Тёмный

EXCLUSIVE - DADA wa KAZI wa NANDY avunjwa Ukimya, afunguka haya kwa Kiingereza, Hajui KISWAHILI 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 26 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 157   
@florangido202
@florangido202 2 месяца назад
Nandi Ungekaa kimya ukapuuza. Unavyotumia nguvu, nyingi kujielezea kuweka sawa. Inaonekana ni kweli na Imekuuma. Jibu la upumbavu ni kukaa KIMYA.
@AlaikaHassan
@AlaikaHassan 2 месяца назад
Kwa maneno yanayoendelea lazma aumie afu ukute vitu ni tofaut na anavyoongelewa
@isamony58
@isamony58 2 месяца назад
Nyie waparee niwabahili sana mdd kawa rafuuu
@magrethmalobola5470
@magrethmalobola5470 2 месяца назад
Sijau kusikia kingereza cha Nandy.....nimesikia leo😂naona aibu kwa kweli😅
@HalimaKassim-yz3we
@HalimaKassim-yz3we 2 месяца назад
Ma boss wanaogopaga kuwapendezesha wasichana wao ili wasiwazidi unajua kuna wengine ni wazuri kuliko ma boss zao😂😂😂samtaim wasichana ni wazuri kuliko ma boss kwahiyo waogopa wakipendeza
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 2 месяца назад
Kwel 😂
@AgnessShirima-nb2hr
@AgnessShirima-nb2hr 2 месяца назад
Dada alipelekwa English course lakn Nandy mwenyew Eng Iko kushoto😅😅😅
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 2 месяца назад
😂😂😂
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 2 месяца назад
😂😂
@HappyFania-ry2ch
@HappyFania-ry2ch 2 месяца назад
😂😂😂 iyo ndo Tanzania
@Aisha-qd2rg
@Aisha-qd2rg 2 месяца назад
Halafu anaongea kama mkenya au mganda atakua ameajiri mkenya
@annalubango9899
@annalubango9899 2 месяца назад
Mama hajuinhata how you lakini mtoto kapelekwa kwa lwakatale mbon simplemtu
@akilijanvier-s9g
@akilijanvier-s9g 2 месяца назад
did i just heard "in the Instagram" or I am wrong 🤣🤣 by the way i love you Nandy 😍😍😍😍
@ShebbyTheparadiso-hf6fz
@ShebbyTheparadiso-hf6fz 2 месяца назад
Sns mbona unaweka upuuxi wakati you are more than that
@thabitdaudi9815
@thabitdaudi9815 2 месяца назад
Extremely rubbish low end type of news. Nashangaa kumuona vidox wa millard ayo nae akigive this airtime
@annastaziajohn8295
@annastaziajohn8295 2 месяца назад
Sema ulizingua kumjib yule kaka etu wa ticktock. Ulimjib vibaya kama kioo cha jamii sio vzr kutumia zile kauli. Ni bora ungenyamaza
@MingYou-o9w
@MingYou-o9w 2 месяца назад
Uyu mshamba kweli sasa kingereza ndo nini dada mtunze msichana wako dada
@frankmlalila1705
@frankmlalila1705 2 месяца назад
😂😂😂😂😂bongo sasa
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 2 месяца назад
Watz 😂😂😂😂
@ibrahimngulungu
@ibrahimngulungu 2 месяца назад
sasa kingereza ndo kinasuka nywele mbna unanichanganya akili nandy😂😂😂
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 2 месяца назад
Ushamba kitu kibaya eti hajui kiswahili
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 2 месяца назад
Mmmh nlikua nakufatilia lkn kwa vle mfyuu
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 2 месяца назад
Watanzania tunapenda sana kushabikia ujinga,apo mtu hajui ada ya mwanae mwakani ataitoa wapi lakini kutwa kuhangaika na mambo yasiyowahusu,iyo time ingetumika kufanya maendeleo aaahaaah. Ebu let's normalize staying out of people's businesses.
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 2 месяца назад
Kingereza sio sababu,mtunze dada awe smart
@Burner_Acc
@Burner_Acc 2 месяца назад
Uhamiaji fanyeni kazi yenu. Hawa wageni wanaingia nchini bila vibali na kutumikishwa kama mbwa.
@esthermwarape3500
@esthermwarape3500 2 месяца назад
Wapo wengi sana sikuizi
@NajimaA.R
@NajimaA.R 2 месяца назад
Mmm huyu Nandi waovyo kumbe
@AgnessShirima-nb2hr
@AgnessShirima-nb2hr 2 месяца назад
Labda anakuogopa hatokuwa wazi kuongea😅😅😅
@frankmlalila1705
@frankmlalila1705 2 месяца назад
Kbsaaa😂😂😂
@ChoroTesla
@ChoroTesla 2 месяца назад
Simulizi na sauti hizi ni story za kise*** kuweka kwenye channel yenu..
@mahmoudmihanjamu669
@mahmoudmihanjamu669 2 месяца назад
Dada ung'eacha tu yapite tu sasa umeamua kuwachokoza na Wakenya waje kutunanga😂😂😂
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂 Mimi mkenya nimeisha
@clareocholla
@clareocholla 2 месяца назад
Tushafika eti 😂😂😂
@Mwikinda
@Mwikinda 2 месяца назад
😂😂😂
@azizayassin3623
@azizayassin3623 2 месяца назад
😂😂😂 I came here to listen to the baby class English is bull shit
@mahmoudmihanjamu669
@mahmoudmihanjamu669 2 месяца назад
@@clareocholla Kaamua kutuletea zogo dada yetu sawa tutafanyaje
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 2 месяца назад
MBONA BOSS MWENYEWE KINGEREZA CHAKO KATAMBUGA ???😂DADA WA KAZI WA LULU WHITE SUPER ANALELEWA NA BOSS KAMA MDOGO WAKE NYINYI MPAKA MSAKAMWE 😂😂😂😂
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 2 месяца назад
Sasa kuongea kingereza na matunzo vinahusiana nini 😂😂😂kingechake kwanza sio smooth ni cha kawaida kama kenya na uganda tuu bwana tuacheeeeee goo
@HalimaKassim-yz3we
@HalimaKassim-yz3we 2 месяца назад
Ma boss?? WOOOTE JIFUNZEN KUWATUNZA WA DADA NAUWAPENDA KAMA MNAVOJIPENDA
@jamalshoo5309
@jamalshoo5309 2 месяца назад
Aah nampelek dada wa kaz english course, nshaona faida yake
@Thatgurl-l8n
@Thatgurl-l8n 2 месяца назад
😂😂😂😂😂nandy huyo dad iyo lugh tangu aanzekuitumia hana mie miwil tuwewawaz an ilikuwaj hat ww hukijuii😅😅rasisimba husika na zile kanunu zako
@ireneboniventure7434
@ireneboniventure7434 2 месяца назад
Anaonekana ni mdada wa WEST AFRICA
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 2 месяца назад
Amelewa
@impeccablerito7922
@impeccablerito7922 2 месяца назад
Media za bongo miyeyusho sana yani waandishi wa habar wamekaza kabisa wanasubiri beki3 wa Nandy aongee kiingereza..😂utafikiri kuongea kiingereza ni Inshu kubwa. DAHHHH..!!!😔😔
@donlee9992
@donlee9992 Месяц назад
Dunia ngum sana😢 hii
@ireneboniventure7434
@ireneboniventure7434 2 месяца назад
Inaonekana uyo dada so watanzania
@zainabwage4658
@zainabwage4658 2 месяца назад
Bora ungenyamaza
@violetcarroll4930
@violetcarroll4930 2 месяца назад
Kwahiyo kutokujua Kiswahili ndio kutoboa au? Kiingereza ni lugha ya kikoloni, watanzania tupende vyetu ehh
@samuelmurayaone
@samuelmurayaone 2 месяца назад
Kwako ww ndivyo ,you understand just ishi hivyo 😅😂😂😂
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 2 месяца назад
Ulikosea mtu anavaa nguo hata ndefu but huwa yuko smart nyinyi mupendeze yy mwamueka kama sijui nn....mm humpenda Diana wa bahati angalia waschana wa kazi wake utapenda
@CantonaKunona
@CantonaKunona 2 месяца назад
Iyo mibeat inayopgwa mnaiskia au busy na English😂😅
@shyfettymtunda4619
@shyfettymtunda4619 2 месяца назад
Wakenya wasione hiki kiingereza.😂😂Tutasuuzwa tusibakishwe. Bado tuko traumatized na ile "I arrived at 2nd o'clock"😂😂😂
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys 2 месяца назад
Hayo ni mzaha wa mitandao Kenya,Tanzania,Uganda,Rwanda na mataifa tofauti jamani❤
@Ashsultana
@Ashsultana 2 месяца назад
You know bra bra braa, hiki dada kinaonekana kiko uncare, ndo maana anatumia nguvu kuielezea jamii vitu vinavyotakiwa kuonekana, sasa English ni nini si mnaweza mfundisha kwa faida ya mwanenu, mpelekeni shule akasomee fan anayoitaka kamekomaa English English 😂😂
@hanifamziray277
@hanifamziray277 2 месяца назад
Ndio hivyo umeshaaibika bora kaa kimya acha yapite
@NajimaA.R
@NajimaA.R 2 месяца назад
Umeharibu dada kamtumze bintiyako
@DANIELMASUNGA-t4h
@DANIELMASUNGA-t4h 2 месяца назад
bongo nyoko huyo binti wa kazi tayari kapata umaarufu qmamake🤣🤣🤣
@HappyFania-ry2ch
@HappyFania-ry2ch 2 месяца назад
😂😂😂
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 2 месяца назад
😂
@japhetlust5050
@japhetlust5050 2 месяца назад
Tumsifu yule mwamba cyo😂
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 2 месяца назад
Htl mwanangu hpo anafunguliwa account Instagram 😂😂😂
@BrendaMwithimbu
@BrendaMwithimbu 2 месяца назад
Wabongo mtaniua na kicheko mie mkenyaa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 2 месяца назад
Same here.....sasa kizungu kime vunjika mguu
@ngwacahnyagwaswa9979
@ngwacahnyagwaswa9979 2 месяца назад
😂
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 2 месяца назад
@@BarbaraPatience-qt9cc 😅😅😅cha ajabu ni nini ukiwa mkenya
@EmilyAlph
@EmilyAlph 2 месяца назад
Nani hawajui wapare buana 😂😂😂
@rosehaule6765
@rosehaule6765 2 месяца назад
Dada.mnyasa etii😂😂😂 ila nampenda.mnoo Nandi sana sana
@Jafreez
@Jafreez 2 месяца назад
Ww kiswahili kinakupa maisha leo hii hupendi mwanao aongee kiswahili?? Kweli hujivunii kuwa mswahili mbafu kweli
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 2 месяца назад
Nandy ulikua hau mtreat vizuri so wacha kutuongelesha! You are not a good person
@bakarikiroboto4268
@bakarikiroboto4268 2 месяца назад
Nandy unaropoka xna udumia dada wa wawatu😢
@mariachales3283
@mariachales3283 2 месяца назад
Wanao kusema wambie waje ncha za Kiarabu ndiyo watajua au la
@johanjoha5262
@johanjoha5262 2 месяца назад
Useme kweli ukifika home umukokote masiku sikiy
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 2 месяца назад
Muigeni diamond ni mtu wa kuuchuna tu hata askie nn ?
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 2 месяца назад
Inshu Ni Yuko lafu ,English ya nn,,uskute kaambiwa marufuku kujilemba
@josephfrank4446
@josephfrank4446 2 месяца назад
Mimi naona aibu jmn 😂😂😂😂
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 2 месяца назад
Ungekaa kimnya tuu. Wala usingepiga simu. Halafu Nandy kumbe English zero mummy wangu. English course inakuhusu
@Mariam-w9s3b
@Mariam-w9s3b 2 месяца назад
Anajikosha Mimi nilijua kamuajili mzungu ndio ajui kuongea kiswahili kumbe Cha kujifunza 😏aibu ila unaangaika na maumivu ya ukweli uliopewa
@PascalMbogo-g3z
@PascalMbogo-g3z 2 месяца назад
Nyoooooh😂😂😂
@johanjoha5262
@johanjoha5262 2 месяца назад
Pose zote ata kingereza hujui,
@maymbeyu5458
@maymbeyu5458 2 месяца назад
Hyo English yake n ya mtoto wa PP1 jamani😂😂😂😂😂
@CatherineDominic-e6x
@CatherineDominic-e6x 2 месяца назад
Sio watoto tuu wanatekwa adi wanawakeee wanatekwa 😂
@JackMsuya-j6q
@JackMsuya-j6q 2 месяца назад
Huna lolote😢
@fatumakingi9753
@fatumakingi9753 2 месяца назад
Weupe wa ngozii roho chafu
@esterkimath1214
@esterkimath1214 2 месяца назад
Unakaa una karoho ka korosho na mwongomwongo kwakukangalia tuu hata ww kings hujui mpaka aibu ongea tuu kiswahili😅
@Kabwela776
@Kabwela776 2 месяца назад
Aibu tupu watanzania hawajui kabisa kiingereza yaani huyu dada hata hajui kiingereza bogus education system ya Tanzania 🇹🇿 mnakwama wapi wabongo mbona Kenya 🇰🇪 na Uganda 🇺🇬 hata Rwanda 🇷🇼 wanaongea kiingereza kizuri
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 2 месяца назад
Yani watanzania mnavituko 😂😂 karibuni Kenya kuna blabla mingii sana ,Nandii be careful Nenga atapitanaye sababu kingereza we endelea kumsifia tu ,hio accent ni ya ungaenda hio muache ufala
@petropromespeter
@petropromespeter 2 месяца назад
😂😂 Ila Kiingereza
@gloriajulius829
@gloriajulius829 2 месяца назад
Jamani watu mnananeno sana nyie wenywe humu English zenu za hovyo, huyo dada anaonekana she is okay with her life na nandy waacheni
@hirizonetz9558
@hirizonetz9558 2 месяца назад
Kwa maana hiyo siyo mtanzania ama vp Hadi asijue kiswahili na kabla ya kujua kingereza alikuwa anaongea lugha gani haka kadem kama kachoko hivi😂😂
@zahararamadhanisalmu395
@zahararamadhanisalmu395 2 месяца назад
😂😂😂😂 hakuna m2 asiee penda kupendeza kwenye shuhuli pili nandy anajigatagata hajui hata aseme nini jmn sio vzuri
@IssaTayari
@IssaTayari 2 месяца назад
Usijetetee chamsingi mfanfe dada wakazi kama ndunguyako siyo kama unakaa nazombi
@olomweneelama1240
@olomweneelama1240 2 месяца назад
Haaaaa nihatari kweli
@mustafarajabu4005
@mustafarajabu4005 2 месяца назад
Kiingeleza kigumu.nandy anapata shida sna kuongea nae.
@beatricemrema9777
@beatricemrema9777 2 месяца назад
Blablaaa ndo nini jamani? Wifi una manjonjoooo
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 2 месяца назад
Sisi wenyewe tuna wadada wa kazi wa kimalawi hawajui kiswahili
@annafrancis7313
@annafrancis7313 2 месяца назад
Niungishe na mimi
@TEDY-MTEMY24
@TEDY-MTEMY24 Месяц назад
Wizara ya uhamiaji inalifahamu hilo?​@@annafrancis7313
@NgomaNgandu
@NgomaNgandu 2 месяца назад
Point nikumtunza dada na siyo kingereza....kingereza kwetu ni lugha ya kawaida sana hata muza mboga wanaongea
@Aisha-qd2rg
@Aisha-qd2rg 2 месяца назад
Kaajiri mkenya huyo
@djoe8266
@djoe8266 2 месяца назад
Anatumia nguvu nying
@AishaHaji-h4d
@AishaHaji-h4d 2 месяца назад
Ili afukuzwe kazii 😂😂😂😂
@NajimaA.R
@NajimaA.R 2 месяца назад
Kaongoww hunalolote
@FatmasaidhamesaHamesa
@FatmasaidhamesaHamesa 2 месяца назад
Mungo huyu mpaka kumsema hawezi
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 2 месяца назад
Msaidiz wa nymbani kuongea kingereza nayo ni yakuongelea mbona km tuna kaushamba flan ivi naona adi aibu ckuizi watu wanasoma nyie
@denitechnologies
@denitechnologies 2 месяца назад
Ongeeni kiswahili nyie wasanii mwajisahaulisha kwamba ni watanzania😅😅😅
@KwizeLee
@KwizeLee 2 месяца назад
Achana naulejama musame tu bule
@Sweetnaah
@Sweetnaah 2 месяца назад
Unajikoo unajikosha mtunze msichana wako acha roho mbaya umeshindwa kumpa hata kagauni apendeze
@zahararamadhanisalmu395
@zahararamadhanisalmu395 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂mdada hajui english vizur
@johanjoha5262
@johanjoha5262 2 месяца назад
Ishu ilikugusa kwakweli
@FrankGavana-q6o
@FrankGavana-q6o 2 месяца назад
Uongo mwingi😂😂😂 ndio msana anajikanganya
@AgnessShirima-nb2hr
@AgnessShirima-nb2hr 2 месяца назад
Kudadeki uwongo mtupu anaona hayaaaaa
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 2 месяца назад
Kabisa
@SifaMukandikwa
@SifaMukandikwa 2 месяца назад
Nandy uyu anacekesha kweli eti watoto watafundishwa warere ,ère miye wabo sasa sisi tunaishi uganda hatujuwe kingereza tunafaamu tu kifaransa unatwambiya je ?😂😂😂
@faithkaganda-k3s
@faithkaganda-k3s 2 месяца назад
Utamuuliza mwenyewe au kingereza kimekushnda unamrushia kete vido😂😂😂😂
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 2 месяца назад
😂😂😂😂
@marryezekiel
@marryezekiel 2 месяца назад
Hajui kiswahili sawa siuseme ni wa Malawi tu maana ndio hawajui kiswahili😅😅😅 dah
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 2 месяца назад
Hicho kinge sasa aibu naona mimi 😂😂😂
@magrethmalobola5470
@magrethmalobola5470 2 месяца назад
😂😂😂😂
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 2 месяца назад
NANDY RUDI SHULE😂😂😂😂 ONGEENI TU KISWAHILI NI BETER MAANA SI KWA KITHUNGU HITHO KIDHUNGU IS KITHUNGURIE😂😂
@christinechinyavumchombo1028
@christinechinyavumchombo1028 2 месяца назад
Weeeh mwenyewe kingereza hukijui itakuwa dada wakzi wewe unauficha ukweli unaho mbya
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 месяца назад
Mfanyakazi wa nn wakati bilinas upo na ana kazi
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 2 месяца назад
😂😂 ngoja akusikie
@Awatee
@Awatee 2 месяца назад
😂😂😂😂
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 месяца назад
@@AgnesJohn-f1r haaaa
@azizayassin3623
@azizayassin3623 2 месяца назад
😂😂😂😂😂 becau that's the end of the english or im under the floor
@Lina4285baby
@Lina4285baby 2 месяца назад
Just stop explaining yourself that was wrong maybe she don’t want to do her hair ok we understand but come on new 👚 for one day I’ll make her wear it you will not embarrass me
@frankmlalila1705
@frankmlalila1705 2 месяца назад
Punguza sifa mpale ww
@PascalMbogo-g3z
@PascalMbogo-g3z 2 месяца назад
😂😂 uwongo mpare wewe hunaroho zuri fata nyao za zuchu banha niombi lakini
@clareocholla
@clareocholla 2 месяца назад
😂😂😂 Tanzania mayoo nawapenda
@safarivahocha8077
@safarivahocha8077 2 месяца назад
Something is wrong somewhere 😂
@homeandaway2811
@homeandaway2811 2 месяца назад
Eti thats why you are speaking slowly 😂😂😂😂😂😂
@AgnessShirima-nb2hr
@AgnessShirima-nb2hr 2 месяца назад
Nacheka sio poa
@Soundprobeats
@Soundprobeats 2 месяца назад
😂😂😂
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 2 месяца назад
😂😂😂😂 Bora wawe kama Mimi kiswahili kwa kwenda mbele
@reginamluviji9405
@reginamluviji9405 2 месяца назад
ahahaha kingereza cha boss mmmnh mmmnh mmnh brabra ziko nying hahah
@AsiaShaban-zz4yr
@AsiaShaban-zz4yr 2 месяца назад
Hana dakika duuh apo nandy anakopa voda duuh😂😅
@azizayassin3623
@azizayassin3623 2 месяца назад
😂😂😂alafu tnasema tko na pesa
@PascalMbogo-g3z
@PascalMbogo-g3z 2 месяца назад
Roho mbaya tu Huna lolote
@SteveMzee-q8b
@SteveMzee-q8b 2 месяца назад
Kingeleza ata wewe nandy hamuna
@HappyFania-ry2ch
@HappyFania-ry2ch 2 месяца назад
Hajui
@Zuuh4286
@Zuuh4286 2 месяца назад
𝐍𝐚𝐧𝐝𝐢 𝐬𝐤 𝐧𝐚𝐦𝐮𝐨𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐬𝐚𝐤𝐢 𝐧𝐚 𝐡𝐚𝐩𝐚 𝐚𝐥𝐢𝐩𝐨 𝐧 𝐯𝐢𝐭𝐮 𝐯𝐢𝐰𝐢𝐥𝐢 𝐲𝐨𝐟𝐚𝐮𝐭𝐢 𝐢𝐥𝐚 𝐩𝐞𝐬𝐚 𝐬𝐡𝐢𝐤𝐚𝐦𝐨𝐨𝐨𝐨🙌😂😂😂
@christinechinyavumchombo1028
@christinechinyavumchombo1028 2 месяца назад
Kwenda uko roo mbya tu
@HappyFania-ry2ch
@HappyFania-ry2ch 2 месяца назад
Kabisa
Далее
На самом деле, все не просто 😂
00:45
skibidi toilet 77 (part 4)
05:20
Просмотров 12 млн
Гаджет из даркнета 📦
00:45
Просмотров 266 тыс.
Nandy Vs Hamisa MOBETTO Nani mkali wa tiktok
5:32
Просмотров 77 тыс.
На самом деле, все не просто 😂
00:45