Тёмный
No video :(

EXCLUSIVE: OSAM ALIYEGONGWA NA MWENDOKASI AANZA KUPATA KUMBUKUMBU, AONGEA ANAYOYAKUMBUKA 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 303 тыс.
50% 1

Ripota wako Millard Ayo amefika hadi Manzese Dar es salaam anapoishi Osam Milanzi, Majeruhi wa ajali ya Basi la 'mwendokasi' February 2023 ambaye wengi walidhani amefariki baada ya kuona video yake akigongwa na kubamizwa ukutani na basi hilo.
Kwenye mahojiano haya maalum Osam ambaye kumbukumbu zake bado hazijarejea kwa asilimia 100 ameonesha kukumbuka baadhi ya vitu vichache. #RIPOTIZAMILLARDAYO

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,2 тыс.   
@obedishimwela
@obedishimwela Год назад
Utofauti wa Miradi-Ayo na vyombo vingine miradi ni kiumbe cha aina yake
@millardayoTZA
@millardayoTZA Год назад
Asante sana Ndugu yangu Obedi
@tecratzmwakyambomwakyambo7243
Hakuna kama wewe
@jjjhhb4300
@jjjhhb4300 Год назад
Familia aki yako Kampuni ina bima
@SintishMende
@SintishMende Год назад
​@@millardayoTZA habari yako,,,naipenda kuuliza kuhusu yule mtoto aliyekuwa anaweza kufanya hesabu,,,katika Kijiji Cha nyingwa morogoro nimesikia kuwa baba yake kafariki,,,hatujui anaendeleaje,
@SintishMende
@SintishMende Год назад
​@@millardayoTZA sijuwi nitajibuwa au ni vipi
@eliassylvester8150
@eliassylvester8150 Год назад
Daah! Jamaa hana maisha lakini ana MKE wa maisha nimpongeze kwanza kabla ya kumpa pole kwa yote yaliyomsibu na nikupongeze pia kaka Millard kwa hiki ulichokifanya kwenda kuitembelea hii familia🤝
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr Год назад
kwa kifupi ni mwanaume anae jitambua
@samwelsimon2978
@samwelsimon2978 Год назад
To be millad ayo is not easy your doing great job
@ramadhaninyambiza3707
@ramadhaninyambiza3707 Год назад
Kweli kabisa kk
@levinaernest4364
@levinaernest4364 11 месяцев назад
Yuko vizuri sana milard kwa ujumla ana jituma sana na akiojiana na mtu hana yale maswali ya kukera kama wengine
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 10 месяцев назад
Mwanangu hatari Sana huyu mwanamke kiboko Sana Sana Sana wengi tumekosa kama hwa
@medardsotta5211
@medardsotta5211 Год назад
Mke mwema sana! Mwanamke smart sana. Tusisite kumsaidia, kila mmoja kwa kiasi chake!
@joharijuma1876
@joharijuma1876 Год назад
Kwendi jaman
@pauloropian2367
@pauloropian2367 Год назад
Hakika mwanamke huyu ni mwema Mungu akulinde na Mungu pia akufungulie njia ya mafanikio.may GOD bless us.
@hubamwinyi2441
@hubamwinyi2441 Год назад
Millard you did the best kwa habari hii. Mungu akujalie yaliyo mema na abariki kazi za mikono yako. Kwa serikali tafadhali hili jambo lifuatiliwe na familia ipate msaada kwa maisha yao yote..km serikali inatoa mil 10 kwa magoli ya timu za mpira naamini haitashindwa kuangalia familia hii. Diwani mbunge waziri wa ustawi wa jamii i challenge you all kuipatia hii familia usaidizi wa muda mrefu.
@eliaspius4949
@eliaspius4949 Год назад
Kama hujawahi kuuguza huwezi elewa maumivu ya huyu mama ya kutembea kwa mguu toka Manzese hadi Muhimbili😢 Mungu wetu ni mkuu sana atamshindia katika hili🙏🏼
@moviccreativestudio
@moviccreativestudio 4 месяца назад
Millard ayo ni mwandishi mwenye vitu tofauti na waandishi wengine
@lorrainegallardo5913
@lorrainegallardo5913 Год назад
Such a Happy soul and Humble MashAllah 😍❤️ Allah awazidishie mapenzi familia yao wanaonekana ni watu wa wazuri.
@marthamushi9390
@marthamushi9390 Год назад
Huyu mama amelia kwa chungu sana sanaa hadi me nimelia Mungu ambariki sana ni mwanamke mwenye hekima nyingi...Hongera kaka milard Ayo kwa kutulea habari za uhakika🙏
@calvinpaul2171
@calvinpaul2171 Год назад
I love u martha
@gracerweyemamu1345
@gracerweyemamu1345 Год назад
Congratulations Millard Ayo,this interview has all the qualities of an enterview,with all the ethics, again, congratulations 👏👏
@stemarcely7493
@stemarcely7493 Год назад
MUNGU ni mwaminifu jaman. Hata hapo alipofikia ni ishara tosha kwamba atakua sawa. Tunashkuru sana Milard kwa haya mahojiano. Good job..!
@viralvideostz8250
@viralvideostz8250 Год назад
Asante Mungu Kwa maisha ulonipa, 🙏 Ukinipa mke mwenye moyo kama huu ntakutukuza daima 🙏
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Amen
@joharijuma1876
@joharijuma1876 Год назад
Mbona wapo wengi n8upendo two wa dhati
@viralvideostz8250
@viralvideostz8250 Год назад
@@joharijuma1876 wako wap?? Nko serious natafuta 🤣
@peterdeus6093
@peterdeus6093 Год назад
@@joharijuma1876 wapo ila kumpata ndo mtihani
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Год назад
Kweli binadamu wenye upendo ni wachache ila mimi kwa Mme wangu labda yeye ndio anikele yeye kwanza afundio mimi
@johnbernad3990
@johnbernad3990 Год назад
Japo kiwa sisi wanaume ni wagumu kutoa machoz lakini kwa hili limenitoa machoz milad Ayo Mungu akubarik sana kwa kazi hii unayoifanya harafu unajua sana kutia moyo 🙏
@user-gx4dv3xt6f
@user-gx4dv3xt6f Год назад
Pole sana kipenz hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho 😢😢
@queenm1875
@queenm1875 Год назад
Kaka millard shikamoo,Mwenyezi Mungu aendelee kukuweka🙏
@nyerere1259
@nyerere1259 Год назад
ASANTE MILLARD UMENIWEZESHA NIMEMCHANGIA 10,000/= YULE MTU NILIMWONA KWENYE AJALI NIKAHISI AMEFARIKI 🙏🙏🙏🙏 UBARIKIWE KK MILLARD
@runny255
@runny255 Год назад
kwani ukichangia bila kutangaza hela haifiki au??
@AminaKatunzi
@AminaKatunzi Год назад
Amehamasisha nawewe uchange using ndogo au nyingi kama unayo utume...
@geofreywayesu5638
@geofreywayesu5638 2 месяца назад
Kazi nzuri inayofanywa na Millard Ayo imetukuka sana ❤
@happyfaniabatromeo8010
@happyfaniabatromeo8010 Год назад
Mungu niwa upendo Sana 😭🙌 Mwanamke huyu MUNGU ambariki sana 🙏 wakati wa kufutwa machozi umefika 🔥 Millard stay blessed kaka 👊❤️
@EligiaMbinga
@EligiaMbinga Год назад
😢
@agneskighenda3795
@agneskighenda3795 Год назад
Millard Ayo - you are the best!
@moreenbless-vr7oy
@moreenbless-vr7oy Год назад
Daaah niwanawake wachache sana wenye moyo kama uyu mwanamke angekua mwingine angekua kashamkimbia mume Mwenyezi Mungu aiangalie ii familia kwajicho lapili 🙏🙏🙏 amina
@willgate7741
@willgate7741 Год назад
Mungu ni Mwema sana,Mh milady u duu the best Sir, barikiwa sana. Familia hii inahitaji usaidizi mkubwa sana.Naomba chaka cha wanasheria wamsaidie apatiwe haki zake.
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
@@willgate7741 watakwambia insurance italipa uende mahakamani.😊
@stellakusaga4916
@stellakusaga4916 Год назад
Hongera sana brother Millard Ayo!!hiki kipaji chako ni cha aina ya kipekee sana,Mungu aliye hai azidi kukupandisha kwa viwango vya juu zaidi na zaidi!!
@dayfah6464
@dayfah6464 Год назад
I swear this ma'am, is such a caring wife
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 Год назад
Hata mimi nmesema jamani duuh😔😔
@dayfah6464
@dayfah6464 Год назад
Yani anamjal sana huyo mume wake, ingekuw waschana wa mjini viruka njia wanaompenda mtu katika uzima tuu mbn wangesha telekeza familia
@lucasmaro4172
@lucasmaro4172 Год назад
Kwa kweli ni upendo wa namna yake.
@nAVIDtz
@nAVIDtz Год назад
Good work Millard.... Hii video sio kumsaidia tuu huyu dada na familia yake na mgonjwa. Ila inatupa funzo pia sisi tulio wazima, kimaisha na kiroho pia. You are the best reporter. Allah aifanyie wepesi familia hiii, pamoja na kumjalia mgonjwa nafuu na afya njema aweze rejea kwenye majukumu yake. Amina.
@fyneminah
@fyneminah Год назад
Hongera sana sana sana Millard 😩🙏🏾🙏🏾. Napongez nyingy ziende kwa huyu mama mke wa OSAM wallah 😩😩. Ww ni zaid ya SUPER WOMAN 🙏🏾
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
Mashallah tabaraka llah Millard Ayo ❤❤❤❤ Tanks more
@isakhamisi8923
@isakhamisi8923 Год назад
Wanasheria msaidieni huyu mnyonge wa Mungu apate haki kulipwa mafao maisha yake yote na serikali na watoto wake wasomeshwe kwa sababu sifikirii kama atakuwa fiti 100%
@erickrichard4292
@erickrichard4292 Год назад
Amini usiamini apo serikali ndo imeshamalizana nae,, unadhan Kuna mtu ataangaika nae? Labda wenye huruma tumchangie
@wellbrand3415
@wellbrand3415 Год назад
Namuomba MUNGU huu ujumbe upokelewe na kufanyiwa kazi. 🙏
@user-uk6cu3ls2q
@user-uk6cu3ls2q Год назад
Msaidieni jamani
@nyerere1259
@nyerere1259 Год назад
Kweli
@mariamkikula1614
@mariamkikula1614 Год назад
@@erickrichard4292 kweli muhimu namba ametoa Basi tutume tulichobarikiwa
@burudatv751
@burudatv751 Год назад
Tusieshie kusikilizaa ..watanzania tumchangie mwenzetu✊✊
@modycadabra8721
@modycadabra8721 Год назад
My all time journalist Millard keep on moving bro we are behind you inshaallah
@evamlay8997
@evamlay8997 Год назад
Asante Mungu Ulie Mpa Hekima Na Busara Ayo .Mugu Akubariki Akulinde Utokapo Nauigiapo Kaka Ayo
@Byme6434
@Byme6434 Год назад
Aiseee Nimeumia Nalia kama Mtoto Mdogo Nilivyomuona Huyu Dada Analia nimeshindwa kujizuia kwakweli Na mtoto ndo amezidi kuniumiza INSHAALLAH M'MUNGU🙏Nipe Wepesi Niweze kuwafikishia chochote kitu Hawa ndugu Zetu😭
@ericahrey-hj8wh
@ericahrey-hj8wh Год назад
huyu mama ni mimi kabisa mume wangu hata apate shida gani nitakua nae bega kwa bega😢😢 mungu wasaidie
@HusseinBakar-gt6tk
@HusseinBakar-gt6tk Год назад
Kweli dada
@skorahmgala8736
@skorahmgala8736 Год назад
Millard ayo , unafanya kaz nzur,mungu abariki kazi ya mikono yako
@mohdchuma78
@mohdchuma78 Год назад
Amin
@millardayoTZA
@millardayoTZA Год назад
AMEN, ASANTE SANA SKORAH
@hendrycomonsiwenga1128
@hendrycomonsiwenga1128 Год назад
@@millardayoTZA Hongera sana kaka. Una kiti chako Mbinguni kwa Baba yetu!
@isaacchirwa8116
@isaacchirwa8116 Год назад
​@@millardayoTZA mdogo wangu mungu abarik kazi yako
@williammaxmillian5738
@williammaxmillian5738 Год назад
Kazi zingine ni wito bila kuwa na wito ni vigumu kufany kama anavyofanya Millard ayo ubarikiwe sanaMUNGU awatilie wepesi hyo familia
@masakakambesha4521
@masakakambesha4521 Год назад
Millard ni zaidi ya chombo cha habari, kwa uzito wa habari hii kapiga kazi mwenyewe. Hii set-up ni ya kinyama popote kambi. Hongera kwa kazi nzuri Millard
@peterkasenga8404
@peterkasenga8404 Год назад
Miradi_ayo hakika Mungu ambariki sana
@naliakafatuma9870
@naliakafatuma9870 Год назад
Mungu ni mwema katika Jina la Yesu Kristo aliye Bwana naMwokozi wetu ameeeen barikiwa Sana nakutakia uponyaji Mwema shalom shalom
@queenthebosschickgeorge2982
Yesu mtenda miujiza jaman hakika sifa na utukufu zina yeye.
@Joycenangonga
@Joycenangonga 5 месяцев назад
Amen 🙏
@swafaayunus2916
@swafaayunus2916 Год назад
Channel ya Ayo naipenda sana keep it up naangali kutoka Kenya Mombasa Big ❤❤❤
@millardayoTZA
@millardayoTZA Год назад
ASANTE SANA YUNUS, SALIMIA WOTE MOMBASA
@lewishiza
@lewishiza Год назад
Asante sana Milard Ayo. Mnafanya kazi nzuri kwa jamii. Chonde Watanzania tumsaidie huyu mama kwa namba yake aliyoitaja kupitia mahojiano. Wale wa fani ya sheria hili ni suala litakalowapa baraka nyingi mnaweza kumpa huyu mama mkono wa sheria.
@LabiloWabikongo
@LabiloWabikongo Год назад
Upo saw
@mussaali5306
@mussaali5306 Год назад
Channel hii ndo pekeyake nikiona taarifa huwa sina dauti yoyote juu ya ukweli wake, hongera sana millard ayo. Pole pia muhanga wa tukio mungu akupe subra
@katelula
@katelula Год назад
Hosam alipata mke mwema sana, Mungu amjaalie hekima hii, nitamchangia In Sha'Allah
@wadhhasuleiman2621
@wadhhasuleiman2621 Год назад
Sana huyu dada mke hasa mapungufu ya kiubinaadamu pengine anayo ila ni mke hasa
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 Год назад
📌
@leaherasto929
@leaherasto929 Год назад
Mungu amfanyie wepesi na Mungu atuepushe namitihani sisi waja wake
@Marjeby
@Marjeby Год назад
Sad story wallah! Kwa haraka haraka huyo mwanamke kama ni mke bora sana all in all mungu atawatia nguvu na hakuna lolote linalo kufika isipokuwa mungu ana makusudio yake na amini kwa hii interview ya Millard inawapelekeni sehemu salama zaidi na nzuri kwenu
@Startfarming12
@Startfarming12 Год назад
Nimependa sana maswali yako millard siyo yakumuumiza bali ni kama unampa mazoezi ya kurudisha kumbukumbu brother shukrani sana kwa moyo wako na professionalism kwenye kazi zako ingekuwa wengine wangeanza kumuuliza mambo ya kumuumiza sana
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe Год назад
Millard una moyo wa dhahabu kaka, hongera sana kwa kazi njema 🥰🥰thawabu yako utaikuta Mbinguni.
@claudiayohana6576
@claudiayohana6576 Год назад
Millard Ayo ubarikiwe sana kaka upo tofauti na waandishi wengine kwenye karia yako🙏
@ismailabbas4197
@ismailabbas4197 Год назад
Mwambieni Rais Samia kuwa zile pesa za kununua magoli ya Simba na yanga azipeleke kwenye familia ya Osam. Jamaa kaingia kwenye shimo la umaskini na mateso makali bila kutegemea, na namna ajali ilivotokea jamaa hakuwa na makosa na kisheria anatakiwa alipwe fidia ili imsaidie kwenye maisha yake,, hiyo Mwendokasi ni mali ya UMMA na wanatumia bima so lazma wafanye wema wamlipe fidia pamoja na madaktari wetu kumtibu kwa nguvu zote, lakini sifa na utukufu Kwanza ziende kwa ALLAH ambae ndie mponyaji wa kila maradhi na matatizo. Jamaa hawezi kuwa imara kama alivokuwa kabla ya ajali lazma atakuwa na shida pahala kichwani ama uti wa mgongo. Madaktari lazma wampe masharti namna ya shughuli zake ili tatizo lisiwe kubwa zaidi, lakini kikubwa yupo hai nijambo la kumshkuru MUNGU, na tunamuomba MUNGU aendelee kumligania Osam na familia yake🙏😭
@adbellar338
@adbellar338 Год назад
This family needs a very good lawyer. A Probono case.
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
True tunaomba na vyama vyote msaidieni huyu kijana hakulifuata gari lilimfuata tukishuhudia .
@gracerweyemamu1345
@gracerweyemamu1345 Год назад
Very true,a good lawyer will save this family
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Год назад
MashaAllah tabarakaAllah , asante Sana millard ayo Mungu awabariki Sana
@lovenoor988
@lovenoor988 Год назад
God bless you my brother @Millard Ayo💫❤️💪🏼
@victoravelin575
@victoravelin575 Год назад
Pole
@lydianedward4122
@lydianedward4122 Год назад
Kazi yako ni njema sana kaka Millard🙏. Dada Aisha Mungu yuko na wewe na umebarikiwa moyo mzuri sanaa atawapa kicheko tena na familia yako yuko pamoja nanyi❤, yatapita yote.
@user-xl7tb9xr9t
@user-xl7tb9xr9t Год назад
Thanks Millard for this voide.mama ur government should stand to this family
@OmanOman-fr5hl
@OmanOman-fr5hl Год назад
Subhanallah inaskitisha big up kwa mwanamke mwenzetu he ndo mana ya kupendana kwenye shida na raha, mama mungu atakulipa kwa mema yko
@leticiachipando9772
@leticiachipando9772 Год назад
Wife material. Mungu amlinde
@BinanceTrade-qv2dj
@BinanceTrade-qv2dj Год назад
Huo ndio upendo wa that sometimes hatuombei na sisi tupate majanga Ili tujue upendo wetu kwa wake zetu ila Allah atujaalie nguvu siku zote
@IdikhareemIdi-nz6pz
@IdikhareemIdi-nz6pz Год назад
This is what we call impact journalism, kunakitu amekifumbua Millard
@marymolel616
@marymolel616 Год назад
Hongera sana Millard Ayo wewe ni mwandishi na mtangazaji mahiri Mungu akuongezee hekima
@beijahabibty6664
@beijahabibty6664 Год назад
She is a strong woman aki😢😢😢😢😢
@khalfandesignerseacliff
@khalfandesignerseacliff Год назад
Very true, huyu Esha ni mwanamke na nusu aisee. Ameupiga mwingi so far...
@Byme6434
@Byme6434 Год назад
Halafu Anajuwa kujielezea Kiustaraabu kabisa Yaaani Unasikia Hata Hami Umsikilize tujitahidini Watanzania mwenye nacho kuipa furaha hii Farmily❤
@munirhassan1559
@munirhassan1559 Год назад
Pongezi millard ayo kazi nzuri mimi ushauri wangu aweke wakili kulishaki shirika la mabasi ya mwendo kasi kwa ile ajali na kutojali yaliyomkuta mungu mkubwa ampe maisha marefu ameena
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
Hakika MUNGU Yu mwema Ahsante MUNGU kwa Jili ya kijana wako 😪 my brother hongera sana ♥️💪☑️
@MozaAlkhaif-dg9pk
@MozaAlkhaif-dg9pk Год назад
Mkewe anajibu vizuri sana,,Allah ampatiye nguvu na subra ya hali ya juu!!
@myloveloycemhichemwiche8740
Uyo mwanamke anajikaza Sana kuongea bado moyo wake unaumia Sana ikiwezekana milad msaidie chochote uyo mama imsaidie kwa matumizi hapo nyumbani kaka
@aljazzytechno
@aljazzytechno Год назад
Sitokaa niache kukubali brother mwenyezimungu aendelee kukubaliki nakupenda na kukubali saana ❤🙏🙏 @MillardAyo
@DavidPaul-wt5nr
@DavidPaul-wt5nr Год назад
Wote hatujui kesho yetu, nafas yeyote uliojaaliwa itumie kumsaidia muhtaji kadir unavoweza, ndilo funzo nlilopata. Hongera Millard Ayo, Mungu akuzudshie hekima zaidi na moyo wa kujali wasio na sauti
@mr.wakati1584
@mr.wakati1584 Год назад
Millard unafanya kazi ya mungu.. dhabihu yako ni takatifu Kwa mungu na ubarikiwe kwenye kazi mikono yako na kinywa chako. 🤝
@millardayoTZA
@millardayoTZA Год назад
AMEN NDUGU YANGU, ASANTE SANA
@teddytemu2897
@teddytemu2897 Год назад
Daah jamani😭😭 hii story imeniliza jaman ila Millard ayo napenda taarifa zake ni tofayti sana na waandishi wengine Mungu azidi kukubariki....Huyu mama Mungu azidi kumbariki ni mtu mvumilivu na ni jasiri sana🙏🙏..Mama Samia tunakuomba jamni Usaidie hii familia japo bima pesa za magoli wasaidie wenye mahitaji ,🥲🥲🥲
@crispinmsongole8875
@crispinmsongole8875 Год назад
Waaooooh umeongea kitu cha msingi sana
@nelliegodfrey-zq5vz
@nelliegodfrey-zq5vz Год назад
umeongea point
@angelkenneth908
@angelkenneth908 Год назад
Huyu ndie mke bora kutoka kwa Mungu walah Mungu akutangulie mama mzuri❤
@EugenAssenga
@EugenAssenga Год назад
For real hard a wife not just a partner...we need a women like you our life will be so nice
@mustymasoud5214
@mustymasoud5214 Год назад
Kwa kwwl kaka
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Ili upate mke wa hivyo nawewe mume uwe wa hivyo mungu atakuletea tu.
@gracegeorge4848
@gracegeorge4848 Год назад
Kwakweli
@EugenAssenga
@EugenAssenga Год назад
@@gracegeorge4848 hello 👋 grace
@EugenAssenga
@EugenAssenga Год назад
@@ahz6907 yah ukiwa na moyo safi utapew menye moyo safi
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 Год назад
Very professional TV Ayo Tv
@salmambuta2359
@salmambuta2359 Год назад
Pole dada Usichoke kumuomba M/Mungu atakusaidia... YATAPITA tu Mungu awezi kukupa jaribu ila anauhakika kuwa utaivuka...
@GiftAbduly
@GiftAbduly Год назад
Mwenyezi mungu awalinde na awabaliki ❤❤
@remigiusrespicius1856
@remigiusrespicius1856 Год назад
Hongera sana Millard Ayo kwa taarifa zenye uhakika 👏
@OmanOman-ry5gw
@OmanOman-ry5gw Год назад
Mama samia kam umeona hii fanya msaidie sio kila goli mnunue kwa milion 20 iyo itakuw sio fear
@zenaycechanzinho6702
@zenaycechanzinho6702 Год назад
KTK COMMENT ZOTE NILIZO SOMA HII NDO YA MSINGI LKN CHA AJABU HAINA LIKES NYINGI NA HUENDA IKAPUUZWA.
@muta-news2786
@muta-news2786 Год назад
Millard nikushukuru kwa ilo unalofanya na vyombo vingine vya habar juu ya uyo jamaa. Lakin mm niseme kitu imefika wakati serikali itoe tamko juu ya familia ya uyo jamaa,sio wa kuendelea kuishi nyumba za kupanga,sio wa kuishi maisha ya mateso,watoto wao wapelekwe shule nzuri maana uyo ndio alikuwa kioo Cha familia. Naisi ndoto za hao watoto zisiishie Apo Apo,tumekuwa na tabia za kushobokea mambo yasiyo na maana kuliko yenye maana,vip serikali hamwazi juu ya ndoto za uyo jamaa na watoto wake. Mwendokasi Ni Mali ya serikali,akufata gari uyo barabara,gari lilimgonga pembezon mwa barabara iweje hatouni tamko la serikali juu ya familia iyo na hao watoto waliokatishwa ndoto zao. Anyway naisi tunaitaji kupaza sauti zetu juu ya haki za watu wanaopitia changamoto zilizo sababishwa na serikali yetu maana bira uyo Hosamu hamna serikali maana serikali Ni watu wenyewe. Pili ebu Millard andaa kitu fanya kitu, tengeneza kitu watu wapate kuchangaia iyo familia na kuwatoa kwenye izo nyumba,wafate ata viongoz kuwaomba michango ili tuwasadie hao watoto naisi itasadia Zaid ya interview za kuongeza viewers na kutengeneza kipato km tabia za waandishi wa habar. Millard andaa namba ww Kama wewe na ifunguliwe na account ya bank. Huu Ni uonevu mkubwa Sana,usiulize mwendo kasi,mwendo kasi Ni serikali kwann ikae kimya.kuna mda tunawaumiza watanzania wenzetu.but Nina Iman na rais Samia Ni mama uyo na ana uhuruma Nina huakika akiona iyo video maisha ya iyo familia yatabadirika,tatizo lipo kwa wasadizi wa Mheshimiwa rais maana waliona Ila naisi mama hakuona Wala hajaona.Yangu Ni ayo
@Amani715
@Amani715 Год назад
True true. Serikali in other countries they would have compensated this young family. I concur with what you are saying.
@jeremiahmwasomola1252
@jeremiahmwasomola1252 Год назад
Umeandika kwa akiri sana
@Byme6434
@Byme6434 Год назад
Comment yako Inaendelea kuniliza Sasa Hivi jiulize toka huyu baba Alivyopata Ajali Umemsikia Dada Changamoto Aloopitia Yeye pamoja na Mgonjwa kukaa na njaa Mda Mwengi Daaaaaaah TUPAZENI SAUTI Wapatiwe Sehemu ya kuishi na watoto waende Shule😭
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Serikali ina hela za kuwapa bure simba na yanga kwa kila goli.ila hili kwao hawalioni.
@Godisable4281
@Godisable4281 Год назад
Inashangaza sana serikali kununua magori wakati kuna watu wahitaji kama huyu ndugu, huyu mama anapitia maisha magumu sana anahitaji msaada katika kila kitu. Serikali ifanye kitu juu ya hii familia
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425 Год назад
Hapa ndo nakumbuka kauli ya #Zembwela kuhusu Wanawake..alisema kuwa kuna Mke wangu,Mke wetu na mke mke,Yaani huyu ndo Mke wangu sasa..ana ubinadam ndani yake,subira na hekima...Mungu ambariki sana,na Mme wake atakaa sawa tu Inshaallah.
@tariqshabani3213
@tariqshabani3213 Год назад
Your the best millard..God bles you .
@abeidtwahir7685
@abeidtwahir7685 Год назад
Katika best presenter Tanzania Milard uko namba Moja
@robsonwisdom1994
@robsonwisdom1994 Год назад
We mirrad hakika unajua nn unafnya mungu akulibde Wewe kwa moyo wako ibariki na familia hiininayopitia changamoto
@millardayoTZA
@millardayoTZA Год назад
AMEN AMEN NDUGU YANGU
@robsonwisdom1994
@robsonwisdom1994 Год назад
@@millardayoTZA Your very smart unauliza maswali ya muhinu unajua kuendana na mazingira jinsi ulivyoyakuta unafnya interview inakuwa nyepesi hata Kwa yule unaenfanyia mungu akubariki sana kaka Mirrady Ayo .mwenyezi mungu aifanyie wepesi familia hii AMEN🙏🙏🙏
@husseinjohn8404
@husseinjohn8404 Год назад
Millard Kama unaona comment yangu bc mungu aendelee kukuweka Sana ..umekua msaada Sana kwenye maisha ya wengi
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Mashallah, hongera sana Madaktar Wetu wa kitanzania, mmefanya kazi kubwa sana kuokoa maisha ya Osam, Allah akusimamie katika kila hatua hii ya wakati mgumu, Allah akuponye urudi kama zamani inshallah 🙏
@OnlyRuky
@OnlyRuky Год назад
Millard Allha atakulipa nilikuwa natafuta contact zao muda. Kweli gari laserekali lagonga mtu karibia kumtoa roho alafu mpka leo wanashindwa kumsaidia kweli huzuni mama anaendelea kutoa pesa kwenye magoli🥺🥺Hata hao madaktari walimtoaga hsp before kapona jamanii Watanzania tujitahidi kuchangia hii family hapo mwisho kataja number
@millardayoTZA
@millardayoTZA Год назад
🙏🙏
@gretagonga2966
@gretagonga2966 Год назад
Ni aibu kampuni ya mwendokasi...shame on you! God will deal with you. God will heal and provide for the family. ❤️
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
God will deal na wahusika wa hiyo kampuni
@rajabali1663
@rajabali1663 Год назад
You did a good job my brother giving them the interview was the only thing they needed I appreciate you
@abeidabdullwarith8991
@abeidabdullwarith8991 Год назад
Yeah millard Uko vizri sana Mungu akubariki najua utafanya jambo kuhusu familia ya milanz na nina uhakika kw roho yko nzuri umeawaachia kitita ila hujataka kujionesha kwenye media km watu wengine.
@vivianavivy3656
@vivianavivy3656 Год назад
Millard mfalme wa habari,no one like you...Mungu azidi kukubariki .
@jaffarmagawa3245
@jaffarmagawa3245 Год назад
Millard allah akulipe malipo makubwa inshaallah, allah ndo mjuzi wa yote osam na familia yake wavuke salama kweny mapito haya inshaallah
@RahmaGharibu-yg7px
@RahmaGharibu-yg7px Год назад
Pole ndugu nimitihan yamungu
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Год назад
Mke mwema MashaAllah. ALLAH amponye mumeo mama😢
@amourshadhil2005
@amourshadhil2005 Год назад
Aseee. Dah. Milard. Hapa umefanya kazi kubwa. Asante kk. Na pole sana Aisha na wanafamilia Kwa ujumla
@lucypaulo9238
@lucypaulo9238 Год назад
Mungu azidi kuibariki kazi ya MIKONO yako
@user-qh1nq7gd9c
@user-qh1nq7gd9c Год назад
Mtangazaji wangu bora wa muda ote salute sana brow#i,m appreciate u always for good work👏👏👏👏👏
@millardayoTZA
@millardayoTZA Год назад
ASANTE SANA MUSTAPHA
@fatmamrihani6828
@fatmamrihani6828 Год назад
Mllard Ayo hata watu wasomee PHD YA UANDISHINWA WA HABARI hawatokufikia wewe Mungu amekutunuku kipaji Cha Hali ya juu na unajua kukitumia Mungu azid kumpa Afya njema kaka OSAMA
@millardayoTZA
@millardayoTZA Год назад
AMEN FATMA, ASANTE SANA
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 Год назад
Definitely
@gasperlwilla5420
@gasperlwilla5420 Год назад
@@millardayoTZA mambo vipi naomba number yake
@jacobsumary8241
@jacobsumary8241 Год назад
@@millardayoTZA number plz
@mereyamhomesmariamhomes3464
Msaidie kumuomba mkuu wa mkoa wa Dar amsaidie huyo kaka kupata haki yake kwenye iyo kampuni ya mwendo kasi
@ErnestChrispin-ob2rn
@ErnestChrispin-ob2rn 8 месяцев назад
Mm nampongeza mkewe anaupendo wa dhati kwa sasaivi kupata mdada mwenye uvumilivu kama uyu muheshimu sana ajali ulio ipata mbaya sana kudra za mungu zimekuokoa usiache kumuomba mungu
@user-sn6dc9gh8k
@user-sn6dc9gh8k Год назад
Hv waandishi mmeona mirad anavohoji mtu akifika sehem ya huzuni anamuacha atoe kwanza huzuni alie😢😢alafu aendelee jmn jifunzeni😢😢 cyo wale hadi kwa wazee wazma mko kwema baba aisee mnaudhi😢😢
@upendokiwanga9538
@upendokiwanga9538 Год назад
Huu pia ni utumishi kabisa na Mungu anatukuzwa na atatoa thawabu, Mungu akubariki saana Milad kwa kusimama kama mlinzi mzuri kwenye lindo Utuzwe na ulindwe na Mungu daima Familia Mungu atawasaidia na kwasababu watu wamesikia kuna hatua ya utatuzi ktk hii changamoto
@barakahiluka166
@barakahiluka166 Год назад
Dah mungu ni mwema sana
@millardayoTZA
@millardayoTZA Год назад
SANA BARAKA TENA KWA HEFUFI KUBWA
@mwoney1
@mwoney1 Год назад
Ata pole yangu haitoshi...ila niseme tu Mungu ni wetu sote...millard Asante kwa taarifa
@myloveloycemhichemwiche8740
Kaka kazi unazoripot kwetu zinatufunza mengi kwenye maisha yetu
@millardayoTZA
@millardayoTZA Год назад
ASANTE SANA NDUGU YANGU
@augustinesombi6285
@augustinesombi6285 Год назад
Pole Sana Osam,, mungu mwenyezi atafanya wepesi upone na family yakoo watajaliwa maisha mazuri pia,,Amen.
@augustinesombi6285
@augustinesombi6285 Год назад
@@millardayoTZA Kazi nzuri Ayo, imesaidia watanzania kupata Hali na maisha ya ndugu yetu Osam, ninahakika watu watasaidia KWA chchote.
@thomaslyimo9556
@thomaslyimo9556 Год назад
Amazing and wonderful interview Machozi yamenilengelenge kwa huzuni ya huyu kaka Osam ningeomba waandishi wa mchongo muache ubabaishaji, Hongera sana Millard Ayo wewe ni mwandishi na mtangazaji mahiri Mungu akuongezee hekima
@daraeiali9449
@daraeiali9449 Год назад
Pole sana dada yangu mungu yuko nawe
@leonilabrethrenwoshipers9791
Asante kwa kutujuza haya. Tuendelee kuungana na hii familia kuchangia kadri Mungu anavyotujaalia. Amen
@zenaycechanzinho6702
@zenaycechanzinho6702 Год назад
HUYU JAMAA ANASTAHIL SANA MSADA WA SERIKAL KULIKO WA WANANCHI. LKN SERIKAL IKO KIMYAAAA .
@zurfapahenge8802
@zurfapahenge8802 Год назад
This is next level Mirrad wow The way You did❤ l'ts Amazing ❤🎉continue the good work 👍
@khadijaleornad9763
@khadijaleornad9763 Год назад
Uko vizur kaka Millard Ayo Mungu akupe maisha marefu unajitoa sana
@mtikohospital5958
@mtikohospital5958 Год назад
Mungu ni mwemaaaa sana ..tunashkuru kaka millard
@edinaoyuke7893
@edinaoyuke7893 2 месяца назад
Millard Naomba Endelea na moyo uo,,unajituma una Hekima,,utu,,Busara,,Ubarikiwe sana mpendwa
@denisademary
@denisademary Год назад
May God bless you bro Unafanya kitu bora sana ila inatakiwa serikali iwasaidiee sana hii familia na sisi watanzania wazalendo tuwasaidiee kwa chochote.🙏🙏🙏
@julianashechambo105
@julianashechambo105 Год назад
Dah! Allah azidi kumpa umri mrefu huyu mke wa Hosam......
@hubamwinyi2441
@hubamwinyi2441 Год назад
Millard..je gari lililoingia njia ya mwendo kasi kwa ghafla lilipatikana...huyo ndiye aliyekuwa chanzo kikuu cha ajali. Mungu amponye Osam, Mungu amtie nguvu mke mwema Eshe na watoto wake. Mungu awape maelewano bira kipindi hiki cha kuuguza ushikamano ukawepo. Mungu ana kusudio lake kupitia ajali huu. Mungu atawapa yaliyo mema na kusudio la Mungu litatimia katika familia hii.
Далее
Chelsea gym be like.. 😅⚽️
00:20
Просмотров 12 млн
مسبح السرير #قصير
00:19
Просмотров 1,4 млн
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Просмотров 8 млн