millard hongera sana kwa kutupasha habari, kwa team nzima ya AyoTv nawapa hongera. nina ombi moja kwa upande wa mahojiano ya kipindi chenu,uboreshwaji kwa hawa ndugu zetu viziwi kuwawekea mtu atakayewatafria kama tunavyoona baadhi ya vipindi vingi vya Tv.
Aslay n kijana mkweli Sana muelew ,alaf anaongea ukweli atafika mbali sanaaa na pia ana kumbuka wema alotendewa ,ubarikiwe zaidi Aslay nataman mrudiane na Tessy
Nice interview ,anaongea ukweli kabisaa alioptia , tofaut na wasanii wengne kila ktu wakiulizwa wanakataa tuh na huk nje inajulkana wamefanya. BEST INTERVIEW
Ukumbusho wa kirafiki: Huwezi kujua kitu kipya bila kuwa mwanzilishi kwanza.ASLAY alianzisha kitu chake na alifanikiwa.(MTOTO KUWA MWANAMUZIKI MASHUHURI) Kwa hiyo usiogope kujikwaa, kuhangaika, na kujifunza. Kubali mchakato, kumbatia ukuaji, na ujiangalie ukibadilika kuwa mkubwa wa kweli.(ASLAY AMEWEZA) Ikumbuke sauti yako. Kuna mtu mmoja tu anayesikika kama wewe.(ANACHOKIWEZA HAWEZI KUSHINDWA) Msanii Usiogope kuruhusu ulimwengu kusikia jinsi unavyosikika. Sisi sote hatuwezi kusikika sawa.(HAFANANI NA MTU ASLAY NI MMOJA) #BOKA
Aslay Mdogoangu, Nakubali Sana Mziki Wako, Moja Kati Ya Wasanii Ambao Awana Kiki, Awana Makundi Wala Sio Msanii Wa Kiki, Piga Kazi Mdogoangu, Mw\ Mungu Akujalie Uwe Mkubwa Zaidi Ya Hapo Ulipo🤲
Hawachelewi WAKENYA kumfanya wao. Nnachowapendea WAKENYA ni kuwa CHOCHOTE kizuri ni chao kama yule Mdada WA KENYA alisema OLDUVAI GORGE IPO KENYA . MLIMA KILIMANJARO UKO KENYA. ASLAY naye kwa sasa ni MKIKUYU😂😂😂😂
Tunajua Hilo ASLAY ni MKIKUYU kwa sasa hivi. Wa kwenu huyo kama ambavyo MLIMA KILIMANJARO UKO KENYA, OLDUVAI GORGE iko KENYA na hata ALI KIBA ni MKENYA WA MOMBASA. KENYA is a GREAT COUNTRY.🙏🙏🙏
Aslay ni msanii wa kipekee anatumia kipaji chake vizuri .Aslay ni lukunga umetulia siku ukiamua kupurura ni moja kwa moja vitu visafi .Aslay akurupuki yuko vizuri tu nampenda sana Aslay anatoa nyimbo za maana .anaimba nyimbo za maana .thibiti ajaimba amapiano ndo mjue akurupuki kufanya mambo ya kisenge kama ameitoa utakuta ni safi tuu🎉🎉🎉🎉🎉Aslay to the world
Good vision nimetumia sim ya mke wangu kipenzi ila tunakukubali sana na hata kwa gari yangu ninanyimbo zako kama za ela yote na nimekufuatia toka yamoto band na ninakuombea kwa mungu ufike mbali
Dogo anajua sana pia kuna wasanii wakubwa hawajui hata kujitetea yani unajielezea vzr sana hadi huo msemo wako wa hua sishindwi ninachokiweza😂 big up sana bro@aslayshika
Hujawahi kujiharibu hata kidogo kwenye mwili wako, ata uso wako unavutia,ila wengine wasanii Noma Sana kwenye sura zao Hadi ngozi zao, Aslay nikuombe Tu uache kunywa pombe ila utulize akili kisha urejee vyema Sana kabisaa, mahusiano ni shida kubwa mnooo