Тёмный

EXCLUSIVE ! MUONEKANO MPYA WA NABII TITO- SIPAKI TENA LIPSTIKI !! ASANTE GWAJIMA KWA KUNIFUFUA 

Smart Visual Productions
Подписаться 46 тыс.
Просмотров 173 тыс.
50% 1

NABII TITO KAMSHUKURU MTUMISHI WA MUNGU JOSEPHAT GWAJIMA KUTOKA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA KWA KUMBADILISHA MUONEKANO WAKE !! SASA SIPAKI LIPSTIKI WALA KUTINDA NYUSI TENA SIVAI MISALABA WALA KUPAKA SHEDO. HAKIKA NGUVU ZA MUNGU ZIPO KARIBUNI SANA PALE KANISA LA UFUFUO NA UZIMA

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 510   
@twitangetrading8719
@twitangetrading8719 Месяц назад
Ameni, Sema mimi ni tito mtumishi wa Mungu kaa chini ujifunze Sasa neno kwa usahihi.Ukisema unajuwa huta juwa ,ukisema sijuwi Yesu atakufundisha Sasa
@rosemarysuwi9293
@rosemarysuwi9293 Год назад
Furaha mwenye dhambi mmoja akitubu yesu akija tutakuja kwenda nae mbinguni..usihukumu usije ukahukumiwa mungu anawajua waliyo wake.hata iwaje watarudi2 ubarikiwe mtumishi gwajima umetumika vyema🙏
@jamilsalanga4193
@jamilsalanga4193 5 лет назад
Ila jamaaa mungu ana kusud lake kukutumia, ipo siku mungu atakuinua sana.
@sadickwalker2795
@sadickwalker2795 5 лет назад
Jina la Bwana libarikiwe God bless you man of God.
@smartvisualproductio
@smartvisualproductio 5 лет назад
Amen
@vascostanleymbisse4477
@vascostanleymbisse4477 5 лет назад
Mungu Hapendi hata mmoja apotee Bali waifikilie Toba ya Kweli.... Jitahidi kushuka ili Mungu akuinue.. Yesu Hashindwi kubadilisha Maisha yako..
@mossymtwana6422
@mossymtwana6422 5 лет назад
Nimelia saana
@mossymtwana6422
@mossymtwana6422 5 лет назад
Namshukuru Mwenyeezimungu Baba kwa kumponya huyu kiumbe wake na aibu ya Dunia Mwenyeezimungu Baba na atawale maisha yake mpaka siku ya mwisho wake
@dittozmusic9582
@dittozmusic9582 5 лет назад
We jamaa mbona kama nakufahamu bwana vasco
@vascostanleymbisse4477
@vascostanleymbisse4477 5 лет назад
@@dittozmusic9582 inawezekana tumeonana sehemu..
@dittozmusic9582
@dittozmusic9582 5 лет назад
Uko wapi mtunishi
@rahelgika3870
@rahelgika3870 5 лет назад
Nasasa hivi ukiulizwa maswala ya ushoga, waambie yakale yamepita tazama yamekuwa mapya, Amen.
@angeljovanholyjovan7086
@angeljovanholyjovan7086 5 лет назад
Amina
@asherinashoni4526
@asherinashoni4526 5 лет назад
Mngu akusaidie uishi kweli ya mungu, maana ujapotubu hata uwe na dhambi nyekundu mungu atakusafisha uwe safi kama dheruji
@tausimhando6866
@tausimhando6866 5 лет назад
Mungu ni wa wote wenye mwili,ukulie wokovu achana na mambo ya wanadamu,Gwajima askofu ubarikiwe sana
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 27 дней назад
❤❤❤kabisa
@eliawonimariki2489
@eliawonimariki2489 5 лет назад
Mungu atukuzwe juu yako, nina imani ni wakati wako wa kuyafanya yale Mungu amekuitia, maisha yako ni ushuhuda tosha hata ukiongea kila mmoja atakuelewa, wewe utavua wengi katika jina la Yesu.. Bwana akushike mkono mtumishi
@SnhZjhz
@SnhZjhz 21 день назад
Mm nimecheka sana halafu nimefurahi jamani Yesu anaweza hakuja lisilowezekana kwa Mungu
@ramadhanimwanyumba2955
@ramadhanimwanyumba2955 5 лет назад
Hongera sana nabii tito, ni maamuzi mazuri sana
@dannysuley8337
@dannysuley8337 5 лет назад
Safi kabisa jina LA Bwana libarikiwe!!!!
@frankmnale1900
@frankmnale1900 5 лет назад
Amina! Bw ni mweza ..... Haikuwa kazi ya kawaida!
@RatifaGrayson
@RatifaGrayson 24 дня назад
Amen Mungu azidi kukutetea najua Mungu anajambo nawe ubarikiwe Sana
@japhethmbusya4181
@japhethmbusya4181 5 лет назад
Kaa karibu na mchu gwajima ,nyenyekea akukuze.he is a true servant of God.
@devothamedia5177
@devothamedia5177 5 лет назад
Amen kabisa ,
@silviak3013
@silviak3013 5 лет назад
Kweli kabisaaa
@msafiriaugustino2957
@msafiriaugustino2957 5 лет назад
true servant anapimwa kwa maandiko be carefully
@loanyunitarakwa6432
@loanyunitarakwa6432 4 года назад
@@msafiriaugustino2957 🤣🤣🤣
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 Месяц назад
Huwa anaongea ukweli sometimes lakini sijawahi kuamini kama ni true servant of God, kuna wakati huwa namwona mzee wa fursa
@frankmalimba5539
@frankmalimba5539 5 лет назад
Mungu akuongoze katika njia ya kweli
@hajimnzava3423
@hajimnzava3423 5 лет назад
Hongera Tito mungu akusaidie
@matunzozero9095
@matunzozero9095 5 лет назад
Mungu akuongoze
@thobiasmosha60
@thobiasmosha60 5 лет назад
Yesu anaweza Mungu akujalie
@nyandichearts
@nyandichearts 5 лет назад
mwewnyezi mungu akujalieee maisha marefuuu ili vizazi navizazi waoneee ushuuda wako I think umebadilika kweli titosambaza injili mtumishi wa bwana
@magibomwita8134
@magibomwita8134 5 лет назад
Umependeza sana
@angelonesfory8378
@angelonesfory8378 3 года назад
Nakutukuza Mungu unaefanya yakushangaza
@gracemacha9357
@gracemacha9357 29 дней назад
Aksante Mungu kumbadilisha mtoto wake Tito❤❤
@williamfavour2982
@williamfavour2982 5 лет назад
Amina kubwa sana
@eliascharles6414
@eliascharles6414 14 дней назад
Amen 🙏 MUMGU akulinde
@marygregory7566
@marygregory7566 5 лет назад
Mungu akusaidie Tito...Songa mbele kwasaada wa Bwana Yesu
@lordhavemercy8070
@lordhavemercy8070 5 лет назад
Mungu akusaidia Tito, Nimejisikia vibaya kusema japo kuwa unamuaibisha shetani lakini bado ushoga umekusumbua! Mungu tutie Nguvu.
@titosebastiane8857
@titosebastiane8857 5 лет назад
Wajina hongera
@alexmpanda2987
@alexmpanda2987 5 лет назад
Mungu atusaidie sana.
@faridashaban8853
@faridashaban8853 4 года назад
Amina mungu akubariki
@gloriamichael3698
@gloriamichael3698 5 лет назад
Usirudi tena nyuma Kwa jina LA Yesu Amen
@mstafagehonde5158
@mstafagehonde5158 5 лет назад
Maneno yako Mungu akusimamie maana ulivyo unaonekana unania ya kuacha ila shetani huwa amuachii mtu kirahisi Mungu akusimamie sana nakuhurumia sana
@brysonuronu5862
@brysonuronu5862 5 лет назад
Mungu akubariki mno ..Mungu akusaidie uvuke salama
@nebatmwangomba8427
@nebatmwangomba8427 5 лет назад
Amina Nabii Tito na Nabii Gwajima YESU awabariki sana Tito unaongea ukweli mtupu anayekupinga itakuwa karogwa tu
@addymoses4857
@addymoses4857 5 лет назад
Najua mlkua mshaandaa hii project toka ktambo na gwajima ili mtengeneze biashara yenu ya kukusanya sadaka kwa wingi hata kwe2 south 2libe ivyo ktambo.. Ko tafuta funny nyngne sasa sawa we're after u broh we miss anoder funny.. Tenk u and just continue 2 promote ur paster. Kama na ww umegundua na umeona hii ni biashara gonga like yako hapa.. Kwa uchungu
@brigithadidas5128
@brigithadidas5128 5 лет назад
You must have been their project manager who wrote the project proposal!
@helenjonsob5718
@helenjonsob5718 5 лет назад
Addy Moses acha ushamba ! MUNGU anajitukuza alafu unaleta maneno maneno ushindweeeeee kwa jina la MUNGU aliekuumba
@chaudelechauchaudeee3347
@chaudelechauchaudeee3347 5 лет назад
Co biashara mkaka...ucseme ucyoyajua
@nipherjoseph8561
@nipherjoseph8561 16 дней назад
​@@brigithadidas5128exactly he is talking something's that he isn't exactly sure
@evajohn7001
@evajohn7001 5 лет назад
usibadi muonekano wa nje tu hata muonekano wa ndani pia mungu akusaidie.
@twilumbakabelege3426
@twilumbakabelege3426 5 лет назад
nimefurahi sana, na hongera
@hora8707
@hora8707 5 лет назад
Nafurahi kukuona umebadilika Tito,Allah akulinde!
@maxwellking9399
@maxwellking9399 5 лет назад
Hi Arafa, I hope you are doing fine...please lets keep in touchvia my email: mwegazi@yahoo.com
@smartvisualproductio
@smartvisualproductio 5 лет назад
Amen amen asante
@hidayakambangwa3365
@hidayakambangwa3365 5 лет назад
Arafa hora Abdulrazak aamin🙏🙏dad mung amnusur
@hora8707
@hora8707 5 лет назад
Maxwell King will do that InshaAllah
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy 5 лет назад
dada yangu Hora Assalaam alaikum...
@consolatamedard2777
@consolatamedard2777 5 лет назад
Utukufu kwa Mungu endelea kunyenyekea Mungu atakungua kabsa
@chaudelechauchaudeee3347
@chaudelechauchaudeee3347 5 лет назад
Tho uzd kubadilika Tito...may God be with you usirudi ulipotoka
@KP-kn2no
@KP-kn2no 5 лет назад
Endelea kuomba sana mtumishi mungu yupo pamoja nawe
@imaniamani7671
@imaniamani7671 5 лет назад
Hongera sana
@michaelsiweya6500
@michaelsiweya6500 5 лет назад
Amen. Mungu akutie nguvu.. Uanze safari mpya.. Maana hata Yesu mwenyewe alisema tazama mtu akiwa ndani ya Yesu ..ya kale yamepita na tazama yamekuwa mapya.. Hata enzi za Yesu alikutana na hayo mambo... Tunaokolewa kwa neema tu ..hii dunia ni ngumu sana.. Wala usimnyoshee mtu kidole
@rukiamohammed5031
@rukiamohammed5031 5 лет назад
Kweli umajirekebisha maana ht uson umefifia hupaki mkorogo ss bac nyusi zikiiota uczichinge Tena mungu yu nawe
@isackbaton3686
@isackbaton3686 5 лет назад
Kwa watu wa rohoni nadhani tumemuelewa vizuri sana huyu jamaa
@shijabuluba9473
@shijabuluba9473 5 лет назад
Isack Baton ajabadilika bado......mbona hizo NYU's bado zko HVO......nabii wauongo
@issabinmaryam7450
@issabinmaryam7450 4 года назад
Wengn watu wa mwilini ????
@cate8976
@cate8976 11 дней назад
Glory be to God kama huyu ni Tito 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏
@gloriamichael3698
@gloriamichael3698 5 лет назад
Shangilia Yesu aliye hai amen
@thobiasmosha60
@thobiasmosha60 5 лет назад
Mushukuru mungu sana. kwenye hilo
@lamecklameck8921
@lamecklameck8921 5 лет назад
mungu akusaidie tu mana inaonyesha kuna tatzo kdogo ktk akil yako
@anithagilibert6808
@anithagilibert6808 5 лет назад
aliye ona kitambi cha nabii Tito alipo simama like tujuane tuko wangapi tulio ona kitambi haahaah
@josephdaudi635
@josephdaudi635 5 лет назад
Kitambii kimepinda et hahaha
@suzanpatrick2289
@suzanpatrick2289 5 лет назад
kama sufuria la kulikua ugali wa wanafunzi shulee huhuhu kitambi mviringoo
@magrethjohn8576
@magrethjohn8576 5 лет назад
Mungu wa Mbinguni aendelee kukuongoza!
@israelpetersiame3333
@israelpetersiame3333 5 лет назад
ubarikiwe tito kwa mwonekano mpya
@sadickrajabu1191
@sadickrajabu1191 5 лет назад
Mungu yupo kabisa kamsaidia ndugu yetu
@nancymwangi4886
@nancymwangi4886 5 лет назад
For I know the plans I have for you says the Lord
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 5 лет назад
Hongera
@furahamwatwinza9560
@furahamwatwinza9560 5 лет назад
Mungu wetu anampenda kila mtu!
@sanuraissa2376
@sanuraissa2376 5 лет назад
Gwajima gwajima mungu akuongezee nguvu ya uponyaji kwa wengine
@enzimpya4395
@enzimpya4395 5 лет назад
Nyie wajinga sana gwajimaa!!!!mnampa utukufu gwajima badala ya MUNGUBABA ambaye amefuta ushoga
@msafiriaugustino2957
@msafiriaugustino2957 5 лет назад
who is Gwajima by the way ana kitu gani cha ziada zaidi ambacho kinafanya mwanadamu apewe utukufu usio wake. hapa kuna namna sio bure kwenye ukristo huu wa maigizo
@sanuraissa2376
@sanuraissa2376 5 лет назад
Tatizo la watu wenye stress nikupenda kukurupuka kwani mmesoma au mmesomewa na mtu?! Maana amnasehemu aliyosifiwa kuambiwa ananguvu zaajabu bali inasomeka mungu amuongezee nguvu yakusaidia wengine sababu mbaka Tito kavua ilekanzu kanyoa nywele na anaongea maneno ambayo kidogo ayana vurugu nikwamba gwajima alitumiwa aifanye iyo kazi tunaomba iweyamuda mrefu sasa someni vizuri ndio mjibu
@enzimpya4395
@enzimpya4395 5 лет назад
Wewe hatuna stress dada wewe tuna ufahamu tofauti na unavyodhani kwa nn ameshindwa kusema namshukuru MUNGUBABA kwa yote yaliyotokea badala sijui GWAJIMA kitu gani gwajima........sisi tunamjua MUNGUBABA kila jambo yeye ndo wa kusifiwa.......
@enzimpya4395
@enzimpya4395 5 лет назад
Eti gwajima ana nguvu za ajabu😠😠😠!!!ujinga mtupu
@lissamagige1135
@lissamagige1135 3 года назад
Amen Mungu wetu ni Mungu mwenye nguvu
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 5 лет назад
Mungu ni mwema na anawajua walio wake
@philipsenge2222
@philipsenge2222 3 года назад
MUNGU akutiye nguvu ushinde kweli
@Miro255
@Miro255 5 лет назад
Wenye watoto wao waangalie wasije kutana na napepo lililokuwepo kwanabii TITO, maana itakuwa nihekaheka
@ramadhaniayubu6103
@ramadhaniayubu6103 5 лет назад
haaaaaaaaaaaaaa
@magiclab6435
@magiclab6435 5 лет назад
Hahhahhhh
@rickythobby3475
@rickythobby3475 5 лет назад
😂😂😂😂
@sallyvan4706
@sallyvan4706 5 лет назад
Kinuno 😁😁😁😁😁😁noma sana
@brysonmwakina
@brysonmwakina 4 года назад
😬😬😬😬😬😬
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 27 дней назад
❤kwa Muñgu hakuna kitu kinashindikana
@zahratinsaleh1004
@zahratinsaleh1004 2 года назад
Kwa ss waisilamu utasema mashallah Mungu akuvuwe na majanga akusamehe makosa yote
@lewinakilana7375
@lewinakilana7375 3 года назад
Ameen
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 5 лет назад
Unatoa ushuhuda mara ya pili sasa. Mtu wa Mungu mtafute Mungu sasa na usilitukane jina la Kristo
@mutalemwagabriel2277
@mutalemwagabriel2277 5 лет назад
#Godfey😂😂😂😂😂😂😂😂
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 3 года назад
God is great
@paulwilbertp2095
@paulwilbertp2095 3 года назад
God iz great all time
@williamkivulenge3081
@williamkivulenge3081 5 лет назад
Mungu mwenye nguvu, anakubadilisha atakavyo.
@mwiguluelias3018
@mwiguluelias3018 5 лет назад
Mungu haziakiwi we Jamaa unayejiita nabii Tito ,,,,,,,,,,unafanya kiki na maigizo Kwa neno na Kazi ya bwana ,,,,,angalia sana,,,,mungu hachewi bora kama utaka kujulikana uwe mwingizaji na Si kujifanyiza Kwa mambo ya God
@ngonghomajackson153
@ngonghomajackson153 5 лет назад
Point
@GodfreyMakala
@GodfreyMakala 2 месяца назад
Amen sana
@WitinessJoseph
@WitinessJoseph 2 месяца назад
Mungu azidi kukusaidia na akutie nguvu
@esterabonga7947
@esterabonga7947 5 лет назад
Mwenyezi Mungu akuongoze 🙏🙏
@omaar5693
@omaar5693 5 лет назад
Ebu hubiri tu sasa wakikuhoji kuhusu ushoga waambie no comment walete maswala ya kiroho tu sasa.
@rashidyahya99
@rashidyahya99 5 лет назад
Hujitambui!!!!
@naomichristopher3941
@naomichristopher3941 Год назад
Kama na yesu Kristo huyu Bwana ndie anaekausha kiu ya dhambi , barikiwa .
@madamrittar8943
@madamrittar8943 5 лет назад
Amen athante mungu
@missanajohnson6614
@missanajohnson6614 5 лет назад
Epuka kujisifia Mungu anakataza kujikweza ww mshukuru Mungu Moyoni mwako
@mynameisindicated
@mynameisindicated 5 лет назад
We bado sana. Endelea kusali sana.
@shedrackmgude5972
@shedrackmgude5972 5 лет назад
Amina MUNGU ni mwema
@balakamaulidi2509
@balakamaulidi2509 5 лет назад
Nimeipenda mtumishi hvy hvy
@fatuma5208
@fatuma5208 Год назад
Mungu.akusimamie.zaid 😭😭😭
@bernardmwenda5186
@bernardmwenda5186 5 лет назад
Pole sana mtumishi wa Mungu, Mungu tu akusaidie sasa uendelee kujifunza neno. Usijitaabishe kutaka kufundisha bali jitahidi sana kutaka kufundishwa. Hata Gamanywa alikuambia hivyo, lakini ulitaka kufundishwa, ondoa hili jina la unabii, jifunze neno.
@nessa4899
@nessa4899 5 лет назад
Songa mbele Mungu akusaidie zaidi
@calvinyeliasi7658
@calvinyeliasi7658 5 лет назад
Hakika mungu yupo kazin ashukuliwe
@calorinymrsdeeper9830
@calorinymrsdeeper9830 5 лет назад
Mungu ni waajabu
@arineitwelauren6659
@arineitwelauren6659 Год назад
Utukufu Kwa Mungu
@zaitunali2208
@zaitunali2208 3 года назад
Maashaallah 🤝
@yusufukazamba2391
@yusufukazamba2391 5 лет назад
Ukiona MTU ana vita ya kiroho km Tito ujue kwamba ana kitu ndani yake
@magynzioka1122
@magynzioka1122 3 года назад
Kweli
@irenelaizer4789
@irenelaizer4789 2 года назад
Ni kweli
@hopemassena6769
@hopemassena6769 5 лет назад
never giveup
@salomeroberto4124
@salomeroberto4124 5 лет назад
Safi
@hezekiamchuma893
@hezekiamchuma893 5 лет назад
nimebalikiwa sanaa
@gospokwetutz834
@gospokwetutz834 5 лет назад
Mungu akutie nguvu
@chengobabahk3901
@chengobabahk3901 Год назад
The guy is real! Confession is not something easy,stop judging guys and give glory to God, amen 🙏🙏🙏
@asnalially6799
@asnalially6799 5 лет назад
Hapo sasa kawa smart
@majaliwamsigwa3974
@majaliwamsigwa3974 5 лет назад
Mungu akusaidie kwani kama umebadilika jiweke wakfu kwa Mungu,chukua hatua zaidi ya kujazwa Roho mtakatifu,atakuongoza ktk kutenda mema
@henrymlandali9187
@henrymlandali9187 5 лет назад
Mungu mwema akusaidie uukulie wokovu wa kweli
@yshamwilima3301
@yshamwilima3301 5 лет назад
Umebadilika hadi sura,allah akuongoze
@akimmbwego797
@akimmbwego797 5 лет назад
Ili jina la nabii tito nalo liache.......JIITE WEWE NI MTUMISHI WA MUNGU TITO
@asherinashoni4526
@asherinashoni4526 5 лет назад
Sahihi kabisa hajafikia kiwango chakuwa nabii
@simonshija2476
@simonshija2476 5 лет назад
Au Tito tu inatosha!
@stephanolumato
@stephanolumato 5 лет назад
Kweli kabisa
@prophetessmarylight434
@prophetessmarylight434 5 лет назад
Amina
@elizabethmamboleo3190
@elizabethmamboleo3190 5 лет назад
Mbwana asifiwe Tito usirudi nyuma ulikotoka ww endelea mbele kwa msaada wa Mungu Amina
@lazackbrown1645
@lazackbrown1645 5 лет назад
Naona kuna watu wanaleta udini hapa ..Ndugu zangu udini unatusaidia nini? Watu inatakiwa tuwe na hofu ya Mungu wetu na sio kuzungumzia udini udini wetu haifai kabisa...cha msingi tumuombee Tito awe mtu mwema tusimnyooshea vidole tu Mungu hapendi...anataka kila mtu aifikirie toba kila mtu ana dhambi zake
@glorynguma3593
@glorynguma3593 5 лет назад
sahiv kwakwel naona umepona i cant judge you..we are all human beings keep going
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 5 лет назад
Nice congratulations brother
Далее
Part 5. Roblox trend☠️
00:13
Просмотров 2,6 млн
НЮША РОЖАЕТ?
00:17
Просмотров 870 тыс.
kwa Mavazi yako utatambulika Bishop Gwajima
1:48
Просмотров 6 тыс.
"Nabii Tito" amwambia Kamanda "mimi ninatumia Biblia"
8:26