Тёмный

Fahamu utamaduni na mila za wahehe 

ITV Tanzania
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 37 тыс.
50% 1

‪@ITVTanzaniaTz‬ #chetunichetu #Iringa #Tanzania #hehe #wahehe #culture #localtourism #utaliiwandani

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 42   
@SuzanHassan-pz7gt
@SuzanHassan-pz7gt 4 месяца назад
Ahsante nmepakumbuka kwetu jaman ukitoka hapo nyumba inayofuata ni kwetu
@zainabmusa2006
@zainabmusa2006 2 года назад
NAJIVUNIA KUWA MHEHE NAIROB KENYA
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 4 года назад
Mandhari nzuri Sana naipenda sana
@franciscakimbe8124
@franciscakimbe8124 4 года назад
Im proud to be hehe Tribe
@jenniferanton1517
@jenniferanton1517 Год назад
Weweeeeeee wahehe hoyeee kukaye kunofu vayawe
@raifahmeshack9133
@raifahmeshack9133 4 года назад
Hiyo ndio raha ya IRINGA 💖💖💖❤💪💪
@LukaSaid-qs1lp
@LukaSaid-qs1lp Год назад
❤napenda sana nakumbuka nyumbanii
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 4 года назад
Jamani mnaosema wahehe wanakula mbwa muache, mmesikia? Wanaotania Ni wivu wao wa ushujaa wa wahehe unawasunbua ndiyo wanaamua kushusha hadhi kwa kutunga wahehe wanakula mbwa, tunaomba waache usemi huo
@isayakahemela4881
@isayakahemela4881 2 года назад
Wuse unywe na yuveve hahaaaa
@lucykawala5174
@lucykawala5174 2 года назад
Hawajavaa nguo za kimila za hehe wajicheza
@davidichaly7483
@davidichaly7483 Год назад
Kwakweli nimeipenda sana
@laylayl5166
@laylayl5166 10 месяцев назад
Hapana chezea muhehe ni mziki mkali
@ChristopherChristian-rx5rv
@ChristopherChristian-rx5rv 4 месяца назад
Safi
@wemachangula7585
@wemachangula7585 Месяц назад
Kuna mwa kivamba na mwa kivembele siyo kivembe
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 4 года назад
Mkwawa Ni mhehe maana ujio wake na mchanganyiko huo ndiyo umezaa uhehe, haukuwepo mwanzo, nawashangaa Sana,
@samsonmaliga3966
@samsonmaliga3966 4 года назад
Oya paka huyo VP.wahehe hatulagi.
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 4 года назад
Wahinga Ni watu gani? Naomba unisaidie,
@graceamran326
@graceamran326 Год назад
Eti ulimunoge iyo ndo yetuuu baba kasema kwakweli tunajivunia kuwa iringa ya viwango
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt 5 месяцев назад
Iringa oyeeee iringa moja hiyo hakuna
@janemsilu6818
@janemsilu6818 2 года назад
Proud to be mhehe
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 4 года назад
Historia nzuri lakini wachache walihamia sawa si wansongezeka na kupanuka? Tujulishe kabla ya Vita ya pili walikuwa wapi! Au walitokea wapi! Nahitaji kujua baba, naomba namba yako kwa nia njema
@elizabethmichael1782
@elizabethmichael1782 3 года назад
ITV daima naipenda
@saiddiamondsferuz8189
@saiddiamondsferuz8189 2 года назад
Iringa tz
@robbyman6213
@robbyman6213 Год назад
Kukaye tuyuge kunosile
@ezekielloylepayon5042
@ezekielloylepayon5042 2 года назад
Kila kabila lina historia yake ila nimeipenda historia ya wahehe
@FarajaMalangalila-sn4tr
@FarajaMalangalila-sn4tr Год назад
Baba anguu ww
@boscomalangalila
@boscomalangalila 11 месяцев назад
Umeona baba ako mkubwa
@FarajaMalangalila-sn4tr
@FarajaMalangalila-sn4tr 11 месяцев назад
@@boscomalangalila nimemuona baba
@athumanisaid8630
@athumanisaid8630 4 года назад
Kaka habar Sunday Temba?Naomba namba ya simu ya yule jamaa ambae yuko kwenye shamba la viungo anaitwa Mohamed kikulacho
@athanaskipeto572
@athanaskipeto572 2 года назад
Kwanini mumeingia na sokisi mahala hapo mkatubu
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 4 года назад
Basi Ni mhehe maana alichanganyika si kishelisheli tu, Ila Asante historia nzuri Sana naomba namba niulize wahehe walitoka wapi? Ila sema asili Ni mhehe aliyechanganya ushelisheli, maana alizaa na mtu wa hapo
@mariea6753
@mariea6753 3 года назад
Wewe umezaliwa wapi kwani
@bakariluhala7332
@bakariluhala7332 2 года назад
Ethiopia
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 2 года назад
@@bakariluhala7332 ahaa wewe bakari umetoka Ethiopia?
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 4 года назад
Pia nisaidie Mwakivamba ndio Mwakivambe? Naomba namba yako baba kwa Nia njema
@nelsonuvambe7526
@nelsonuvambe7526 3 года назад
Tupo hapa
@bennyaldo6370
@bennyaldo6370 2 года назад
Ni wewe
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 4 года назад
Unajua wanasema wahehe wanajinyonga kwasababu Mkwawa alijiua basi, lakini ukweli wahehe hawajinyongi, kila kabila Lina wajinga wanaojinyonga, Mkwawa alijishuti kwa sababu ya msingi
@benitoxavery1802
@benitoxavery1802 3 года назад
Ni ujasiri tu. Hakutaka kukamatwa akiwa hai na wajerumani. Ni kama wale waliitwa Samurai wa Japan.
@lilianluhasi5053
@lilianluhasi5053 2 года назад
@@benitoxavery1802 kweli kabisa wamepindua Maana
Далее
Simulizi ya historia ya shujaa wakihehe chief Mkwawa
40:45
ZIFAHAMU SIFA KUU 8 ZA KABILA LA WANYAKYUSA
6:01
Просмотров 6 тыс.
Million jamoasi - Amerikaga sayohat
12:37
Просмотров 302 тыс.
САМАЯ ТУПАЯ СМЕРТЬ / ЧЕРНЕЦ
1:04:43
Nyimbo za asili za kabila la wahehe(Ukuduva)
4:34
Просмотров 38 тыс.
Kambi Popote   Mila na Desturi za Watu wa Rufiji Part 1
17:06
TWIVANYAPATALI
10:54
Просмотров 22 тыс.
PROF KABUDI ASHANGAZA WENGI KWA HOTUBA YAKE
37:31
Просмотров 185 тыс.