Тёмный

#EXCLUSIVE 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 181 тыс.
50% 1

#EXCLUSIVE: JENIPHA KANUMBA AFUNGUKA KUHUSU MPENZI WAKE - ''NATAMANI KUWA na MBABA''....
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 68   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
JISHINDIE TECNO CAMON 20 kwa BUKU TU! Ingia kwenye simu yako📲, NAMBA YA KAMPUNI 553111, KUMBU NO. 255 au GLOBAL kisha Tuma 1,000! Utapaja ujumbe wa USHINDI!
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Год назад
Eti mkubwa mkubwa janiph bhana hongera sna mpole sna aise sio kama kina furan
@IzkiOamn
@IzkiOamn Год назад
Napenda majibu yako na upole wako mpendwa ❣️❤️ Jenifer
@Lulualshagri
@Lulualshagri Год назад
Huyu mtoto nampenda hanaga majivuno hana maskendo m,mungu ajaalie aendelee hivyo hivyo
@personpeter2221
@personpeter2221 Год назад
Mwaka juz katangaza yeye ni bikila😅
@aisharajimbo6784
@aisharajimbo6784 Год назад
​@@personpeter2221kwani kutangaza ubikira ni khatia?ama wewe ulikua ushambikiri
@afsamimi2780
@afsamimi2780 6 месяцев назад
😂😂labda
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 Год назад
Mashaallah mpolee hana mapepe km videm vingne vistaa uchwara
@khadijahamisi8531
@khadijahamisi8531 8 месяцев назад
Na anajistiri MashaAllah
@evamoshi6917
@evamoshi6917 5 месяцев назад
Jenipher hongera sana huba umeiwezea sana kama ulivyo fanya vzr unclejj mungu azidi kukulinda uwe juuu❤
@paskalinapa6177
@paskalinapa6177 Год назад
Mrembo mno❤❤❤❤
@sophiapeter7843
@sophiapeter7843 Год назад
Nakupenda Sana Jennifer
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 Год назад
Jennifer Kanumba❤ Nakukubali
@mamuumoulid-ue9bz
@mamuumoulid-ue9bz Год назад
Nakupenda San jeniph
@IzkiOamn
@IzkiOamn Год назад
Hapo kwenye hasira tupo woteeeee
@JosephineBanda-pt5hr
@JosephineBanda-pt5hr 6 дней назад
JB is very romantic
@rogerduge9799
@rogerduge9799 5 месяцев назад
❤❤❤❤ hongera xana dad mungu akujalie
@AgnetaSamson
@AgnetaSamson 5 месяцев назад
Nmpenda sana huo upole wake❤
@SilasStanwell
@SilasStanwell Год назад
Mungu kakujalia uzuriii wakipekee xana
@AmeenaTanzania
@AmeenaTanzania Год назад
😂😂😂😂😂Nimempenda sana iyo cjui kama ninae au cna kwasababu aeleweki❤
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 8 месяцев назад
❤ anaongea vizuri mpaka raha
@SalmaMatengu
@SalmaMatengu 5 месяцев назад
Jenipher ❤❤❤
@NeemaDanielBarabara
@NeemaDanielBarabara 6 месяцев назад
Nakukubali sana😢😢
@RussiaSalehe
@RussiaSalehe 6 месяцев назад
hongera humekuwa honge
@TknNkt
@TknNkt Год назад
Nikupenda sana Jennifer
@JuliusMwamure-jz4ec
@JuliusMwamure-jz4ec 6 месяцев назад
Nampenda Sana huyo mschana ana heshima,na Hana majivuno
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Год назад
Kazuri kenyewe natural siyo wale mapopo wakiskia interview hafi wamkimbie saloon 😂
@saidali-hx4bk
@saidali-hx4bk Год назад
Jenifaaaa
@roxynisha8133
@roxynisha8133 Год назад
kipole MashaAllah ❤❤❤😂
@Chimamy-yg4se
@Chimamy-yg4se Год назад
Hakika kichuguu hakikui ila watu wanakuwa jenifa kanumba umekuwa na umekuwa mrembo zaidi kifupi nakukubari sana we nimpole mtu huna majivuno wewe uliumbwa hongera
@salmasulleysh7101
@salmasulleysh7101 Год назад
Iyo ya kulia likuwa napenda sana nkaja ambiwa usile sana waumiza nafsi yko
@ECLEARJONES
@ECLEARJONES Год назад
❤❤ jeni
@rodahmunguti1930
@rodahmunguti1930 Год назад
Ata. Mm ua nampenda sana,tangu ezi za kanumba uncle jj😅
@safarivahocha8077
@safarivahocha8077 6 месяцев назад
Imelda wewe mwenyewe ni exclusive. Unajua sana kuhoji na kutafuta taarifa
@SunnaSaidi
@SunnaSaidi Год назад
Namuelewa sana binti.
@خوييمقفل
@خوييمقفل Год назад
Jamira tunakupenda sana
@hollojuma9538
@hollojuma9538 Год назад
Penda WW bint was kanumba ❤❤❤❤
@mchambikisupi9204
@mchambikisupi9204 Год назад
Jeni ajaribu kufanya mazoezi anapendeza akiwa na mwilii mdogomdogo
@gaudensiajohnpeter3882
@gaudensiajohnpeter3882 Год назад
Nampenda bure jenipher
@husa8849
@husa8849 Год назад
Ongela jn
@OmaryHamisi-i4r
@OmaryHamisi-i4r 10 дней назад
❤❤❤❤❤❤❤
@zakiaussi2968
@zakiaussi2968 5 месяцев назад
Yaan jeni umenifurahisha😂😂ety humuelewi kumbe
@nouraalharthy5509
@nouraalharthy5509 6 месяцев назад
Kapole mwenyewe
@Harmontwo255
@Harmontwo255 Год назад
Global tv 🎉🎉
@MariamJosephYared-ki2vd
@MariamJosephYared-ki2vd 10 месяцев назад
Namba za cm zajeninifa
@kharlyhamuli8871
@kharlyhamuli8871 Год назад
dada yangu
@lilianlodric987
@lilianlodric987 Месяц назад
Mambo
@emaculataisonda5708
@emaculataisonda5708 6 месяцев назад
Kweny mahusiano apo nmecheka maan kaongea ukwel Kuna muda unaweza usielewe kwakwel 😂
@hajiali8820
@hajiali8820 Год назад
❤❤
@kendimutunga
@kendimutunga Год назад
Hongera
@zepinashatibu5149
@zepinashatibu5149 6 месяцев назад
Kumbe wale mapacha siyo watoto wake
@Juliusibraah
@Juliusibraah Год назад
👏👏👏
@leomika8473
@leomika8473 2 месяца назад
Limekuwa likawa libaya
@dorcasmueni2290
@dorcasmueni2290 Год назад
Jenifer ni mpole
@PapakinyiMelita-f1x
@PapakinyiMelita-f1x 5 месяцев назад
Huyu dada nampenda mnoo lakini Sina kitu Wala jinzi
@selemaniseif7767
@selemaniseif7767 29 дней назад
Nauko kujikilim mtihani
@MickeyMilly
@MickeyMilly Год назад
Namupenzi san uyo mudada anaigia vizur san epi
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 6 месяцев назад
Huyu bado robo tu atafunwe na kanumba
@thomasmdata2974
@thomasmdata2974 Год назад
Nataka vidio
@musamadua8102
@musamadua8102 11 месяцев назад
Unafaa
@JoySylivia
@JoySylivia Год назад
😅kabobea
@judithlejalearnmore2236
@judithlejalearnmore2236 4 месяца назад
Jennifer ni wife material, sio kama wale wakudakia mabwana wawengine
@hermanniziyigimana7196
@hermanniziyigimana7196 Год назад
😂😂
@StellaLupenza-w6q
@StellaLupenza-w6q 6 месяцев назад
😂
@MomadeMudimoz70-cs2ud
@MomadeMudimoz70-cs2ud 5 месяцев назад
❤❤❤❤❤❤
@superafricantv750
@superafricantv750 Год назад
❤️❤️
@ghhhhy1812
@ghhhhy1812 5 месяцев назад
❤❤❤
@paizinhosaide-cv9pm
@paizinhosaide-cv9pm 9 месяцев назад
❤❤❤❤❤
Далее
Учёные из Тринидад и Тобаго
00:23
MAMA KANUMBA KATIKA SIKU YA FARAJA YA TASNIA
3:54
Просмотров 2,5 тыс.