 Год назад
Huyu kijana ana akili Sana, Hamisa shikilia huyu mtu jamani utufurahishe fans zako na ulinde heshima Yako
@estherobrey8153
@estherobrey8153 Год назад
Mbona sauti imekata
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂 Ally vp umelowaaa unaropoka tuu kama sio wewe😅😅
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Год назад
Watu wamedia usipokuwa makini unajipelka tu mbona
@neemabaker3738
@neemabaker3738 Год назад
Kina sehemu sauti haisikiki …
@burudanitiv324
@burudanitiv324 Год назад
Alikamwe umewekwa mtyuu kati leooo umeingia cha kike mzeee
@MuhammadHassan-xp6dc
@MuhammadHassan-xp6dc Год назад
watangazaji huyu msemaji mmemlisha chakula gani mbona anajibu tu kama siyo yeye.
@jacklineikoki6653
@jacklineikoki6653 Год назад
Power of love hatar
@Jabu415
@Jabu415 Год назад
😂😂😂😂nampenda vido anajua kufanya cross examination si ungekua TU mwanasheria😅😅😅😅😅😅
@joanedward3277
@joanedward3277 Год назад
Cross kama cross in the courtroom acha kabisa 😂😂😂😂😂😂😂😂nisisahau
@chris-uz1ts
@chris-uz1ts Год назад
😅😅😅😅 ni shida
@patrickmsuguri
@patrickmsuguri Год назад
Ali ana akili sana
@nashauashumani346
@nashauashumani346 Год назад
Sauti inakata kata jmn mbn mnatunyima uhondo 😢
@FirdausyAbubakary-bl2wo
@FirdausyAbubakary-bl2wo Год назад
Ally Mbn kawa mpoole saana😂😂😂
@neemamollel6972
@neemamollel6972 Год назад
Sautiii jamaniii
@hanifahanifa1010
@hanifahanifa1010 Год назад
Mbona anataka kulia
@maryamudunga1094
@maryamudunga1094 Год назад
Ila hawa watangazaji😂😂😂😂
@saraphinamsemwa6648
@saraphinamsemwa6648 Год назад
Miakili ya mtu 2 alikamwe atarukia wapi🤣🤣🤣🤣
@paschalpeter4540
@paschalpeter4540 Год назад
😂😂😂nyie watu kaz hii mmeimudu
@barikingowo1052
@barikingowo1052 Год назад
Dah sautiiiiiiiiiiiiii
@NeemaRutahiwa-is3eu
@NeemaRutahiwa-is3eu Год назад
Kubaki msemaji wetu
@ericaasher7535
@ericaasher7535 Год назад
Kwani Ally alikuwaga hajaoa....?
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 Год назад
Kaoa mara 2 zote zimemshinda😅😅
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 Год назад
@@khadijamwenda1851 duuh
@ericaasher7535
@ericaasher7535 Год назад
Hahahaha huko ndo ataweza kwelii🤣🤣🤣🤣
@wemakingdaily1462
@wemakingdaily1462 Год назад
Safari hii Hamisa hajabahatisha Boss mwenye pesa😂😂😂😂😂😂😂😂kaishia kudate na Serengeti boy
@khalidjafary1120
@khalidjafary1120 Год назад
Nyoko we unae acha wivu
@tawfiqsaid4918
@tawfiqsaid4918 Год назад
Ali kwamwe mkubwa kwa hamisa
@khalidjafary1120
@khalidjafary1120 Год назад
Mmmh
@tawfiqsaid4918
@tawfiqsaid4918 Год назад
@@khalidjafary1120 huamini au hamisa si lika la Aslay sasa utamfananisha na Ally kijeba kile
@khalidjafary1120
@khalidjafary1120 Год назад
Shida ni wivu nn acha semaji la timu ya caf apate make
@rashidamohamed9927
@rashidamohamed9927 Год назад
ooooooyaaa kwenu studio wambeaa mna tunyima uhooodo mna katika hatuwasikii wambea tuna teseka hatuwa sikiiiiii🙄🙄🙄🙄🙄🙄🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂msitu fanyiieee hiiifyooo
@aminamnzava4757
@aminamnzava4757 Год назад
Tunateseka sie 😃😃😃😃
@neemamollel6972
@neemamollel6972 Год назад
Ali ni akili yako au uwiiiiii umekosa mwananke kabisaaa umepotea
@evertheobald1811
@evertheobald1811 Год назад
Mapenzi bhana yanatishaaa, hata macho hutiwa upofu nahis
@mdta8161
@mdta8161 Год назад
Haki siye watanzania atupendani sana
@eugenbaraka250
@eugenbaraka250 Год назад
SAUTI SAUTI SAUTI SAUTIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
@jescajulius8023
@jescajulius8023 Год назад
Kaka Leo unaropoka hahaha mapenzi nyoko
@glorianikiza3940
@glorianikiza3940 Год назад
Frida ka sauti kako na ka cheko navipenda
@sharlynshabani6815
@sharlynshabani6815 Год назад
Anaanza kupotea dogo
@norahazan796
@norahazan796 Год назад
Sasa kuwa na tempa haimaanishi hana nidhamu.
@MaaneML
@MaaneML Год назад
Sauti imekata video
Далее
JUJU HAS IT ALL! | Brawl Stars Animation
00:53
Просмотров 2,6 млн
This is how Halo felt as a kid 🤣 (phelan.davies)
00:14
SHAMBA LA KITAPELI || AZABOI na MTUMISHI OBAMA
4:58
Просмотров 2,4 тыс.
JUJU HAS IT ALL! | Brawl Stars Animation
00:53
Просмотров 2,6 млн