Vraiment moi je suis un ivoirien mais j'adore les chansons tanzanien... Bravo À Mbosso , beka , Aslay et Enok .. .. je vous suis depuis au groupe yamoto band
Eish🤔🤔, watu hutoka mbali jamani, siamini kama.uyu ni yule mbosso wa sai na Aslay pia, safari uanza na hatua moja, sasa ivi ndio mastaa wa bongo, big up mkubwa fela
Nadhani muunganiko wa Fella na Shirko umechangia kuanguka kwa hawa vijana na kusambaratika maana kama Shirko na studio yake wangeendelea hapa hapa na kuendeleza mshikamano na fella huenda mpaka sasa Yamoto ingeendelea kubamiza
Usibeze mafanikio ya MTU wala usimuombee njaa sababu hujui wapi ameanza na ilikuwaje tatizo letu huwa tunaangalia mafanikio ya MTU hatuangalii process na mapito alopitia aslay ,beka, enock , mbosso keep up brothers tumetoka mbali sana katika kundi zima hilo lkn mpka sasa ni wanne tu ambao mmeonyesha effect na kumantain mpka sasa naheshimu safari yenu brothers
Tulio muona bibi cheka anakata mauno na uyo jamaa alievaa snglend nyeupe tujuane hapa kwa like na comment ili bibi yetu roho yake ikae mahali pema pepon watching 2021
Mashallah keep up mumetoka mbali jamani mbona nimeacha Aki yaniuma . Ila aslay alikuwa handsome lakini huyo mbosso jamani 🙈🙈🙈😜😜😜🤗🤗😹😹🤸🤸🤸🤸 kweli pesa sabani ya roho 🤩🤩🤩🤩 mbosso sura personal kumbe 🤣🤣🤣🤣