Тёмный

EXCLUSIVE: Prof JAY Akiwa CONGO, Akutana na FALLY IPUPA, INNOS B - "KOLABO INAKUJA" 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 23 тыс.
50% 1

EXCLUSIVE: Prof JAY Akiwa CONGO, Akutana na FALLY IPUPA, INNOS B - "KOLABO INAKUJA"
MIONGONI mwa wasanii walioitwa kwenda kutumbuiza kwenye tamasha la Amani nchini Congo ni pamoja na, Profesa Jay, ambaye amepiga stori na Global TV akiwa nchini humo na kuelezea furaha yake baada ya kukutana na wanamuziki wengine wa Congo...
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
(+255 784 888982)
( +255 676 229628)
HABARI MPYA DAILY:
bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
bit.ly/mikasa_y...
GLOBAL RADIO TV:
bit.ly/255globa...
EXCLUSIVE INTERVIEW:
bit.ly/exclusiv...
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe bit.ly/globaltv...

Развлечения

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@rasmatthew6995
@rasmatthew6995 4 года назад
Hongera sana professor J kwa kuhubili amani mpaka huko goma Congo, but take care wakija W 32 hakukaliki huko
@abedileite4725
@abedileite4725 4 года назад
Karibu congo big bro.
@mugishomc397
@mugishomc397 4 года назад
THE MVP😍...HEAVY CHAMPION...PROF JAY
@abdurabmsuya244
@abdurabmsuya244 4 года назад
Professor J piga kazi huko hakuna cha ebolla wala nini hiyo ebolla ingewepo watanzania wanaingia na kutoka kila siku nchi yetu imebarikiwa na inalindwa na Allah
@numbeshabani9981
@numbeshabani9981 4 года назад
Full respect prof j
@ibrahimkidumekidume2933
@ibrahimkidumekidume2933 4 года назад
Umetisha j
@mohamediabeid6578
@mohamediabeid6578 4 года назад
Nipo bukavu lakini natamani sana nije goma hiyo date
@fubanjenjele521
@fubanjenjele521 4 года назад
The heavy weights mc The Red carpet Mr Presider Jay tunakuzimia
@ntamugabobizi4580
@ntamugabobizi4580 4 года назад
Very good kufika kwetu
@AhmedAhmed-ph3wq
@AhmedAhmed-ph3wq 4 года назад
Naomba Number Yako Profes
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 4 года назад
Big up mbungeee
@blacknesaya744
@blacknesaya744 4 года назад
Wabongo kwa maneno😀
@aboubackhrkassangullah8380
@aboubackhrkassangullah8380 4 года назад
Hahahaha umesikia prf jeze kaongea televisio
@elisulle1478
@elisulle1478 4 года назад
Nchi zote za Africa tunapenda amani kwahiyo tuungane wote
@ramadhanitawaqal8958
@ramadhanitawaqal8958 4 года назад
kamaumemuona DJ choka hapo kapita like hapa
@johndieme6402
@johndieme6402 4 года назад
Karibukwetu tunakupeda Armani naupedo kwetu wacongo kupatamugenikwetu watanzania
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 4 года назад
Ebola noma mazeee angalieeeee aclete utani na hyo mambo
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 4 года назад
We komaaaa na muziki ila angalia uctumalize na Ebola huku bdo majanga yanatunyemelea daaah Eeeeeeh Mungu tunusuru watu wako.
@ntamugabobizi4580
@ntamugabobizi4580 4 года назад
toka wemushezi mwenye unasema ebora haiko congo tauni ina kuwa mucharo kuwadani siyokwetu goma
@josephstephen2047
@josephstephen2047 4 года назад
Waasi wakiamua kukinukisha hapo hilo tamasha halitofanyika dadek zenu jiachieni tu.....
@sofiaasukuku8238
@sofiaasukuku8238 4 года назад
Haaaaaaaaa fala wewe
@muska4real
@muska4real 4 года назад
Naona wengi wanasema Ebola vp corona inayotokea kushoto
@ntamugabobizi4580
@ntamugabobizi4580 4 года назад
Mwejaku wacongo wazugu ereza mwejaku asiogeye asiyo yajuwa tunakosa amani ya warebere gabo ye gine tukosawa mwejaku kusema diamond muchukiye kugambo yako siye wacongo tukosawa nawatu usitu chage nachukizenu urunikera kuo geya wacongo innossb arikuiba wemwejaku chamba diamond uache wacongo mani
@amosimwangonji1067
@amosimwangonji1067 4 года назад
Ukituletea ebola ww kiongozi tutafika nawewe sawa mweshemiwa
@muska4real
@muska4real 4 года назад
Amosi Mwangonji corona iko njiani jihandae
@marryjoseph752
@marryjoseph752 4 года назад
Mdomo VP au baridi
Далее
Doors Harpy Hare (Doors 2 Animation)
00:16
Просмотров 863 тыс.
Что то на богатом..😅
0:44
Просмотров 10 млн
ВОТ ТАК ОТКРЫТИЕ
0:21
Просмотров 2 млн