Тёмный

Exclusive NABII TITO:Aibuka Usiku Kumtetea GWAJIMA../Nilikuwa Mchawi./Nilikuwa SHOGA Nimeacha 

Jicholauswazi
Подписаться 198 тыс.
Просмотров 122 тыс.
50% 1

Kila Chocho Ya Jicholauswazi Imekutana Uso Kwa Uso Na Nabii TITO na Amefunguka Wapi alikuwa Kipindi Ambacho Yupo Kimya Na Amefunguka Kwann Ameokokoka Upya,Bila Kusahahu Sakata La Askofu Kakobe Alitolea Ufafanuzi Fuatilia Exclusive Hii.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 641   
@khasantenga8287
@khasantenga8287 5 лет назад
Mungu nimwema amekusameheee, mungu ,god is great, thanks god.
@mwanaishasilima4483
@mwanaishasilima4483 5 лет назад
Jamani kazi.ipo hapa.allah tunusuru.tusaidie.na mitihani.hiii ya a Allah.inaumasana
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu 5 лет назад
Huyu Ndugu, Hayuko sawa hata Kidogo, Na Bado hajamjua au Kumfuata Kristo. So Sad, anahitaji Msaada.
@TUMAINIMBEMBELA7
@TUMAINIMBEMBELA7 5 лет назад
Unayeangalia masikio na mkufu wa nabii gonga like
@samwelingao2017
@samwelingao2017 5 лет назад
Hayaa
@zakytop1035
@zakytop1035 5 лет назад
Tumaini Mbembela ili upate faida gani
@alexandersonmbembela5328
@alexandersonmbembela5328 5 лет назад
Tumaini Mbembela Dada na wew unaangaliq
@japhethamiss1312
@japhethamiss1312 5 лет назад
Namukubal
@hezrongaston4963
@hezrongaston4963 5 лет назад
Huyu jamaa namuelewa vizuri sana sema bado anahitaji msaada.
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 5 лет назад
Aliyesikia kuwa Muroto naye atubu na aache kupokea rushwa gonga like hapa twende sawa
@joeldhahabu2037
@joeldhahabu2037 5 лет назад
Seme wakristo Tuwapole sana Na tumepewa Hekma ya kimungu, shukur kwa ilo Ila mungu atakuhuhum mwenyew
@amanjoseph8358
@amanjoseph8358 5 лет назад
Yesu anarudi wapendwa Tubu na kumrudia ukaishi maisha matakatifu na uache uovu wako. Itakua ni vilio na kusaga meno kwa watakaoachwa.Jina La Bwana Libarikiwe.Amen
@barakmazigo8945
@barakmazigo8945 5 лет назад
Kama unaamin nabii Tito huko gerezan alipata washilika wakampiga mpapaso gonga like
@yegelamaria8939
@yegelamaria8939 5 лет назад
Huyu ni mzima kabisa ila mtangazaji ni chizi.
@silvesterlwila5720
@silvesterlwila5720 5 лет назад
Barak Mazigo
@siwemaking8321
@siwemaking8321 5 лет назад
hahaha
@charlesmazigo8106
@charlesmazigo8106 5 лет назад
chimali wasu
@joshuahamisi1265
@joshuahamisi1265 5 лет назад
Katumika kuuchafua uokovu lakini Mungu si mwanadamu anasamehe naamini yesu atazidi kumbadirisha Trueee Yesu Ni Munguuu na kwa kukiri huku atasaidiwa na Krsto
@amanjoseph8358
@amanjoseph8358 5 лет назад
Imeandikwa dhambi zako zikiwa nyekundu kama damu Yesu atakubadilisha zitakua nyeupe kama theruji.Bwana akuongoze kwa Roho wake.Jina LA Bwana Libarikiwe.Yesu anarudi upesi sana Tubuni ns kuamini Injili.
@kulilyhassankulily521
@kulilyhassankulily521 5 лет назад
Poleni Sana enyi watu wa kitabu eti yesu Ni mungu?! Mara mwana wa mungu!! Lakn pia mungu huyohuyo alisulubiwa na watu alowaumba? Duu jitambueni jaman
@bilioneabichwa
@bilioneabichwa 5 лет назад
Hongera sana nabii Tito kwa hatua nzur uliyofikia. Endelea kumtangaza Yesu
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 5 лет назад
Blionea Bichwa una mkejeli!
@bilioneabichwa
@bilioneabichwa 5 лет назад
Rashid Mohamed siwez kumkejeli mtumishi wa Mungu nabii Tito
@bintihussein502
@bintihussein502 5 лет назад
Sijui niseme nn maana najionea maumivu tu ndani ya moyo..Tito anaongea sawa..ila bado ukimuangalia anahitaji maombi sana yaukombozi...ananitia uchungu sana kwannacho kiona ndani yake... Mungu hashindwi naomba akutengeneze Ameen
@bakarininga4100
@bakarininga4100 5 лет назад
Hahah huyu jamaa yupo smart japo dishi linayumba sometimes😂😂😂
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 5 лет назад
Pierre aje kwa Yesu kweli Tito ananifurahisha sana
@salumkhamis7818
@salumkhamis7818 5 лет назад
Duh, jamaa anakufuru INNALILLAIH WAINNAILLAIH RAJIUN
@suleymansomeone7060
@suleymansomeone7060 5 лет назад
Poleni sanaa ndugu zetu mlio upande wa pili
@erickmbegalo1152
@erickmbegalo1152 5 лет назад
Tito MUNGU atamsaidia sana kwasabu ya ujasili wake wa kuweza kutangaza hazalani namna hiyo atafika mbali na mungu aliyeamua kumtumikia
@evachriss5906
@evachriss5906 5 лет назад
Kam umemuona nabii Tito kavaa eleni gonga like
@younggeo8623
@younggeo8623 5 лет назад
au na we shoga nn gonga like twende sawa
@rewardnjau7220
@rewardnjau7220 5 лет назад
Jamaa chenga kwelii, kamtaja YESU mara nyingi sana, ila ushoga katamka mara nyingi zaidi
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 5 лет назад
Hahahaaaaa move inaendelea babek...
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 5 лет назад
mshikaji uliyeongoza mahojiano na huyu shoga ur genius ujumbe umefika
@husseinchiaseeds2653
@husseinchiaseeds2653 5 лет назад
Dah hizi njaa zitatufikisha pabaya ikiungana na Cha arushaa na hakika kihama kipo karibuuu
@severinifulgensi2686
@severinifulgensi2686 5 лет назад
Bwana Yesu akusimamie zaidi
@WinWilly4162
@WinWilly4162 5 лет назад
Hahaha..Tito eti kanisa la mpapaso nimecheka sana Teh
@sirialemmy37
@sirialemmy37 5 лет назад
Hata mimi nimecheka
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 5 лет назад
Yesu ni Mungu,kweli Tito ananifurahisha sana
@daudipaulomatanga6479
@daudipaulomatanga6479 5 лет назад
du noma sana
@chrisberbahindwa1557
@chrisberbahindwa1557 5 лет назад
Mungu ukuwe natusamee nabii wawapi uyu
@humudmarhoon8044
@humudmarhoon8044 5 лет назад
Nashujuru mungu sana kuwa muislam ...
@nessa4899
@nessa4899 5 лет назад
Mungu akubariki na azidi kukupa njia ya ukweli na uzima nabii Tito.
@sadickwalker2795
@sadickwalker2795 5 лет назад
Yesu ni Mungu Asante BG up Nabii wa Mungu.
@shazamzasha2167
@shazamzasha2167 5 лет назад
How do we entrust a boy child under your teachings and your ministry
@dawillygene
@dawillygene 5 лет назад
Mmmmm, tumwombee Mungu amfungue, bado hayupo sawa.
@angelalphonce2962
@angelalphonce2962 5 лет назад
Yesu msaidie huyu mtu akujue kweli kweli
@avityohana6725
@avityohana6725 5 лет назад
Yesu ni mungu anaweza kubadilisha maisha
@Basagamp4
@Basagamp4 5 лет назад
Eeeeeh Mwenyezi MUNGU utujaalie mwisho mwema.
@husseinmunga9591
@husseinmunga9591 5 лет назад
yesu ni mtume wa mungu.
@youngmreno9931
@youngmreno9931 5 лет назад
Hahahaha dah! Nimecheka sana aise
@frankmushi2040
@frankmushi2040 5 лет назад
Mungu akusaneheee
@salehuae7518
@salehuae7518 5 лет назад
Amen.god bless you. Mr🙏😀
@westpointamazingfood
@westpointamazingfood 5 лет назад
nmecheka mnooo huyu jamaaa bhana daaaaah
@antoinekatembo5316
@antoinekatembo5316 5 лет назад
Aisee nabii mwenyewe kweli! Mwenyezi Mungu azidi kukuokoa zaidi! Lakini hilo lijimsaba unalo shingoni sasa aisee!
@philipowyinjones9645
@philipowyinjones9645 5 лет назад
Daaaah emungu tusaidie
@kabangenoma4047
@kabangenoma4047 5 лет назад
uyu nabii titi sutashangaa sana watu wakimkuta mbinguni ameingia aiseee. I love this man and may God pour out His grace and Spirit upon Him. He has qualities of a good believer of Christ
@everlynmanigamaniga818
@everlynmanigamaniga818 5 лет назад
Ni kweli coz ashatubu yote aliyo yafanya SSA ametubu mbele ya dunia yote,
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 5 лет назад
kabange noma shoga dah
@rehmaibrahim3467
@rehmaibrahim3467 5 лет назад
Kama.umesikia nabii Tito akisema Msenge baridi ,Gonga like hapa
@naynavitalis262
@naynavitalis262 5 лет назад
🤣🤣
@pericykiko6198
@pericykiko6198 5 лет назад
Ameshatubu hakuna mwenye mbingu hapa
@salhasalim2223
@salhasalim2223 5 лет назад
Ahsantey Amina 😂😂😂jama jamani mpapaso.com
@alexfesto6476
@alexfesto6476 5 лет назад
Dalili mojawapo ya kuokoka ni kuyaweka wazi matendo yote ya kale au ya giza,mfano sauli alivyofanya.ila pia ndugu tito tulia ujifunze kisha ingia kazini.
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 5 лет назад
Alex Festo huyu hajaacha kalagabaho
@zahaljamal4520
@zahaljamal4520 5 лет назад
I couldn't stop laughing Good job keep up the Good work stay on course to change the world for good Jesus is Lord
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 5 лет назад
Kweli huyu kichaaa😀😀😁😁😁😁
@rosemarykaroli9572
@rosemarykaroli9572 5 лет назад
Mungu Wangu mungu wangu
@giftjohn5199
@giftjohn5199 5 лет назад
kaaah msenge barid 😂😂😂😂
@anithabuberwa2253
@anithabuberwa2253 5 лет назад
Muuuuuuh! Milembe inahusika hapa
@ckosmah21
@ckosmah21 5 лет назад
mwamba anajua kuuliza maswali presenter kaza buti utatusua💥💣
@kuchenavhe0028
@kuchenavhe0028 5 лет назад
Msidanganyane huyu mtangazaji bado hajawiva anamkatisha jamaa na anauliza maswali ya kitoto sana.
@ckosmah21
@ckosmah21 5 лет назад
@@kuchenavhe0028 nyie mbwa ndo mlivo amkosekanagi kila kitu kukatishana tamaa tuu peleka roho mbaya zako sjaomba ureply comment yangu mbwa wewe wachawi kaa nyie bora mfe tu
@nurdinhemed6
@nurdinhemed6 5 лет назад
Kha! Kumbe tito hana malinda?
@husseinchiaseeds2653
@husseinchiaseeds2653 5 лет назад
Msenge baridiiii
@rozinamassawe4083
@rozinamassawe4083 5 лет назад
Kweli shoga wew
@ruthshango4791
@ruthshango4791 5 лет назад
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa😭😭😭 Eeeh Mwenyezi Mungu tuhurumie wana wako
@dastunluswaga5182
@dastunluswaga5182 5 лет назад
Msenge baridiiii yaan anagonga na yeye anagongwa....🙌🙌😂😂
@cassianathanas7968
@cassianathanas7968 5 лет назад
Asante
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 5 лет назад
😂😂😂 Hyu jamaa bhn... Ukimfwatilia utamwelewa anamaanisha nn na nn analenga ktk jamii...
@siwemaking8321
@siwemaking8321 5 лет назад
nabii kavaa helen
@kiparafrancis6591
@kiparafrancis6591 5 лет назад
Kama umeona chuchu konzi piga makofi
@nebathkalolo723
@nebathkalolo723 5 лет назад
mmmh apa msitu mpya nyani wale wale
@suleimanmussa3201
@suleimanmussa3201 5 лет назад
Acheni wongo wakristo kila mtu anajita nabii tumewachoka
@severinifulgensi2686
@severinifulgensi2686 5 лет назад
Ndugu tito naamini umeokoka ukikaza mwendo utaokoa wengi kama ulivyookolewa,vile nakupongeza Yesu yu pamojanawe u mejielezea vizuri bila roho wa mungu sii kaz rahis kujielezea
@khasantenga8287
@khasantenga8287 5 лет назад
Severini Fulgensi kweli ndugu mungu nimwema atamuokoa aamini tu
@shaabanothman2454
@shaabanothman2454 5 лет назад
Dah! Ni mtihani kwa kweli sasa hivi wenzetu wakristo lazima muwe makini na watu wanaoibuka ibuka na kuanzisha makanisa na kujipachika unabii wa uongo.
@focusmsimbe8946
@focusmsimbe8946 5 лет назад
Shaaban Othman safi shabani biblia inasema Siku za mwisho kutakuwa na manabii wa uongo...
@janetsaidi8272
@janetsaidi8272 5 лет назад
Duh kanisa la mpapaso mungu tupe macho tuone sawa sawa
@publicrelations4600
@publicrelations4600 5 лет назад
Naona nabii tito kaja kumpoteza piere likwidi
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 5 лет назад
Hamisi Mhando pia kuzima ishu ya gwajima kabisaaa
@publicrelations4600
@publicrelations4600 5 лет назад
Yeah Ni kweli kabisa
@mossesphilbeth2831
@mossesphilbeth2831 5 лет назад
Hamisi Mhando
@nicksonnovart5788
@nicksonnovart5788 5 лет назад
Au we shoga Nini?!!!
@filbetinyoni8105
@filbetinyoni8105 5 лет назад
Safii sana upo vizuri
@mountstone8044
@mountstone8044 5 лет назад
Daaah....nimecheka sana hili jamaa dish kabisa.
@saidbanga
@saidbanga 5 лет назад
Bado hayuko sawa...!!
@yussufally8668
@yussufally8668 5 лет назад
Hy makafiri mfateni nabiii wenu uyo akakupapaseni
@angelalphonce2962
@angelalphonce2962 5 лет назад
Bado sana hayuko vizuri
@davidmatthew1715
@davidmatthew1715 5 лет назад
Kila goti litapigwa, kila ulimi utakiri kwamba Yesu Kristo ni Bwana!
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 5 лет назад
David Matthew shetani pia abatambua uwepo wa Mungu lakini haimpi haki ya kuuona ufalme wa mbinguni huyu Ni shetani clip umeisikia kidogo sikiliza vizur
@Khmediy3241
@Khmediy3241 5 лет назад
Naona shetan wako kakwambia umsingizie uungu nabii issa wetu laana we!,yesu nabii pumbavu we
@myself4128
@myself4128 5 лет назад
Nabii kavaa hereni😂😂😂😂 Kiki zitakupeleka kuzimu
@linahnicodemus3169
@linahnicodemus3169 5 лет назад
Mungu ana njia nyingi zakumfanya MTU kujua na kuokoka
@iranangole7007
@iranangole7007 5 лет назад
Duh uyu msenge hatar fire
@jameslukosi1735
@jameslukosi1735 5 лет назад
Kichwa hiki bado hakipo sawa
@habibiznamoli5709
@habibiznamoli5709 5 лет назад
Hatar sana tito
@vicentthomas5279
@vicentthomas5279 5 лет назад
Dah Ila kama anataka kuhubili neno la Mungu inabidi apikwe sana. Ajifunze injili na sio kubwabwanya.
@lookmamangaya3907
@lookmamangaya3907 5 лет назад
Uyu sio mzm kbs
@elentasvisionworldwide3479
@elentasvisionworldwide3479 5 лет назад
Daah MUNGU atusaidie. HUU NDO MWISHO WA Dunia.... Huwezi tambua Nabii wa kwelly ni Yupi ilaa Matendo ndo kitu cha Muhimu.
@nuratkalinga581
@nuratkalinga581 5 лет назад
Nabii WA mwisho ni Muhammad pekee yake, hii ni laana tullah, Ee Yarabi nusuru kizazi chetu
@nuratkalinga581
@nuratkalinga581 5 лет назад
Mwendawazimu tangu lini Yesu akawa Mungu , wakati yesu ni nabii, we umepotea
@chavalabrandtv5315
@chavalabrandtv5315 5 лет назад
Network inayumba humu hayuko sawa bora apelekwe milembe
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 5 лет назад
din ya wezetu hii kila mtu n nabiii mara cjuii nn mara mpapaso dahh inafurahisha sanaaaaa
@frankjohn8570
@frankjohn8570 5 лет назад
Twaibu Mikidadi heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wa neno
@mdududebst8933
@mdududebst8933 5 лет назад
Mungu akutie nguvu Tito yesu ni mungu Tito 2:1
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 5 лет назад
mdudu de bst shoga
@giftngowi1150
@giftngowi1150 5 лет назад
Drct alixha xema mm No comments
@yohanayohana193
@yohanayohana193 5 лет назад
Huyu jama nishetani ndowale walio tabiliwa mkionahaya mjue bwana yesu kakalibia kuludi
@yegelamaria8939
@yegelamaria8939 5 лет назад
Tito ni mzima sana tena anakili ila mtangazaji ni chizi
@zainabashraff8754
@zainabashraff8754 5 лет назад
Jamaa anatumia njia hii kutafuta wateja wa ushoga wake, Huyu jamaa ana Akili nyingi sana ,,,, Ha ha ha ha!
@mapenzi_tz1511
@mapenzi_tz1511 5 лет назад
mpapaso km woteee eee 😁😁😁😁😁🔥
@rozleeerasto5558
@rozleeerasto5558 5 лет назад
Ivi uyu VP jaman... ✊✊👈
@rhoidadaimon7394
@rhoidadaimon7394 5 лет назад
Yaaaaaan huyu mm sijui hata nisemeje nimekosa cha kusema mweeeeeeh
@mohamednamani3320
@mohamednamani3320 5 лет назад
Nabii msenge
@alvinmalle9624
@alvinmalle9624 5 лет назад
Uyu hayupo sawa chenga hii
@pericykiko6198
@pericykiko6198 5 лет назад
Wewe unamuona hayuko sawa lkn Mungu kamsamehe je wewe ulioko sawa unafanya nini kwenye ufalme wa Mungu
@lusajomwakalinga1374
@lusajomwakalinga1374 5 лет назад
Alvin Malle upo sahihi
@christophernzige3913
@christophernzige3913 5 лет назад
Tito nakusii ukumbuke maneno ya mtumishi wa Mungu, bishop Gawanywa, alikuambia usitoke kuhubiri mpaka utakapo maliza mafunzo, achana na media,mungu alikumbushe kwa hilo,
@chuwimkali547
@chuwimkali547 5 лет назад
Yesu sio mungu ni binaadam
@jenimakoi5250
@jenimakoi5250 5 лет назад
Chuwi Mkali we nawe una tatizo
@sultanmwangolombe453
@sultanmwangolombe453 5 лет назад
daaaaah hatari sana
@barakaalmas3399
@barakaalmas3399 5 лет назад
Mungu ana kaz
Далее
CHID BENZ:HAKUNA MJI BILA MASHOGA/WANASOMESHA WATOTO
9:40
Which part do you like?😂😂😂New Meme Remix
00:28
How many can you smash?🍫 IB : Florin
00:19
Просмотров 3 млн
NABII TITO Anasema Aheri ULEVI KULIKO ULOKOLE
1:20
Просмотров 10 тыс.
JUMA LOKOLE ACHAFUA HALI YA HEWA?..
13:53
Просмотров 1,3 тыс.
Which part do you like?😂😂😂New Meme Remix
00:28