Welcome to SAN TZMEDIA , the online content company that is taking Africa by storm! Established in Aug 12, 2020, by ABDUL HABIBU ABDUL, a renowned media personality in East Africa, our mission is to deliver high-quality, engaging content to our growing audience.
SAN TZ MEDIA is one of the fastest-growing RU-vid channels in Africa. Our content spans a wide range of topics, including news, entertainment, lifestyle, and more, and is presented by a team of professional journalists and presenters.
At SAN TZ MEDIA ,we pride ourselves on our analytical and trustworthy news coverage, and we are committed to delivering the latest, most accurate information to our viewers.
Join the millions of viewers who have made SAN TZ MEDIA the fifth most-viewed RU-vid channel in Tanzania (Media category), and experience the best in online content. Don't forget to hit the subscribe button and stay up-to-date with all our latest videos!
Acheni uhuni kutuma picha za mzee amelala. Aliyoyanyia. hili taifa aheshimiwe .rudini kwenye vtaabu vya dini aliona utupu wa baba yake akiwa amelewa akamcheka alilaniwa yule. Mwingine. Alichukua. Nguo na kwenda kinyumenyume na kufunika utupu wa baba yake alibarikiwa
Kwanini hujasema kama aliwahi kuihama ccm?Na alipogombea ubunge jimbo la Bunda alishinda uvhaguzi kupitia ticket ya Nccr mageuzi akimshinda Warioba.Kama kawaida alipokonywa na kesi ikaenda mahakamani baada ya hapo uliitishwa uchsguzi mwingine na alichaguliwa Mbunge Canal Msataafu Thomas Laban Makunenge.Wakati huu mtu aliyegombea upinzani alikuwa Makongoro Nyerere.
Katabiriwa na nani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Unamjua Daktari Hussein Mwinyi ?ndie Raisi Pendwa wa Wazanzibari na InshaAllah Mitano tena huyo Masudi wako wacha akaongoze Pemba huko awape mamlaka kamili
Wasifu huu umeutoa wapi mbona sioni kipindi akiwa mhadhiri chuo kikuu cha kikatoliki Mwenge. Ambako wengi wetu nami nikiwepo tulipigwa kipindi chenye shibe sana katika masuala ya Lugha.
Hamza alikua na pesa zake baada ya polisi kuona jamaa anamshiko wakaanza zengwe kama unavyojua mapolisi wetu njaa kali wakazichukua zile pesa hamza kakasirika ndo akaamua kukiwasha mimi hata polisi waseme tuwasaidie kutoa taarifa za waarifu sitooooooooooooi Ng'ooooooooo 😊
Historia yake ni nzuri ina thamani kubwa kama atakuwa Rais wa haki hapo Zanzibar Inshallah. Kuna wengi wenye Elimu ya kutosha ya kugombaniya URais lakini hakuna fursa. Asante mtangazaji.
Yaani Rais unasema bila woga kuwa mmemkabidhi mtu muhimili? Upuuzi gani huu? Mihimili ipo kwa mujibu wa KATIBA. BUNGE na MAHAKAMA vinapaswa kuwa na nguvu na uhuru wa kutosha kama wasimamizi wa utendaji wenu ninyi serekali.