Тёмный

EXCLUSIVE: PART 2 MWANAJESHI WA MAREKANI MTANZANIA ASIMULIA ALIVYOPIGWA RISASI MGONGONI NA MIGUUNI 

Seven Media
Подписаться 16 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

#7MEDIA #SUBSCRIBE

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 114   
@chadyptz3137
@chadyptz3137 20 часов назад
Baba levo anamkatisha makusud kwa sababu maalum huyo nimwanajesh kunavtu hawez kutililika vyote....💪🤸🎤
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 17 часов назад
Sio bongo apo anko acha ujuaji
@t.jsaidia2047
@t.jsaidia2047 День назад
Babalevo wewe ni mtu mwenye hakili sana kuliko Mwijaku. Wewe umeenda USA kuchukuwa madini kuleta TZ ilaw Mwijaki kafanya vurugu tu. Hongera sana
@imanuelzakayo8703
@imanuelzakayo8703 14 часов назад
Hayaa ndio tunayatakaa baba levo sio mwijaku baba levo safi sana mb zangu zinaenda kwa haki
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 10 часов назад
Mwijachumucheko@.co.misifa.
@mrjkbreezy9561
@mrjkbreezy9561 День назад
Baba levo haujui kazi yak yaaan maswal mengi bila mpangilio yaaaan
@RashidiMdee-s3p
@RashidiMdee-s3p День назад
That true ajui kuuliza maswali fresh iwe kama story anakatisha mtu akiongea
@Jasminadamu
@Jasminadamu День назад
Si unaona amelewa😢
@Yangaone-h8j
@Yangaone-h8j 4 часа назад
Huyu siyo mwandishi kamili ndo anajiongeza tu kwenye fani ambayo hakuisomea ndo maana unaona kama maswari yake hayana mtililiko mzuri, ila tumpongeze anachokifanya nikizuri tu
@collinsnyoro1450
@collinsnyoro1450 15 часов назад
Baba levo usisahau kupitia Kenya 😂😂+254
@JustinMwakalukila
@JustinMwakalukila 15 часов назад
Mwamba yuko vzuri alaf mcheshi anaruhusu uinjoy kumuuliza,hakutii house yyte anakupa uhuru mkubwa wa kuongea❤❤❤❤
@jumabaranyikwa1833
@jumabaranyikwa1833 19 часов назад
Jamaa anavitu vingi lakini Baba levo hajui serious interview
@JordanieMUSANGWA
@JordanieMUSANGWA 20 часов назад
Madeni yatakuuwa nduguyangu ame sema baba levo afu ana cheeeka sana kama hivi😂😂😂😂😂😂
@immajuzo2440
@immajuzo2440 20 часов назад
Kesho ya mtu anaijua Mungu ...baba levo kigoma he was a nomal person but today z another level
@shafiihaabdallah6717
@shafiihaabdallah6717 15 часов назад
I really like this interview
@yusuphmalenda4981
@yusuphmalenda4981 День назад
Babalevo ukitakaka kuwa bora kwenye tasnia hii inabidi ujifunze kwa aliye bora zaidi yako hebu jaribu kumuangalia Salim Kikeke akiwa anauliza maswali maswali unauliza mazuri lakini unayaharibu ww mwenyewe kabla ya kujibiwa unakuwa na haraka haraka sijui ya nn.Tengeneza maswali vzr kabla ya kumuhoji then turushie kipande kipande hata cha dk 15 hadi unamaliza hata kama ulimuhoji kwa saa nzima utapata views na like na comment za kutosha unacheka cheka tuu
@Jasminadamu
@Jasminadamu День назад
Amelewa jamani mvumilie tu😂
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 18 часов назад
Baba levo mbea san 😂😂😂unataka aseme vyote
@johnkitwima6963
@johnkitwima6963 День назад
Baba Levo unatuchanganya, North Korea ndo kwa Kim Kiduku siyo South 😂🎉🎉
@Allyhujjat
@Allyhujjat День назад
Baba levo is another idiiot abashindwa kujua kuwa ni North Korea sio South korea
@kindulijumanne7632
@kindulijumanne7632 День назад
Baba Level Kwa Kiduku ni North Korea huyu alienda South Korea ambao ndio wapambe wa Marekani
@mibakumollel3419
@mibakumollel3419 День назад
Yaani huyu jamaa asifanye kazi ya media kabisa yaani tunasikiliza stori nzuri lakini jamaa anaingilia kabla ajamaliza kueleza pangilia mwaswali na kusubiri amalize
@RashidiMdee-s3p
@RashidiMdee-s3p День назад
True
@sabriwayee4180
@sabriwayee4180 10 часов назад
Ahh! Bab levo anaboa unamkatishaje mtu, aja2a seriously bana, .. jama aanamadini Mengi snaaa, daah
@mmluther
@mmluther День назад
Baba Levo North Korea ndo kwa macommunist maadui wa USA😅 South capitalist
@kayalaonlinetv
@kayalaonlinetv 21 час назад
Very professional press
@staggarsnipper5631
@staggarsnipper5631 21 час назад
Ukiwa na kazi selikalini,,,, iwe: Police, Mp, Accountant , In-short Ukiwa na kazi ndani ya selikalini,,,, tofauti na kubeba zege mara garden boy,,I hope mmenielewa,,,,,swali,,,,: kwa bongo ukisikika la lugha ya nje ya nchi kazi hauna,,,je,! Hii ikoje Marekani
@thomthegotti
@thomthegotti 18 часов назад
Baba levo Kimjong yupo North bhana hal walienda South acha kupotosha uma
@hancybrouwn5032
@hancybrouwn5032 День назад
Wa kwanza nipeni like 100
@KassimLukanza-wp6xn
@KassimLukanza-wp6xn День назад
Babalevo hajui kuhoji kabisa... anapenda sana kuongea yeye kuliko anayemuhoji😊
@nickylyanga2139
@nickylyanga2139 День назад
kweli kuna vitu anatukosesha
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 10 часов назад
Levo,,unajua kumuweka mtu line...watasema husbiri amalize kujieleza kumbe kudakia ni kumpamba atoboke zaid.
@Ax-xpress
@Ax-xpress 16 часов назад
Baba Revolution unasema hao vijana.. ! Umejuaje ni vijana na sio wazee wakubwa..
@HassanAhmed-di9jq
@HassanAhmed-di9jq 17 часов назад
Kwakweli nafurahi kaka kuwaelimisha watu ambao kama hawayajui maisha ya njee
@MsNajma-j7e
@MsNajma-j7e 22 часа назад
Mwijaku kaenda uko na misifa tu na kupayuka mkifka nchi za watu toeni herimu na madin km we bba ake na love
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 10 часов назад
Levo aise!!
@credmlwale1933
@credmlwale1933 День назад
wapili nipeni like 10 tu
@clictvtz
@clictvtz День назад
Umetisha mwanangu
@JulesDior-zl6rq
@JulesDior-zl6rq 21 час назад
Nimadeni 😂😂😂😂
@Whitegold7555
@Whitegold7555 23 часа назад
Baba levo ukifanya interview usinywe pombe
@hassanswale
@hassanswale 20 часов назад
Sijapenda vile unamnyima uhuru wa nafasi
@YussufJuma-s2k
@YussufJuma-s2k 3 часа назад
Mi ananikera anauliza halafu anajijibu mwenyewe kama stor anaijuwa
@wakwabibi5423
@wakwabibi5423 День назад
Huyu jamaa anavitu vingi vya kuongea sema babalevo anamkatisha sana
@klaussteiner94
@klaussteiner94 22 часа назад
Aiseee huyu jamaa bro,anamkatisha kichiz
@saluyaadamz
@saluyaadamz 22 часа назад
Babalevo mnafiki eti ulipigwa risasi ya mgongo 😂😂😂😂
@timotheothadeomgassa4929
@timotheothadeomgassa4929 21 час назад
North Korea ndipo anapopatikana Kim Jong a.k.a Kiduku na South Korea ndipo Marekani inaurafiki nao kwenye kila kitu. So nadhani mmechanganya kidogo ila South Korea ndipo soja wetu alipokwenda na kula Bata kama anavyosema ila North Korea Mmarekani hajakanyaga
@mibakumollel3419
@mibakumollel3419 День назад
Baba levo achakiherehere mwache jamaa atoe maelezo kila akiflow unamkatiza mhoji na utulie aeleze
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk День назад
Duh pole mlay
@klaussteiner94
@klaussteiner94 22 часа назад
Oya level niaje asee mwache mjeda atiririke
@willsonmalechela
@willsonmalechela 23 часа назад
mwambie jamaa hmna bara la marekan😂😂
@AlfaEnock-st9md
@AlfaEnock-st9md 23 часа назад
Wewe ndio huku chochote marekani ni kiswahili ila inaitwa America
@Sancho2721
@Sancho2721 23 часа назад
Umesata ww
@RojaMwinyi
@RojaMwinyi 22 часа назад
Kuna amarica kaskazini na america kusini nani alikwambia hakuna
@RaimeckMeshack
@RaimeckMeshack 14 часов назад
Baba levo kalewa anajisahau kauliza swali gani
@Thaddeusmj10
@Thaddeusmj10 15 часов назад
Cammanda Ni wajina Wangu huyo Deograutias
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t 20 часов назад
Pambana broo mjeda
@abbynimel-kindy5107
@abbynimel-kindy5107 23 часа назад
Sio North Korea North Ni Kwakiduki.. Kaenda South Korea Ndoo kuna Bass ya Marekani .
@deusidaudi2477
@deusidaudi2477 3 часа назад
B baba, north ndo yupo Kim jong un
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 10 часов назад
🤣🤣🤣cuweight;!! Aaa!!! Nononoo;!!!
@Ax-xpress
@Ax-xpress 16 часов назад
Kwa Kiduku ni North Korea 🇰🇵 sio South Korea 🇰🇷 Wachen kutupanga..
@IssacNtacho
@IssacNtacho День назад
Baba levo we mbon unalazimisha North Korea wakat huko ndo haziung na marekan,,Jamaa anakuambia south we unalazimisha North,,
@joesplatnumz
@joesplatnumz День назад
Babalevo naona tungi lafanya kazi yake 😅😅😅😅😅kichwa apo hakipo salama
@araphatywanyamale6475
@araphatywanyamale6475 4 часа назад
North Korea ndo kwa kiparaa bhaan 😅
@NungwanaCastro
@NungwanaCastro 14 часов назад
Mwananga MAPUA naomba umuulize n procedures gani mtu ambaye c mzawa wa US anatakiwa azifuate ili awe Us ARMY?maswali kma haya twayataka
@lukewandera5720
@lukewandera5720 Час назад
The USA is an ally of South Korea and not North Korea. 99.99% chances are that the soldier went for a field operation in South Korea.
@solomonmsemembo8887
@solomonmsemembo8887 13 часов назад
Mnachanganya north Korea ndo kwa mjomba mjomba Ila south nd Korea samsung
@HamisiHassan-oy6xz
@HamisiHassan-oy6xz День назад
Baba levo interview ni nzuri sana lkn unacheka cheka kabla haja maliza kukujibu usharukia lingeni, kiherehere punguza also, LASTLY usifanye interview kama unakunywa POMBE
@IrishuraPasifique
@IrishuraPasifique 8 часов назад
Uwojama nimutu muzurisana napiga sitori sana
@HakeemBakary
@HakeemBakary 13 часов назад
Kwa ki punk ni North Korea na sio South Korea. Mshirika wa Marekani ni South Korea
@stn4873
@stn4873 23 часа назад
MSHAPENDEZA NYINYI NA KAMNYESHWO.
@fistonniyonkuru10
@fistonniyonkuru10 21 час назад
Babalevo North Korea ndo kwa Kim Jong-un
@jacobmwalusamba4478
@jacobmwalusamba4478 18 часов назад
Baba levo siyo north ni South ndiyo wapo poa
@mswakalaization_
@mswakalaization_ 21 час назад
Bonge moja la story
@mgembepaschal
@mgembepaschal День назад
yaaan mwamba hajui south korea kwa kiduku😂😂nicheke kama mazuri
@broja255
@broja255 День назад
No jamaa anaelewa ila mwandish ndo kipengele analopoka acchokjua.
@HaidaryMayeye
@HaidaryMayeye 20 часов назад
Baba levo we ndo umeenda marekan sasa wengne wana enda kupga kelele
@IddoMbogo-c2u
@IddoMbogo-c2u 18 часов назад
Mzee kwenye kuhoji bado
@IssacNtacho
@IssacNtacho День назад
Baba levo uwe unauliza na kusubiria majibu,yaan unaingilia had story haieleweki vema ,,uwe unaacha mtu anatoa ya moyon
@emanuelgella8201
@emanuelgella8201 День назад
Huyu jamaa ana information nyingi na anajieleza vema shida ni baba levo, anaruka ruka, haachi mtu azungumze na kumaliza maelezo muhimu.
@godsonrwegasira4414
@godsonrwegasira4414 12 часов назад
Ba le ttzoo amekula kirunguli kichwa kikacheza😂
@imanikazinja7100
@imanikazinja7100 16 часов назад
Same mistake wanarudia wote,north Korea ndo kwa kim mapanki sio south,south ndiko watakuwa walienda ndo rafiki wa US,kaskazini hawawezi kutia pua
@DeliseMsambya
@DeliseMsambya 17 часов назад
North Korea ni kwa kiduku, ila south Korea ndio marafiki wa Marekani
@Nijuzetzdigital
@Nijuzetzdigital 23 часа назад
ni South Korea ndo iko free kuingia ndo sehem ambayo jamaa alienda, North Korea ni kwa Kiduku Kim Jong Un ambapo haruhusiwi kima kuingia.
@BhaiMwadidu
@BhaiMwadidu 18 часов назад
Kiduku yupo north korea,huyo atakuwa alienda south korea.
@AlexMagori
@AlexMagori День назад
Baba levo umeenda marekani kutupa darasa aisee
@namatajr4703
@namatajr4703 13 часов назад
Nc
@emarketa
@emarketa 21 час назад
North Korea ndio Korea ya Kiduku sio South Korea.!!
@salumshakespeare
@salumshakespeare День назад
jamaa kakaa kama makonda
@Macinema-e8x
@Macinema-e8x 23 часа назад
Kim Jong Un is a North Korean politician who has been supreme leader of North Korea since December 2011 and not South Korea
@jabarmalid5393
@jabarmalid5393 15 часов назад
North Korea??, ndugu mtangazaji!!!???
@MduduAroni
@MduduAroni День назад
Mshana
@bennylove6021
@bennylove6021 22 часа назад
Oya baba levo Iphone 16 bei gan uko nikutumie hela uniletee
@PeterAssenga-r1d
@PeterAssenga-r1d 21 час назад
Alafu Jamaa kafanana na Makonda kinoma
@GeorgeEdward-e1e
@GeorgeEdward-e1e 13 часов назад
Mwanajeshi gani ana tattoo uyo ach kutupanga
@JafaryMdeluka
@JafaryMdeluka 12 часов назад
Acha ujuaji kijana unafikiri bongo hiyo eti? Jifunze vitu kabla ya ku comment upuuzi
@godsonrwegasira4414
@godsonrwegasira4414 12 часов назад
Hapa syo sengerema kaka!
@allyboka4264
@allyboka4264 11 часов назад
Kila nchi ina utaratibu wake marekan wanajeshi weng tu wana tatoo
@officialAlAbdul
@officialAlAbdul День назад
Uyu jamaa anaongea ukwel ak ndugu uku nje twaumia
@eleven-in5qw
@eleven-in5qw 14 часов назад
Fundi mkuu...
@PabloEscobar-o5k
@PabloEscobar-o5k День назад
North ndio kwa kipanki Kim.
@josephjoseph8633
@josephjoseph8633 20 часов назад
North Korea ndo kwa Kim Jong Un😏
@mtenguleissa5420
@mtenguleissa5420 22 часа назад
North korea ndo ya kim bhn em acha kupotosha
@Andrew-j6r5p
@Andrew-j6r5p 16 часов назад
Sema nn mjeda kachangamka thr
@jacobminja7570
@jacobminja7570 День назад
Mwamba nicheki
@vero57
@vero57 13 часов назад
Ebu muulize akuonyeshe bundukki yake
@bms_studios
@bms_studios 21 час назад
its South Korea not North
@JohnMwita-dy2bc
@JohnMwita-dy2bc 12 часов назад
Muongo
@abdullahmapesa
@abdullahmapesa 22 часа назад
😂😂😂😂
@Zainab-m9f
@Zainab-m9f 14 часов назад
Mh
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 15 часов назад
Angekufa tu unajiunga na jeshi la wahuni waharibifu wa dunia?
@revocatuspaulo6716
@revocatuspaulo6716 2 часа назад
Matako ya mama akoo
@JustinMwakalukila
@JustinMwakalukila 15 часов назад
Mwamba yuko vzuri alaf mcheshi anaruhusu uinjoy kumuuliza,hakutii house yyte anakupa uhuru mkubwa wa kuongea❤❤❤❤
@jumabaranyikwa1833
@jumabaranyikwa1833 19 часов назад
Jamaa anavitu vingi lakini Baba levo hajui serious interview
Далее
Это было очень близко...
00:10
Просмотров 1,1 млн
WAZEE WA MINYAMA SIJUI WAMEVURUGWA NA NANI
6:34
Dogo pepe alivyo wavunja watu mbavu balaa..
1:59
Просмотров 19 тыс.