Тёмный

EXCLUSIVE: PILI WA KITIMTIM KAFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA KUWA MJAMZITO 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 124 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 168   
@anithaapolinary6391
@anithaapolinary6391 2 года назад
Baada ya Millard,Vido we ndo unafuata kwa kazi nzuri. Napendaga saaaana kazi zenu guys. You're my favourits guys👌👏
@lilianalmas5911
@lilianalmas5911 2 года назад
Nampenda Sana pili ananifurahisha Sana mwenyezi Mungu amlinde ajifungue salama,🙏🏼
@sanekwilabya2341
@sanekwilabya2341 2 года назад
Kkheee! Kumbe pili ndio Boss mwenyewe? Hongera sana muunganiko wenu ni mzuri na unaendana
@Farthun
@Farthun 2 года назад
Hongera sana pili umeongea vizuri sana mngu akulinde naakuepushie mabaya inshaallah
@vidovidox2632
@vidovidox2632 2 года назад
Nimewaona kwenye Comments Ndugu zangu ASANTEni 🙏🏾🙏🏾
@johnbernad3990
@johnbernad3990 2 года назад
Pamoja mkuu
@wakatiwaapolineapoline5508
@wakatiwaapolineapoline5508 2 года назад
Wallah huna kazi mbovu, ishi ukijuwa unapedwa na mashabiki wako ❤️❤️❤️❤️🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@loulumony8519
@loulumony8519 Год назад
Samahani kaka nakupendag san gisiunavyoongeaga sas🇴🇲🇧🇮💓💓
@annabeljohn401
@annabeljohn401 2 года назад
Beautiful interview na funny pia. Mungu amjaalie ajifungue salama 🙏🏼❤️
@priscabuzoya3087
@priscabuzoya3087 2 года назад
Ahsante sana tume enjoy interview 🥰
@nadanasser1020
@nadanasser1020 2 года назад
Eti hili Sasa siyo la kitimtim hili juhudi za baba Mtoto 🌹❤️❤️❤️❤️❤️💞
@زوهرها
@زوهرها 2 года назад
Gladness nakupenda sana kwani unaishi maisha yako pia ni mkweli huna makuu shogangu napenda sanaaa kazi zako hujali ustaa bali unachojali ni kutafuta pesa hongera pili muuza miguu ya kuku nakupenda sanaaa
@irenejamesgomba4233
@irenejamesgomba4233 2 года назад
Sasa jamani Pili wewe huna Kaba Kwa wenzio tyuuu.... Ila kwako una Kaba hatareee
@zuhurangindo6122
@zuhurangindo6122 2 года назад
Upo vizuri kifaluka mungu akutangulie ujifungue salama
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 года назад
Haaaaaa kupenda mno pili wangu m/mungu akusimamie ujifungue salama mom
@successdenis1002
@successdenis1002 2 года назад
Nakupenda saaaaaaana pili 🥰😘❤️
@emmanueljohngewe9573
@emmanueljohngewe9573 2 года назад
Hapo kwenye mapana 60 pili kipaji kakupa mungu I love you mchaga mwenzangu
@belindabaraka13
@belindabaraka13 2 года назад
Kajisahau kataja jinsia, it was amazing, nimeumiss ugali dagaa ghafla.
@aminasuliman2923
@aminasuliman2923 2 года назад
Nakuaga nafulaha nikiangalia mahojiano na Chanel ya Millard ayo yan watu wanafungua ukwel sio kudangaya au uekti nimtu furan kwakwel mi nawapenda namuendelee kuuivyo❤️❤️❤️❤️
@zarrykaidza2359
@zarrykaidza2359 2 года назад
nampenda sana pili jina km langu, kutoka kenya nakutakia kila la kheri
@princesumary7356
@princesumary7356 Год назад
Nimekuona Glad (ni Yuda wa Twiga pale Moshi)Niko Nairobi,bigup sana natazama kitimtim kupitia mtambo mkubwa wa DStv.
@majmadramas5726
@majmadramas5726 2 года назад
nampenda huyu dada🥰
@ashaali7154
@ashaali7154 2 года назад
Mola akuvue salama Gladys wewe na mwanao In Sha Allah.
@hadijaabdul9689
@hadijaabdul9689 2 года назад
❤️❤️❤️ in kitimtim🥰
@happymacha3235
@happymacha3235 2 года назад
Dagaaa 🙌🏾yan mimi zinapikwa nyumba ya 4 uko lakn nilikua naskia harufu naeenda mpaka zilipo sikubali kupitwaa
@duhrurhhddhheud8575
@duhrurhhddhheud8575 2 года назад
😄🤣😂😆
@rosedawamalika4309
@rosedawamalika4309 2 года назад
😀😀😀😀aki mimba ww
@gladysmwendwa3660
@gladysmwendwa3660 2 года назад
😂😂😂na Mimi adi Majirani walikuwa wanaweka na bajeti yangu
@salmakassim8316
@salmakassim8316 2 года назад
Nimekupenda bure pili ,❤️❤️❤️
@witnesslema9580
@witnesslema9580 2 года назад
Jamn namkubali sana huyudada nauchekeshaji wake
@christinemangaza6303
@christinemangaza6303 2 года назад
Pili ❤️
@lucysikombe1465
@lucysikombe1465 2 года назад
I like that girl 2 much 😘😍😍
@KhadijaMuhammed-w7m
@KhadijaMuhammed-w7m Год назад
Ugal na kijiko wapi na wapi
@cutesuu7255
@cutesuu7255 2 года назад
Nakupenda bure pili msalmie nandy pacha wangu 🇰🇪
@sittymnengwe5057
@sittymnengwe5057 2 года назад
Acha kujidngnya dada angu ndoa huwez kua sure hat ukimchunguza mtu hawez kukuonesha tabia zake zote watu tumeolewa bt tabia alizokua anakuonesha mtu tofauti na anazokuonesha akishakuoa aise ukiwaza ivo hutaolewa dear n sure mnazini n mnaona kawaida
@suziedaffa3500
@suziedaffa3500 2 года назад
Kwa kweli😂😂
@kilunjupolinah343
@kilunjupolinah343 2 года назад
Vido Vidox, umepatikana Leo.i love the both of you. God bless you 😍 🔥
@lovenessoscar4102
@lovenessoscar4102 2 года назад
Big up vido napenda kuona intaview zako unafanya kazi nzuri saaana,
@faridamakhmud4706
@faridamakhmud4706 Год назад
Kama vile anashobo na nandy 😂😂😂 kilakitu nandy nandy nandy kwendraaaaa
@joyagbiano2439
@joyagbiano2439 2 года назад
Apo kweny dini lakiyahudi make kwanz apo nichek🤣🤣🤣
@elizabethkilendi9998
@elizabethkilendi9998 2 года назад
Nataman kwel nfanye kaz hat moj na wew nakupnda buree
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 2 года назад
MRS. Tinwhite
@ifrahashery2289
@ifrahashery2289 2 года назад
Uko vizuri
@bekhaphdprince6347
@bekhaphdprince6347 2 года назад
Vido vidox big up Sana broo. Oyaaaaa sio poa big up Brother.
@SecretglowbymsBecky
@SecretglowbymsBecky 2 года назад
Napenda pili🥰
@judithsijaona9875
@judithsijaona9875 Год назад
Pili ajui kufake lyfe nampenda
@rahmasoliman489
@rahmasoliman489 2 года назад
Pili ana vituko
@sanekwilabya2341
@sanekwilabya2341 2 года назад
Ndugu MTANGAZAJI fahamu kua kuna utofauti Kati ya baba wa mtoto na MUME. Pili is right kuzaa si ndoa amchunguze baba wa mtt ili awe na hakika kama atakua mume bora kwake.
@janeongala6684
@janeongala6684 2 года назад
Pili we miss you in kitim tim
@shamisalryam4775
@shamisalryam4775 2 года назад
Hatari nanusu we pili lkn sio zunde zundeg huyo kashafanya yake
@gatie_lightness02
@gatie_lightness02 2 года назад
I love Gladness
@zahramohammed3265
@zahramohammed3265 2 года назад
Pili nampenda sana
@reinatave3022
@reinatave3022 2 года назад
Interview za Gradness zinakuaga na comedy mno
@jenestermerchades9111
@jenestermerchades9111 2 года назад
ka interview pambee
@evelynsalila9700
@evelynsalila9700 2 года назад
Kwenye kumiliki mtu hapo🤣🤣🤣
@nasrahayub1849
@nasrahayub1849 2 года назад
Kaka anajua sana
@hellenpaul2149
@hellenpaul2149 2 года назад
So lovely 😍
@rosemuba2532
@rosemuba2532 2 года назад
Iyo ultrasound itakua ya mboyokwa😀
@keifatuke99
@keifatuke99 2 года назад
Wa kwanza
@loulumony8519
@loulumony8519 Год назад
Pili wew😂😂😂😂
@rashidakimaro7407
@rashidakimaro7407 2 года назад
Pili mambo yametaradadi pua imekuaaa Sasa😄
@anetymlingi9530
@anetymlingi9530 2 года назад
Nimecheka zunda junior
@chaggatv818
@chaggatv818 2 года назад
Glady najuwa kwenu ni maeneo ya KIANGANE /MANDA siku ukija lazima nije nikusalimie
@جميلهخميس-ط5ث
@جميلهخميس-ط5ث 2 года назад
Wallah Leo Vido umepatikana Grady ni Noma😅😅🙄
@Gmama264
@Gmama264 2 года назад
Pili iyo pua jmn shkamoo mimba🙌🙌😁😁
@asiashaban5809
@asiashaban5809 2 года назад
😃😂😂😂
@nancyg8664
@nancyg8664 2 года назад
Ila aitishi sana jmn🤣🤣
@stelabrent6056
@stelabrent6056 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti na mimi naanza kumiliki mtu
@MylerWyson
@MylerWyson 2 года назад
Jamani puaaaaa
@nancyg8664
@nancyg8664 2 года назад
🤣🤣🙌
@burundialiy2866
@burundialiy2866 2 года назад
😂😂😂😂😂 yaniwepili hatari san
@mcchikao
@mcchikao 2 года назад
Ila angetaja tu jinsi ya mjomba mjomba 😂😂
@hopemaluba4788
@hopemaluba4788 2 года назад
nakupend sana pili
@dayana5513story
@dayana5513story 2 года назад
Love you girl
@kellenalex6231
@kellenalex6231 2 года назад
Beautiful one🥰❤
@rebeckyusuph8058
@rebeckyusuph8058 2 года назад
Jamani Ni Mimi kabisa huwa ninamud zangu mwenyewe jamani
@zahratahmad7990
@zahratahmad7990 2 года назад
Mimba ndani ya comed
@daimondelfina5689
@daimondelfina5689 2 года назад
Kwani si nilisikia ameshajifungua!!
@linetanyango2545
@linetanyango2545 2 года назад
I think hii video ni ya kitambo
@latifaalsh5421
@latifaalsh5421 2 года назад
Yani vido Leo umepatikana Maan huyu pili kaamua😂
@binthkhamisi1097
@binthkhamisi1097 2 года назад
Pnda san gladisiiiiiii
@dativaanthony9369
@dativaanthony9369 2 года назад
Nakupenda dada pili
@natamihambo8077
@natamihambo8077 2 года назад
Labour mchezoooo😂😂😂utajua hujui
@sabrinahamisi7544
@sabrinahamisi7544 2 года назад
Penda Sana you
@sabrinasalim5580
@sabrinasalim5580 2 года назад
Mbona anaiongelea mimba kama jambo gumu sanaa mm nnawatoto2 mbona sikua kama yeye ivoo
@fatmamdhihiri5477
@fatmamdhihiri5477 2 года назад
Pili jmn etii Kuna wa kuleta sambusa Kuna wa kuleta juice 🤣🤣🤣
@khadijauledi3293
@khadijauledi3293 2 года назад
🤣🤣 Pili weeee, umenichekesha 🤣🤣🤣
@jasminemallya4783
@jasminemallya4783 2 года назад
😘😘😘
@stejasatv7349
@stejasatv7349 2 года назад
Mungu afu unabeda mimba kabula ya ndoa lakini Haina shida
@abdulab6202
@abdulab6202 2 года назад
Unazaa mtoto out of maried unajuwa ni dhambi Sana hata kwa wa cristor nidhambi Raha ya mtoto awe na mume kesho utajuwa la kumwambia Mwenyezi Mungu jamani tunamchezea Mungu tunakotoka tunakujua huko tunakokwenda tunakujuwa
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia 2 года назад
Imeandikwa wapi kuzaa mtoto nje ya ndoa ni dhambi, inamaana MWENYEZI MUNGU anamakosa kuruhusu watu kuzaa, kila mtoto anaekuja dunian, awe ndan au nje ya ndoa, anamakusud ya MUNGU MWENYEZI(YESU KRISTO) kumleta dunian, kama ingekuwa ni makosa bas angefungwa kizazi mpk aolewe
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 2 года назад
@@Churchofecclesia Nilijia tu kama wewe niupande wapili
@Churchofecclesia
@Churchofecclesia 2 года назад
@@fatmafatu1128 upande wa pili upi ? Kwahyo unataka kuniambia, iliandikwa wapi kwamba mtu akizaa nje ya ndoa ni dhambi au ni makosa, ni sawa kufungua ndoa ni muhmu na sio kwamba nahalalisha hvyo, hapana, ila haijawah kuandikwa kwamba ni dhambi kuzaa nje ya ndoa, kama ingalikuwa ni dhambi MWENYE ENZI angefungwa matumbo mpk watu waoe na kuoana ndo azae, ila kila mtu anaezaliwa iwe nje au ndani ya ndoa anamakusud maalum MWENYE ENZI kumpitisha had kuzaliwa
@queenshoo3884
@queenshoo3884 2 года назад
Sisi ni binadam hatuwez ishi kama malaika kila anafnya anachoweza we kama umeweza kufata dini hewala una dhambi zako nyingne maybe
@isabelajustine1812
@isabelajustine1812 2 года назад
Ww ulizaliwa ndani ya ndoa
@anithafrancis4375
@anithafrancis4375 2 года назад
6 kwa 6 angle mapana 60 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂
@aishaibrahim5607
@aishaibrahim5607 2 года назад
Kha ila wasanii utazani mimba wao ndo wakwanza 😂 kha
@ruqaiyahrajab4910
@ruqaiyahrajab4910 2 года назад
😁 😁 😁
@Abdul_Rashidkibet
@Abdul_Rashidkibet 2 года назад
Crush wangu kapata mimba aii jamani... Mmenifanyia mbaya....
@nancyg8664
@nancyg8664 2 года назад
Pole sana🤣
@joycejohn493
@joycejohn493 2 года назад
Interview 🤣🔥🔥🔥💓
@dorcasfanto9957
@dorcasfanto9957 2 года назад
Hiyo mimba sio zunde kweli muhusika
@danielpaul84
@danielpaul84 2 года назад
Mbona kama vile amefanana na nandy
@AdelphineUWIMANA-f3z
@AdelphineUWIMANA-f3z 11 дней назад
Juu marafiki wanaeza kufanana
@nellylundi9238
@nellylundi9238 2 года назад
Yani pili kanona pua,shingo,uso😂😂😂aki mimba wewee😂😂
@fridanaafya7511
@fridanaafya7511 2 года назад
🥰🥰🥰
@estherkimario7940
@estherkimario7940 2 года назад
Unajifanyisha kuongea Kama nandy
@leahcestiny3770
@leahcestiny3770 2 года назад
Hajifanyish ila ni marafiki always mkiwa marafiki wa mda mrefu lazma Kuna vity mtakua mmecopyiana
@swalehshumishee1193
@swalehshumishee1193 2 года назад
Mhh not true
@jan6703
@jan6703 2 года назад
Hata sura wafanana kidg
@maryammwinyi932
@maryammwinyi932 2 года назад
❤🍎
@elizarichard7034
@elizarichard7034 2 года назад
💕💕
@estherkimario7940
@estherkimario7940 2 года назад
Mmmmh huyu nae anaisingizia mimba tuuu ndo useme ya watu ugali dagaaa mtamu wap
@aminaraisa8893
@aminaraisa8893 2 года назад
Ongera pili yaan ongera kabisaa
@Almighy1-z3u
@Almighy1-z3u 2 года назад
kiyahudi😂
@mwanajumamohammed6327
@mwanajumamohammed6327 2 года назад
Vido vidox
@gloryrusizoka8608
@gloryrusizoka8608 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🙌pili
@princessringo2879
@princessringo2879 2 года назад
Jmni pili😂😂😂😂😂
@keyla3641
@keyla3641 2 года назад
Mimba imemchukia mumewe
@r9ayyansaid652
@r9ayyansaid652 2 года назад
Dume hilo
@dottomsoka1359
@dottomsoka1359 2 года назад
❤❤❤
@sarajoseph4253
@sarajoseph4253 2 года назад
Hahaha😂😂😂 ncheke Kwanza mie, ati mimba sio ya wananchi
@mwajumaissa2358
@mwajumaissa2358 2 года назад
🤣🤣🤣🤣Huyu dd ni kiboko ya waongeaji Kaaaah kwamba dini ya kiyahudi halafu vido _vidox umenifanya nicheke kwa hilo cheko lako huwii
@ngwanasongowelero7153
@ngwanasongowelero7153 2 года назад
Mmmmh
Далее
KITIMTIM Episode 22 - Daa Zuu, Zunde, Pili, Masantula
26:38
А я с первого раза прошла (2024)
01:00
НЮША РОЖАЕТ?
00:17
Просмотров 948 тыс.
Cook with Wema Sepetu - S07E07 Gladness Kifauka
8:07