Тёмный

#EXCLUSIVE 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 19 тыс.
50% 1

#EXCLUSIVE: PAULINE ZONGO AKIWA 'SOBA HAUSI', AFUNGUKA JINSI ALIVYOIBIWA NA MZAZI MWENZIE...
Msanii aliyefanya vizuri katika muziki miaka ya nyuma kidogo, Pauline Zongo, hatimaye ametoka sober hause alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuathirika kwa kutumia madawa ya kulevya, hatimaye ameonana tena na mtoto wake na amefunguka mambo mengi kuhusu maisha yake ya zamani na mapya baada ya kupona.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

16 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 89   
@joycendanundanu9218
@joycendanundanu9218 2 года назад
Amen 🙏🙏Glory 2 God Mungu azidi kuupigania katika maisha yako mimi mwenyewe binafsi nimefurahi sana kukuona wewe na mtoto mko salama sio km awali! Wahusika pia wabarikiwe sana🙏Mungu azidi kuwapa mioyo ya kusaidia jamii zetu walioadhirika na mihadarati 🙏🙏, watto sio na malezi bora
@globaltv_online
@globaltv_online 2 года назад
kwa kwel Mungu mwema kila wakati
@welcometoeat165
@welcometoeat165 2 года назад
Nmefurah mtt kupata shule mashallah mungu mkubwa pia na wewe mama mtu ukiwa na afya njema shavu dodo alhamdulilah pia Shukran kwa soba na pili misana na global 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@fedelinamahenge6649
@fedelinamahenge6649 2 года назад
Mrembo dada mungu akuponye kabisa💋💋
@restitutalucian78
@restitutalucian78 2 года назад
Mungu ni mwema
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 2 года назад
Acheni Mungu aitwe Mungu! Nilivyomuona wakati uleee nililia.Nimefurahi sn,shetwani hana mamlaka.
@aishaukuthymwanachahaya4511
@aishaukuthymwanachahaya4511 2 года назад
Hongra p n mtt wetu malcom mungu asimame n ww
@Winstonfying
@Winstonfying 2 года назад
Ooh MUNGU ni mwema wakati wote. So good to see Pauline and her son 💙
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 2 года назад
Mashaalah kumbe una mwili hivo dada P hongera sana
@restitutalucian78
@restitutalucian78 2 года назад
Mtunis Nice mungu anakuona
@zawadimussa2514
@zawadimussa2514 2 года назад
Uyo asife mampema ili ashuudie manikio ya mwanae
@hawahabibu3881
@hawahabibu3881 2 года назад
Mungu ni mwema cku zote
@fetychina3273
@fetychina3273 2 года назад
Mungu wote walio msaidia Hyundai mtoto jmani🤲🤲
@rosehaule6765
@rosehaule6765 2 года назад
Mungu ni mwema sana pili misana Mungu atakulipa🥰
@munamuna4621
@munamuna4621 2 года назад
Mashaa Allah Sahiii yuko sawa
@laymashabani832
@laymashabani832 2 года назад
Dah kweli kapona uyu PAU🙏🙏🙏🙏♥️
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 2 года назад
Mashaallah jamani kapendeza ghafla
@ayshazambia6509
@ayshazambia6509 2 года назад
Alhamdulillah ndugu yangu upo vizuli sana mungu mkubwa aiseeee
@bethjohn928
@bethjohn928 2 года назад
Jamani mtoto kafanana na baba ake mtunisi mungu aendelee kukupigania dada
@Zaburi-
@Zaburi- 2 года назад
Mungu/MUNGU sio mungu
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 2 года назад
Alhamdulillah mwenyezi mungu haendelee kukusimamia P Zongo 💪🇹🇿🇦🇪
@Zaburi-
@Zaburi- 2 года назад
Mungu/MUNGU sio mungu
@hassanparamana2215
@hassanparamana2215 2 года назад
@@Zaburi- Ahsante kwa kunijuza 🙏💪🇹🇿🇦🇪
@Atb300
@Atb300 2 года назад
I'm happy with this interview 🥰🔥🔥
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 2 года назад
Hongera sana
@janemhango5884
@janemhango5884 2 года назад
Jamani huyu dada kumbe ni mzuri sana
@sifatiiman
@sifatiiman 2 года назад
hapa ndio kapendeza achana na kipindi kile alikua bado anadai eti anaenda kwenye show na wigi lililoish😆😆😆 mashaallah saivi kanenepa
@jenipherkavusha1661
@jenipherkavusha1661 2 года назад
Hongera sana dada mtangazaji
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 года назад
Mashaallaah Pauline 🤲🙏🏼
@zubedamagambo9600
@zubedamagambo9600 2 года назад
Mungu ni mkuu siku zote.
@GasperyTz
@GasperyTz 2 года назад
Acha mungu aitwe mungu , Thank you God for make them smile again # Being blessed
@mercynadia3140
@mercynadia3140 2 года назад
Mtunis Mungu atakulaani sana ,mtoto mnafanana hiyooo halafu unamuacha adhalilike kweli
@welcometoeat165
@welcometoeat165 2 года назад
@Jeybrands hapana sio muimbaj ni mkaka wa bongo movie anaitwa nice mtunisi
@welcometoeat165
@welcometoeat165 2 года назад
@Jeybrands ya welcome
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 года назад
Mungu akubariki Imelda
@angelmariaotieno2253
@angelmariaotieno2253 2 года назад
Nimefurahi Sana, mimi ni shabiki wako
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 года назад
Mungu akubariki dada pili
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 2 года назад
Kumbe alizaa na Nice
@salamasalumu9542
@salamasalumu9542 2 года назад
Jamani kweli Mungu ni mwema
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 2 года назад
Mashaallah 💕jmn dada kapendeza sn💕namtt wake mzur mashaallah kijana haswa💕💕💕ata anajiskia raha kumuona mama ake amebadilika maskin 😥
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 2 года назад
MashaAllah kanenepa
@fatumaali4275
@fatumaali4275 2 года назад
Pauline usirudie kwa Mara nyengine Tena. Uliponywa ukarudia na Sasa umeponywa Tena usirudie tfdhli unamuumiza mtoto.
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 2 года назад
Nmefurahi kuona uko vzr,pia nmekuwa suplised kusikia umezaa na Mr Nice
@sarahomary3615
@sarahomary3615 2 года назад
Ni mtunisi nice ameigiza best wife na Riama Ally ni muigizaji WA mda sana
@gloriamwanjali9371
@gloriamwanjali9371 2 года назад
Mungu ni mwaminifu
@ednaevodius4772
@ednaevodius4772 2 года назад
Mungu Ni mwema jmn
@florameza1028
@florameza1028 2 года назад
Paulina Mungu akusimamie ila kweli alikufilisi saana mtunisi hadi kupelekea msongo wa mawazo pole saana dada
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 года назад
Mashallah, Mungu mkubwa
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 2 года назад
Imelda naomba contact kuna jambo nataka interview yako
@estershilla1221
@estershilla1221 2 года назад
Naombeni dada p awekewe jino ni mrembo sana , au Naomba nimpeleke hospital akaekew jino aonekane vizur zaidi dada P MUNGU BADO ANAMPANGO NA WEWE NAKUPENDA SAN DADA YANGU
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 2 года назад
Mungu akuzidishie ndugu msaidie
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 2 года назад
Imelda naomba contact
@mariamdimosso621
@mariamdimosso621 2 года назад
Huyu mtoto anajielewa
@bahatirngulika4493
@bahatirngulika4493 2 года назад
Kweli hakuna linalomshinda Mungu,
@BINTIwaKITANGA
@BINTIwaKITANGA 2 года назад
🙏🏻 alhamdulillah الله اكبر
@miriyamasanja6766
@miriyamasanja6766 2 года назад
Nimefurahi kumuona karudi katika Hali yake jamani machozi yamenitoka ninavyo ona anaongea na mwanae
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 2 года назад
Ila Dada alimpenda baba mtoto sana ndo alimpa stress,hawez kuongea hajamtaja
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 2 года назад
Sio kumpenda shida ni chata alomuachia hyo ndio inampa kumbukumbu kila wakat akiona mtoto lazima akumbuke mambo alofanyiwa na baba mtu
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 2 года назад
@@beautyibrahim8428 hapana watu tumefanyiwa matukio baba mtoto wangu nikisikia jina lake tu natamani kutapika,huyu ni upendo ndo ulimsumbua alaf mwenzake hakumpenda mbona kazaa na mwingine hamuongelei
@bahatishabani1392
@bahatishabani1392 2 года назад
Kweli kabisa
@arlife9489
@arlife9489 2 года назад
Hivi huyu baba ...au basi..kanikera kesho wakizeeka utasikia analalamika....
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 года назад
Huyo mtoto atakuja kufika mbali sana na huyo mzee wake atakwenda kulilia chooni wakati utaongea
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 2 года назад
Kweli mtoto kafanana na mtunisi
@nururaymond5
@nururaymond5 2 года назад
Wengine hata Damu yako huruma nayo huna...IPO siku huyu mtoto Mungu atamnyanyua sijui ataweka wapi sura yake
@nururaymond5
@nururaymond5 2 года назад
Mtunisi anamtupa mtoto copy yake kbs mpk kuongea...daaah wanaume ww
@fetychina3273
@fetychina3273 2 года назад
Dada pau ukitulia unapendeza kwanini lakini hutulii jamani
@likimaro6
@likimaro6 2 года назад
Si yeye sasa, si akili yake
@aika3024
@aika3024 2 года назад
Kwli MAMA NI MAMA🤰🏻🤱🏻
@teddyndaki5137
@teddyndaki5137 2 года назад
Yani unaweza lia kwa furaha Mungu kawakumbuka na asiwaache kamwe
@catherinecharles932
@catherinecharles932 2 года назад
Aiseee mungu yupo nyie
@aminakunja277
@aminakunja277 2 года назад
Kanenepa sana
@Boaz22
@Boaz22 2 года назад
Hee,pili kanenepaaaa😁
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 2 года назад
Mungu atukuzie mwanetu na huyo mtunisi atakuja kupiga magoti kwetu nauwakika
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 2 года назад
Dada Pauline jamani MUNGU anakupenda ...unaona sasa siku zinakwenda na hazitokaa zirudi nafasi uliyoipata itumie sasa ...na tunahitaji kukuona Tena kwenye muziki na sauti yako ya kipekee
@mdta8161
@mdta8161 2 года назад
Mungu mkubwa
@zenabaziga3620
@zenabaziga3620 2 года назад
Mimi nitaendelea kusema jamni watazanua mmusaidie paolin mumupe mtaji
@hamoodalbusaidi4671
@hamoodalbusaidi4671 2 года назад
Mtangazaji akifavaa kilemba unapendeza saana.kuliko ukivaa wigi
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 года назад
Mtoto anavyofanana na baba yake hatari
@gabriellaemmanuelly125
@gabriellaemmanuelly125 2 года назад
Had kuongea
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 года назад
Ndio utulie sasa tunaokupenda unatuumiza km hujui
@doreengomes3489
@doreengomes3489 2 года назад
"SOBER HOUSE" and not soba hausi.
@appleoman4024
@appleoman4024 2 года назад
Asa mbona huyu mtoto ananiliza kwa busara zake na upendo kwa mmake
@mmn7480
@mmn7480 2 года назад
tumbo lishakuwa kubwa asaivi anajifungua
@aminayusufu6823
@aminayusufu6823 2 года назад
Huyu mtt kafanana na baba ake atali
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 2 года назад
Alikuwa anakataa kwamba yeye matumizi hayo atumii
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 2 года назад
Maji yakishamwagika hayazolek
@zawadijumaa1867
@zawadijumaa1867 2 года назад
Mungu ni mwema
@zawadimussa2514
@zawadimussa2514 2 года назад
Mwajina
Далее
Silent Hill 2 - Мульт Обзор
07:26
Просмотров 389 тыс.
Это было очень близко...
00:10
Просмотров 2,8 млн
Jua Kali Leo Jumatano Usiku 16-10-2024
24:44
Просмотров 50 тыс.
Heshima ya Bongo Fleva - Pauline Zongo | Planet Bongo
49:23
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25
Silent Hill 2 - Мульт Обзор
07:26
Просмотров 389 тыс.