Тёмный

Fahamu mengi kuhusu tatizo la kipanda uso | Linavyokuja kwa wanawake na wamaume 

EastAfricaTV
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@aal8041
@aal8041 Год назад
Habari ,Doctor Assnte sana kwa maelekezo kwakweli mimi kama mimi kinaweza kuniuma siku tatu adi 4 kinauma upande adi jicho kwa juu linauma kinashika adi shingo kesho yake kinaamia upande mwingine kizunguzungu kichefuchefu hamu yakula sina nakojowa mara kwa mara naomba namba nikija Tanzania nikutafute Mungu awajaliye . Asanteni kwa ushauri
@mamanajat1026
@mamanajat1026 4 года назад
Dr. Leo umeniambia maneno ya maana sana Unajua haya uliyosema ndiyo n iliyonayo mpaka nimekuwa sijielewi. Kizunguzungu, mwanga mkali, makelele na mengimengi. Kuanzia leo nimepona kwasababu nimejielewa nimaumwa nini. Asante sana Dr. kwa kutufahamisha kwa ufasaha na umakini.
@omarybakari2788
@omarybakari2788 3 года назад
Docta vp hali yanapatikana wap
@AishaHoza-d5k
@AishaHoza-d5k 17 часов назад
Jaman mm pajilauso lina una hy nayo nivipi
@NuuruKassim
@NuuruKassim 6 месяцев назад
Habari doctor mm nasumbuliwa sana na kichwa kinauma sana mda mwengin kinauma upnd mmoj kinasumbua san. Na halafu nahs kinanikaza mbel y uso mpka nyuma
@mashaali6519
@mashaali6519 Год назад
Doctor asante sana nisha poteza ela kila siku naenda kubadi lishiwa miwani naisi macho kumbe niki panda uso 🙏
@mac_browntz4095
@mac_browntz4095 10 месяцев назад
Asante Nashukuru Sana kimenisumbua Leo siku ya 3 jamani
@elosymburia6091
@elosymburia6091 3 года назад
Waaa leo ndio nimejua niko naiyo kipanda uso aki mh naumwangwa hadi karibu kukosa fahamu alf macho uuma sana xaa dawa n nini aki
@NadiaJuma-en8sr
@NadiaJuma-en8sr 10 месяцев назад
Ata kichwa caupande umoja adichingini jicho linapiga michale sanaaa naumia sana
@shekhamanssour4909
@shekhamanssour4909 2 года назад
Namm naumwa
@deborayohana2458
@deborayohana2458 3 года назад
Hakika kipanda USO kinataka kuniua Dr.kimesganipelekea mpaka nakua confused
@slavymwenda6401
@slavymwenda6401 2 года назад
Dah bora meelewa .Mana nasumbuliwa na kipanda uso na macho huwa yananiuma nikiwa kwenye mwanga
@mariamjuma-zp8jy
@mariamjuma-zp8jy Год назад
😭😭😭😭😭 dokta naomba namba yako nikija mwenzi wa 7 unisaindie nateseka San mimi plz 😭😭😭😭😭😭😭
@rebekaabraham8771
@rebekaabraham8771 Год назад
Sasa dokta Mimi unanisaidiaje
@mariamjuma-zp8jy
@mariamjuma-zp8jy Год назад
Plz naomba naomba namba yako kaka nikija unisaindie WALLAH mimi nateseka San na maumivu ya kchwa upande mja paka nalia siseme yani dh 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 huku OMANI wana nambia hakina dawa. Huwa wanasema eti siyo macho 😭😭😭😭😭😭😭
@aal8041
@aal8041 Год назад
Pole ndugu yangu tupo wengi allha atufanyiye wepesi nami niko Omn yani naumwaga adi nahisi kuvurugwa allha atusimamie kwa hili inshaallh
@mosesmahinya9654
@mosesmahinya9654 3 года назад
Yaan apa kinauma mpka nme google
@salamvula5491
@salamvula5491 Год назад
Hata mm nimegoogle baada yakuona sipati usingzi jmn
@DennisSimion-hn3eo
@DennisSimion-hn3eo 3 месяца назад
Unaongea sana
Далее
KUTOKWA NA DAMU ZA PUA (NOSE-BLEEDING)
11:25
Просмотров 1,5 тыс.
MEZA HURU(KIPANDA USO) ITV 07 DESEMBA 2018
1:16:26