Тёмный

EXCLUSIVE: MJUE JOB NDUGAI "SPIKA ALIYEJIUZULU" Tangu AONDOKE HAJULIKANI ALIPO"na ASIKIKI KABISA 

Подписаться
Просмотров 32 тыс.
% 144

Fuatilia Mkasa Huu Mwanzo Mwisho Hapo Tutakufahamisha NI wapi Spika ALIYEJIUZULU Kwasasa Yupo wapi Na kwanini Amekaa KIMYA Kipindi chote hichi
ru-vid.com/group/PLkOylok86xJiWX3vRhxnGQKq8qKozt2yJ&si=K9qvhYeYvHajlFdq
#simulizinasauti #wasafimedia #cloudsmedia #exclusive #millardayo #dullysantz #santzmedia #ccm #efm #history

Развлечения

Опубликовано:

 

24 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 83   
@MariaCassian-e2i
@MariaCassian-e2i 7 дней назад
Mama kaupigaa mwingii fimbo mliotupigia watanzania inawapiga wenyewe wspiga makofi ndugai kafichua siri bila mwenyewe kujua
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz 22 дня назад
Mmmh tanzania hiyooo jamani. Mungu utuhurumie.
@MartineShija
@MartineShija 24 дня назад
Ndugai Oyeee
@David-if6nk
@David-if6nk 22 дня назад
Sijawahi kuona kiongozi fala kama huyu mama
@KatabaroCleophace
@KatabaroCleophace 21 день назад
Utapigwa mnada wewe Nyamaza tu hii ni Tanzania
@DottoMussa-ro6rw
@DottoMussa-ro6rw 21 день назад
4 sure
@user-xl4io3or7r
@user-xl4io3or7r 21 день назад
Kiswahili kina maneno mengi Sana ya kukosoa. Ukosoaji huu sio wa kistaarabu. Ni kweli mama huyu anafanya mengi yasiyo ya wananchi
@Zengeni-gz8fe
@Zengeni-gz8fe 21 день назад
Job NDUGAI.kasimu majaliwa.poul makonda.❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉hawa watu wakivaa viatu vya MAGUFURI vitawatosha kabisa..havita wabana wakuwapwaya..wanastahili kabisa kukaa kiti cha urais.nawapenda sana hawawatu🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@hassanially8381
@hassanially8381 18 дней назад
Ukiutaka ukweri utakufanya uwe mashakani
@salehkioza-xo8ti
@salehkioza-xo8ti 10 дней назад
Mbona haingii bungeni na hatumsiikii hapewi adhabu?
@MabulaSheli
@MabulaSheli 5 дней назад
3:17 😢😮​@@hassanially8381
@user-hu9bf7nw4c
@user-hu9bf7nw4c Месяц назад
Ndugai alisema ukwel, na alisema kua nchi itauzwa, kwasabab aliyaona ndio maana aliyatamka, ndio haya yanayoonekana leo hii nazan mnafaham yaliopo bandalin na nengneo
@Santzmedia
@Santzmedia Месяц назад
📌
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 26 дней назад
Kweli kabisa
@hassanially8381
@hassanially8381 18 дней назад
Na tutapata taabu sanaaaa😢😢😢😢😢
@rodrickkimaro-fb5tn
@rodrickkimaro-fb5tn 7 дней назад
Yuko wapi ndugai mbona simsikii ,makonda naye bungeni mbona hatumsiki mbona msukuma tunamuona na wengine
@MariaCassian-e2i
@MariaCassian-e2i 7 дней назад
Yaani kusema ikweli kutoka moyoni mm sitaki kuwa mtumwa wa mwarabu wala wamzungu hata wa mwafrika mwenzangu uzeni nchi kopeni kopeshaneni stakubali kutumikia binaadamu. Yeyote yule kwa cheo dini wala kwadiasa
@jafetykaberege4948
@jafetykaberege4948 Месяц назад
JOBU YUSTINO NDUGAI MWANASHERIA NGULI MBUNGE MIAKA ZAIDI YA 20, NAIBU SPIKA, SPIKA NA KADHALIKA.
@Santzmedia
@Santzmedia Месяц назад
Safi "Short story
@gasukasombokasultanmasuga8792
@gasukasombokasultanmasuga8792 3 дня назад
❤ aje aombe urais
@joelinzumi4494
@joelinzumi4494 12 дней назад
Awelaisi watanzania atatuokowa Mimi nijoeli maulidi nzumi nikomkowa warukwa
@imaniandrea-ib6fy
@imaniandrea-ib6fy 22 дня назад
ndugai anafaa kua rais tunaomba 25 agombee
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 14 дней назад
Ndugai ❤❤❤❤❤❤❤
@epimackjohn461
@epimackjohn461 25 дней назад
Hapa kuna KICHWA !! Watu kama hawa hatutawasahau .😊
@PaulMsema
@PaulMsema 24 дня назад
Anafaa kuwa rais, maana anauchungu na nchi yake hataki mizigo ya kukopa
@EbenezerJohn-qu6cv
@EbenezerJohn-qu6cv 5 дней назад
Uwe unataja mikoa wanayozaliwa ni baadhi unataja lakini wengine usemi jitaidi mkuu naamini itakuwa inakaa vizuri zaidi
@Santzmedia
@Santzmedia 5 дней назад
Shukrani Sana mdau wetu 🤝 Tunakuahidi tutafanya kama Unavyoitaji😊
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 26 дней назад
Ni kweli rais wa mpito ,2O25 mama kapumzike.
@Santzmedia
@Santzmedia 26 дней назад
😆😆😆
@CyprianSapi-tq7qj
@CyprianSapi-tq7qj 3 дня назад
Gombea urahisi mwamba au poo makonda,Mgufuli aliwahamini nyinyi.
@issaYusuf-u7w
@issaYusuf-u7w 21 день назад
Watanganyika wanaongozwa na Mzanzibari imekua zogo.Hebu tusubirieni tumalize miaka yetu. 2030, tutakuachieni kiti Chenu. Lkn kwa sasa muachieni Mama atengeneze Historia
@chrithicksambo2287
@chrithicksambo2287 9 дней назад
Historia ya kipumbavu
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 Месяц назад
Ndugai jiwe
@Santzmedia
@Santzmedia Месяц назад
👊👊
@AbbasiMohamed-o7h
@AbbasiMohamed-o7h 26 дней назад
Ndugai anayopitia ndio majibu yawatu kama yy hapa duniani ni mmoja ya watu washenzi wakubwa wapatapo nafasi za uongozi
@Santzmedia
@Santzmedia 26 дней назад
😥
@muganyizibuzubona7160
@muganyizibuzubona7160 19 дней назад
Ushenzi wake ni upi?
@AbbasiMohamed-o7h
@AbbasiMohamed-o7h 19 дней назад
@@muganyizibuzubona7160 ni nn alichomfabyia lisu
@janethchidobe5919
@janethchidobe5919 14 дней назад
bora mgogo chukuwa uraisi tumechoka😢
@SmilingApron-zw6ne
@SmilingApron-zw6ne 3 часа назад
NI KOSA SANA HAYA MANENO YA NDUGAI, MBAYA SANA,TENA SANA, KWA NINI ASIMAME NA ASEME HAYO KWENYE VYOMBO? NI KWA NINI KWANZA? JE HANA NAMBA YA MAMA SAMIA? KWA NIINI ASITAFUTE MUDA AKAENDA KUKETI NAYE? JE NDO NINI SASA? LENGO NINI KWANZA. Any way, KWERI TAIFA LETU MUNGU ATUSAIDIE WANADAM
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 14 дней назад
Mtu anaelipenda taifa lake kama ndugai anakuwa ndio adui yake
@CashKassim
@CashKassim 16 дней назад
Sisi watanzania wafiki sana tulishangilia kujiuzulu kwake,leo tunammic kwa umuhimu wake,watu wenye maono hawadumu huwaga wanahujumuwa bora mzee ndugai ulikufa umesimama kuliko kuishi umepiga magoti
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 12 дней назад
Tatizo elimu
@godfreyMethew3689
@godfreyMethew3689 22 дня назад
Tumemchoka mama tunatam atoke halaka
@Zengeni-gz8fe
@Zengeni-gz8fe 21 день назад
🙏
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 14 дней назад
Mwenye haki hawezi nyamaza kwa kilio cha watu wake hawezi kamwe
@KassimHanga-xr7rb
@KassimHanga-xr7rb 22 дня назад
Mama kakope achana nae huyo ameshazoea kubwabwaja aliwahi kusema (akitaka asitake ataongezewa muda)
@AbubakariBausi-zd6xf
@AbubakariBausi-zd6xf 11 дней назад
Job uko sawa
@CashKassim
@CashKassim 16 дней назад
Tuheshimu maoni ya mtuu anachokiona na kutafakari mwanaume hawi na misimamo yahuku na huku amekufa na tai shingoni one day tutamkumbuka kama shujaa kueleza hisia zake juu kesho ya watanzania,viongozi nyumbu wapo kujipendekeza,ziro brain
@FaruhMarite
@FaruhMarite 17 дней назад
Hao miamba wanafanya nn uko waliko ile hali nchi inateketea kwa uongozi wa kifala wa bibi huyu isietambua matakwa ya watu wanaowaomgoza
@mambas264
@mambas264 14 дней назад
Hakuna mkopo mzuri mama. Unatudhalilisha
@ekadomwambene899
@ekadomwambene899 14 дней назад
Ya ndugai yapo kutimia yule alikua na maono malefu
@geofreybakina6010
@geofreybakina6010 Месяц назад
Uongozi ni kiti cha daladala huenda akapandia hapo mbele kwa mara nyingine coz huyo ni miongoni mwa wasafiri wazuri tu, tena akiwa miongoni mwa watakaokaa seat ya mbele kabisa 😢😮😮😮
@Santzmedia
@Santzmedia Месяц назад
😢
@andrewassey5108
@andrewassey5108 25 дней назад
Leo mama anasema amechoka kukopa.
@Santzmedia
@Santzmedia 25 дней назад
😆😆
@LovelyBubbleTea-vz4ol
@LovelyBubbleTea-vz4ol Месяц назад
Ndugay yupo na atajitokeza
@Santzmedia
@Santzmedia Месяц назад
Umemaliza📌🤝
@janethchidobe5919
@janethchidobe5919 14 дней назад
yani simuerewi jamani
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 9 дней назад
WATANZANIA TUJUE HAKUNA DENI RAISI DUNIANI CHUKULIA MFANO HAI WWE NENDA KAKOPE DENI HZTA KWA LAFIKIYAKO KAMA UTAKUA NA AMANI NA UHURU KWA HUYO LAFIKI YAKO NI VITU AMBAVYO HAVIITAJI HATA ELIMU KUBWA HATA WWE ULIYE ISHIA CHEKECHEA UNA JUA MAZALA YA MADENI
@ramadhaniyahaya7286
@ramadhaniyahaya7286 12 дней назад
Ngonjela kwenye hotuba inakela sana
@EdigivaKacheina
@EdigivaKacheina 17 дней назад
daaaaaahh
@hassanially8381
@hassanially8381 18 дней назад
Hili taifa bado siamini na sipati picha...! Wananchi Vs Wenye nchi 😢😢😢😢😢😢😢
@busaleh5494
@busaleh5494 14 дней назад
Ndugai akasimamie mbuga za wanyama pori. Amuache mama apige kazi❤❤
@EmmanuelBanzi
@EmmanuelBanzi 16 дней назад
Chukua fom ya uraisi wewe au makonda au msukuma apakazitu magufuli afi
@antonyndinga8890
@antonyndinga8890 17 дней назад
Spika alikuwa SITA tuu
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 14 дней назад
Eti mzima kama ni mzima mwache ajisemee kwa nini mwamsemea
@Santzmedia
@Santzmedia 14 дней назад
Uliitaji Afe??
@eliasnicolaurobath6864
@eliasnicolaurobath6864 19 дней назад
Taifa retu ra tanzania wapo watu wa kushangaza sana na ndio taifa ra kwanza duniani kuwa na mabwana ndio mpaka siku ya kiama mtanzania ukimuongoza wewe mpe maziwa sukari ugari basi hapo unakuwa umempata kwa rorote na atakutetea hata kama unamchapa viboko hao ndio watanzania
@Santzmedia
@Santzmedia 19 дней назад
😂😂😂
@user-lg5my3hx2t
@user-lg5my3hx2t 14 дней назад
Napenda awe raisi
@rogerabdallah439
@rogerabdallah439 12 дней назад
Mavi awawezi kumpa
@MaikoMkwawa-fk9tc
@MaikoMkwawa-fk9tc 22 дня назад
Siasa ni mchezo mchafu sana
@amossamson8955
@amossamson8955 22 дня назад
Agombee urais
@josephmulula440
@josephmulula440 19 дней назад
Anaongea ukweli
@malkiasimitoi5438
@malkiasimitoi5438 18 дней назад
Mnafiki ndugai alidhani watanzania watamuunga mkono kwa ujinga wake,wakati wa awamu ya 5 walipora,waliua,walikopa na walifanya kila baya lakini sasa mishahara yao inawarudia wenyewe, Mwisho wa ubaya ni aibu
@hassanially8381
@hassanially8381 18 дней назад
Acha kujiuza ili ununuliwe na wenye mamlaka...! Unajichelewesha
@saadallah6287
@saadallah6287 7 дней назад
Watu wanafiki sana yeye huyo huyo kabla ya mma ndiyo aliyekuwa anapitisha mikopo leo kageuka nawatu nao eti wanamsapoti acheni udini vilaza nyinyi
@user-yi1oi8rs6v
@user-yi1oi8rs6v 18 дней назад
Mnaongea km msiojitambua. Msitukere na hyo mpuuzi. Hamkumbuki alivyoshiriki kuihujumu katiba ya nchi? 1. Alitumika kuwepo na rais wa kudumu. 2. Alifuta ubunge wa mtu bila sheria. 3. Alizuia gharama za matibabu ya mbunge bila sheria. 4. Alifukuza bdh y wabunge wa upinzani bungeni bila sheria. 5. Alimfanyizia Prf. Mussa Asadi. Hafai hata kuwa baba nyumbani kwake. Acha ale mavuno aliyoyapanda. Hao n watu walkoshindwa kulitafsiri neno (KESHO) yetu hatuijui.
@RichardMgweno
@RichardMgweno 10 дней назад
Ndugai maendeleo hayana chama ukweli chama chako hakitaki kweli mfano Tanzania bila rushwe inawezekana wakati haiwezekani lakini hakuna hata aliyekusapoti wote tumbo mbele
@MartineShija
@MartineShija 24 дня назад
Ndugai Oyeee
@Santzmedia
@Santzmedia 24 дня назад
🤷🤷
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 15 дней назад
NDUGAI ALIVUNA ALICHOPANDA MALIPO NI HAPA HAPA TU KIPINDI CHA MWENDAZAKE ALITESA BAADHI YA WATU😮😮